Mmmmmh..!Unamjua Celine Dion au una msikia Huwezi fananisha na Huyo wewe Afanye Mazoezi Mara Mia Saba Celine anaimba hadi octave za 3 kwenda huko Juuuuu..Wewe Celine mwachenii mwenyewe weeeeeeweeeeee Mtu anaimba Ma flat hivyo khaaaa..
@@africanhappyadventure6951 sorry to ask, hivi nawewe ulikua mshiriki na hujashinda or what!! why soo much hate on her?! Sio poa ndo ameshachaguliwa kubali tu matokeo
dah sijafatilia sana background yake toka alipoingia Bss season 9. Nilipokuja kuketi final ukwel huyo ccy anakipaji kikubwa sana salute nyingi sana kwake
SARAPHINA IS TALENTENTEDAND CAN PERFORM DIFFERENY KIND OF MUSIC IN TZ AND WORLD WIDE,SHE CAN DANCE IN STEPS, HANA PAPARA, CONGRATULATION SARA, YOU DID WELL, USIVIMBE KICHWA UKACHEZEWA TU BILA KUONA NYIMBO ZAKO, MUSI IS YOUR TALENT
Duuuh ametisha cjawahi ona tangu bongo star search ianzishwe uwezo wake ni mkubwa mno kina Nandi, vee money na ruby wajipange naona mapinduzi makubwa yanaenda kutokea yaani wewe acha tu...
Pia kama ikiwezekana namuomba sana apo mbele aje Adondoke na cover ya njiwa peleka Salam naamini watu wataipokea Tena Kwa Khali ya kitofauti sana mana kaifanya powa sana Wengi tumemkubali hakika