Тёмный

"NILITEKWA URUSI SABABU YA KUWA NA PESA NYINGI" - DR. LUIS SHIKA ASIMULIA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 699 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 811   
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 6 лет назад
Mungu wangu. Umenitoa machozi Dr. Shika roho inaniuma Sana. Pole Sana. Mungu akusaidie upate pesa zako zote utimize Marengo yako .mungu anakupenda Sana. Kwa hiyo atakusaidia sana
@deusmadel3283
@deusmadel3283 6 лет назад
Wanaokudharau, sku moja watakusalimia kwa heshima. Ukweli utajulikana tu... but huyu baba yuko vizuri sana. Big_up kwake Atainuliwa. Mungu kaamua kumfungulia milango kwa njia hiyo.
@irenelyimo3215
@irenelyimo3215 6 лет назад
Pole sana mzee wetu nimejifunza kitu kupitia ww kwamba usimzarau mtu kwa muonekano wake
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 6 лет назад
Pole sana Dr Shika nimekuelewa sana mzee. Wewe ni mtu mwenye busara na hekima tofauti na wanavyokuelewa kimtazamo.
@yaledimlawa9108
@yaledimlawa9108 6 лет назад
Sawa mzee mungu akusimamie sana!!!! Daaaaaa!!! aya bana duuuu!!!!!
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 6 лет назад
Pole Sana mungu akupe maisha marefu zaidi hapa duniani Amina
@ckukuu8404
@ckukuu8404 6 лет назад
Woooi jamani duniani kuna watu wabaya mi mpka mwili umekauka...pole sana Mzee Allah atakusimamia kila kitu utokea kwa sababu...+254 Mombasa
@samkabaysa6487
@samkabaysa6487 6 лет назад
Dr. Shika yaonyesha ni mtu makini sana, na msomi mzuri. Pongezi kwako mheshimiwa.
@kato_tz
@kato_tz 6 лет назад
Asante Milard Ayo, Jana nilisema jamani mwacheni mzee afunguke ana mengi ya kushare. Maskini mpaka chozi limenitoka kwa kweli utajiri wafaa nini kama maisha yako yko hatarini. Baadhi tulisema kuna vitu behind the scene sio bure. Mnaona sasa. So Mzee ameona maisha ya kukaa amejificha hayatamsaidia na angeweza pengine hata kufa bila hata kujulikana. Nakumbuka kamanda wa Police Dar es salaam Mambosasa alimkebehi huyu Mzee kwamba mtu mwenye kavaa ndala hela atatoa wapi, Hii Kauli ilitupa shida tulio wengi. Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Mzee yuko hai na Afya yake itarejea tu. Amefanya jambo la maana sana kusema ukweli. Mi nahisi bado anayo mengi mpeni tu Kipindi afunguke na kadiri anavofunguka ndivyo chances za kusurvive zinaongezeka.
@gugutachief2950
@gugutachief2950 6 лет назад
Pole mzee yote maisha...mungu ndo muweza wa kila jambo
@lucylavender2584
@lucylavender2584 6 лет назад
Ooh my God ,mungu akusaidie buda
@abdallahhemed3527
@abdallahhemed3527 6 лет назад
pole Mzee tumekuelewa.Allah atakulipa kwa hizi zulma walizo kufanyia.Sasa nyinyi muliomzalau mumeona MTU alivyokuwa yuko lakini,je MTU ambae ana akili a naweza kuwa na kumbukumbu kiasi hiki?kutokan na hii mitihani aliyopita ndio imuathiri kisakolojia lakini bado anajitambua
@yohanamartin9012
@yohanamartin9012 6 лет назад
Abdallah Hemed
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Abdallah Hemed Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@elymollel
@elymollel 6 лет назад
This man is smart we shouldn't underate him. Kama mtu nk mwongo maelezo yake huwa hujulikana tu.
@leonardqamunga2141
@leonardqamunga2141 6 лет назад
Millard uko vzr na utafika mbali sanaaaaaaaa kwa kazi nzur unayoifanya
@fababindawood8363
@fababindawood8363 6 лет назад
nimemuelewa sana Dr Millard Ayo msaidiye huyuu mzee
@nyachotiokari6626
@nyachotiokari6626 5 лет назад
Poleni mzee,mungu anakupenda sana!.Usije ukakoma kumuomba nakusii sana!.Hizi nchi za mbali jameni!.Live marekani,but hiyo story yako imenigusa sana!.
