Тёмный
No video :(

NIIPI SIKU YA ARAFA 

Izudin Alwy Ahmed
Подписаться 176 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 124   
@abdillahmussa376
@abdillahmussa376 2 года назад
Mungu akupe umri mrefu na twaa, akujaalie uwe miongoni mwa watakaoingia peponi firdausi nimekuelewa
@afric01
@afric01 2 года назад
Aslm alkm ww.... Allah atunusuru Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏
@saiphllah
@saiphllah 2 года назад
Allah ndie ajuae yaliyo ndani ya kifua chako.
@IBRAHIMULUMBIZI
@IBRAHIMULUMBIZI 2 месяца назад
Allah awafahamishe wanao changanya tukio na saumu
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge 2 месяца назад
Huyu atari,kwaiyo mungu hushuka mara mbili maana kila mtu na arafa yake
@teachermussa5241
@teachermussa5241 2 года назад
Ikitokea upo kenya na mwezi muandamo wako ukawa upo tofauti na ule wa mji ambako A'arafah husimamwa na kisha ukaenda huko katika mji ambako Arafah husimamwa utasimama kwa mujibu wa mwezi upi yaa sheikh?
@ibnsefu9764
@ibnsefu9764 2 года назад
Kulingana na Hizo Hadith. Zote kuhusu Faida, ma,zuri na kila kheri yanayopatikana siku ya Arafah.... SWALI kwa izudin.. ni Arafah ipi iliyokusudiwa.... Ya Mwezi 9 ama siku ya kisimamo cha Arafah
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
Hii ni uhakika hasaa mtu afunge kutokana na,mwezi Wa nchi yake huu ni uhakika sahihi ilobaki ni poyoyo tu
@fundimagari5825
@fundimagari5825 2 месяца назад
Hauwezi kusema kila mtu anafunga arafa kwa mji wake hii sio ramadhani ...funga ya arafa ni tofauti ,kenya hakuna arafa ,wala Tanzania hakuna arafa ,,,arafa ipo saudia ......pekee yake dunia nzima ...tukio lipo saudi .... kung'ang'ania arafa ya kwako katika nchi yako sawa ...labda kisimamo cha arafa kipo mombasa..🙏
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 года назад
Sheikh Mimi nakuelewa Sana lakini naomba utufundishe pia tofauti ya masaa Saudia na Africa Mashariki.
@soudbaraka243
@soudbaraka243 2 года назад
Tofauti ni dakika
@ramadhanimakange9766
@ramadhanimakange9766 2 года назад
Hata kama mda nisawa ww unasemaje? Miandamo ya mwezi uko sawa? Je ninjia gani ww inakufahamisha kuwa mwezi umeandama saudi? Macho, simu au tv?
@soudbaraka243
@soudbaraka243 2 года назад
@@ramadhanimakange9766 eehh brother, nlisoma ivi, mwezi ni moja, jua ni moja na dunia ni moja. Huezi nambia eti mwezi uzunguke dunia na nchi zengine usifike apo nakataa
@davidwalker2144
@davidwalker2144 2 года назад
the Day of Arafat will fall on 8 July 2022 while Eid Al Adha will be celebrated on 9 July 2022
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 года назад
Usihadaiwe na teknolojia Araf ni mwezi 9. Hivi sasa teknolojia inatuwezesha kujuwa ujauzito wa siku 1 au kumtoa kabisa mfuko wa uzazi, je mwanamke akiachwa asikae eda? Hakuna Muungano wa Ibada Arafa ni kitu kingine na kisimamo cha Makka ni kitu kingine ambacho hufanyika mwezi 9, mfumo 3. Vinaweza vikaenda pamoja au kuachana, inategemea kuandama kwa mwezi.
