Тёмный

Ntemi _Karibu Duniani(Official Video Hd) 

Ng'wana Kang'wa
Подписаться 39 тыс.
Просмотров 384 тыс.
50% 1

Passmedia.com

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@jumamaduka3842
@jumamaduka3842 5 лет назад
Daaaah aseeeee sipo nchini kwetu,,nipo Canada lakini Bado nafuatilia Sana nyimbo za nyumbani ,usukumani Raha jamani Kuna jamaa yangu mmoja wa marekani akinikutaga naziangalia huwa anapenda mpaka namwachia computer aseeee. Abhasuguma duli higulya bhabehi gonhana....gonga like Kama unazikubali hizi nyimbo aseee twende pamoja.
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 лет назад
Shukran kutoka Canada
@jumamaduka3842
@jumamaduka3842 5 лет назад
@@ngwanakangwa pamoja Sana ndugu
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 5 лет назад
Hatamie Nipo Oman 🇴🇲 nazipenda sana nyimbo Zanyumbani kwetu usukumani najikuta namiss sana home abarikiwe sana kakaeeetu😍👏🤝
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 года назад
Kashi no bebe hata mm nipo omani lkn bafo nazipenda mno
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 года назад
@@rahmaoman5122 Rahma omani sehemu gani mamy
@MathiasPeter-fy4hr
@MathiasPeter-fy4hr 4 месяца назад
Mwana kang'wa nampenda
@joachimngereja7608
@joachimngereja7608 9 часов назад
Mbogwe, kwetu nyumbani ,sisi walongo na wasumbwa
@neemamathius5351
@neemamathius5351 2 года назад
Onitogisha,kalimbo kawiza.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 года назад
Huy jamaa n mkali bwana tuache unafiki
@MathiasPeter-fy4hr
@MathiasPeter-fy4hr 4 месяца назад
Mimi nipo2 hapa marekani,nimekumbuka nyimbo zetu za asili za usukumani,dah! jamani
@annastaziapaschal6371
@annastaziapaschal6371 3 месяца назад
😂😂😂😂
@pinkcds
@pinkcds Месяц назад
Could you help me find a song from your country?
@TeddyMkopi
@TeddyMkopi 4 дня назад
Nimeipenda nyimbo hii my broo
@pilimohammed-vh1kq
@pilimohammed-vh1kq 4 месяца назад
Najivunia kua msukuma na enjoy sana
@jackmkama7996
@jackmkama7996 2 года назад
Kazii nzurii saana nazipenda nyimbo zako
@jumajilala423
@jumajilala423 2 года назад
Wimbo safi kabisa unafundisha
@user-et8vz5cm6y
@user-et8vz5cm6y 5 месяцев назад
Anasauti nzuri sana Tanzania tunajuvunia sana,
@dadahalima1304
@dadahalima1304 3 года назад
Mungu akipenda uzima uendelee kutubuludisha Mwanakatwe
@joackimmbunda5335
@joackimmbunda5335 Год назад
Jamaa linaandika.jumbe.sana.proud of sukuma
@user-hs9ch6eb4f
@user-hs9ch6eb4f 6 месяцев назад
tunajivunia kua na msanii bora w kisukuma ❤❤❤
@xaviourmashura5415
@xaviourmashura5415 5 месяцев назад
I don't understand the meaning of the but I really enjoy your songs.
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Which country do you come from?
@SegesoMatondo
@SegesoMatondo Месяц назад
Ngosha omanile ogwemba
@hamismsafiri6042
@hamismsafiri6042 3 года назад
Nairudia Sana hii nyimbo
@telyabtty4616
@telyabtty4616 Год назад
Kijana upo juu sanaaa Mungu azidi kukupa maisha marefu yenye mafanikio hakika Wasukuma unatuinua na kutuburudisha sana Mungu akulinde na kukubariki. Kazi nzuri sanaaaa
@sophiamichael644
@sophiamichael644 5 лет назад
Wimbo ni nzuri sana, lkn jitahidi kutoa mapema video za nyimbo zako. Napenda sana nyimbo zako 7bu zinafundisha ktk jamii.
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 года назад
Upo vzr Sana msanii wetu! MUNGU akupe maarifa zaidi ya hapo.
@charlesshikoye5545
@charlesshikoye5545 2 года назад
Unajua Sana kuimba mungu akuzidishie Sana👊👊
@khamisjohn7639
@khamisjohn7639 3 года назад
Safi sana ngosha ntemi wa mahala.....nakatumamaga Serengeti tupange wize wimbe handoa yane
@SemeniJuma-vm9jd
@SemeniJuma-vm9jd 3 месяца назад
Wazalendo wa kabila letu tujuane
@shijakaswahili1374
@shijakaswahili1374 4 года назад
Ngonga like kama unamkubari mwana kang'wa
@salimalqartubi3038
@salimalqartubi3038 5 лет назад
Asante kaka napenda nyimbo zako sana huwa najiskia raha kuskiliza nyimbo za nyumban wabeja sana kaka
@sebastianphilipo3401
@sebastianphilipo3401 5 лет назад
poa karibu nguruka kigoma
@khadijashaban-zr1uz
@khadijashaban-zr1uz 5 месяцев назад
sauti powa kuluone🌟🌟💯
@rehemand0mwa657
@rehemand0mwa657 5 лет назад
Kaka yangu nakupenda sana unanifanya nikumbuke usukumani
@ibengweboaz4327
@ibengweboaz4327 5 лет назад
Kazi nzuri sana ng'wanakang'wa!