@loveness6732
@loveness6732 6 лет назад
Dah! Nmeshindwa kumaliza hii video.. pole sana Babu. Somo la kujifunza lipo. Kweli mkataa kwao mtumwa!
@mathayomatondo4024
@mathayomatondo4024 6 лет назад
Millard MPE hela huyu mzee umetengeneza pesa nyingi sana mungu anakuona ujue
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Mathayo Matondo Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@youngmau923
@youngmau923 6 лет назад
mzee yuko makini kwanza anajua kujieleza pili anajua kunyoosha maelezo so good mzee
@samuelmweipongwe140
@samuelmweipongwe140 6 лет назад
Nampa pole sana Huyu mzee kwa yote yaliyomkuta lakini pia nampongeza kwa kupambana na hali yake kisawasawa, hakika ni ngumu kuamini lakini ni nyepesi kuitafakari, mladi yupo nyumbani basi mengine tutayaona, ila anikumbuke siku kampuni yake ikitengemaa,
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 лет назад
warusu kunya ngisi zenu mnatuita ssi nyani mfyuuu pole mzee kesho Allah anawangoja kwa hamu snaa wallah pole snaaa😢😢😢😢
@shadrackmnjelu5285
@shadrackmnjelu5285 6 лет назад
Mzeeeeee ukooo vzriiiii kbsaaa yaan
@isackhnano3771
@isackhnano3771 6 лет назад
Pole Mzee wang "900 itapendeza" mungu yupo Mzee wang
@godfreyphilip2660
@godfreyphilip2660 6 лет назад
Kwanini hiyo knowledge anajua yeye sana this man get more than story
@timothwaitara4458
@timothwaitara4458 6 лет назад
mzeee huyo anakili sana hata kujielezea anajua kweli huyu ni doctor of philosophy
@yohanamartin9012
@yohanamartin9012 6 лет назад
Timoth Waitara o;in
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@fatmanasornasor9047
@fatmanasornasor9047 5 лет назад
BC akuoe
@bbakzuvciIii
@bbakzuvciIii 4 года назад
SEMA KAMA HAJAMCHAGUA BWANA YESU KRISTO IT IS NOTHINGG...😪😫😥
@stellanyaonge285
@stellanyaonge285 4 года назад
@@bbakzuvciIii mjinga tu wew
@immaruzige1845
@immaruzige1845 6 лет назад
Huyu mzee kiukweli nimetokea kumuelewa sanaaaa
@mansheshe8258
@mansheshe8258 6 лет назад
Wewe Kama Mimi vile
@winniechoyo4072
@winniechoyo4072 6 лет назад
IMANI ELIAZARY mi pia
@danielpatrickrobert125
@danielpatrickrobert125 6 лет назад
Huyu mzee inaonekana alikuwa na pes , ila sasa mambo sio baada ya mambo fulani aliyopitia
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@abuuyahya8864
@abuuyahya8864 6 лет назад
Imma Ruzige huyu Mzee muongo
@selinamashoko2490
@selinamashoko2490 6 лет назад
Msomi ni msomi tu....maelekezo yake yanadhihirisha kwamba kitaaluma yuko juu sana.Phd in science si muziki wa mchezo.Mh.Magufuli,mpe huyu msomi aliyebobea ajira hapo muhimbili,kuna upungufu mkubwa sana wa watu Kama hawa.Yupo smart sana kichwani huyu Dr. Pole sana Mzee wangu,Mungu akusaidie!!
@deogratiusomary4216
@deogratiusomary4216 6 лет назад
Pole sana docter kumbe umepitia mitihani migum sana
@willyjoseph6359
@willyjoseph6359 4 года назад
God bless akupe makao mema huko ulipo
@perfecthilarymbewa5968
@perfecthilarymbewa5968 6 лет назад
mpen kipindi clauds jamaa ana ongea vitu vya kweli kabisa story yake ina sisimua sana naamini walisikiliza watanzania wata jifunza mengi sana
@issamakoba1608
@issamakoba1608 6 лет назад
hilary mbewa
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@hancy_boy255
@hancy_boy255 4 года назад
#makini umetisha Sana mzee baba good for life
@blasskameta944
@blasskameta944 4 года назад
Daaah R.I.P Dr shika pumzika kwa Amani
@benedictmsami4966
@benedictmsami4966 6 лет назад
ingekuwa movie ingependeza
@youngdady7901
@youngdady7901 6 лет назад
big up sana unahitaji kujiriwa serikalin
@masakakambesha4521
@masakakambesha4521 6 лет назад
So smart kichwani
@mohamedkitwiko3675
@mohamedkitwiko3675 6 месяцев назад
Umepitia magumu sana mzee mungu akulaze pema
@Kefafundi5
@Kefafundi5 6 месяцев назад
😂😂😂 kafa
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 6 лет назад
Wow, what an amazing story...
