Тёмный
No video :(

NIKO TAYARI HATA AWE NA WAKE KUMI / HAKUNA MWANAMME MWENYE MKE MOJA - JOHARI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 3 месяца назад
Johari naomba nikuoe mimi, niko Kenya
@funnymohammed1494
@funnymohammed1494 2 года назад
Johari umelewa my dear
@wilsonmikate7570
@wilsonmikate7570 2 года назад
Ukiokoka utajua kama inawezekana kuwa na mke/mme mmoja cc tumeweza,ndani ya YESU.
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 2 года назад
🙄🙄
@revinaedward6616
@revinaedward6616 2 года назад
Amina
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 2 года назад
Ameen kabisa
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
N kwel wpo n waamnfu mpka mbngnun.km ukikutna n wahun waongo bc n hao.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 года назад
Kuna wenzako huko wanasema haiwezeni lakini Mimi najua inawezekana .
@mouzaseif1099
@mouzaseif1099 2 года назад
Wapo kabisa wenye mwanamke 1
@kitomarijames3507
@kitomarijames3507 2 года назад
Ndio
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 2 года назад
Dada kujichubua uliharibu kabisa, nakumbuka rangi yako ya zamani nyeusi ya kuteleza kabia kama ya kitusi hivi yaani Mungu alikuwa amekupendelea lakini kwa mchubuko huo siyo kabisa, kama inawezekana hachana na vipodozi hivyo We ni mzuri tu kwa asili. Wanaume tunaojitambua kwetu sisi weusi ndo dili na tabia nzuri basi. Hata kama ni milioni hamsini maali, wazazi watapata!
@roswitamkinga3697
@roswitamkinga3697 2 года назад
Johar kama mm kbs sipend mwanaume muongo Bora uwe wazi
@MrNdanguza
@MrNdanguza 2 года назад
Wafrika ndoo wanapenda wanawake wengi ndoo sababu kubwa tunakufa kwa ukimwi sana tunapenda mbunya kwa kiwango kikubwa ,wazungu anaweza kua na pesa yote lakini kazingatia mpenzi mmja bila kucheat,wafrika nimatatizo wanapenda para sana.
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 года назад
Huu ukimwi umekuja miaka hii tu tamgia zamani mwanamme hawi na mke mmoja kubali tu dada yangu usiwe na jazba
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 года назад
Kwan ww. Mzungu. Ni kufate ww mm sipend mtu mwenye wake wengi pia ata mm chepuka sipend
@aminahassan3588
@aminahassan3588 2 года назад
Nahii inatokana na wanawake wenyewe tunavowapa vichwa kuwa oo ngumu mwanamme kuwa na mtu mmoja wanatumia km advantage
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 года назад
Acha uongo wazungu nao wana toka nje ya ndoa sana tunao tunawaona sema we wenzetu niwasiri na hawatunguzi upendo kwa mkewe sio kama wa africa anakusalit mpaka unagundua.
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 года назад
@@joharishabani2893 ukiukataa ukewenza wa ndani utaupata wa nje mwanaume daima hawezi kukaa na mke mmoja dada huwezi subiri michepuko kwa wingi
@kisalinnko2690
@kisalinnko2690 2 года назад
Uko vizuri johari kwenye sanaa ya uigizaji! rudi kwenye fani mama!
@eliaikawilhelm3541
@eliaikawilhelm3541 2 года назад
Johar hapa umepiga k vant kabsa ndo ukaenda sio kwa kuchachuka hukooo😂😂😂😂😂
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 2 года назад
Kizuri hili mwanmke
@tumpeernest9690
@tumpeernest9690 2 года назад
Amelewa afu
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 2 года назад
Nahisi anapombekicwani🙂
@happyelias9465
@happyelias9465 2 года назад
Acha kuchanganya mbuzi na kondoo, wanaume wenye mke mmoja na hacheat wapo Ila labda ni wewe hujawaona usiwajumlishe
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
Wewe hayupo sisi ndio wanaume tunajijua ni kweli hayupo
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 2 года назад
Mwanaume wa mwanamke mmoja kama yupo ni tahira au kafanyiwa limbwata ila hakuna. Hata mme wako anakuheshmu na kukupenda ila hauko peke yako. Na usimfuatilie, hata padri hana mwanamke mmoja japo ....
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 года назад
Wapo sema wengi ndio wanawake wengi Ila walitulia wapo hawana utahaira na mafanikio mazuri wanayo amani na upendo, familia njema. Na wapo walikuwa na wanawake wengi Zamani wameacha hamna hakuna faida na wanaendelea na familia zao kwa upendo. Na wapo Akina nyie ambao mtafia vifuani mwa wanawake.
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
@@sarahgaula2220 kama wewe ni mkweli nitajie ni mtume yupi au nabii yupi alikuwa na mke mmoja. Mmoja ni kwasababu au huna uwezo wa nguvu za kiume au uwezo wa kifedha wa kuwahudumia basi
@kilapilo.kilapilo5292
@kilapilo.kilapilo5292 2 года назад
Asante sanaa Happy Elias kwa kuwa mkweli na muwazi zaidi. Wanaume wenye mke mmoja tupo wengi tuuu, mimi hapa Ni mmojawapo. (Na ki-pekee sana ninamshukuru Mungu sana kwa kunitetea na kunitoa na hayo maroho ya uharibifu)! 👉Tubarikiwe sana wanaume wote wenye mke mmoja tuu.
