Тёмный

NI BALAA, CHEKI KILICHOTOKEA KWA WALINZI WA RAIS SAMIA BAADA YA GARI LAKE KUWASILI 

Uhondo TV
Подписаться 608 тыс.
Просмотров 357 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@naomisidi2181
@naomisidi2181 6 месяцев назад
Kwa ukweli nampenda sana Rais Samia Suluhu kwa hekima alizojaliwa na mwenyezi Mungu. She is so amazing. Natamani kumuona siku moja kumsalimia tu. She is my mentor. May God pritect you mama. I love you more.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Safi saana , utadhani Ni Msafara wa Kim Jon Hun North Korea jinsi walivyojipanga, Mungu Ibarik Tanzania, Mungu Mbarik Amir Jeshi Mkuu, Tanzania kwanza Mengine baadae
@rainaldambawi-cq9yu
@rainaldambawi-cq9yu Год назад
Uhovyo tv Mungu anawaona.
@florawingia1234
@florawingia1234 Год назад
Duuuu. Haya bana Mungu anawaona mnatuibia MB zetu. Khaaaa!
@alidullah207
@alidullah207 Год назад
🤣🤣🤣
@bwijafidel2809
@bwijafidel2809 Год назад
Mnatuibiya Mb zetu,,
@OnesmoSamakichengula
@OnesmoSamakichengula Год назад
Asante mama kwakutuongoza vema kuanaamani tunakupenda tunakujali piano tunakuombea
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Год назад
Hovyo kabisa. Walinzi makini walikuwa ni wa Hayati Dkt. JPM
@lazarokajole5454
@lazarokajole5454 Год назад
Sijawahi kumsahau JPM mpaka sasa ndie Rais wangu bora wa mda wote
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Год назад
Mfate basi huko alipo
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Год назад
Nenda mfate basi, achen chuki nyau nyie
@wangotoadam3875
@wangotoadam3875 Год назад
Hui gi
@lizyonce7414
@lizyonce7414 Год назад
Mama samia wewe fanya kazi tu lakin moyo wangu aujatokea kukubali kabisa
@georgemaduga2406
@georgemaduga2406 Год назад
Hata mie simkubali kabsa mwangu acha tu afanye kazi
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Unatakaje labda ili umkubali kwann usiwe mzalendo kwa kupenda nchi yk na kiongozi wako mengine muachie Allah yy ndo anajua wapi anakosea tufanyeni kazi tusilaumu sn uongozi
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
@@georgemaduga2406 ndo ishatokea utafanyaje sasa kuwa mzalendo na ww kuna wengine kwenye jamii yk hawakukubali ivo ivo ndo dunia ilivo
@lizyonce7414
@lizyonce7414 Год назад
WAZEE maisha tunayoishi sio wote watakukubali lazima wawepo watu wa kukupinga upate kujifunza kitu. Labda mniambie nyinyi NDUGU ZANGU mama kitu Gani kikubwa amekifanya Toka kukalia kitu....??????
@lizyonce7414
@lizyonce7414 Год назад
@@kassimali2273 tumeishi maisha mabovu zaidi ya alipokuwa magufuri tozo kupanda vyakula kupanda nauli kupanda mafuta kupanda na mengine mengi tu Sasa utamkubali vip rais ikiwa anakwenda tofauti na aliyofanya magufuri
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 Год назад
Uhondo umekuwa uhovyo
@SamweliFelix-ij2pc
@SamweliFelix-ij2pc 8 месяцев назад
Mama nisaidie mm samwel naomba unipeleke studio
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 Год назад
Wana Damu Waki Amua Hawa shindwi kwa Lolote..chunguza UTA elewa..🙄🙄
@PendoJastin-zz1eq
@PendoJastin-zz1eq Год назад
Vta ya ushoga hapa Tanzania
@lulumwakila5201
@lulumwakila5201 Год назад
Duh
@mgayagesimba2238
@mgayagesimba2238 Год назад
Sioni haja hata ya kurudia nilizania gari limepinduka alafu walinzi wakapona alafu anaelindwa mahututi
@imaiskaka8305
@imaiskaka8305 Год назад
Unaliwa na waganga mtoa caption
@ayoubmtumishi
@ayoubmtumishi Год назад
Sasa hapo walichotanya nini.yani waongo sana nyie
@paulobonifasikagosi
@paulobonifasikagosi Год назад
Shi nitizo
@maftuhihassan3114
@maftuhihassan3114 Год назад
Oyaa mbonamnatumalizia MB
@facebmzeewakimba1546
@facebmzeewakimba1546 Год назад
Sasa balaa likwapi? Acheni upuuzi
@oyay2821
@oyay2821 Год назад
Hakuna lolote hapo. Yule mwengine alilindwa zaidi ya huyu na kilicho muua ni kidufu kidogo hata kwa macho hakiwezi kuonekana😊
@khamisali9907
@khamisali9907 Год назад
Nini sasa kimetokea hebutufahamishe naweye kitugani kimetokea au ndo inavo tubia naweye upumavu Tu nawizi ndo mlio nao
@paulobonifasikagosi
@paulobonifasikagosi Год назад
Sihinikizo radumu
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 Год назад
🤣🤣🤣🤣 baada ya gari kuwasili
@emanuelmuhoja-pi6yl
@emanuelmuhoja-pi6yl Год назад
Matukio ya leo on
@francisabushiri4143
@francisabushiri4143 Год назад
Acheni ujinga . Tuna subscribe ili tupate habari makini lakini mnatumalizia mb kwa vitu vya ovyo ambavyo havina mantiki. Ovyoo kabsa
@aminarajabu5795
@aminarajabu5795 Год назад
Tumeshakukalili wewe UHONDO NI MUONGO TUMTUPE KULEE. Tunadili na wakweli tu kama Ayo TV. Wewe UHONDO USHAHARIBU KAZI. Endelea kudanganya.
@teresamoses5732
@teresamoses5732 Год назад
Balaa gani?
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Год назад
Nini kipo SASAIVI humu
@PendoJastin-zz1eq
@PendoJastin-zz1eq Год назад
Kupiga vita ya ushoga
@KelezensiaMaiko-kt5cc
@KelezensiaMaiko-kt5cc Год назад
Up danurpd
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Год назад
Mama piga kazi nchi ipo salama
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Год назад
Hakuna kenge yeyote atakayemtisha ahsante sana ..!
@victorjames3730
@victorjames3730 Год назад
Nini kimetokea???
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Год назад
Hahahaha hakuna kitu waongo tu duh
@anthonyngozye-eu4by
@anthonyngozye-eu4by Год назад
Aa
@estermuganda9298
@estermuganda9298 Год назад
😀
@fadhilsanga9180
@fadhilsanga9180 Год назад
Pumbafu
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
Mambo ni mazuri kidogo lakini ninawaza tunayoyaona mtandaoni uogozi wa kuua watu ilimwuongoze hapo naishiwa pozi Sina nguvu mnao mwabudu Mungu niombeeni Samia Kama mlifanya hivyo achia maana niutawala wakishetani huwa haudumu utaishia kubaya mama wa watu.
@shabbirmohd3141
@shabbirmohd3141 Год назад
Ppppp
@duvaboy
@duvaboy Год назад
Далее
Mpambe wa Rais alivyowasilisha bahasha ya siri bungeni
9:39
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 387 тыс.
ASKARI ALIYEMKOSHA RAIS MAGUFULI NA KUPANDISHWA CHEO
1:31