Тёмный

''NIMEVIONA VYA DIAMOND KULIKO YEYOTE' '- HAMISSA MOBETTO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 250 тыс.
50% 1

Kwenye party ya Mtoto wake na Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto aliulizwa maswali mbalimbali na kuyajibu kuhusu kupewa Elfu 70 kwa siku, ishu ya kumshtaki Diamond pamoja na uhusiano wao wa kimapenzi ulipoanzia.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 339   
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 7 лет назад
Yoooo hamisa sisi tulifikuri ni wewe ulo mshitaki diomond mahakama ivi tumejuwa kumbe diomond ndo aliomba ni sawa wewe ndo mwanamke strong kwa kweli Tunakuombeya ulimpenda diomond kweli mungu awe na wewe
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Mapenzi ya sir ndio mpango mzima hongera sana dear, nani ajue sasa, love you hamisa😍😘😘
@solomonitv7808
@solomonitv7808 7 лет назад
Hamisa mama...shikilia apo apo husiachie kabisa,utamaduni wa mwafrika ni kuoa wanawake wenge...komaaa adi kieleweke # Halleluyaaaa
@salmasaid7868
@salmasaid7868 7 лет назад
Hongera hamisa ata akileta maziwa tu pokeaa mama usijali tumekupenda bure bure hamisa mobeto
@jigijigi2373
@jigijigi2373 7 лет назад
Jamani nampenda hyu dada😍😍😍😍😍Go girl leave don't listen to haters.
@shaninaftary1693
@shaninaftary1693 7 лет назад
Hamisa congrats umejibu vzr mnoo big up sana
@hadijajumanne1546
@hadijajumanne1546 7 лет назад
Shani Naftary huwezi badilika ww
@dulaisalim617
@dulaisalim617 7 лет назад
kweli tz mnapenda sana kuendeleza ogomvi
@omarychediel1307
@omarychediel1307 7 лет назад
Hamisa mm nakupenda hadi kizunguzungu hunishika mond atarud madhali mmezaa hongera pia kwakupendeza
@janetmueni250
@janetmueni250 7 лет назад
bright gal I love so much
@adelapoul6873
@adelapoul6873 7 лет назад
Uko vizur hamisa hongera
@charlesemathias2371
@charlesemathias2371 6 лет назад
kwauzur gani uo alionao wakujisifia kuzaa na diamond kusema wanamiaka tisa kwanza muongo inamaana alikuwa nae tangu 2009 unaongea ataujui unazungumza nini masikini urumaa
@samanthaali873
@samanthaali873 7 лет назад
Santaaaa mwanaaa Soudy wee ni noma umemzukia huko huko king solomn sio😂😂😂
@salimhadija2369
@salimhadija2369 7 лет назад
Waooh wisdom woman
@jacklinejoseph4600
@jacklinejoseph4600 7 лет назад
😂😂😂😂😂sasa iyo ni sifa jamani wanawake tujieshimu jamani sio fresh
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 7 лет назад
beautiful girl love you 😍😍😍 Courage Cherie
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 лет назад
Hamisa ni mzuri jamani💋💝💐🎉
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 7 лет назад
Yaani katika miaka 9 hiyo ni ya kuliwa na kuachwa kimyakimya.Ameishi na Wema ,Joket na Zari yeye bado anadukuliwa mafichoni FOR 9 YRS!!!!!!!WHAT A SHAME!!!
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 лет назад
katarina william -Hahaaahahahahaaaa
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 7 лет назад
😂😂😂😂😂
@zuhramchira1500
@zuhramchira1500 7 лет назад
ni mtihani inamaana hata huyo mtoti wa kwanza nina wacwac si wa Majizo wenzangu mlionaje hilo
@tumainikaminyoge8376
@tumainikaminyoge8376 7 лет назад
+zuhra mchira labda
@nchambipeter5723
@nchambipeter5723 7 лет назад
katarina william huyu Malaya hana lolote
@TanzaniaTrendTV
@TanzaniaTrendTV 7 лет назад
Noma sana
@hamisgaga1476
@hamisgaga1476 7 лет назад
Leo ndo nimekuangalia vizuri we dada ni mbaya huna urembo wowote
@danya11l
@danya11l 7 лет назад
this girls needs to be international model like victoria secret what a beauty, the height the body and the neck need award itself wish her all the best
@dedenadine741
@dedenadine741 7 лет назад
Hamisa sawa uko na diamond myaka 9 uliza mtoto wako wa kwanza na majuzzo na uko na diamond kumbe majuzzo kaweka kichwa na diamond kaweka migu kumbe umalaya uko mdam kabisa pole sana ndugu kwakuwachanga ulisema unamjuwa diamond na diamond anakujuwa na majuzzo naye anakujuwa zaidi
@DeeDiyo5
@DeeDiyo5 7 лет назад
Penda sana wew hamissa
@ayshamahariq8126
@ayshamahariq8126 7 лет назад
Hapo Sawaaaaaasaaaa
@linnoinno6895
@linnoinno6895 7 лет назад
Simba mwenda pole ndiyo mla nyama😂😂😂😂 Hamisandiye mke wa Simba.
