Тёмный

Nilimkatalia Mwijaku Kuja Kumuona Profesa Jay Kitandani 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Mke wa Profesa Jay akieleza alivyomzuia Mwijaku kwenda kumuona mumewe wakati akiwa mahututi kitandani #JayAnakuzimia

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@dismaspascal6198
@dismaspascal6198 9 месяцев назад
Linyani kweli.toa hela kwa mgonjwa Kenge wew..dawa yako doto
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 11 месяцев назад
Yaani Mwijaku hadi wanawake wanajua kuwa hana maana
@yonathansimon7147
@yonathansimon7147 11 месяцев назад
Shida ya mwijaku anataka kutrend hata kwenye vitu visivyohitaji mambo yake.
@hanifamziray277
@hanifamziray277 11 месяцев назад
Kelele na sifa alafu angeleta umbea clouds
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 11 месяцев назад
Mwijaku shida yake akili ni kama za mtoto jambo silias anachukulia utan utan tuu na kimbea zaid,,inabid abadilike mwijaku kelel nying uyu mke wa pr j anaakili nying kinoma kajibu vizur ila moja kwa moja hakutaka mwijaku aende
@QueenGabriel-ys7eh
@QueenGabriel-ys7eh 11 месяцев назад
Kila mtu kashajua mwijaku hana akili aisee
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 11 месяцев назад
huyo mwijaku afya ya akili kichwa chake kilivurugika alipopata ajali, ile cyo akili ya mtu wa kawaida
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 11 месяцев назад
Mwijaku pumbavu sana, halina akili😢
@afisamipango005
@afisamipango005 11 месяцев назад
Eti Mwijaku ana kelele nyingi😂😂
@robertanold6846
@robertanold6846 11 месяцев назад
Mwijaku una makelele bhna 😂😂😂
@nakilingwembele9504
@nakilingwembele9504 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂mwijaku
Далее