Тёмный

NIMESHINDA DV LOTTERY MWAKA JANA NA MWAKA HUU 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 4,6 тыс.
50% 1

Kuna watu wana bahati. Huyu ni mmoja wapo, ana bahati ya hatari
Alishinda mwaka jana, na ameshapata viza yake ya Green Card kuja USA. Matokeo yametoka jana, KASHINDA TENA.
Mwaka juzi tulimuombea matokeo ya mwaka jana alishinda, na mwaka jana tulimuombea tena, akashinda tena.
Kwa wale ambao mmekosa, poleni, safari inaendelea.
EBM SCHOLARS
Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.locals.com/
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com/paypalme/EBMSC...
2. CASH APP cash.app/$EBMSCHOLARS

Опубликовано:

 

4 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@DMujuni
@DMujuni 2 месяца назад
Mkuu EBM nakushukuru sana kwa kufanya Kazi nzuri sana, kwa hakika unapambana sana kwa ajili ya Jamaa yako ya Africa, nawasihi watu wengi tumuunge mkono huyu jamaa, pole kwa uchovu wa Jana Bro umepiga kazi hatari 14HRS sio mchezo
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 2 месяца назад
Congole EBM unatupigania sana wa Africa wenzio God bless you and your family
@joasitz9559
@joasitz9559 2 месяца назад
Du hongera zao, mimi nimeomba mara nne na wala sijawahi pata. But I will keep applying
@alijumamohamed
@alijumamohamed 2 месяца назад
Habari yako mkuu...Hongereni nyote ambao mliyoshinda Mungu awajaalie Kila la kheri..nasisi ambao hatujashinda Mungu atujaalie Kila la kheri na never give up
@ezm
@ezm 2 месяца назад
EBM nimeomba Mwaka jana kwa Mara ya Kwanza Nimekosa But this time nitakuja Pale EBM Kuapply tena I believe this time nitapata 😢
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 2 месяца назад
Ofisi ipo sehemu Gan
@michaelkomwiswa7048
@michaelkomwiswa7048 2 месяца назад
Mara ya pili kuomba hapa Uganda lakini sijafanikiwa, tutajaribu tena, asante sana Bwana EBM
@Baba_Mario
@Baba_Mario 2 месяца назад
Nimekosa ya hii mwaka pia but i had applied through you in Nairobi kenya but insha'Allah next time ❤🎉
@vivianfortunatus5518
@vivianfortunatus5518 2 месяца назад
Duu kuna watu Wana Bahati....
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Месяц назад
Naomba uyaratibu na mimi niombe greenccard lottary🇹🇿
@GabriellaMakatu-jf2lq
@GabriellaMakatu-jf2lq 2 месяца назад
Hongereni kwa ushindi mkubwa sana sisi tuliokosa ushindi wetu ni mwakani hii ni bahati na sibu hatuwezi kulalamika wakati ukifika na sisi tutafurani
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 2 месяца назад
Sisi tumeomba mara mbili tungu kupata hii information ya DV but mungu bd haja panga kwa upande wetu
@FiniasEnock-uv7lo
@FiniasEnock-uv7lo 2 месяца назад
Niliomba mwaka jana kwa mara ya kwanza sijapata, I hope next year nitashinda Inshallah. Nitakuja hapo EBM ku apply, nimekuwa sina imani na simu. Sijafaham gharama za huduma zenu EBM
@alijumamohamed
@alijumamohamed 2 месяца назад
Picha uliwapiga mwenyeo au?
@aloycemabula8649
@aloycemabula8649 2 месяца назад
Very interested
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 2 месяца назад
Mungu awabariki wote mlio shinda jamani hii kitu Haina uchawi ni bahati tu
@zabulonhakizimana4386
@zabulonhakizimana4386 2 месяца назад
EBM huyo ni uchawi siyo bule😂 mbona sisi tulikosa mara mingi
@user-jm9ph6ou9h
@user-jm9ph6ou9h 2 месяца назад
Hongera zake nyingi sana mwaka huu sijapata lakin mwakan naimani ntapata inshaallah
@youngkassim2534
@youngkassim2534 2 месяца назад
woow
@muhammedjuma8966
@muhammedjuma8966 2 месяца назад
Mashallah hawa wana bahati sana
