Тёмный
No video :(

NJE YA ULINGO 02/07/2024 | Juma Choki na mbinu alizotumia kumpiga Nasibu Ramadhan 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

Bondia Juma Choki ndani ya kipindi cha Vitasa Njye Ulingo siku tatu baada ya kushinda pambano lake dhidi ya Nasibu Ramadhan kwenye #DarBoxingDerby
Choki akiwa na Aidan Mlimila amefunguka jinsi alivyoshinda pambano hilo na mbinu alizotumia
#VitasaNjeYaUlingo ni kila Jumanne saa 1:30 usiku #AzamSports3HD

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@allychilinga1958
@allychilinga1958 Месяц назад
King 👑 of the Ring Juma Choki ananidhamu sana..aendelee hivyo hivyo Allah atamfikisha mbali..👊👊👊
@user-xy5fl9zy2h
@user-xy5fl9zy2h Месяц назад
Lkin nawapngza sana azam tv kwa kuiborsha ngumi n kuifnya ifike hapa n kuipa eshima kama michzo mingine ila serikali ingewekza kweli kwenye ngumi 2ngepta matji mengi sana n nnchi ingetmbulika zaidi kimataifa kuliko hata mpira
@Vitasafari-hr6ub
@Vitasafari-hr6ub Месяц назад
Juma choki utakuwa mwalimu wa mtoto wangu uko tatari,
@dullasabuni7189
@dullasabuni7189 Месяц назад
Yaani mungu kubariki kwa uongeaji wko hakuna atakae kuchukia Mimi nilikuwa upande wako lkn nilikuwa natetemeka hujawahi cheza game kama hii,kaza unasimama na yeyote
@shabanimara5449
@shabanimara5449 Месяц назад
Sema ulipigika Sana Ila tu Loki dauni na kutokua siliasi Sana nasibu ramazani
@shabanimara5449
@shabanimara5449 Месяц назад
Wewe umuwezi nasibu bila Lok daun ulipigwa ilipambano
@user-xy5fl9zy2h
@user-xy5fl9zy2h Месяц назад
Choki ni bondia mzuli sana ila kunki2 cha kujifunza hapa kwa mbondia wnaofnya michzo kma uwadui n usela n akiendelea n nizamu atfika mbali sana
@strongfighternal6512
@strongfighternal6512 Месяц назад
Nasibu on fire 🔥
@giftprosper2355
@giftprosper2355 Месяц назад
Champion
@TalkTella
@TalkTella Месяц назад
King chok
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Месяц назад
💥💥💥💥💥💥
@MuniniAdrien
@MuniniAdrien Месяц назад
Choki siku zote
@paulmwangoka
@paulmwangoka Месяц назад
dogo choki alijiandaa sana maana nasibu ramazani si mtu wa mchezo
@mliwakhatib9457
@mliwakhatib9457 Месяц назад
Bro kama sio ile lockdown nasib ramadhani alikua mshindi ila ile ngumi moja tu ndo ilimgharimu ila ukiomba rematch nasib anakumaliza
@moisemsanga9081
@moisemsanga9081 Месяц назад
Knockdown ✅ lockdown ❌
@fadhilially7357
@fadhilially7357 Месяц назад
NOCK DOWN IMEKUBEBA KWENYE ZILE ROUND 7 NASSIBU ALIKUWA ANAONGOZA ROUND 5 WEWE ULIKUWA NA MBILI PEKEE NA ZINGEFIKA NANE NASSIBU ANGEKUWA ANAKAMILISHA SABABU ALIKUWA AMASHINDA BILA UBISHI
@barakawiseman5073
@barakawiseman5073 Месяц назад
iwepo rematch... uyu jamaa atoboi
@HatibuRajabu-p5q
@HatibuRajabu-p5q Месяц назад
Acheni ushubwad nyie mtu kama kapigwa kapgwa2 iwe nokidown au iwe pwenti nassibu kasha chezea akajifue tena2 ila amuezi dogo
@shabanimara5449
@shabanimara5449 Месяц назад
Ulipigwa pambano ili ila lok daun imekubeba
@MoosaMzinga
@MoosaMzinga Месяц назад
Hujui kitu pimbi weww
@moisemsanga9081
@moisemsanga9081 Месяц назад
Knockdown ✅ lok daun ❌
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc Месяц назад
Sasa iyo knockdown si ilikuja sababu alijipanga au ilikuja from nowhere fuatilia ngumi mkuu mtu anaweza kucontrol fight round zote akaja akapigwa ngumi moja tu akapotea mfano Tony rashid alipigwa ngumi moja tu round ya mwisho akakaa ku uache kuropoka😂
@user-ze8hp1ls6t
@user-ze8hp1ls6t Месяц назад
Sio kwer
Далее
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 3,2 млн
Vita ya maneno ya mabondia Said Mkola, Said Bwanga
7:41
TOMAŽ GOREC / INTERVJU #8
3:32:35
Просмотров 120 тыс.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 3,2 млн