@fibimshongo4758
@fibimshongo4758 6 лет назад
Linno Inno hunajipya zari tu
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 7 лет назад
Mie nakukubali hamisa
@kelvinvenance1483
@kelvinvenance1483 7 лет назад
So nice. I like it 9 yrs
@dynessmganga9820
@dynessmganga9820 7 лет назад
anayemjua diamond no wema tu alimpenda kabla hajawa staa unasema upon nae miaka Tisa kumbe na Huyo mtoto Wa like no wake pia. acha njaa mdogobwangu Fanya kazi upate chakula njaa acha
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 7 лет назад
Shikamooo soudy wewe ni 🔥
@Tiffany340
@Tiffany340 7 лет назад
basi pole miaka 9 nabado umepanga mpk leo mwenzio mond amejenga ngapi.kile kwa kufanywa spear kwenye unafurahia
@leahdeogratias9632
@leahdeogratias9632 7 лет назад
Fetry John atabak kuwa spear tail
@hamisikidabadaba9470
@hamisikidabadaba9470 7 лет назад
shule inahitajika,ujinga ni mzigo wa misumali
@salomekadendula2878
@salomekadendula2878 7 лет назад
Hamisi Kidabadaba yani comment yako nimejikuta nacheka
@hamisikidabadaba9470
@hamisikidabadaba9470 7 лет назад
+Salome Kadendula yaani angekuwa na akili asinge jitukana maana ni upumbavu
@kalundehassan9121
@kalundehassan9121 7 лет назад
+Hamisi Kidabadaba 😂😂😂😂😂
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 лет назад
Hamisi Kidabadaba 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zainabujuma1770
@zainabujuma1770 7 лет назад
kwa raha zako jibabe
@lazaisblessings2695
@lazaisblessings2695 7 лет назад
Swali ni ulikua uki double deal Majizzo na Diamond??Juu sidhani kama mtt wako wa kwanza ako na miaka zaidi ya Tisa.Jamani wanawake tutambue THAMANI ZETU tuwache maigizo mengi yasio na faida.Ingekua mm ni ww Hamisa hizo pesa ningewekeza pahali yani uko na wakati mzuri sana wakufanya mambo ambayo yatakusaidia kesho kuliko hizi upuuzi.YANI HUA NATAMANI SANA KUELIMISHA WANAWAKE WAJIJUE THAMANI ZAO WAACHE KUA OPTIONS.
@dullahmamu2165
@dullahmamu2165 7 лет назад
Lazais Kitoday ss nyang'au kwani mtu akizaa na mtu mwengine wakiachana hawezi kuwa na mtu mwengine uelimishe nani jielimishe mwenyewe na ujiyafakari mbwa ww unaongea tooooo km kasuku bila ya kufikiria
@lazaisblessings2695
@lazaisblessings2695 7 лет назад
Dullah Mamu NIMESEMA VIZURI WANAWAKE WATAMBUE THAMANI ZAO.IKIWA IMEKUUMA KAJIREKEBISHE SIO KUPITA MITANDAONI UKITUKANA WATU HAITAKUSAIDIA KWA CHOCHOTE ILA KUJIJAZA CHUKI ZISIZOKUA NA FAIDA
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 лет назад
Eti kama mke mdogo yani shule muhimu jamani yani unavyojielezea it’s define you exactly who your ! Jamani wanawake tujielewe katika haya Maisha wanaume sio ndugu zetu !