@ngeckshumangeck5959
@ngeckshumangeck5959 3 года назад
Uko vizr mzee nshawahi nakuhuzuria moja yashoozako sehemu moja inaitwa mwakitolyo bigapu sana
@teddyemmanuelyemailteddyemmanu
Nyumbn kwetu kabisa
@martineyegela6598
@martineyegela6598 2 года назад
We jamaa unajua san 🙏🙏🙏 home sweet home nmepamisi sana
@annadotto2429
@annadotto2429 4 года назад
Hongera zako nyandandondoooo
@user-ew8df4vm4u
@user-ew8df4vm4u 6 месяцев назад
Ni moto ni fire hatari
@abdallahkhamis7390
@abdallahkhamis7390 3 года назад
Wimbo mzuri sana, lakini naskia baade mtoto alifariki poleni sana wazazi,.
@user-mc7pr6jd4t
@user-mc7pr6jd4t 5 месяцев назад
Wewe Usiniambiee😢😢😢😢😢
@user-qr6qw3qt3c
@user-qr6qw3qt3c Год назад
Omani mbali sana ilanilisikia lugayangu nafurahi sana
@gidionsebastian2410
@gidionsebastian2410 4 года назад
Uko vizuri sana
@gulackdreams9026
@gulackdreams9026 4 года назад
Nakukubar sana ntemi wa mabhala
@khadijashaban-zr1uz
@khadijashaban-zr1uz 5 месяцев назад
janga bhutong kuluoni
@barnabamasigani221
@barnabamasigani221 3 года назад
Kimba nikee jileneja aleyo atale ndoo geke
@rojaelias8572
@rojaelias8572 5 лет назад
sawa kabisa kaka angu
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 5 лет назад
Mashaallah shukrani kakaangu 👏 maana nilikua naisubili kwaham hii video
@emmanueljohn3827
@emmanueljohn3827 4 года назад
Unaweza sana 2
@SimatandeGova-bm8zr
@SimatandeGova-bm8zr Год назад
Upo vizuri mbamba
@catherineanthony4671
@catherineanthony4671 3 года назад
I love your songs
@winnykihore8726
@winnykihore8726 5 лет назад
penda sana nyimbo zako
@immagloryjohnson2740
@immagloryjohnson2740 2 года назад
nyimbo nzuri sana
@mariakisandu114
@mariakisandu114 Год назад
Nakubali san hii nyimbo
@ZaiElias
@ZaiElias Год назад
❤Sana
@fatumageroge
@fatumageroge Год назад
Hata m nazikubari kabisa
@annadotto2429
@annadotto2429 4 года назад
Amimbo gako alinizukija kaya gete nyanda ndodooooo!!!
@lyubalukas9693
@lyubalukas9693 5 лет назад
Nyanda ndodododo!!!!!
@user-lx8ln2gk3n
@user-lx8ln2gk3n 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@pogbabundala8758
@pogbabundala8758 4 года назад
Nakukubar sana mkubwa wa kaz hongera sana mungu akubarki uendelee kuwa juu zaid m shabka ako namba1 tz
@leonardndayishimiye
@leonardndayishimiye Год назад
Nipo burundi naskiliza nyimbozako kaka unawa kabsa sio utan
@allysalumu6858
@allysalumu6858 3 года назад
Safi sana kijana
@cleophacemulya8312
@cleophacemulya8312 2 года назад
Safi sana nyumbani ni nyumbani tu.
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv 6 месяцев назад
Kalibu duniani
@kulwampela3890
@kulwampela3890 4 года назад
Nimekumbuka sana home ubakikiwe msaniii wetu
@reginampigachai8537
@reginampigachai8537 3 года назад
Uk vizr kaka
@mwambameshak5420
@mwambameshak5420 2 года назад
@@reginampigachai8537 p
@user-lx8ln2gk3n
@user-lx8ln2gk3n 3 месяца назад
❤❤❤❤
@jamesmzalendo1785
@jamesmzalendo1785 4 года назад
kazi nzuri sana kaza buti kaka
@barthomabula4402
@barthomabula4402 5 лет назад
Nic
@ramadhansagutangu1641
@ramadhansagutangu1641 5 лет назад
Hahahaaa asante kijana
@user-ov7dl2kp6q
@user-ov7dl2kp6q 7 месяцев назад
Amina😂😂😂😂😂😂😂
@ellykyomo7428
@ellykyomo7428 4 года назад
Uko vizuli Sana😘😘😘😘😘😘😘😘
@mariamlutemagula7270
@mariamlutemagula7270 4 года назад
Mama Mtoto kanuna aiseee sijui kaogopa Camera...
