Тёмный

Mambo yanayoweza kusababisha gari kula mafuta mengi licha ya kuwa na cc ndogo 

ITV Tanzania
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our RU-vid Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Опубликовано:

 

30 июл 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@NiyonkuruJackson-dq2mr
@NiyonkuruJackson-dq2mr Год назад
Asante sana bro, nimeipenda iyo
@sandaymgunyi6268
@sandaymgunyi6268 2 месяца назад
Kyando Naomba Namba zako
@henryjulius213
@henryjulius213 2 года назад
Karibu Tena Kwa mafundisho
@johnmwasakilali6984
@johnmwasakilali6984 2 года назад
fundi jibu swali ndipo ueleze maelezo ni mengi kama mwanasiasa
@martinchatila320
@martinchatila320 2 года назад
Tunashukru Sana kwa Elimu Kama hizi maana tunakosea bila kujua
@suleabdullah2247
@suleabdullah2247 2 года назад
Natamani mtangazaji achukue mud mfupi na injinia awe na mud mpana kufafanua mada
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 2 года назад
Fundi kwanini ukiwasha gari mafuta yanapugua kidogo?. Gari yangu ni silinda 6 ni ya petroli.kwanza sipandi gari bila kukagua nje, pili maji,oil ,tatu nikingia ndani ya gari Nasali ,nafunga mkanda ndipo niwashe gari. Asante kwa mafunzo.
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 2 года назад
Mtangazaji amuulize mtaaiam, maswali mafupi ya uchochezi/uchokonozi, kuchokonoa habari, maneno mengi ambayo ndio utaalam wenyewe amwachie mtaalam,
@isaacs3904
@isaacs3904 Год назад
Wote wababaishaji tu...jamaa haelezei chochote anaongelea vitu vingi mno na kujichanganya
@hamadishaibu8490
@hamadishaibu8490 Год назад
Gar Ina mambo mengi ambayo usababisha kura mafuta kwaiyo inategemea ni kipi kibovu mafundi wAnaerewa ir
@lwxgle002
@lwxgle002 2 года назад
Huyu fundi anajua, natamani ningepata contact zake...
@pwalter335tv5
@pwalter335tv5 Год назад
Maelezo mengi mkuuu
@mkonyitv3391
@mkonyitv3391 2 года назад
Mtangazaji ana kierehere kama yeye ndo fundi
@chrisantusnyambuka8778
@chrisantusnyambuka8778 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisaaa anakiherehere sna🤣🤣
@Eagle-One.1501
@Eagle-One.1501 Год назад
Mnafanya vizuri sana kutuletea elimu lakini huyu anae andaa hizi video ndio anaharibu yaani hicho kipeperushi cha usafiriwako kila dakika kina onekana mbele ya picha mpaka vitu vingine havionekani tafadhali sana jirekebisheni kwenye hili hii video imekua mbaya kwasababu ya hicho kitu kimoja tuu Au kama wanao andaa kipindi hawana weledi fukuzieni mbali yaani mpaka kipindi kina kosa ladha bhana
@pascorseve2308
@pascorseve2308 2 года назад
Je Kuna uhusiano Kat gearbox kua mbovu na ulaji wa mafuta?
@thomas004
@thomas004 2 года назад
Ndio
@onesmomahenge9025
@onesmomahenge9025 2 года назад
Plag zikiungua je, hazisababishi mafuta kutumika zaidi?!
@onesmomahenge9025
@onesmomahenge9025 2 года назад
Nimekusoma kwenye plug
@iddyjuma2263
@iddyjuma2263 2 года назад
Kuweka N ndio inaongoza, Darasa zuri naa liwe endelevu,Madereva wengi hawataki kusoma.
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 6 месяцев назад
Mtangazaji muachie fundi mbona unaongea sana
Далее
Jinsi Dereva anaweza changia ulaji wa mafuta
27:34
Просмотров 12 тыс.
MAGARI YANAVYOBADILISHWA YATUMIE GESI BADALA YA MAFUTA
11:23
Четыре тормоза
00:53
Просмотров 50 тыс.
UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA CC
13:25
Просмотров 37 тыс.
#USAFIRIWAKO: Umeme wa Magari.
29:25
Просмотров 6 тыс.
JIFUNZE MATATIZO SUGU YA NISSAN DUALIS - Mr SABYY
11:46
USIPOFANYA HIVI GARI LAKO LITACHEMSHA/UTAUA INJINI
15:13
Magari yanayoongoza kwa kuharibika Injini DSM
8:35
Просмотров 63 тыс.
Kazi kubwa inayofanywa na Tie rod end katika gari.
27:51
AC ya Gari/Ni kweli AC inakula mafuta ya gari yako
1:16:10