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 месяца назад
E B M,❣👌 WEWE HAUPO KTK KAMATI YA ROHO 'SOKOROKWINYO'🤛
@lawrencetarimomash
@lawrencetarimomash 2 месяца назад
Kaka mimi hukufuatilia sana kipindi chako.sasa naomba ku uliza swali mimi nimeowa make na mtoto 1 akanizalia wangu 1halafu tukaachana.je nika applying green cad je huyo mtoto naweza ku weka kama wangu.naomba jibu kaka erinest.asante
@Medallion-ll5zl
@Medallion-ll5zl 2 месяца назад
Samahani BM, naomba kujua faida za Mtu Graduate wa Tz ambaye kwa sasa ni Mfanyabiashara kushinda DV lottery na kuja kuishi Marekani.
@meshacmusembi3518
@meshacmusembi3518 2 месяца назад
Bm nimepoteza my confirmation no.,vipi
@FrankIzack
@FrankIzack 2 месяца назад
Hujambo baba nina swali apa je inawezekana mtu ku apply akiwa ndani ya inchi isiyo kuwa yake?
@immaculeecyusa1412
@immaculeecyusa1412 2 месяца назад
Mimi iyi mambo ya green card siyataki Tena kabisa mara 6 sote si win nakuko wengine Wana win mara mbili apana kabisa labda is the scam 😭😭😭
@alijumamohamed
@alijumamohamed 2 месяца назад
Habari yako mkuu..Nimekutumia email please naomba uni respond as soon as possible kwasababu ni very important please please
@Coachsamwel
@Coachsamwel 2 месяца назад
Aisee kwangu system haifunguki mpaka muda huu... nishatest kwa Computer na simu yangu but still failing Inaonekana iko jammed balaa
@sebastiansteven
@sebastiansteven Месяц назад
Kaka EBM habari me nikijana mtanza naendesha malori nipo interested sana na ile interview uliofanya kuhusu kuwa dereva USA vp hakuna jinsi yakufanya hata kwa njia nyingine ninayoweza kufanya ili nifike USA nikapige kazi umri unakwenda nitazeeka aise i swear
@alexfrank5342
@alexfrank5342 2 месяца назад
Namna gan ya kuangalia matokeo
@Agacirovaluemedia
@Agacirovaluemedia 2 месяца назад
Mngu yupo kweli
@user-vh3lc7vn9y
@user-vh3lc7vn9y 2 месяца назад
Kaka m nashukuru nilikuja kufanyia ofsn kwako lkn nimeferi mwakani ntajalibu tean
@kazimilyfaustine4436
@kazimilyfaustine4436 2 месяца назад
Hongeleni sans mlioshinda Mimi niliomba lakini sijashinda, tusikate tamaa ndugu zangu tuendee kuomba Tena na Tena Ebm usituchoke kaka endelea kupambana na sisi tuko nyuma Yako.
@isyakanganizi671
@isyakanganizi671 2 месяца назад
Nisaidiye please
@mgatatemihanga416
@mgatatemihanga416 2 месяца назад
mimi na wife wote tumeshindwa , duhu watu wanabahati ila nitajaza tena mwaka huu
@alexismwinyi8472
@alexismwinyi8472 2 месяца назад
Kuna Watu na baraka zao
@user-wl8ej9qy5d
@user-wl8ej9qy5d 2 месяца назад
Ebm nimesahau confirmation number nisaidie kuipata nilikujq pale ofisini kwako mlimani
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 2 месяца назад
Mm nataka kuuliza kucheza iyo ni lzm uwe na Elimu ya juu au ata ya la Saba unaweza cheza na ukashinda
@muhammedjuma8966
@muhammedjuma8966 2 месяца назад
Mie naangalia lakini naona cpat majibu nifanyeje bro ebm nambiwa iformation entered is not valid
@user-wl8ej9qy5d
@user-wl8ej9qy5d 2 месяца назад
Nimejaribu kuingia kwenye forgotten combination number inaniqmbia details zako haziko sawa nimejaribu zaid ya mara kumi inakataa pls nisaidie cos nime aply pale nifikiri details zitakuwepo.
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 2 месяца назад
Awe hogera sna
@adverakumugisha8356
@adverakumugisha8356 2 месяца назад
Habari yako mkuu! Eti kwa mfano ukishinda hiyo greenlotter ukienda marekani ni ishu gani ni rahisi kufanya hili kukuingizia kipato?
@rukiyashali
@rukiyashali 2 месяца назад