@hprda6257
@hprda6257 4 года назад
We
@devidimarko2280
@devidimarko2280 3 года назад
Ngosh
@roseandrea5573
@roseandrea5573 5 лет назад
kaka tunakuhitaji sana kwetu,uje ufany shoo cjui tunakupataje
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 года назад
+255753853523
@lucymashamba1571
@lucymashamba1571 4 года назад
😘😘😘😘
@annadotto2429
@annadotto2429 4 года назад
Nyanda ndododooo ugwikala hali??
@yugatv920
@yugatv920 5 лет назад
Vp Ng'wana kang'wa uko pw📻😁😁
@jamesnyarobi9489
@jamesnyarobi9489 2 года назад
Bahati
@issahamza9255
@issahamza9255 3 года назад
Sn
@jumalubeja367
@jumalubeja367 3 года назад
Ngelela
@jumakasonta8873
@jumakasonta8873 3 года назад
Tembea kifua mbele hakika wewe ni fundi sio
@malundegeorge3533
@malundegeorge3533 2 года назад
Asantee kwa ujumbe
@bathromeobalisimula7166
@bathromeobalisimula7166 5 лет назад
Upo vizuri sana jamaa
@amananania862
@amananania862 4 года назад
Aminia
@paschalmuhamali5304
@paschalmuhamali5304 3 года назад
Asante sana
@matridaemmanuel2388
@matridaemmanuel2388 4 года назад
Salti kaka
@pauljulius1662
@pauljulius1662 5 лет назад
Hujawahi kukosea Tunasubili na video ya kachwele
@mahelatumayi7784
@mahelatumayi7784 5 лет назад
Hujakosea kaka
@kesiatomas3903
@kesiatomas3903 4 года назад
Balikiwa kaka. Unaweza
@issahamza9255
@issahamza9255 3 года назад
sn kakuku Bali sn
@MWAJANGAJMPANDE
@MWAJANGAJMPANDE 6 месяцев назад
🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@annadotto2429
@annadotto2429 4 года назад
Wimbo mzur sana lakin tatizo wazazi Wa magdalena wamepooza sana kama majiyamtungini
@eliudmarcko3478
@eliudmarcko3478 4 года назад
nambie wang vp nipe shavu tuimbe ata mimi nimiimbaji ira me niwabukba nichek on n 0653443444
@boniphacejoseph2984
@boniphacejoseph2984 2 года назад
magodi
@abdallahkhamis7390
@abdallahkhamis7390 3 года назад
Wimbo mzuri sana, lakini naskia baade mtoto alifariki poleni sana wazazi,.
@mojeymasaba8210
@mojeymasaba8210 3 года назад
Duh! Walimuonea wivu siunajua walimwengu
@mariamsamil
@mariamsamil Год назад
❤❤❤
@jumamaduka3842
@jumamaduka3842 5 лет назад
Daaaah aseeeee sipo nchini kwetu,,nipo Canada lakini Bado nafuatilia Sana nyimbo za nyumbani ,usukumani Raha jamani Kuna jamaa yangu mmoja wa marekani akinikutaga naziangalia huwa anapenda mpaka namwachia computer aseeee. Abhasuguma duli higulya bhabehi gonhana....gonga like Kama unazikubali hizi nyimbo aseee twende pamoja.
@jumamaduka3842
@jumamaduka3842 5 лет назад
@ITAPENDEZA CHANNEL chiza nkoyi ginehubhebhe
@getrudarashidi2566
@getrudarashidi2566 4 года назад
Penda mno temi timu yako
@mashajosseph2479
@mashajosseph2479 3 года назад
Uko vzr
@veronicahnangaleaxanteyesu4517
@veronicahnangaleaxanteyesu4517 2 года назад
Uko vzr mpenz
@MWAJANGAJMPANDE
@MWAJANGAJMPANDE 6 месяцев назад
🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@user-dk4nt3ue1k
@user-dk4nt3ue1k Год назад
❤❤❤
Далее
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Просмотров 396 тыс.
Ntemi Omabala_Acha Tudange Official Video HD.
9:42
Как вам наши образы?🥰🥰🤍🤍
00:10
Ntemi _Asante Rais Magufuli.(Official Video HD)
10:55
Просмотров 310 тыс.
Ng'wana kan'gwa ufunguzi wa makula guest b by jA60
11:47
Ng'wana Kang'wa _ China Plaza Official Video 4k.
9:39
Ntemi_ Harusi ya Anna Official video.
10:16
Просмотров 971 тыс.
Ng'wana Kang'wa - Nalhi Nsukuma (Official Video 4k)
6:19
Ntemi Omabala _ Harusi ya Paulo Official Video HD
11:58
Gude Gude~NG'WANA MAJALIWA
18:18
Просмотров 185 тыс.