Jamani mwaingia dhambini mwajiharibia stara waume ndani na makanzu wake ndani yanini mitandio mngetoa tuu hiyo c qaswidda hiyo ni nyimbo ya swabaha c qaswidda
Jaman tumche Allah hakuna jambo bay Kama kuzusha jambo katik din kwaajili yakujitengenezea masrah yako kwa kisingizio chakuw ety mtume alifany hayo mamb,, siikwel jaman tumche Allah ,,,,
Meh kubwa namnasih ukht dida kwa sbb yeye ni miingn wa watu wanaoimba qaswda asije akabadilika aimbe iyo iyo qaswda tuh asije akaingia kweny taarab na yeye dada ang nakuomb uniskilize kwan Nina kupenda sannah by miss munnah from fuon
Ndio maana tumekatazwa mambo haya , maana ukianza Qasda utamalizia nyimbo tu , sasa huyu hapa anategemea kupata thawabu gani ?? Ni nyimbo live live bila chenga , daaah mtihani huu 😭