Тёмный

NONDO ZA PROF KABUDI BUNGENI ZAMKOSHA NAIBU SPIKA AMUITA AJE AKAE KITI CHA MBELE"HALIKINZANI KABISA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 8 месяцев назад
Nakupenda Baba unanikumbusha mbali sana Mungu awalinde ninyi nyote viongozi na muitende kazi kwa Moyo wote
@ndamezerevocatus1078
@ndamezerevocatus1078 8 месяцев назад
Namkubali huyu mzee ❤ kabudi Nampenda naibu speaker as well ❤
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 8 месяцев назад
You are always my best professor. Hongera sana kwa kutwnabahisha mambo kwa mawanda mapana.
@fatimahants1526
@fatimahants1526 8 месяцев назад
Kiongozi, mwana sasa Mkongwe jasiri mwenye ueledi wakina mheshim kabuda ❤❤❤❤❤uwepo wake muhimu sana unahistory nzuri yako Tanzania 🇹🇿..haina yako Tanzania
@bishopfrederickchingwaba5337
@bishopfrederickchingwaba5337 8 месяцев назад
Big Brain! A very Brilliant Professor! Strong Speech!
@andrewmasele1963
@andrewmasele1963 8 месяцев назад
Huyu anafaa kuwa Rais wa Nchi kwa maslahi ya wanyonge maana mambo yake yamenyooka, Hongera sana Prof . Paramaganda Kabudi
@EdwardSadocMwangamba
@EdwardSadocMwangamba 8 месяцев назад
Palamagamba Kabudi ni professor wakuigwa. He is always very royal in speech and he deserves to lead the people accordingly
@richardmollely9152
@richardmollely9152 26 дней назад
Proff Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi...Mungu azidi kukutuza
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 Месяц назад
Wamebaki wachache wanaoifahamu Tanzania huyu Mwamba Prof. Kabudi anajua, Mungu ampe maisha mema, Nimefurahishwa pia na uteuzi wa Mheshimiwa Rais miongoni mwa mawaziri walioteuliwa ni pamoja na Mheshimiwa Prof. Palamagamba kabudi kuwa wizara ya katiba na Sheria jamaa anajua bhana heshima yake.
@comradejonasrwegoshoramwal5727
@comradejonasrwegoshoramwal5727 8 месяцев назад
Paramagamba Kabudi ni hazina ya taifa. Huyu ni mwalimu hasa
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 8 месяцев назад
Huyu jamaa mwamba sana, ni Prof kwelikweli, Mwl. Labon
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 8 месяцев назад
😊😊😊
@damianmachira7535
@damianmachira7535 8 месяцев назад
Safi sana mwamba kabudi. Watu exception utawala unataibia ya kuwaficha. Kongole sana
@metiliole7189
@metiliole7189 8 месяцев назад
Le Professor maneno mengi utekelezaji
@jonathanmlinda2580
@jonathanmlinda2580 8 месяцев назад
Niliimiss sana hii sauti
@MeshackKamenya
@MeshackKamenya 8 месяцев назад
Kiukweli nakuombea maisha marefu sana tena sana
@mohdmood9726
@mohdmood9726 8 месяцев назад
Amechambua vizuri, ingawa ameshindwa kuchambua Uhuru wa tume inategemea inapatikana vipi.
@mosesmwasanga7661
@mosesmwasanga7661 8 месяцев назад
Sidhani Kama Ameshindwa, ila kwa Uelewa wangu Namuona kama Kuna Mambo mengine alilenga zaidi, ndio maana Penye Kipengele hicho Amekipita,
@HuliloDonard-gu9bp
@HuliloDonard-gu9bp 8 месяцев назад
KABUDI nikiongozi bora namkubali anajua na mnyenyekevu
@FrancesMngoya
@FrancesMngoya 8 месяцев назад
Mwamba huyu bhnaa,,cnaga ubaya naye kbs,,, Hazina hazina tz
@vamitv873
@vamitv873 8 месяцев назад
Kwa serikali ya ccm unapata ujasiri wa kusema huyu ni hazina.? Haizina zip ambazo tumewah kuzitumia tangu kwa mwalimu.?