@soudbaraka243
@soudbaraka243 2 года назад
Correct
@soudbaraka243
@soudbaraka243 2 года назад
In sha Allah
@saiphllah
@saiphllah 2 года назад
@@hajihassan5433 Yani unatumia teknolojia kutufahamisha tupinge kutumia teknolojia hiyohiyo katika kuchukua yenye manufaa. Hivi unaelewa unachokifanya??? Na kwa nini unalazimisha uendelee na udhuru juu ya kupishana hali Allah amekwisha uondoa udhuru huo kwako??? Halafu pia teknolojia ni neema miongoni mwa neema za Allah. Je ni matumizi gani ya neema yaliyo bora zaidi ya kuitumia neema hiyo katika njia ya Allah??? Nasikitika kuona mwislam unajifananisha na Abujahl!!
@Adamu972
@Adamu972 2 года назад
Jazakallahu kheir
@muhidinally3753
@muhidinally3753 2 года назад
Wewe ni sheikh mbabaishaji sana.
@amlaaly3975
@amlaaly3975 Год назад
Haa Hee sie toa hoja
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu 2 года назад
hahaha yani hii clip anajikosowa mwenyewe
@omarykibunta4950
@omarykibunta4950 2 года назад
Hapa naona anapuyanga tuuu kaongea kutoka akilini mwake huyooo hayoo yake arafa haiko sehemu yoyote hiyooo hiloo muongo haaaswa yaaaan me nasema Lau ningekuwa na uwezo wa kuwafesi watu Kama Hawa wasiojielewa wallah wangekoma
@ibrahim6581
@ibrahim6581 Год назад
Tafuta ukweli kuhusu ibn bazi na ibn uthaymi ili kujua
@ummusalim1991
@ummusalim1991 2 года назад
Ma shaa Allah
@fredquinbi2389
@fredquinbi2389 Год назад
Mwajichanganya kwa kujifanya wajuaji saaaana Mtume amesema Yaum arafa ww unaleta hoja za tarehe kwani mtume alikua hajui kama kuna tarehe alishindwa kusema mwezi tisa..ivi nikuulize tarehe ya uhuru Kenya ikiwa ni 15 alieko china aweza kusherehekea tarehe 14 au 16 kwa vile hamko sawa?
@akbarosman3892
@akbarosman3892 2 года назад
Wewe shkh kumbe ni sufi mkubwa kazi kupotosha watu huna mpya, utaimba sana arafa itabaki moja tu na mwenye kufunga siku ya arafa atapata msamaha na atakaefunga siku ya idi atapata dhambi na malipo yake mabaya
@kassu9930
@kassu9930 2 года назад
sasa hua wana hoja yao kwamba east africa tunapishana kwa saa moja tu na saudia iweje tuwe na muandamo wetu, sheikh tupe maelezo ktk hili
@akbarosman3892
@akbarosman3892 2 года назад
Hakuna tafauti hata dakika moja baina yetu na saudia arabia, mashehe uchwara wanapotosha watu hao
@suleymanmohd3418
@suleymanmohd3418 2 года назад
Hatuendeshwi na masaa,tunaendeshwa na muandamo wa mwezi. Kabla ya masaa kuja mtume alikuwa anatumia saa zipi kutofautisha kama mwEzi huu ni shaabani na huu ni Dhulhijja.
@akbarosman3892
@akbarosman3892 2 года назад
Hatujafautiana hata dakika sisi na saudia
@akbarosman3892
@akbarosman3892 2 года назад
@@suleymanmohd3418 hivi mnaongelea mwandamo gani au wa nchi gani, maana mwezi wa eid el hajj uliandama kenya bakwata ya tanzania ikakataa au mnataka kila nchi iwe na mwezi wake?
@suleymanmohd3418
@suleymanmohd3418 2 года назад
@@akbarosman3892 Kwahyo wale maswahaba wawili waliokutana na kuambizana kuhusiana na mwezi na mmoja kusema "Mimi katika mji wangu haujaandama na siwezi kufungulia Kwa sababu utaratibu huu ndio aliotuachia mtume" Alikuwa ana maanisha nini kuzungumza vile....,!!!? (na kumbuka pia katika mjadala wao walikubaliana kila mtu akafuata mwandamo wa mji wake).