@breymbasa8647
@breymbasa8647 6 лет назад
mungu anakuongoza
@ARCHANDRAMUMBUNGU
@ARCHANDRAMUMBUNGU 6 лет назад
KWANZA MAGUFULI MWAJILI HUYU MZEE PALE MUHIMBILI. PILI TUSIMDHARAU MTU TUSIYE MJUA TATU VYOMBO VYA HABARI MCHANGIENI HUYU MZEE MAANA MNAPATA PESA NYINGI KUPITIA YEYE.
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Ebwana mambo vipi Ningependa kusubscrube kwenye channel yako ila uko-SUBSCRIBE kwangu kwenye channel yangu ntafanya Hivyo kwako.
@ARCHANDRAMUMBUNGU
@ARCHANDRAMUMBUNGU 6 лет назад
Sabas vLogs POA FANYA TU. HAKUNA WASI BRO
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
MBINGA TV Pamoja mkubwa.Tumesomana
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Managonga SUBSCRIBE kwako tayari.
@demetrykisiya1396
@demetrykisiya1396 6 лет назад
Daah
@donmp
@donmp 6 лет назад
This man is something else..
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 лет назад
Ndugu zangu PhD ya MEDICAL SCIENCE sio ya kipole pole, Kama kusoma inabidi uwe Kichwa Sana Yaan, Ifike Time Tumpe HESHIMA huyu Mzee Amesoma Sana. He's very Innocent, Obedient, Smart kichwani.. RESPECT ndio kitu cha kumpa huyu Mzee Msifanye TOYI
@shadrackmnjelu5285
@shadrackmnjelu5285 6 лет назад
Benson Frank kweeeliiii kaka uyuuuu mzeeee kiboko
@adrofgwahula7294
@adrofgwahula7294 6 лет назад
Benson Frank kwer
@kassimdiscover7730
@kassimdiscover7730 6 лет назад
Dahhh nimemkubali huyu Mzee iinauma sana na itabid aangaliwwe jaman PhD sio mchezo mmchezo
@obedisaruni395
@obedisaruni395 6 лет назад
good broo kwakumuelew mzee
@prudencepflanzl576
@prudencepflanzl576 6 лет назад
Benson Frank Tell Them,,
@leahhassan4254
@leahhassan4254 6 лет назад
duh! aisee inasikitisha sana
@zainabbakari3603
@zainabbakari3603 6 лет назад
Tusizarau watu tusio wajua kwa muonekano wao tuu sio vzr jaman dah mzee yuko tmamu tuu pole babu wng
@kyaro5945
@kyaro5945 6 лет назад
Zainab Bakari polis walimdharau
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Assalamualaikum! Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@davidklm123
@davidklm123 6 лет назад
Tunaitwa nyani kilamaala, ata na india wanatuita nao nyani kipindi wao ni nyani weusi mno zaidi yetu... ila chaajabu South Africa wa india wapo Bungeni na hapa kwetu Tanzania wapo Bungeni pia tena uki cheki wapo kwenye u spiker wa Bunge South Africa na Tanzania pia. Yaani hii tabia yetu sisi weusi wakiafrica kuchukiana nakugombezana kati yetu yaani Mungu atuurumiye sana. Cheki unyama wa mzungu sasa hadi walimkata vidole. Nyinyi wakujipendekeza kwa wazungu nawapa pole.
@clarawilliam8547
@clarawilliam8547 6 лет назад
Mzee Mimi nimekuelewa sanaaaa. Pole sana Kwa yote but I believe this God is going to do something Good for you. Iwe fundisho Kwa wale wanao judge mtu Kwa muonekano wake tu. Na kwale wanao judge bila kujua undani wa mtu. Let's change people's hii mpaka lini?
