Тёмный

NI VITU GANI VINAWEZA FANYA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA MENGI KULIKO KAWAIDA?? 

East Cars
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Kuna magari yana tumia mafuta mengi ya yamekua hivyo kutokana na ukubwa wa engine, lakini kuna magari mengine yanatumia mafuta mengi kwa sababu kuna vifaa kwenye gari vimeanza kufeli.
sikiliza kujua ni vifaa gani na namna yaku epuka hilo.
@Magari TOO Production @Diamond Platnumz @Rollsroyce Fandom @Millard Ayo @Global TV Online @Alikiba @Snashtz @Ndinga za Bongo @CLOUDSMEDIA @Dizzim Online @Wasafi Media @Bongo TV @Bongo5 @COMICS BONGO @SimuliziNaSauti @5gear official @Top Gear @The Grand Tour @Engineering Explained

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@joshuambiaji9808
@joshuambiaji9808 Год назад
Jamaa unajua Sanaaah
@erastomazela8962
@erastomazela8962 2 года назад
Very scientific ....hongereni sana
@hemedsadick7567
@hemedsadick7567 3 года назад
Maelezo mazuri, lakini 1. kinachosababisha utumiaji wa mafuta mengi kwa gari yenye upepo kidogo kwenye tires ni property inaitwa ROLLING RESISTANCE. the highly inflated tires will have lower rolling resistance hence no much energy lost because of less tire deformation. 2. Air filter chafu inapunguza kiasi cha hewa kinachoingia kwenye engine, hence itasababisha low power produced by an engine. engine inainject mafuta kulingana na kiasi cha hewa kinachoingia kwenye ambacho hupimwa na Mass Air Flowmeter (MAF Sensor). 1 gram of petrol will be injected in 14 grams of air in an engine Cylinder. so kama air filter ni chafu na hewa ikaingia kidogo, mafuta pia yataingia kidogo. hivyo hakutakuwa na loss ya mafuta, instead kutakuwa na loss ya power.
@eastcars
@eastcars 3 года назад
yes tairi kama haina upepo surface area yake na barabara inakua kubwa which means more friction which = more power to overcome it = more fuel.
@hemedsadick7567
@hemedsadick7567 3 года назад
@@eastcars we need the highest friction possible between the tire and the road. this frictional force is also known as traction. we need the highest traction possible. kindly read about coefficient of rolling resistance.
@nyundomaster1541
@nyundomaster1541 2 года назад
Injector coils bila kumsahau mkuu
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 года назад
@@nyundomaster1541 A common cause of bad mileage is your own driving habits.if your an aggressive driver, likely you accelerate to quickly. This causes more fuel to be used, and will use up more fas than you need. The same goes for revving your engine but the crucial components that contribute to the combustion cycle could be faulty.for instance,a faulty spark plug or 02 sensor in a petrol engine and a dirty fuel injector in a diesel engine can cause more consumption of fuel resulting in low fuel mileage,GREETINGS FROM BRISBANE QUEENSLAND AUSTRALIA 🇦🇺
@sketchbabu
@sketchbabu 3 года назад
I love this show, nimeshakua fan wenu hii show kali.
@eastcars
@eastcars 3 года назад
Hahahah thanks man.
@khatybzuber9744
@khatybzuber9744 2 года назад
Yeah Genius 👍
@KudrahPembe
@KudrahPembe 4 месяца назад
Jitahid kwenye sauti mzee
@fredymwoga8423
@fredymwoga8423 3 года назад
nimependa idea ya kipindi chenu aisee, mmetisha🔥
@djkissinger
@djkissinger 2 года назад
Issue ya Size ya Rims na Matairi vipi nayo? Mfano Toyota IST nyingi tunazifunga Rims za 17inches or 16inches, Low Profile. Je hii aiongezi consumption tremendously?
@kitomaribonifase522
@kitomaribonifase522 2 года назад
inaongeza ndio kuna nguvu ya ziadaa
@philippeter198
@philippeter198 2 года назад
matatizo kwenye fuel injectors...
@philippeter198
@philippeter198 2 года назад
we need friction to move or stop
@kitomaribonifase522
@kitomaribonifase522 2 года назад
mm fundi nikweli kuna vitu nimejifunza hapaa
@automotivetz1275
@automotivetz1275 2 года назад
Absence of catalytic converters
Далее
JIFUNZE JINSI YA KUTUMIA AC KATIKA GARI YAKO
4:30
Просмотров 1 тыс.
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Просмотров 27 тыс.
FAHAMU JINSI YA KUZUIA GARI KUTUMIA MAFUTA MENGI
6:22
SOMO LA ENGINE OIL KWA UNDANI - DR MERCHANICS
30:16
Просмотров 6 тыс.
UTAJUAJE KAMA GEARBOX YA GARI INA SHIDA??
2:48
Просмотров 16 тыс.