Тёмный
No video :(

NJE YA ULINGO SEHEMU YA KWANZA | Mafua asema alichomwa moto kwa ujambazi, mvua ikamuokoa 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

Rais wa Naccoz, Mafua amesimulia mkasa aliwahi kukutana nao enzi akijihusisha na matukio ya ukabaji na kusema kuwa aliwahi kupigwa mpaka akapoteza fahamu na akamwagiwa mafuta ili achomwe moto.
Moto ulipoanza kuwaka mvua ikaanza kunyesha na hapo akaamka na kuanza kukimbia.

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 2 месяца назад
Azam big up Sana kwa kusaport michezo ila waambieni mabondia wakate BIMA ya afya kwa maslahi Yao.
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad 2 месяца назад
Sasa hz sim kuzishika hvi ndyo tujue unazo zakutosha au kujimwambafai
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 месяца назад
Mafua kweli mtamu sanaa yupo fresh
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 месяца назад
Hussen itaba hayupo fresh bora ache ngumi
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 месяца назад
Mulize jina lake basi tujuwe
@stanastana3199
@stanastana3199 2 месяца назад
Macheini
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 2 месяца назад
mm mwenyewe namkubali sana Muhammed Ally
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 месяца назад
Mohammed Ali hata walokua wapinzani wake walikua wanampenda
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 месяца назад
Mtangazaji itabidi siku moja utembe siku moja ili tupate uwasilia
@user-gp3sr4hn1y
@user-gp3sr4hn1y 2 месяца назад
Clachi acha mambo yako hujaacha
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 месяца назад
Haulizi jina , amezaliwa mkoa gani, ana watoto wangapi shule kama ikiwezekana kaishia wapi shule gani uliza tujue
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 месяца назад
Mafua upo swaa
Далее