@amfaisal1905
@amfaisal1905 6 лет назад
duh maskini kumbe ana historia ndefu mungu amfungulie apate hizo nyumba za lugumi plz muulizeni hana watoto huko urusi wamsaidie
@niaanthony9588
@niaanthony9588 6 лет назад
Pole sana mzee hapo nimekuelewa
@officialkissmiva9778
@officialkissmiva9778 6 лет назад
To be honest nimekoma kufuata mkumbo na kuchukulia watu poapoa wallah tunajudge vitu kwa impression za physical appearance ndio maana si maisha,mapenzi na mengineyo "impression" inatesa watu na kuwa soooo judgemental...forgive my manners Dr louis
@thomasbikemo8252
@thomasbikemo8252 6 лет назад
Wavanilla tz same as me mkuu mzee nimemuelewa
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Wavanilla tz Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@Jessiefrank872
@Jessiefrank872 2 года назад
R.I.P the boss , Dr shika ❤️
@mukeshaemmerance3358
@mukeshaemmerance3358 6 лет назад
Poleni mzee wangu
@deogratiasnjee5708
@deogratiasnjee5708 6 лет назад
Mzee yuko smart anahitaj msaada Millard kuna vyombo vyaeza msaidia huyu alichofanya ni kama tu akina sàmata waendavyo kucheza mpira ulaya there is a room of helping this man## sina shaka nae kbs
@kingzed7763
@kingzed7763 6 лет назад
naamini huyu mzee ni billionaire kweli, he knows how to explain his self dah nlikerwa na yule afande aloongea pumba kwa kumjaj mtu kimuonekano ata kabla ya kucheki hii
@magenysamike4075
@magenysamike4075 6 лет назад
Pole saaana jamani inatia huruma
@habibumianga6461
@habibumianga6461 6 лет назад
King Zed #pesamadafu AFANDE mwenyewe ni form four failure
@kingzed7763
@kingzed7763 6 лет назад
msenge kweli
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 4 года назад
Kwa maradhi sugu,uzazi na uungaji mifupa 0716651640
@bakarimakida1145
@bakarimakida1145 6 лет назад
Dah... kama hii ni kweli... basi mjomba kapitia misukosuko ya kutosha... pole sana jomba.... Lkn pia tusisahau kauli mbiu yake "Suala la kukaa peke yako halikubaliki"😅😅
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Bakari M Akida Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@emanuelmaando4753
@emanuelmaando4753 5 лет назад
Bakari M Akida nimeelewwa
@hibamafuma622
@hibamafuma622 6 лет назад
Nimekusoma sana dk shika
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 6 лет назад
Nimemuelewa sana huyu mzee. Kiukweli anachosema kina ukweli ndani yake. Mtu muongo anaonekana tu hata kwa macho. Mi naamini haya maneno yake yote ni ya kweli.
@prettymum7430
@prettymum7430 6 лет назад
Bashiri Girro hata mim sijuwi kwanini but i trust him
@kipipakipipa5050
@kipipakipipa5050 6 лет назад
Feeling so sad
@sulleymanjimmy3199
@sulleymanjimmy3199 6 лет назад
duh noma aisee nmemuelewa Sana Dr Shika
@doramsuya5135
@doramsuya5135 6 лет назад
Bashiri Girro kweli kabisa....
@namsamson3443
@namsamson3443 6 лет назад
Alafu mtu muongo hawezi rudia kitu hicho hicho kila enterview angekuwa anasahau maneno mengine
@sofilove7024
@sofilove7024 5 лет назад
Dah pole sana awa wazingu ndomana siwashonokeyi sana apa marekani
@godotaru7088
@godotaru7088 6 лет назад
Asee mzee nakuombea mungu akufanikishe uweze kulipa.iliwatu wanao jua kuhukumu waaibike
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
god otaru Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@Quilant749
@Quilant749 6 лет назад
I like this man
@dativarutta4346
@dativarutta4346 6 лет назад
pole sana mzee wangu
@iman3456
@iman3456 6 лет назад
Pole mzee
@saighilunyangusi4986
@saighilunyangusi4986 5 лет назад
Pole sana mzee wangu,
@mercyissac7124
@mercyissac7124 6 лет назад
Dah mzee nimekuelewa Sana, Sasa yule dem alokuwa anamsema vibaya huyu baba wa watu et Hali chakula anakunywa tu maji ukome na haibu ikufike, usizan kupika nyumban au kununua chakula uje ulie ndan ili uonekane umekula ni usenge, mzee anaish kistyle Yake
@mariamoman7593
@mariamoman7593 6 лет назад
sbuhanna allh pole babu kwa yaliyo kukuta nmekupenda bure babu ang 😘😘😘😘
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Mariam Oman Assalamualaikum! Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@elastomsigala5153
@elastomsigala5153 6 лет назад
Mariam Oman
@mariamoman7593
@mariamoman7593 6 лет назад
+Elasto Msigala hi
@agnessmtivike3448
@agnessmtivike3448 6 лет назад
naomba serikar msaidien uyu baba maskin inatia HURUMA sana
@munirashabanmnubi8650
@munirashabanmnubi8650 6 лет назад
Agness Mtivike sana maskin,uuuwiii!!kuna bnadam wa ajab sn nyoyo zao..bab anatia huruma sn..