@mwanaishajuma5613
@mwanaishajuma5613 7 лет назад
saf sana hamisa
@foscakblessed3648
@foscakblessed3648 7 лет назад
Was this a party or meet and greet....am shocked
@dullahmamu2165
@dullahmamu2165 7 лет назад
Fosca K blessed ilikuwa ni mazishi yako kwani unaona nn hpo
@OnlyRuky
@OnlyRuky 7 лет назад
Duuuuuu Umeongea vizuriiiii
@Suad49309
@Suad49309 7 лет назад
Anajiamini anazungumza kwa akili
@upendosanga3328
@upendosanga3328 7 лет назад
hamisa muongo sana
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 7 лет назад
Yes Maficoni ayo ndo mapenzi ya kweli alivumiliya Hawo yote
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 7 лет назад
Huyu mwanamke kweli kilaza, mwanamke muelewa hawezi akakubali mahojiano mbele ya public wakati yupo kwenye sherehe ni vitu viwili tofauti
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Love you hamisa
@bestonmfikwa8510
@bestonmfikwa8510 7 лет назад
hamisa mbabaishaji we kibinti
@mangiclaus
@mangiclaus 7 лет назад
Hamisa ulinikataa bure ukawa na watu wanaokusumbua. ungekuta saa hizi unaishi maisha bora uchagani
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
KAMA UMEKUA NAE 9 YEARS MBONA HUKUSEMA HUOMDA WOOOOOOTE
@dullahmamu2165
@dullahmamu2165 7 лет назад
IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. Mond keshaongea nawashangaa mkimtuc oooh kachukua mume wa mtu cjui lini kaowa hyo domo
@annaupendo4768
@annaupendo4768 7 лет назад
Hivi Dai wakusema ukweli ule🤷🏽‍♀️mtu kaongopea Zari mimba sio yake atakubari myaka aliotembea na Hamisa nimekucheka maswali mengine yakijinga😂😂🤣🤣
@solomonitv7808
@solomonitv7808 7 лет назад
IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. kila jambo na waiati wake,ameona huu ni muda wa yeye kusema acha aseme tu....
@salomekadendula2878
@salomekadendula2878 7 лет назад
IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. Huyu anaongea kama mtoto kama alikuwa naye ilikuwaje aende kwa Majizo?
@miriampaulo9027
@miriampaulo9027 7 лет назад
IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. Muongo huyo miaka 9 imekuwaje aje azae na zari
@UlimeA
@UlimeA 7 лет назад
kwa majibu hayo inaonekana unajitambua big up cutee lady
@hawaamanzi4263
@hawaamanzi4263 7 лет назад
Super woman
@everlyneagogo9142
@everlyneagogo9142 6 лет назад
Nawashangaa sana watanzania,,mwamkana wenu na kumrushia kila tusi,I just don't know why you people cherish zari that much,,lakini kwa sababu zenu poleni sana,just pity hamisa,all in all kizuri chakataliwa na kukanwa na wengi lakini kibaya chapendwa na kuhitajiwa na wengi.tafakarini
@didamugya6039
@didamugya6039 7 лет назад
Hivi vimalaya vya mjini vina roho ngumu, mtu kilasiku anajulikana anabadilisha mademu tangu tumemfaham yeye hajawahi kutambulishwa hata kwa bahati mbaya still anajivunia kuwa naye miaka 9, BITCH....!!!!
@ireneburton5671
@ireneburton5671 7 лет назад
Dai katembea na wengi lkn chaajabu hujawah kutuonyesha huyo amisa huko kujuana miaka tisa vepee shoga? Na vp uufchwe mpka Dai anazaa na zari c acha uongo tamaa mbaya ndugu rizka na ulichonacho maana mm nashndwa kuelewa ndan ya hyo miaka tsa mlkuwa mnafahamiana kvp maana Dai kaenda kwa zari na ww kwa majzo acha kutuchota akir
@luciustumbuka7665
@luciustumbuka7665 7 лет назад
😂😂😂😂
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 7 лет назад
Namjua Diamond kuliko yyte.Mbona ukazaa na mwingine?Oh yeah!Alikuwa kafulia.
@lareineminah7858
@lareineminah7858 7 лет назад
katarina william hhhhh ilooo
@anniemtambo5549
@anniemtambo5549 7 лет назад
katarina william 😅😅nafikiria alikuwa anapenda kuwa spea parts
@anniemtambo5549
@anniemtambo5549 7 лет назад
Mpaka gari iaribike ndio akumbukwe pole sana
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 7 лет назад
katarina william hahahahhahahaha
@shaneshanee8320
@shaneshanee8320 6 лет назад
Huna lolote wewe boya ,umeviona vitu gani mwaka 9,mbona umejificha na alikua Hana mke basi aliku hupendi wala hujiamini,nyoo
@hassanmganyizi586
@hassanmganyizi586 7 лет назад
Yaani uyu Bibi kizee ni nomaa mbona hajakomaa Na baba mtoto Wa kwanza mie naona mwizi tu
@anitapendo6199
@anitapendo6199 7 лет назад
Young beautiful with brains guys plz stop this young inteligent gal to a42yr old mama,,when zari was at amisa's age she had nothing totally nothing thats why she even decided to play asex tape for finacial issues coz she was broke like hell,, and besides all wat she has now nijasho ya ivan nt hers so gve that little gal abreack let her enjoy her youth
@MohamedMohamed-yx4gh
@MohamedMohamed-yx4gh 7 лет назад
Tatizo elimu hakuna kichwani. ahahahha kwa mademu wa Uswahilini ni shida sana kukaa nao.