Mimi nimeangalia kama nimewin lakini sipati jibu hata sielewi ni vp
@QuincyPromes-zu8ob
@QuincyPromes-zu8ob 2 месяца назад
Mr. EBM, naweza kujua aliomba tarehe ngapi? Naskia kua tarehe huwa na washindi wengi.
@philipkomba5525
@philipkomba5525 2 месяца назад
Vita ni vita muraaa
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 2 месяца назад
Mimi inan andikia not VALID INFO MATION maaana yake nini au mtandao upo bize? Au ndo nijipange tena?
@muhammedjuma8966
@muhammedjuma8966 2 месяца назад
Napig no yako ya ofcni inaita tu
@meckmbilinyi6077
@meckmbilinyi6077 2 месяца назад
Kwani huko marekani ni mbingu, mbona hapa hapa tu bongo maisha unatoboa
@frankdionis7700
@frankdionis7700 2 месяца назад
Ulisema kesi namba yake ni ndogo unamaanisha Nini
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi 2 месяца назад
Mimi na mke wangu tumekosa inshaallah wacha tunijipange tena maana ulituombea wewe kupitia officer yuko ya dar es salaam
@josephaleto8708
@josephaleto8708 2 месяца назад
Yaani wengine tumecheza miaka nenda miaka Rudi hadi tumekuwa wazee wengine wameshinda mara mbili wakirudia
@user-yr8mx2cy8f
@user-yr8mx2cy8f 2 месяца назад
Mimi sijajua mtu mmoja akishinda mara ya kwanza inakuwaje ashinde mara ya pili? Kwani hawa wamarekani hawana rekodi za nyuma za muombaji huyo?
@michaelnyandindi8461
@michaelnyandindi8461 2 месяца назад
Hata Kuna jama kashindaa mwaka Jana case yake ilikuwa 49k mwezi ujao anaenda kwa interview na mwaka huu kashindaa.mwaka huu kapata case 75k
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 2 месяца назад
Hivi enm unaweza shinda ukaja marekani na ukitaka kuhamia Canada kuishi watakuruhusu
@TelevisikBitten
@TelevisikBitten 2 месяца назад
Mtangonja sana trump is coming.....hakuna kwenda mahali.....
@JosephKishiwa-ty2qf
@JosephKishiwa-ty2qf 2 месяца назад
Mkuu wa Kazi nataka nije ofisini kwako pale mlimani city nije niangalie matokeo yangu nilijaza form ya green card
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 2 месяца назад
Kwani huyu brother yupo Dar?
@JosephKishiwa-ty2qf
@JosephKishiwa-ty2qf 2 месяца назад
@@naomikatharinaandrewmnkai6760 yupo USA lakini ana ofisi yake pale mlimani city
@houseoflifechurchtv9069
@houseoflifechurchtv9069 2 месяца назад
Nilipoteza confirmation number
@vailethtitus6462
@vailethtitus6462 2 месяца назад
Ukienda kuangalia matokeo kuna sehemu wameandika forgot confirmation number?? Nadhani wanaweza kukutumia tena
@reginawangari7685
@reginawangari7685 2 месяца назад
Rudi hapo cyber maybe umeshida 😢😢
@bisharaAli-fr7cx
@bisharaAli-fr7cx 2 месяца назад
Naomba msaada wako mbona hiyo comfamation Mimi sijaijua ni ipi sipati kuangalia matokeo yangu
@vailethtitus6462
@vailethtitus6462 2 месяца назад
Hukuinakili sehemu??
@Coachsamwel
@Coachsamwel 2 месяца назад
Wewe ni balaa mkuu naona kwenye live ya jana ni almost nusu siku kabisa ukitoa value barikiwa sana na hongera kwao Nasubiri majibu but ntafanya maombi tena na tena even in 10 years mpaka niwin ama watoe huduma hiyo😂 I'm a global citizen based in Tanzania 🇹🇿 & 🇺🇸 in few years
@youngkassim2534
@youngkassim2534 2 месяца назад
woow
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 2 месяца назад
Awe hogera sna
Далее
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 669 тыс.
DV Lottery Visa Interview at the U S  Embassy
4:55
Просмотров 8 тыс.
Kwa wale watao shinda DV Lottery May 4, 2024
5:07
Просмотров 6 тыс.
KUPATA VIZA YA MAREKANI: MASWALI NA MAJIBU
1:59:53
Просмотров 4,4 тыс.
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 669 тыс.