Тёмный
No video :(

NJE YA ULINGO SEHEMU YA PILI | Rais wa Naccoz Mafua alikuwa mkabaji, huvaa vito vya milioni 70, 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 4,6 тыс.
50% 1

Raisi wa Naccoz, Mafua asimulia mikasa aliyokutana nayo kipindi anajihusisha na ukabaji mpaka kunusurika kifo. Mafua anasema vito anavyovaa vina thamani ya Shilingi milioni 70.
Mwamba huyo shabiki mkubwa wa vitasa anasema nyumbani kwake hutumia shilingi 85,000 kila siku kuhudumia familia anayoilea.
Mwamba huyo amepiga stori na Aidan Mlimila kwenye Nje ya Ulingo.

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 2 месяца назад
Kweli kabisa huyu mdau sio utani
@SamwelMbaga
@SamwelMbaga 2 месяца назад
Namkubali Sana mwamba
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 2 месяца назад
Jamaa upo poa sana mcheshi hana makuu kimara moja hiyo mtaa mengeni moja hiyo
@Kevworx
@Kevworx 2 месяца назад
Mtaalam Mafua kwenye moja na mbili
@amirmape6474
@amirmape6474 2 месяца назад
Huyu jamaa nilikuwa najiuliza kwanini kila mechi yupo huyu kweli Mdau mkubwa wa ngumi 🤣
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 месяца назад
Dkk ya 22:46 VRR mwamba umetisha😂
@habyhabib7538
@habyhabib7538 2 месяца назад
Nimewah muona huyu jamaa ktk harakat za fight lakin yupo mgonjwa,daaaa anamapenz ya dhati na mchezo huuu
@maulidiathumani973
@maulidiathumani973 2 месяца назад
re 22
@habyhabib7538
@habyhabib7538 2 месяца назад
Usimsifie mtu akidanja But huyu jamaaa mdau kwel kwel watu kama hawa wanabidi wawe hata ktk bodi na chama cha ngum,awashaur maana kuna sometyms tunapata aibu ,Aiseee tunahtaj hawa watu maana wana uzalendo
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 2 месяца назад
Nimecheka sana interview za uyu jamaa ni burudani sana😂😂😂😂
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 2 месяца назад
Mfaume hanuezi msauzi acha kujipa moyo
@dogopctz2749
@dogopctz2749 2 месяца назад
Msauzi apewe mwakinyo au ibra class
@Mlokoz_twangalatwz
@Mlokoz_twangalatwz 2 месяца назад
😂😂😂
Далее
журавли в пятницу
00:14
Просмотров 71 тыс.