@HashimAli-uh6bo
@HashimAli-uh6bo 2 года назад
Wacha kupotosha ummah wa kislamu hakuna Arafa Mbili arafa ni moja
@soudbaraka243
@soudbaraka243 2 года назад
Mashallah
@suleymanmohd3418
@suleymanmohd3418 2 года назад
Arafa ipi unayo izungumzia wew,kisimamo au siku...,!!?
@talibanalshabab3680
@talibanalshabab3680 2 года назад
Ktk maneno yako naona hakuna dalili yoyote
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 года назад
Lete dalili zako .
@TheAmadoni
@TheAmadoni 2 года назад
Ustadh kuna darsa ulitoa ukasema Saudia kuna mda ufunga kwa plan zao tu ila hawafwati mwezi, twaomba dalili. Ukasema sehem wanayo angalia mwezi kuna jabali mbele limewaziba, twaomba dalili.
@binumeir2873
@binumeir2873 2 года назад
Tafuta jambo la kukunufaisha,epuka ushindani
@officialouietunechi
@officialouietunechi 2 года назад
wacheni kumtupia maneno mabaya ulamaa, ni bora kufanya utafiti mwenyewe na usomee ili upate kuelewa kama watu wanafunga tarehe 29 dhul hija ama watu wanafunga kwasababu ya msimamo arafa
@maawiasaidbakar1323
@maawiasaidbakar1323 2 года назад
Swadakta shekh kwa kutujuza
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy] Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 года назад
@@abubakarmuhammadsaid3244 Tueleze Ni fatwa ya sheikh Gani kuwa Arafa Ni ya Saudia Pekee? Hakuna hata sheikh mmoja alioko huko Saudia alisema hivyo ulivyo SEMA wewe. Mtu alioko Asia ataipata vipi hiyo siku ya Arafa? Maana mchana wa Saudia Ni magharibi ya Asia ( Australia,Japan ,Korea, na kwengineko) . Hebu Tueleze kabla ya vyombo vya mawasiliano waislamu walikuwa wakienda Kwa muandamo wa mwezi au walikuwa wakifuata Saudia? Tafadhali Lete hoja zako.
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
@@hassanalhussein3982 Ni Fatwa ya Sheikh Mtume Swallallaahu alayhi wasallam.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 года назад
@@abubakarmuhammadsaid3244 Mbona hukujibu suala langu kuhusu walioko Asia ? Arafa wanaipata vipi? Hali yakuwa Kwao Ni magharibi a Saudia Ni mchana? Hao masheikh kina Alfauzan na wengineo hawakuzielewa hadith hizo Ila Ni wewe ndio ulivyo zielewa. Nenda kasomeshwe bwana usitupoteze wakati.
@soudbaraka243
@soudbaraka243 2 года назад
@@hassanalhussein3982 Sheikh yaumul arafa ni cku mahujaj wako kiwanja cha arafa and its the second last step of hijja. Bila kuwa apo bac hija yako INA mushkil bro. Wakishaondoka apo kiwanjani jioni bac that day of arafa khalas in the whole world brother. Be aware ila zaidi soma mwenyewe vzr vp watu huhiji. Thnx
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy] Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.
@halimahussein7223
@halimahussein7223 2 года назад
Baarakallahu akhi arafa ni moja tu hakun arafa mbili tufungeni siku ya arafa sio mwezi Tisa hadithi ziko sa hihi kabisa
@hajjirock853
@hajjirock853 2 года назад
Hio siku ya Arafa hua ni mwezi ngapi?
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
@@hajjirock853 Wewe fuata hadithi za Mtume Swallallaahu alayhi wasallam. SIKU ya ARAFA. Hayo mengine unataka kuleta shubha tu.
@shafiimwehemba4549
@shafiimwehemba4549 2 года назад
@@abubakarmuhammadsaid3244 Eti hayo mengine unataka kuleta shubha; na kama arafa sio mwezi tisa je utaifanya siku yoyote uipendayo?