@buhagamaombi5287
@buhagamaombi5287 2 года назад
Umetisha a
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 2 года назад
Ni jisi tulivyo jiwekea sisi tu! Ila mapenzi ya kwr yapo na kama Kuna mapenzi ya kwr watu wanatulia Sana asukuambie mtu hakuna mwanamke anaye lidhika mwanaume wake kuwa na mwanamke mwingn hakuna ila watu wanatulia kutokana na TRUE LOVE that it
@esthermhavile1566
@esthermhavile1566 2 года назад
Very right👌👌👌👌
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 года назад
Kwa kweli hata Mimi napenda niambiwe ukweli
@laymashabani832
@laymashabani832 2 года назад
Anamapozi mazur akiwa kalewa 🤣🤣
@funnymohammed1494
@funnymohammed1494 2 года назад
Kwanini umuhoji akiwa amelewa hujamtendea haki aisee
@esterpaul3146
@esterpaul3146 2 года назад
Johari amelewa jamani
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 2 года назад
Mbona amelewa sasa
@nanaritho6850
@nanaritho6850 2 года назад
Huyu anastresss
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 2 года назад
Kaenda interview akiwa mlevi jamani
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
Nilikua natafuta comment kama hii,hata mimi naona kama kalewa hivi.
@carinamatt1031
@carinamatt1031 2 года назад
Hata mimi nimeona
@eliaikawilhelm3541
@eliaikawilhelm3541 2 года назад
Duhhh mi mwenyewe naona amepiga ka k vant kabsa huyuuu😂😂😂😂😂
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 года назад
Johari amejivua nguo mwenyew
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 года назад
dada mrembo sana
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 года назад
Tatzo ustaaa unawadanganya..
@protaspeter5371
@protaspeter5371 2 года назад
Ustaa bongo, tofautisha kati ya ustaa na kujulikana wasanii wengi wanajulikana ila sio mastaa, star hawez kua johari tusirahisishe
@ndikumasabodiegovevo9091
@ndikumasabodiegovevo9091 2 года назад
Mtaishia kuchezewa tuuuuuuuuu
@neemazee1864
@neemazee1864 2 года назад
Ushuzy 2 m2 upo tilalila unaongea km unabakwa
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 2 года назад
Wakati mabinti waliringa SN sahiz uzeeni maneno kuntuuuuu atajicheki uzeee huuu wapo na hapendwe na nauhakika wanaume wengi ujanani mwake walimpenda wamuoe atakuwa alijisikia sahiz namwona tuu kwa interview hapo anastress SN MUNGU AMSAIDIE KWA KWELI
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 года назад
Mtu akilewa husema kweli.. Lkn kwa nn wamhoji akiwa kalewa? Pombe siyo rafiki sana, au anaigiza kulewa!! Usanii uko damuni😁
@nurukisigo3294
@nurukisigo3294 2 года назад
Hahahhaha
@2bu832
@2bu832 2 года назад
OG.jitahidini.kidogo.mnapo ongea.mjibee.yani...kumbuka.unapokwenda.please. Zini..
@mwaikukakasambwike8628
@mwaikukakasambwike8628 2 года назад
Nileteen huyo jamani
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 2 года назад
Asikwambie mtututuuu bia tamu
@arafaomari1832
@arafaomari1832 2 года назад
Johar kalewa duu
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 2 года назад
Ukweli ni tatizo ..na ukweli upo ..hakuna mwanaume mwenye mwanake mmoja anatatizo amini hivyo..
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
Wapo wanaamua kujiheshimu maskini za mungu lakini wenye pesa ndio hivo tumeambiwa matajiri kuingia pepini ni sawa na ngamia apenye kwenye tundu la sindano
@felixmhando1733
@felixmhando1733 2 года назад
@@sabihaibrahim143 umeongea ukweli. Hongera kwako
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 2 года назад
Alaf johar amelewa na anavyopenda pombe
@user-rz1pc1be7x
@user-rz1pc1be7x 2 года назад
Wapo wanaume wenye wametulia hawapendi ruka ruka , na ukiona mwanaume anatoka inje lbda ww mke humtimizii ,,,na hupendi mumeo,,
@Userog254
@Userog254 2 года назад
Wewee wanaume sifa yao tamaa hata umpe kila unachohisi kitamfaa, Bd atatamani mtu mwanamke mwingine, na ww ukiwa km binadamu hujakamilika.
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 2 года назад
Kwa nini anaonekana vibaya huyu binti alikuwa mcheza sanaa mzuri sana, kulikoni?
@rosemarry2020
@rosemarry2020 2 года назад
Rosemary huyo ni pombe inamharibu anakunywa sana
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 2 года назад
Vipodozi vya kujivhubua
@thatboywithakeyboard9292
@thatboywithakeyboard9292 2 года назад
Shit Recognize Shit... You Just Met strange Mens as You.... its never the same to all people
@rafikingango
@rafikingango 2 года назад
Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cgb-mXBbADk.html
@naija6679
@naija6679 2 года назад
MAMBO 5 YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA, *# DAWA YA KANSA YA AINA YOYOTE m.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ZgfBwGAJlrQ.html
@drmussa1220
@drmussa1220 2 года назад
PETE ZA KUVUTA UTAJIRI.MKUBWA MALI PAMOJA NA MVUTO .*# m.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ncMkBDq6xNQ.html
@drmussa1220
@drmussa1220 2 года назад
PETE ZA KUVUTA UTAJIRI.MKUBWA MALI PAMOJA NA MVUTO .*# m.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ncMkBDq6xNQ.html
Далее
Shakira - Hips Don't Lie - Live Walmart Soundcheck
6:16
Паук
01:01
Просмотров 2,8 млн
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Просмотров 11 млн
La Tierra Robó El Anillo De Saturno #planetballs
00:14
Johari Kafunguka mpenzi wake mpya ni mzungu..?
3:08
Просмотров 36 тыс.
MAMA B KAWACHANA WAFANTAKAZI ZA NDANI UARABUNI
13:00
Просмотров 143 тыс.