@FrancesMngoya
@FrancesMngoya 8 месяцев назад
@@vamitv873 kwa serkali ya chadema Kamuweke Mbowe pale ikulu,tutamsupport pia,
@vicentrogers9465
@vicentrogers9465 8 месяцев назад
Apewe ulinzi🖐️🖐️🖐️
@emmanuelmwiyulege7923
@emmanuelmwiyulege7923 8 месяцев назад
Tunaomba serikali impe nafasi ya kuzungumza mara kwa mara hotuba zake zinatujenga sana na ni hotuba za kizalendo
@MatembereMsabira
@MatembereMsabira 5 месяцев назад
🎉🎉🎉
@RichardDonatus-y6s
@RichardDonatus-y6s 8 месяцев назад
Huyu mtu ni mnafiki tu anajifanya yanayofanyika hayaoni na haoni sababu katiba mpya
@sawackoswald9322
@sawackoswald9322 8 месяцев назад
.mchumia tumbo
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 8 месяцев назад
Kwa hiyo Naibu Spika aliamua kuweka UPAJA makusudi kwa mwanetu dah
@jukiboy7012
@jukiboy7012 8 месяцев назад
Uko bungeni mwamba ni kabudi paramagamba
@jukiboy7012
@jukiboy7012 8 месяцев назад
Ndugai kafurahi
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 8 месяцев назад
Professor Majalala😂😂
@allentindya5144
@allentindya5144 8 месяцев назад
Tumechelewa sana
@maclucky4149
@maclucky4149 8 месяцев назад
Kabudi ni mnoma kwenye sheria....
@BarakaWaya
@BarakaWaya 8 месяцев назад
Hii Ni hazina kwa nchi
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 8 месяцев назад
Hivi ni Kwa nini wanapenda sana kuchukua muda mwingi kupongeza pongeza tu
@robertphilip385
@robertphilip385 8 месяцев назад
Huyu jamaa tapta wa hatari
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 месяцев назад
Hakuna mzalendo au mwadilifu atakayetokana na serikali ya ccm na watendaji wake watanzania tumeyawaona mengi katika chaguzi mizengwe tu ccm na serikali yake haina mpango wowote wa uchaguzi huru na wa haki na kuwa na tume huru ya uchaguzi ya uchaguzi kuna miingiliano ya mihimili lengo ni kuilinda ccm iliyoozesha nchi
@jukiboy7012
@jukiboy7012 8 месяцев назад
Mwamba kabudi
@abuu0001
@abuu0001 8 месяцев назад
I suggest bongo tupate kiongozi mmoja imara atakae ongoza miaka mingiii bac kama Russia na China afuuu tuwe busy na maendeleo aya mauchaguzi daily yanatucheleweshaaa na tuna incur much cost daily
@andrewmasele1963
@andrewmasele1963 8 месяцев назад
CCM pendekezeni mmoja ya wafuatao kwa uchaguzi ujao kuwa Rais wa Nchi kwa maslahi ya wanyonge : 1. Prof Paramaganda Kabidi, 2. Dr Hussein Mwinyi, 3. Kassimu Majaliwa 4. Williamu Lukuvi
@richardmuyango6106
@richardmuyango6106 8 месяцев назад
Ndugu yangu nakuunga mkono lkn kwa lukuvi hapana bora polepole
@boniphaceodhiambo-s1i
@boniphaceodhiambo-s1i 7 месяцев назад
This is law iron men
@smsno1415
@smsno1415 8 месяцев назад
Wish him be 1st citizen
@ibrahimmadihinah6918
@ibrahimmadihinah6918 8 месяцев назад
Dah viongoz sindo hawa bwana
@josephzacharia6379
@josephzacharia6379 8 месяцев назад
Mfundishe waitara ajifunze kwa maneno yenye elimu na busara aache kuropoka apo ni bungeni sio baa
@JacksonJoram-o5k
@JacksonJoram-o5k 8 месяцев назад
Sawa waeshimiwa wabunge mnaongea mwema na mazuri ya dct Samia suluhu mbona amtohi madhaifu yake au ndo ile mkiongea madhaifu chama kinakufungia
@robertphilip385
@robertphilip385 8 месяцев назад
Huyu jamaa tapeli. Lakukufa mtu chawa wahatari
@renatusngolongolo
@renatusngolongolo 8 месяцев назад
Bonge la kiongozi
@stanleysilinge3395
@stanleysilinge3395 8 месяцев назад
Huyu ni rais ajae apewe nafasi
@RichardDonatus-y6s
@RichardDonatus-y6s 8 месяцев назад
Hacha maigizo sheria iseme hivi ambaye atakapewa maulana ya kusimamia uchaguzzi asiwe muadilifu apple kwenye maakamani ahukumiwe ikipedezwa hadi kifo
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 месяцев назад
Siamini chochote chema toka bunge la ccm huyu msomi aliyemwita rais mungu aliyemwokota jalalani hana jema tamaa na kujipendekeza kumeharibu elimu yako na ya wasomi wengi wa nchii hawana la maana ubinfisi wa ccm na dhambi ya unafiki wizi mkubwa wa viongozi wa serikali ya ccm mnaiba kila kitu hamjali maisha ya watanzania porojo tu na unafki
@likimaro6
@likimaro6 8 месяцев назад
Yaan anaenda mbele, anarudi nyuma anaboa sana
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 8 месяцев назад
Mbona viti vingi viko wazi humo bungeni? Wabunge wameenda wapi?
