Тёмный

Nyota tajiri zaidi? 

Rakims Spiritual
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

9 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@jojotanzan609
@jojotanzan609 7 дней назад
Kama wewe ni simba kama mimi like hapa
@RamadhanSalimu-ez4ok
@RamadhanSalimu-ez4ok 24 дня назад
Mashaallah jazakaallahu kher
@ProscoviaAntony
@ProscoviaAntony 11 дней назад
Niko apa mungu akubariki mwalimu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 10 дней назад
Asante atubariki sote
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 24 дня назад
Unaweza Brother
@dianagokaldas2773
@dianagokaldas2773 22 дня назад
Shukrani mwalimu siku nyingi hujaonekana siku nyingi
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 15 дней назад
Nakuwa busy na wanafunzi kwenye magroup ina nitajitahidi kumaintain.
@francisdonald4298
@francisdonald4298 24 дня назад
Shukrani mwalimu
@Asiyedjali
@Asiyedjali 24 дня назад
Asante sana kweli kutuelimisha
@toniozias3857
@toniozias3857 24 дня назад
Shukran mwalimu mpendwa kwa elimu adimu Sana... Mwenyezi Mungu akuzidishiye
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 15 дней назад
Asante kushukuru.
@MatukimagereMagere
@MatukimagereMagere 24 дня назад
Naam
@JafaryMlisho
@JafaryMlisho 20 дней назад
Sheh asalm aleykum nilikua naitaji uniunge kwny group lako naomb utalatibi sheh
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 15 дней назад
Karibu. Unaweza kujiunga nasi kwenye group moja kati ya Group zetu tatu ambazo zinapatikana katika whatsapp
@wardagogodigo1111
@wardagogodigo1111 15 дней назад
​@@rakimsspiritualnamba yako naomba
@PARTCOVERS
@PARTCOVERS 24 дня назад
Mi wakwanza Leo naomba like zangu ... Sasa mbona Mimi Sion dalili ya kuwa tajiri ilihali nyota yangu niya Simba?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 23 дня назад
Asilimia 90% ya kile anachokiwaza mtu ndio hicho huja kumtokea. Unless mwenyezi Mungu amstiri
@paulmakunga44
@paulmakunga44 24 дня назад
Hii elimu ipo complex sana kwa upande wangu maana ukiangalia tarehe ya kuzaliwa na mwezi unajikuta upo katika kundi Fulani na ukiangalia nyota kupitia Jina la mtu na jina la mama unakuta umedondokea kundi lingine la nyota, Je ni njia gani sahihi ya kujua upo katika kundi gani la nyota? Waungwana msaada please 🙏
@AfandeMunezero
@AfandeMunezero 23 дня назад
Jina lako , unangaria herufi ya kwanza kwa lile jina lilokukuza tosha hiyo haibahatishi
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 23 дня назад
Asilimia 89% ya wanaosema nyota ya herufi ya kwanza kuwa ni nyota ya muhusika, Basi ni wabahatishaji wala hawana ukweli wowote.
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 23 дня назад
Muhimu ndio maana kila kitu kinawahusika wake, Muhimu ni bora ikifikia sehemu unataka kujua nyota yako thabiti ni kukaa na mtu anaezijua vizuri elimu za nyota, Hadi sasa kwa Tanzania sijaona akijiweka mtandaoni na kujitangaza, Wengine wote wanarudia yale yale tu ambayo wanaokota google.
Далее
Jinsi ya kusafisha nyota | Kung'arisha nyota yako
17:19
Jinsi ya kutajirika Kinyota
26:06
Просмотров 10 тыс.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
Katta janjal
00:29
Просмотров 163 тыс.
Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)
56:27
Просмотров 76 тыс.
Nyota yenye NGUVU zaidi?
3:00
Просмотров 4,1 тыс.
Jinsi ya kupata mali 2.
9:30
Просмотров 5 тыс.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15