@reymuniud8d8d87
@reymuniud8d8d87 7 лет назад
Hamisa hujielewe
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 7 лет назад
Hamisa hujielew usizae mtoto kisa awe kitegauchumi tafuta vyakwako
@dullahmamu2165
@dullahmamu2165 7 лет назад
Shomari Hamadi hyo mwengine hategi uchumi mbn mikataba itafutwa km mpango wa danube utafanywa na hamisa hahaha anajistukizia nyoooo
@zeinabsalehe8937
@zeinabsalehe8937 7 лет назад
shomari nimekupenda bure
@aimanali8612
@aimanali8612 7 лет назад
Shomari Hamadi nenda kakojowe ukalale huna ishu roho mbays zinawasumbuwa
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 7 лет назад
Shomari Hamadi it comes a time women we need to change
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 лет назад
bradock shomary shodri well said
@haithamaliy1987
@haithamaliy1987 7 лет назад
kibaya bwanahamfikii Zari
@christinahaule9726
@christinahaule9726 7 лет назад
Haya mama
@anjelangaiza6258
@anjelangaiza6258 7 лет назад
Jamani kumbukeni alie anza kusema anamjua hamisa siku nyingi ni diamond mwenyewe.
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 лет назад
Pole bi shoga...
@lumooelvis2682
@lumooelvis2682 7 лет назад
Ila kwa kweli mama nakushauri kama mamaangu plz mfunde mwanao
@catherinelawrence5725
@catherinelawrence5725 7 лет назад
😍💕💕😘😘😘😘😘
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 7 лет назад
Sasa wewe ndo humuaibishi mwenzio.Kama umemfungulia kesi hupaswi kuizungumza....Zero I.Q
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 7 лет назад
Hamisa mzuri cheki body lake mrefu mwenzake mfupi na umri umekwenda kwani yeye bi mkubwa si alikuwa nawanaume wangine warefu na wanene hawooo
@simbavevo7318
@simbavevo7318 7 лет назад
Kumamaamama ako hamissa si ulisema unataka one million kwa day
@samiasam5343
@samiasam5343 7 лет назад
zollah Vevo mwenyewe
@dullahmamu2165
@dullahmamu2165 7 лет назад
zollah Vevo mmko pia anakuma hizo million katwae ww au mpeleke mmko akatobwe nae ilimpate hizo millioni
@latifamohd6891
@latifamohd6891 7 лет назад
Weeee huna jipya km kwel miak 9 kwann asikuwek bayana na kukudhihirish km zari miak 9 ata wema alimdhihirisha kiufup huna jipyaaaaa
@sikituyusuph4520
@sikituyusuph4520 7 лет назад
mh kweli kizuri hakikosi kasoro pia mwizi haoni aibu kujingamba unajizalilisha acha mapenzi yawatu yashamili ww utaendelea kuwa maraya tu na ss wanawake tunazambi kubwa maana unashidwa kutafuta mwanaume wako ila we hamisa umemuona diamond yuko na family yake ww unataka kuhalibu ili diamond aje kwako umekula wachuya ila ingekuwa mm nigekaa kimya
@emmaleejr6670
@emmaleejr6670 7 лет назад
SHILAWADU WANAALIKWA 😂😂😂 kweli KIKI and FAME kupata KAZI
@didamugya6039
@didamugya6039 7 лет назад
Emmalee Jr Halafu wakipigiwa simu na Soudy wanajifanya kukata😀😀😀, halafu usikute hapo wakiba Sudy wamelipwa kutoka
@sophiasimule2182
@sophiasimule2182 7 лет назад
Aliempenda ki ukweri Diamond ni Wema Sepetu tu
@hellenrarimond6204
@hellenrarimond6204 7 лет назад
Wachukiza sana .....
