Тёмный

NHIF WATOA UFAFANUZI UZUSHI BIMA ya TOTO AFYA KADI - "INACHANGAMOTO ZAKE, TUMEBORESHA''... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

NHIF WATOA UFAFANUZI UZUSHI BIMA ya TOTO AFYA KADI - "INACHANGAMOTO ZAKE, TUMEBORESHA''...
KUFUATIA taarifa za uzushi zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na bima ya afya ya NHIF kwenye kipengele cha Toto Afya Kadi, NHIF wametoa taarfa rasmi....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@khadi-z4o
@khadi-z4o Год назад
WAJINGA SASA NYINYI KUMBE... NCHI ZA WENZETU WATOTO NI THE MOST FIRST PRIORITY KWAJAMII.. ILA NYINYI MNAWAWEKA NYUMA WATOTO....WATOTO PIYA HAWANA ZAMBI
@latifahmsese9311
@latifahmsese9311 Год назад
Kwani lazima nimemua kukata bima ya mtoto mmoja ndio uwezo wangu…hii sio sawa Sijapenda
@nassirfarah3159
@nassirfarah3159 Год назад
Hii ni tatizo
@gessanabuu99
@gessanabuu99 Год назад
Je watoto wenye umri mwak 0 - 3 ambao hawajaanz shule itakuaje hususan ikiwa mtu hana uwezo wa kujiunga na familia yote? Ikizingatiwa vifurushi vya kifamilia ni ghari zaid?
@sankajoseph4627
@sankajoseph4627 Год назад
Mweshimiwa tunaomba ufafanuzi vizuri kwa upande wa mtoto kwanza kama ameachwa ni mdogo pengine miezi 7 na mzazi alifariki na msaada kwake ni bima huyu mtoto amezaliwa na virusi vya ukimwi na ametelekezwa kila mala ni mgonjwa. Tunaomba ufafanuzi umeamua kufanya kazi iendelee
@anganilestephen1086
@anganilestephen1086 Год назад
Mnazingua mie mwanangu nimempeleka Masana😮 hospital alitokwa na upele tu mwilini eti dawa zake bima haikavi nini maanaake?
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Год назад
Kama mwana Kijiji anamaliza mwaka hajashika sh,ata laki moja zaidi labda amejitahidi sana elfu 50000 kwa mwaka,Sasa laki tatu naa atazitoa wapi?,hayo ya baba kuwa na bima na mama siyo tatizo kutokuwa na bima,Cha msingi rudisheni hiyo bima ya elfu 50400 tuu,
@getrudemshiu4317
@getrudemshiu4317 Год назад
😢😢serikalini watoto chini ya miaka 5 wanapotibu vizuri naombeni jina la hosp,kuna hospitali wanawapa amoxylin na panadol kwenye kila ugonjwa😢
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Год назад
Leo nimeumiza kichwa nakukosa majibu ila hii nimepata majibu kumbe hata ningelipia leo mtt wangu angepata huduma kupitia card yake
@mpindafamily1496
@mpindafamily1496 Год назад
ilo swala mmefeli
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 Год назад
JIPU HILOOO....SIJUHI NANI WAKULITUMBUA.😭😭😭😭
@christianchando7041
@christianchando7041 Год назад
Mzazi ni masikini Hana uwezo WA kukata bima ya familia. Laki tatu, nne mpaka milioni. Mzazi masikini Hana pesa hizo. Mwacheni awe huru kumlipia mtoto wake peke yake. Kukata ya familia nzima iwe ni hiari
@AndrewMwenisongole-c9s
@AndrewMwenisongole-c9s Год назад
Duuuh tunaomba Sana mturudishie iyobima ya watoto, maana Toka mlivyoifungia sisi wenyekipato Cha chini tutakufa😢 Kama 50 wengine wanashindwa kulipa Elfu 50 je ataweza kulipa malaki
@kingjosse4781
@kingjosse4781 Год назад
Yan wez ni wezi tyuu ☹️
@aminiakyoo9208
@aminiakyoo9208 Год назад
Dah!! tupambaneni tu na watoto wetu Mungu atatusaidia na ikishindikana sote ni mavumbi na mavumbi tutarudi.!!😭😭😭😭mimi sina uwezo wa kukata bima ya familia nafanyaje!wakati nilikuwa na uwezo wa kukatia watoto !!
