Tz tulibarikiwa kwa kweli na maraisi 2,mwalimu nyerere na Baba yetu MAGU, 😭😭😭😭😭😭😭😭 na sasa atupo tena nao kazi nzuri umetuachia baba Magu,daima tutakukumbuka R.I.P🙏🙏
this was so cool! Magufuli na Kenyatta wanautani mwingi sana..nafirki ni rika moja ndomana...kutaniana sana. nakumbuka clip Kenyatta akiwa Chato wakenda muonda mama Magufuli..Magufuli akawa anamuegemea Kenyatta na kumuambia mama yake; "mai, Kenyatta Rais wa Kenya huyu anakuksalimia" yaani it was so good..asanteni sana Magufuli / Kenyatta safi sana..Magufuli oyeee!! Kenyatta oyeee!!
I love you Magufuli no secrets about our country, If it was different president he was going to wait until home njoo amu call, but Magufuli was very open president
@@faroukmutyaba5665 I know kaka, we just pray for him to rest in Peace Rais Magufuli, God loves him mostly than us. Hata Baba amefariki Yesu ata baki kuwa Mungu tuu 🙏🏼🙏🏼
Continue Resting in peace president Magufuli ..we still mourn you...your integrity, dedication and commitment to build Tanzania is a legacy the whole of Africa is proud of.Love from kenya 🇰🇪 🇰🇪
Hiyo ndio EA ilipaswa iwe undugu sio kuwindana ama ujanja ujanja. Tunaamini Mama Mungu atamjalia adumishe upendo EA. RIP Mwendazako. Mungu akurehemu uliko.
🇹🇿🕌⛪🇰🇪 - THIS WAS LIKE OUR BELOVED PRESIDENT MAGUFULI (RIP) PASSING THE BATON TO MAMA SAMIA. "MAY ALLAH, YAHWEH, GOD" HELP HER TO SERVE TANZANIANS AFTER PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI (RIP) PASSED AWAY. "MAY GOD ACCEPT HIS SOUL".❤✔
@@alisaid4380 mwislamu gani wewe kipindi cha ramadhani unaongea pumba kiasi hiki naomba ufe kifo kibaya iwe fundisho kwa watu wengine wenye kumdhihaki mungu kama wewe
Rais wetu mpendwa Mh Magufuli kwanza nakupenda sana japo mwanzo nilikuchukia sana. kma utasoma comment hii nataka kuuliza bidhaa ya milioni nne ushuru wke ni milioni moja na laki mbili forodha ya Namanga hiyo
Safi sana muheshimiwa uhuru pongezi kwako na muheshimiwa magufuli kila siku nakupenda mungu akusimamie maadui wanaokuchukia laana iwe juu yako na dhambi ziwakandamize wao ameena
Safi sana muheshimiwa uhuru pongezi kwako na muheshimiwa magufuli kila siku nakupenda mungu akusimamie maadui wanaokuchukia laana iwe juu yako na dhambi ziwakandamize wao ameena
We missing you JPM 😭 you're unique and true Angel 👼 RIP.. those who kill you the truth will come out one light day...we Pan-African we believe your death wasn't natural. Those who celebrate your death... We are watching them those who talk about your death we know is them who is criminals.. them time will come to.. because everyone will test the death. .
Mm maoni yangu ni kwa magufuli mm ningependa amkalishe Uhuru na kumuelimisha juu ya ufisadi Kenya imezidi maisha ya Kenya ni mabaya Sanaa wanyonge waumia Kila Jambo mpaka ulipe marupurupu. Ata ukisoma hakunafaida kazi wanapeana wakikuyu pekee ndio wanajisifu Kenya ni yao mm ningeomba uingilie kazi kwa maana ww ni raisi wa Tanzania nivema uingilie Kati ili uwasaidie wakenya wenzetu bila hivo Kenya itaharibika miaka ijayo tutajijawanya Kenya itakuwa na maraisi wawili mm ni mkenya ila siipendi Kenya kwa sababu ya ufisadi. Nikiingilia kwa upande wa Barbara Uhuru ametengeneza kwao Nairobi ila Mombasa hawakutengeneza Barbara. Ukitaka wakenya wawe na upendo na Tanzania basi tusaidie magufuli