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Agness Mtivike Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 года назад
Dahhh rip
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 6 лет назад
watuwanaosoma Urussi wengi wanamatatizo yakiakili
@PeterJohnRukiko
@PeterJohnRukiko 6 лет назад
HAWA MANGURUWE SIO WAKUSHOBOKEA KABISA
@sporaseme1592
@sporaseme1592 6 лет назад
lakn jaman urus nasikia wanamambo ya ajabu sana inawezekana huyu mzee alikuwa na mali sana yaan Bas tu,daaaa ama kwel usimjadili usiyemjua mzee kapitia mengi
@jumamichael4083
@jumamichael4083 6 лет назад
Kupitia huyu mzee kuna bloggerz wanaingiza pesa nyingi sana.
@RevocatusOnline
@RevocatusOnline 6 лет назад
Juma Michael kwaiyo tufanyaje
@ellynikotv7178
@ellynikotv7178 6 лет назад
Exactly
@ummymtema1750
@ummymtema1750 6 лет назад
we'll said bro
@jastinjason179
@jastinjason179 6 лет назад
kwer mzee alikua naer
@jastinjason179
@jastinjason179 6 лет назад
im sor me mzee
@erastojoackim4195
@erastojoackim4195 6 лет назад
kwa jinsi ya maeleza take anaonekana yuko very intelligent, usithubutu kumdharau. but nimefurahia kauli "900 itapendeza sana"
@teresiairafay2851
@teresiairafay2851 6 лет назад
ERASTO Joackim yan watu wako ofisini nyie mnachekacheka kwakweli sikuwa nawaelewa
@halimajuma3077
@halimajuma3077 6 лет назад
naomba baba uweke namba zako hapa, nikutafute, iko neema juu yako inakunyemelea! jitahidi sana kama utapenda
@iviejustified8109
@iviejustified8109 6 лет назад
Degree Nne.... Mzee Daktari haswaa... Si mchezo
@gloryernest6482
@gloryernest6482 6 лет назад
mchukuliavyo MTU cvyo alivyo ukifuatilia maelezo ya mpangaji mwinzie na maelezo ya DR shika ni vitu viwili tofauti ,jamaa yko vizuri sana maelezo 2 yanajitosheleza
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 6 лет назад
Dah maskini, mzee anastori ya kusikitisha sana nimestruggle sana kumaliza dakika zake19:38 inasikitisha japo mwisho kuna kautani kidogo. Ila nimejifunza vitu vipya 3 leo toka kwa huyu mzee. Moja ni Shikiria kengele aka "mbupu" mbwa mkali habwaki( hii ni kwa sie boys tu) 2. Shika kitovu nyoka mkali hakusogelei kabisa 3. Usimtazame usoni mtu aliyelala utamwamsha
@amimubecha3241
@amimubecha3241 6 лет назад
joji georige pamoja kaka, pamoja sana.
@minharhocuma5264
@minharhocuma5264 6 лет назад
na ya nne "kukaa mwenyewe haikubaliki"
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
joji georige Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@mwaijatvonline895
@mwaijatvonline895 5 лет назад
Nimepata somo pia je kwa wanawake unashikilia Nini? Unapopita kwenye mbwa wakali?
@sabinamagesse2013
@sabinamagesse2013 4 года назад
Dah
@tumsifujoachim5877
@tumsifujoachim5877 6 лет назад
hujafa hujaumbika, kweli mzee kateseka sana
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
TUMSIFU JOACHIM Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@bettyowiti397
@bettyowiti397 4 года назад
Rip..
