Ongera sana bi Mwenda, ulikuwa ukinifurahisha pale unapo igiza kama mchawi, mpaka baadhi ya watu walidhani wewe ni mchawi, wakati wewe siyo mchawi, bali ni fani tu. Ujaliwe maisha marefu
Hujafa hujaumbika umenikumbusha mbali bi mwenda Mashaka kumbe kafa😢 Jaman na kisa alkua mzuri eiwaa lkn Mlemavu😢sana ilitrend itv long time ulvosema nikawakumbuka
Mbona humpi hata pole mzee,..mwenzio anakushirikisha watu wake walioenda mbele za haki...unaitikia tu kama unapewa taarifa ya kawaida kaka daaah. Ulipaswa utamke neno.