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 8 месяцев назад
HUYU ANAFAA KUWA RAISI WA NCHI AU MAKAMO WA RASI AU WAZIRI MKUU WA NCHI NI KICHWA KWELI KWELI
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 8 месяцев назад
Ccm hakuna mtu mkweli wanafiki wote kum' nyoko zao
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 8 месяцев назад
Wewe unaetukana huna akili kabisa
@Zaward-zj9ee
@Zaward-zj9ee 7 месяцев назад
Hakika wewe ni tunu ya tz
@kamndemwakitosha1439
@kamndemwakitosha1439 8 месяцев назад
Alikosea tu alipoenda kubeba Mitishamba Madagasca
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 месяцев назад
Hajakosea chochote Covid 19 kila mmoja kapambana kwa hali yake. Muhimu upovu umepatikana.
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 8 месяцев назад
Na alipomuita JPM Mungu? Au huna hiyo clip
@mvukiedavid4332
@mvukiedavid4332 8 месяцев назад
Na aliposema ameitwa Jalalani,hata hivyo enzi za mwendazake waliku bootlickers
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 месяцев назад
​@jumbeojaso5767 Kwenye masuala ya Imani kuna tafsiri tofauti kulingana na Imani. Mfano Waislam tunaamini Nabii ndio Mtume na wa mwisho ni Muhammad SAW lakini imani nyingine maana ni tofauti Manabii hata sasa bado wanazaliwa kama haitoshi Yesu ambae kwetu ni Nabii wa Mungu wengine kwao ndio Mungu, sijuwi kabla hajazaliwa ilikuwaje
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 месяцев назад
​@@mvukiedavid4332Ni tafsiri tu Kiswahili kina tafsida. Alijiona kwa umuhimu wake hakustahiki alikokuwa.
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 8 месяцев назад
Kwn wale wabunge 19 wa chadema wako bungeni??nauliza
@MeshackKamenya
@MeshackKamenya 8 месяцев назад
Kiukweli najivunia sana kuwa katika nchi ya watu wenye upeo mkubwa kama wewe
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 8 месяцев назад
Kama TZ ilivyounda CAG office iunde tume ya uchaguzi huru kama CAG office ilivyo huru. Tume itakuwa na kazi za kudumu mf kusimamia daftari ( register) ya wapiga kura kupunguza watakaokufa, kuinviza wanaotimiza umri nk, kuandaa chaguzi nk. Chombo huria kitasaidia chaguzi kuheshimika. Hakuna fedheha kama uchaguzi wa nchi huru tena kibabu cha miaka 63 kuwa wa malumbano oo sio halali, ooo ni uchafuzi nk. Mbona ligi za mpira mbeba kombe halalamikiwi? Tunifunze kwao. Tuondokane na aibu ya lawama na fedheha za chaguzi.
@chachachacha1314
@chachachacha1314 8 месяцев назад
Sasa hapo nondo ziko wapi 11:15 11:17
@VotanVotan-gb3hd
@VotanVotan-gb3hd 8 месяцев назад
We ni professor bwana pokea Maua yako
@alexchawe-ln7dq
@alexchawe-ln7dq 8 месяцев назад
Huyo ni mnafiki tu anajali sana tumbo kuliko nchi,alimuita Magufuri mh Mungu hafai kabisa
@alexmalindo8179
@alexmalindo8179 8 месяцев назад
Ndugu mbona majina yetu huwa siyo wajinga wewe imekuwaje unaleta previous inshu?
@martineshija2712
@martineshija2712 8 месяцев назад
Kati yawa2 bola kabisa waliofanyakazi bola wakalitumikia taifa kwaubola kabisa wapi Lukuvi Wapi Kalemani
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 8 месяцев назад
"Bola," "ubola", maana yake nini.ujinga tu mnaeneza kwenye mitandao
@PaulTajiri-i6b
@PaulTajiri-i6b 8 месяцев назад
Tafuta nafasi urais wewe ni mzalendo sana mheshimiwa 4:35
@jukiboy7012
@jukiboy7012 8 месяцев назад
Uko bungeni mwamba ni kabudi paramagamba
@jukiboy7012
@jukiboy7012 8 месяцев назад
Mwamba kabudi
Далее
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Просмотров 302 тыс.