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
@@shafiimwehemba4549 Mimi nafuata Hadithi za Mtume Swallallaahu alayhi wasallam, sifuati shubha zako wala shehe wako.
@mashallaah7290
@mashallaah7290 2 года назад
Allaah awaongoze muache twari na Samai miskitini 🤣🤣🤣
@hassancharo1496
@hassancharo1496 2 года назад
KILA MWAKA UBISHI ULE ULE ARAFA NI LINI hakuna jipya
@user-ke3so3wl6e
@user-ke3so3wl6e 2 месяца назад
Wallahi kweli tumechoka
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Hizi calendar za kutofautiana siku anazitengeneza nani?
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 Год назад
Wasuudi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 года назад
ARAFA NI MOJA TU!! HAKUNA ARAFA 2 HII YA PILI NI ZENU WATU WA BID'A NA WASHIRIKA WENU WA KISHIA!!
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 2 года назад
Hujamuelewa, Msikilizee tenaa
@jiongezeemaarifa1496
@jiongezeemaarifa1496 2 года назад
Arafa ni moja hakuna arafa mbili ni mwezi ngapi? Wenye Arafa ni wale waliopo pale Makka Saudia walioko mbali na hapo wao hawana arafa wao wanatakiwa wafunge sike ile ambayo ni mwezi 9 Dhulhijja sasa mwezi 9 Dhulhijja haiwezi kwenda sambamba dunia nzima kila sehemu wataangalia muandamo wao wa mwezi mfano kuna sehememu huko asia wakati ule kule Saudia wanasimama arafa kwao wao ni Magharibi! Hawa wataweza mufunga siku ile direct sambamba na kisimamo cha arafa? Jibu: hawawezi swali:Wao wafunge lini? Jibu: Wafunge mwezi 9 Dhulhijjah.
@yussufisaack7436
@yussufisaack7436 2 года назад
Hiyo Arafa moja mungu amepanga ww upate wamarekani waislamu wakose? Kwa sababu ukisema Arafa ni moja usisahau mahujaj wakiwa Arafa wamerekani kwako ni usiku,kwa hivy Arafa yako kama so tareh Tisa watafunga vp na kwao ni usiku sisi tukipata Arafa na mahujaj?Acheni ubishi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Hakuna arafa 2 acha upumbavu wewe watu wamesoma wewe ndio unachekesha na mamiwani yako makubwa kama site mirror za mabasi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 года назад
MANENO YAKO HAKIKA YANAUDHI NA UNAKUSUDIA KUWAPOTEZA WATU!!
@abuubashiri474
@abuubashiri474 2 года назад
Acha ujinga
@mussasalum4019
@mussasalum4019 2 года назад
Acha kupotosha waisilamu we khalafu
@binumeir2873
@binumeir2873 2 года назад
Waelekeze wewe ambae si khalafu
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
@@binumeir2873 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy] Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.
@mohamedakberali164
@mohamedakberali164 2 года назад
Enda usome usitukane watu tu
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
@@mohamedakberali164 Hizo Hadithi za Mtume ndio matusi zinazotukana watu!?
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 года назад
@@abubakarmuhammadsaid3244 Hizo hadith hazikuonekana na wanazuoni wote umeziona wewe? Tuletee fatwa moja Kwa sheikh yeyote wa Saudia alisema kuwa Arafa Ni Saudia Pekee na watu lazima wafuate Saudia. Tafadhali usisite
Далее
JE NI LAZMA KULIPA SWALA?
20:54
Просмотров 1,2 тыс.
MAMBO GANI UTAFANYA SIKU YA ARAFA
6:11
Просмотров 13 тыс.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,9 млн
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
Othman Maalim- Baina Ya Khofu Na Matarajio Maishani
48:46
30 YA MASHAHIDI WA KARBALA
39:55
Просмотров 86
HAWA NDIO WENYE AKILI
44:17
Просмотров 1,5 тыс.
SUNNAH ZA NDANI YA SWALA 8
22:03
Просмотров 468