Тёмный

''NILISOMA NA DKT MPANGO GENIUS WA HESABU TOKA SHULE YA MSINGI UPOLE TANGU ZAMANI” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

kutoka kijijini Muyama Wilayani buhigwe alikosoma shule ya Msingi dkt Philip Mpango Makamu wa Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,nakukutanisha na mzee ambae alisoma Darasa moja na dkt Mpango Hadi walipohitimu pamoja darasa la Saba mwaka 1970 huku mzee huyu alikumbuka umahiri mzuri alikuanao Dkt Mpango katikati Hesabu hadi kuitwa Genius wa Hesabu.

Опубликовано:

 

29 мар 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@nichorausruhanyula3801
@nichorausruhanyula3801 3 года назад
Tuliofundishwa na huyu mwalim yassin mnipe like zangu jamaan
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 года назад
Kuna siku mtu ataniongelea kama hivyo Inshallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 года назад
Huo udogo kweli ni watanzania jaman mhhhhh serikali iweke barabara safi kwa makamo wetu waraisi philip izdor mpango 👌👌👌👌
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 года назад
Kweli mwalimu yasin huyo Millard Ayo mmetisha Sana nyumbani muyama hapo.
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 3 года назад
Hiyo shule tunaomba ikarabatiwe ili kulinda heshima ya Mh.Makamu wa Rais
@rahelmasiga1503
@rahelmasiga1503 3 года назад
Nina Imani mh mpango atairekebisha shule yake
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 3 года назад
Hakuna lolote apo,kwa kitengo alichokuwa nacho iyo shule angetengeneza kitambo,haina aja ya kufurahia. Kidogo ulichonacho kula na nDG zako.
@eddahmwasiposya1146
@eddahmwasiposya1146 3 года назад
Iyo shule uiboreshe sasa Mpango
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 года назад
Mwende na zenji sasa kwakina samia
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
Kweli😁😁
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 года назад
Kiongozi anatoka mbali sana
@michaelkilele2461
@michaelkilele2461 3 года назад
Jamani nimefulahi sana kumuona mwalimu wangu Yasini kahungulu wa Shule ya msingi Muyama akiwa anahojiwa
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 3 года назад
Hiyo shule inahitaji ukarabati kabisa.
@ndigimunaziri3575
@ndigimunaziri3575 3 года назад
Iki karabatiwa tundu atapiga Kelele ngoma ya kisukuma
@andrewmwehela8687
@andrewmwehela8687 2 года назад
Kweli namimi nimefurahi kumuona mwalimu Wangu YASSINI KUHUNGULU kupitia RU-vid.
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 года назад
Mpango jenga shule acha uzushi
@ashamohamed5031
@ashamohamed5031 3 года назад
Nipewe lake jomn dijawahi pata nimekuwa wa kwanza hata 100 tu jmn
@samjay9895
@samjay9895 3 года назад
😂😂 yangu hyo ya kwanza,,,naomb zawad yngu
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
😃😃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️Ngoja na mm nizitafute link 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@alawiali3475
@alawiali3475 3 года назад
Mukishapewa hizo like zinawasaidia nini ?
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 3 года назад
Tatizo mnaiga sauti ya Miladi
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 3 года назад
Shule iboreshwe sasa maana imechoka sana kwa heshima ya makamu wa Raisi kuna vitu lazima vibadilike,Lami,shule,sijajua kama wana zahanati ni muhimu.
@ndigimunaziri3575
@ndigimunaziri3575 3 года назад
Shule ikiboreshwa tundu atapiga kelele
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 3 года назад
@@ndigimunaziri3575 uzuri nchi kama nchi inafanya yake wala haisikilizi wapiga kelele na hata cku wakiwasikiliza kama kuna hoja ya msingi inachukuliwa,inafanyiwa kazi na wala hawatatangaza kuwa hili limefanyika kwa sababu ya hoja ya tundulisu period#kazi inaendelea#ukizingua nakuzingua😂😂😂#SSH Madame President 🔨📌
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
Waaaa ni kimbo before nizaliwe 1990😜😜
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 3 года назад
Muha uyu
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 года назад
Mzalendo kibao!!!!
@salomehashim2009
@salomehashim2009 3 года назад
Mbona wanafanana namipango
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
😂😂😂😂🤣
@sethchupaza8599
@sethchupaza8599 3 года назад
Wanakg wanafanana
Далее
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1,3 млн
ALIKIBA ALIVYOMSUPRISE JAYMELODY KWENYE SHOW YAKE
3:15
What Creates Consciousness?
45:45
Просмотров 88 тыс.
BREAKING: BIDEN AJITOA KUGOMBEA URAIS MAREKANI
1:46
Просмотров 3,3 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 192 тыс.