@DonaSereka-wl8xk
@DonaSereka-wl8xk Год назад
kuweni tu wawaz kwamba kaz imewashinda
@saidimohamed4357
@saidimohamed4357 Год назад
Ujanja ujanja umeanza tena
@rahmaoo-oo3ff
@rahmaoo-oo3ff Год назад
Mm naona muirejeshe huduma ile ile ya mwanzo kwasababu utakuta mzazi hana uwezo wa kulipia hiyo laki tatu, na ukizingati amaisha Sasa hivi ni magumu sana, kwahiyo hapo hamtoi huduma hiyo imekuwa ni biashara
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Год назад
Huko mashuleni muda mwingine matrons wanazingua hawatumii izo card wangu hadi mwaka umeisha natoa pesa wakidai card haitumiki Tanga wilaya ya muheza
@tuomwaka4551
@tuomwaka4551 Год назад
Msijiangalie nyie tu kuweni huruma hata na watoto tu...mnajiangalia nyie tu mnaondoaje hii huduma kwa watoto
@MaimunaTwalibu
@MaimunaTwalibu 6 месяцев назад
Tuna shangaa sana tuna kata bima zitusaidie ila tunaambiwa azitumiki
@sirielsamweli4751
@sirielsamweli4751 Год назад
Kuna kitu kama nimekielewa, ila wataje viwango vya pesa wazi, kwa mfano wakiwa wazazi wawil na watoto labda wanne ni bei gani? Na akiwa mzazi mmoja na watoto labda wawili ni bei gani au Watoto sita
@abdallahmzuzuri3527
@abdallahmzuzuri3527 Год назад
Hii nnchi ilipo fikia sasa ni pabaya sana. Mnawapa watu uongozi ambao bongo zao wanafikilia kila mtu au mzazi anauwezo kama walivyokua wao. Watu wamekua wanavichwa vya hovyo kweli kweli.
@FloraSafari-ln4mr
@FloraSafari-ln4mr Год назад
Acha tusema bima ya afya nimegundua haiwezi kusema Ila watoto wenye ulemavu ndo chanzo cha watoto wengine kukosa bima ya afya
@mosesedwardmagembe9657
@mosesedwardmagembe9657 Год назад
Tuache kujifikiria wenyewe! Watu uwezo hawana . Na hakuna asiyehitaji bima ila uwezo wa kukata bima jumla hawana unachangachanga unamtoa mmoja mmoja. Huo ujumla unakwamisha watu. Acheni ubinafsi.
@yakubuluoga8394
@yakubuluoga8394 Год назад
Familia zilizo nyingi kupata angalau milo miwili kwa siku ni shida watawezaje kukata bima yenye thamani ya laki tatu tena ishu yenyewe ni sawa na kubet
@EdwardSamwel-c7l
@EdwardSamwel-c7l 7 месяцев назад
Rudisheni ule utaratibu wa zamani acheni ubinafsi, yaani hii nchi kila mmoja ni mwanasiasa tena siasa za muongo. Hebu acheni longolongo
@FloraSafari-ln4mr
@FloraSafari-ln4mr Год назад
Swali langu kwa waziri Wa afya kwanini msitishe gafla ? Kusitisha Toto afya card Na mlianza Na watoto wenye ulemavu hasa kawa mkoa Wa Kilimanjaro watoto wenye ulemavu walianza mkinyimwa bima kabla ya hapo
@daudishekiogwe
@daudishekiogwe Год назад
Tunataka muda wa kuanza matumizi baada ya kukata bima upunguzwe kwani haina maana yyt
@JojiLuvuba
@JojiLuvuba 6 месяцев назад
Waziri mnamuonea rais hili swala la bima la watoto yeye kama mwanamke ilibidi awe na moyo wa kumuonea huruma mtoto
Далее
VIJUE VIFURUSHI  VYA BIMA YA AFYA
13:34
Просмотров 4,4 тыс.
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 2,8 млн
Silent Hill 2 - Мульт Обзор
07:26
Просмотров 389 тыс.
VIJUE VIFURUSHI VYA BIMA YA AFYA YA NHIF
14:50
Просмотров 17 тыс.
Vifurushi vipya vya Bima ya Afya NHIF
28:47
Просмотров 9 тыс.