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 7 лет назад
waoooo
@marydenis9343
@marydenis9343 7 лет назад
masikiniii
@MsFaibe1
@MsFaibe1 7 лет назад
😂😂😂uyu dada ni hamnazo proudly saying miaka 9 mara nyumba ndogo girl kuzaa na diamond umeifanya kama top deal
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 7 лет назад
Dah kwel saiv mtot biashara wa2 wanavyofoc aise.madem mnajishusha sna
@jacquelinejackson6124
@jacquelinejackson6124 7 лет назад
jamani wapi wanawake waheshima wamshauri hamisa jamani duuuh hii kazi asiwafurahishe watu kwa kusema haya miaka tisa in a maana ulimcheat diamond na majizo
@lizmass4253
@lizmass4253 7 лет назад
Kama huko dem, mama, ama mwanamke and u have experience this u understand more then anyone else so don't throw stone kwa hamisa hata kidogo penda wewe sana
@stevehiraly9127
@stevehiraly9127 7 лет назад
Ningekuw mwandsh/mtangazaj nsingethubut kufany interview yoyte na #hamisamobetto kuhsian na ishu ya kzaa na #diamondplatnumz ashame
@riscaoscar6209
@riscaoscar6209 6 лет назад
Mmmmmmm sielewi hapo Yuko na Majizo huku ana Dai akiwa na Mimba ya huyo mtoto wa mwingine huku ana Dai duuuuuuu , Dai Yuko na Wema yeye yupo, Yuko na Zari yeye Yuko na wengine wote mmmmmmmmmmmmm huyu Sijui Mobeto mmmmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!??????????😷😷😷😷😷😷😷😷, Sasa alikuwepi ziada au💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃chukua👉🏆
@eneritafidoni4920
@eneritafidoni4920 7 лет назад
Next time don't snatch someone's husband, you are evil
@dhishaflowers7549
@dhishaflowers7549 7 лет назад
kidomo mfelembe on fleek
@dionizkipanya2355
@dionizkipanya2355 7 лет назад
Wazee Wapumbavu Wabadae Ndo Nyie. Mnanikera Sana wasanii wa Tanzania
@RamadhaniShemahonge
@RamadhaniShemahonge 7 лет назад
Bora ukosee njia na sio kuchagua mwanamke aisee.. Braza D hapa aliingia mlango wa kutokea
@vibefreestyletz7869
@vibefreestyletz7869 7 лет назад
pole mobeto
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 7 лет назад
Tatizo huyu bint bado inamuuma kuona mond hamjali na anampenda sana pamoja na kutolewa nnje pole sana nakuelewa unaumia kiasi gani
@newgentruckernocbakay4gyou915
@newgentruckernocbakay4gyou915 7 лет назад
Huyu mdada ana mambo! Repping 25flow.bona ubaki kimya tu! Hello
@historyupdates1547
@historyupdates1547 7 лет назад
kana uso mpana af kabaaaayaaaaaaa
@priscaoriko5526
@priscaoriko5526 7 лет назад
ungemjua miaka tisa ungekuwa nae mda wote kubali kataa ww n muharibifu hamisa
@zahriyafauzan7257
@zahriyafauzan7257 7 лет назад
kumjua daimond haitokusaidia ki2 ddngu mbele ya Allah 3aza wajallah, huyo daimond kwanzia umjue mpaka kuzaa nae mwana haramu umepata nini bali w2 wamekutusi sanaaa na sasa karudi kwa zari hakuketi na wewe ushazaa nashakutupa na wengina watakupitia kama alivyokupitia daimond lkn ukimjua mola wako kila jema ulifanyalo nitakufaidisha hapa duniani na kesho akhera ddngu yaskitisha sanaaaaaaaaaaa😭😭😭😭😭(mche mola wako na urudi kwake mumba mbingu na ardhi) Nina imani huu ujumbe utakufikia.
@anjelangaiza6258
@anjelangaiza6258 7 лет назад
Hamisa unajua kujieleza vzr mno, nahamini wewe ndiwe mke alali wa diamond si vinuka mkoja na vikongwe.