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 6 лет назад
Kumbe mtu alie lala ukimwangalia anaamka aisee mzee anatema nondo na cheche za kijasusi
@teresiairafay2851
@teresiairafay2851 6 лет назад
Daudi Mwidima mi naogopa hahahaaaa jasusi wa mwaka
@samiraanwary6015
@samiraanwary6015 6 лет назад
h
@HashimMbamba
@HashimMbamba 6 месяцев назад
Uyu mzee ankumbukumbu sana asee
@josephalack8943
@josephalack8943 6 лет назад
Dah!pole sana
@jj-iv1wm
@jj-iv1wm 6 месяцев назад
Masikini pole sana mzee😢
@sophiamkandara1834
@sophiamkandara1834 6 лет назад
daaaah natamani japo nimuone huyu baba na Mungu ataniongoza la kufanyq
@aishaelias986
@aishaelias986 6 лет назад
mimi nina hishi ujerumani mwaka wa 8 sasa hivi, hawaturuhusu kubeba pesa nyingi kutoka ujerumani kwenda kenya ..huyu mzee nimemuelewa kabisa , jamani mzee juzi nimecheka sana ukisema" million 9 itapendeza" yupo mwenzetu ameacha pesa zake zoote ujerumani.nawashauri wenzangu tunao ishi ulaya fungueni account direct africa mshahara ukiingia unaingia africa , kikiumana wewe pesa zako ziko mbele
@izzi198
@izzi198 6 лет назад
Aisha ELIAS nmeelewa, only people who are living out of Africa can understand dat, hawa wengne waache walete blabla hawajui n nn wanaongea. Huku nje kila kitu ni tofauti wao wanadhan n utani.
@ibrahymmendez1156
@ibrahymmendez1156 6 лет назад
upo sahihi
@piuspaulo8386
@piuspaulo8386 6 лет назад
Aisha ELIAS duuuh
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 6 лет назад
Aisha ELIAS mimi nipo Israel.....hapa kidogo maidha ni mazur kidogo sema nn kama hutojal nitafute
@ismailisaya1434
@ismailisaya1434 6 лет назад
Mambo?
@sirnyoniinspirationstv5327
@sirnyoniinspirationstv5327 6 лет назад
Millady mpe support huyo mzee
@sebamabee5228
@sebamabee5228 6 лет назад
Ingekuwa mbele tayari watayarishaji wa kubwa na makampuni makubwa ya Filamu yangekuwa tayari yapo location januari tunasubiria movie mupya ya Dr Louis S Kid. Ila kwa hapa kwetu Bongo lala ni balaa watayarishaji wa filamu wanataka watutengenezee filamu zao za mtu katoka bush huko kakutana na demu wa kishua alaf anafanikiwa kimaisha (hizo ni bangi). Stori ya huyu mzee ni Bonge la filamu la kupiga hela na kujitofautisha kimtazamo na utayarishaji wa filamu.
@dicksoneliasi9672
@dicksoneliasi9672 6 лет назад
asee kweli huyu mzee yupo ok
@kessyngarawa3714
@kessyngarawa3714 6 лет назад
DICKSON ELIASI watu wa Ubalozi wa Urusi wanamfahamu.huyu km sikosei nikweli alisomaga Urusi.Mimi nilikua mdogo sana.Lakini ni msomi,sema kulikua na ishu km maradhi.Waliosomaga Urusi miaka 1994 na chini vuteni hii sura
@kessyngarawa3714
@kessyngarawa3714 6 лет назад
Wausika wajaribu kuwasiliana na urusi ubalozini Moscow.Mambo ya kikatili ya nchi anaeleza za ubaguzi,kuitwa nyani ni kweli.
@kessyngarawa3714
@kessyngarawa3714 6 лет назад
DICKSON ELIASI na nivyema apelekwe hosp aangaliwe mental health
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
DICKSON ELIASI Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@farajampombo1981
@farajampombo1981 6 лет назад
Daaaaah aisee wanadam tunapitia mambo mengi,Kuna shida na raha humo humo.Jamaa kapitia magumu kwel.