@sunshinekamnina6312
@sunshinekamnina6312 7 лет назад
basi akupendi miaka 9 alafu ajawai kukuweka wazi pole sana
@olubunmigladysosibajo2556
@olubunmigladysosibajo2556 6 лет назад
Where is diamond and is people there? That should have been your clear picture of who is important to him
@MsFaibe1
@MsFaibe1 7 лет назад
Yani hamisa kakubali alikuwa anamcheat majizo within izo years anasahau alizaa nae yani lulu plz kuwa na amani uyu dada ni hamnazo
@maryshirima3049
@maryshirima3049 7 лет назад
Paty ilikua kuongolea siri za watu.....looh af siri zenyewe ss halaf watu wenyew wanaoongelewa sasa
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 7 лет назад
😳
@priscaoriko5526
@priscaoriko5526 7 лет назад
lengo lako hamisa n kuharibu mausiano ya zari na diamond ungekuwa unamjua sana ungekuwa nae tangia mda miaka tisa! ww n muharibifu tu unalolote aukuwa nae uko kote uje ujifanye saiv unampenda diamond
@pierreadams3114
@pierreadams3114 7 лет назад
Dunia hii haiishi maajabu
@cheupestefano3303
@cheupestefano3303 7 лет назад
mbona miaka tisa mama hujumzalia mtoto? na isitoshe ulienda ukazaa na mwanamme mwengine ilikuwaje ukaja ukaamua umzalie sasa? vile alikuacha akawa na zari ndiyo ulitaka kumkomoa? na isitoshe si ni wewe mmoja ulikana kabisa kuwa na mapenzi na Mondi? PLEASE make us understand what's your issue with zari?? kumbe basi wema ndiye aliyekupindua mbeleni?? Hamisa huwezi force aliye kukataa now we understand your calculation was that if you got pregnant may be Mondi would have reconsidered being with you. loo mama umemganda mtoto wa mwenzio vibaya mno. your son will one day be told how you brought him into this world NOT out of love but greedy for money and you are now using your son as a tool. WHAT A SHAME!!
@salamasaidi7363
@salamasaidi7363 7 лет назад
cheupe stefano hajamganda D mnamuonea Hamisa Huyo Dee ndio kashindwa kumuacha Hamisa kwani alimbaka hakuona sababu ya kumtangaza na kuzaa nimakubaliano sasa wamekubaliana wazae muacheni awe huru
@hamidahassan4961
@hamidahassan4961 7 лет назад
cheupe stefano k
@zeinabsalehe8937
@zeinabsalehe8937 7 лет назад
kahaba uyo demu anatapatapa nadunia shenzy zake yani cmpendi mbwa uyo anaharibu uhusiano wwtu
@zeinabsalehe8937
@zeinabsalehe8937 7 лет назад
nandiomana hata part yenyewe haina watu imejazana yenyewe tu
@reemiiomar9386
@reemiiomar9386 7 лет назад
cheupe stefano ww wacha kijifanya mungu mtu mola mwenyewe ndio anapanga kukupa mtoto hakuna werevu wakujuwa au kujipangia maswala y kuzaa isipokuwa kwa uwezo w mola mbona wema mpaka ss anatafuta mtoto hapati funguwa akili yk naujuwe unaandika nn
@tabithahenry1057
@tabithahenry1057 6 лет назад
polee dada na iyo make up jaman umekua km mdoli
@gracesangaboloko5414
@gracesangaboloko5414 7 лет назад
Niaibu daaaah mwanamke wewe
@irenekambi4705
@irenekambi4705 6 лет назад
Wewe mabeto acha kujipendekeza kwa Diamond olewa na mwenye kakuzalisha mwanzo
@zainabukalua6641
@zainabukalua6641 7 лет назад
Hamisa amenenepa,
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 7 лет назад
Da Wema ntakuibox.Loh Kumbe mke mwenzio.
@dullahmamu2165
@dullahmamu2165 7 лет назад
katarina william sio washamba na hawanaga bifu lov is a game upo nyonyo
@mariacassian3548
@mariacassian3548 6 лет назад
siri yanini hakimu anajua aaa siriyomwenzangu mapenzi yasiriiiiii hubaki nalialiaaaa unipeleke nyumbani kwenu sheriiyoooooox2 siupo mwenzangu mapenzi yasiri hubaki nalialiaaa tx wiliam
@shamimhassanzimzimahuyokij4521
Huna maana kabisa mambo yakoti ni sababu yakujiyebusha na kero lako, wanao pendana hawapelekani mahakamani
Далее
HAMISA MOBETTO ASHINDA BALOZI BORA AFRICA
2:07
Hamisa Mobeto: Haya Ndiyo ya Moyoni Mwangu Juu ya Zari
10:48
DIAMOND PLATNUMZ: NAOMBA MUWAPENDE WATOTO WANGU WOTE
5:38
SALIM KIKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Просмотров 148 тыс.