@abesa_worldwide
@abesa_worldwide 6 лет назад
Kweli Mkuu
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
FARAJA MPOMBO Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@allybakari2325
@allybakari2325 6 лет назад
FARAJA MPOMBO huyo mzee ni noma
@neemahassan8786
@neemahassan8786 6 лет назад
Duh pole
@soglotmedia3240
@soglotmedia3240 6 лет назад
Me naamn tajir mtata n true bilionea hahahahaha
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Tobias Vicent Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@amanichanga3448
@amanichanga3448 6 лет назад
I'm more dead than alive
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Amani Chang'a Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@fredyjohnwaifakaratanzania2536
MZEE YUPO OK
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Fredy John Waifakara Tanzania Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@tomathmaziku611
@tomathmaziku611 6 лет назад
Mzee kwa Maelezo anasikitisha Sana
@michaelkasebele7168
@michaelkasebele7168 6 лет назад
haya huyo mambosasa alieitisha conference na na kuanza kumdhalau huyu kikuapi sasa? 'mtu mwenyewe hata afananii na million hata moja' pole mzee wangu umewafanya wajinga wanyamaze
@moshinhomoshi1166
@moshinhomoshi1166 6 лет назад
Michael Kasebele daaah dharau sio nzuri hata kidogo kwa huyu mzee nimethibitisha ule usemi usijudge kitabu kabla hujasoma ndani
@jackiejackie1272
@jackiejackie1272 6 лет назад
Michael Kasebele umeonaaa eee
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Michael Kasebele Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@jennyjayne5745
@jennyjayne5745 6 лет назад
Jameni 😔 😔 😔 pole sana
@queenandrea5648
@queenandrea5648 6 лет назад
Daaaaa,,, pole mbaba
@yasinijabu8467
@yasinijabu8467 6 лет назад
mnaodhani huyu mzee hajielewi mnajidanganya... he is good na ni genius than we could imagine... tulien mtaona tu mzee atafanya mambo makubwa sana huyu kupitia hii exposure ya " 900 ITAPENDEZA" LOL
@yohanamartin9012
@yohanamartin9012 6 лет назад
Yasini Jabu 9
@jackiejackie1272
@jackiejackie1272 6 лет назад
Yasini Jabu sanaaaaa
@sabasandrenethea6472
@sabasandrenethea6472 6 лет назад
Yasini Jabu Mambo vipi? Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana
@dquickdquick6892
@dquickdquick6892 6 лет назад
HAPA MPUNGA UPO - WABONGO VUTENI SUBIRA....mimi ni mtaalam wa saikologia
@lronarddondo7758
@lronarddondo7758 6 лет назад
Ka move ka mzee kazur san
@josephatmakaranga7043
@josephatmakaranga7043 4 года назад
Historia yenye mguso sana na iliyonyooka, hakika napata hasira sana kwa hawa washenzi.
@josephcolt571
@josephcolt571 6 лет назад
Mbona kama movie,,!! any way this guy looks amesoma and i think sio vyema kumdharau coz you never know anaweza kuwa somebody,,!! ila ingependeza story ake aitolee movie.
@doreenmalesi6039
@doreenmalesi6039 6 лет назад
Joseph Colt ama aandike kitabu
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 4 года назад
R.I.P our Dad !!Nenda salama tuko nyuma yako🙏🙏
@khalfansimba9610
@khalfansimba9610 6 лет назад
*Touch story. Then usimdharau usiemjua kwakweli. Binafsi nimemuelewa. Mbali na changamoto alizopitia lkn ki saikolojia yuko okay, imagine wewe unakutana na vitu kama hivyo. Pole mzee ndio dunia. Nashauri serikali wamuangalie kwa jicho la tatu, hapo aliposema anataka kuhamishia kampuny nchini kwani akifanikiwa means atatoa ajira kwa vijana wa kitanzania wasio na ajira.*
@bbakzuvciIii
@bbakzuvciIii 4 года назад
HAYA NI MAISHA NDIYO UMUHIMU WA KUMJUA BWANA YESU KRISTO KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU HALLELUIYAH.. KUWA VIZURI SANA KATIKA MAISHA YA KIROHO.. THAT'S ALL WHAT MATTERS
@EREVUKATV
@EREVUKATV 6 лет назад
Daaah jaman @millard mpe kampani huyu mzee kiukweli inasikitisha sana daaah aseee
@jackilinejulius8755
@jackilinejulius8755 6 лет назад
Ellymeck TV nikweli anatia huluma 😢😭😭😭😭
Далее
Обменялись песнями с POLI
00:18
Просмотров 432 тыс.
HODŽA HALIL (SIKTER EFENDIJA) • NOŽ (1999)
22:28
Просмотров 221 тыс.