Тёмный

NYUMBA MPYA INAUZWA TSHS MIL 65, SALASALA KINZUDI 

DalaliMwanamke
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 76 тыс.
50% 1

IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-SALASALA KINZUDI
_______________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-SALES AGREEMENT
__________
NYUMBA MPYA YA KISASA
TAMU FOR SIMPLE FAMILY
INAJITEGEMEA
YENYE;-
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimojawapo ni Master, Sebule kubwa, Jiko zuri lenye Makabati, Stoo, Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji yenye reserve tank lita 1000 vyote vipo
Ina Public Toilet nyingine ya nje
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
KAJUMBA FLANI HIVI KAPYA SIMPLE/CLASSIC WAOOOW!😍
___________
BEI INAUZWA TSHS MIL 65
___________________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
_______________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_________
PIA TUNAHAMISHA VITU, KUFANYA USAFI WA NYUMBA, KUBEBA NA KUSAFIRISHA MIZIGO AINA YOTE NDANI/NJE YA NCHI #MoveSafewithus @Dalalimwanamke_movingservices
______
4 THE BEST MC Follow @MCMtaenjoy 🎤

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@kagombaEnok
@kagombaEnok Месяц назад
Nyumba nzuriiii sana
@christinaonyango6085
@christinaonyango6085 2 года назад
Ipo bado
@halimahassan3031
@halimahassan3031 3 года назад
Nyumba nzuri sana
@ismailally1866
@ismailally1866 4 года назад
Bei sio reasonable, atleast 3 bedroom kwa bei hiyo ingenoga
@georginamhando6550
@georginamhando6550 4 года назад
Nice house though no dinning area, no wardrobes and no space for a standing cooker. The shared toilet is called common washroom/toilet and not public toilet. Public toilet ni ya raia yoyote huko nje kutumia.
@daddyoscarlemanager2427
@daddyoscarlemanager2427 3 года назад
vipi ndugu yangu mimi nipo Congo nisaidiye na iyi plan ya iyi nyumba.
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 4 года назад
Tumeiona but ungetuonesha na ramani yke ili tuione vzr kaka
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 года назад
Iko vzr nimeipenda ila CORONA imetubwaga kiuchumi😷😷😷🇰🇪
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 2 года назад
Tunaikemea corona
@evelynokello9596
@evelynokello9596 4 года назад
Nice one want to see more
@VastaMashaka
@VastaMashaka 9 месяцев назад
Ni nzur kinduz IPO mkoa gan??
@hadijamachimu5132
@hadijamachimu5132 4 месяца назад
Haina dining
@fedhelahaji6556
@fedhelahaji6556 3 года назад
Amezingi
@agustinomgaya2836
@agustinomgaya2836 3 года назад
Ngapi inauzwa
@itsjonahfather7941
@itsjonahfather7941 4 года назад
magari zaidi ya tano uongoo🤣
@talibsaid8081
@talibsaid8081 4 года назад
Nyumba nzuri lakini mbona bei Kali kwa vyumba viwili ?
@veronicatweve9015
@veronicatweve9015 4 года назад
Talib Said lakini ka kisasa bro
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 года назад
Veronica Tweve baby njoo tukanunue kanatufaa
@veronicatweve9015
@veronicatweve9015 4 года назад
Omar Lugendo 😄😄sijafikiria kuishi huko
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 года назад
Veronica Tweve wataka kuishi wapi baby
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 года назад
Nyumba Ina vyumba 2 Watoto wa kike na wakiume wanalala pamoja?
@zurisana8068
@zurisana8068 4 года назад
Nimeipenda sana hii nyumba.
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Год назад
Nyumb n nzuri lakin kwa bei hiyo n kubwa sana. Nyumb n y vyumba2 tu. Kwahiyo bei mmhh kubwa sana wajomb
@hadijamachimu5132
@hadijamachimu5132 4 месяца назад
Badoo ipo mbona muda imetangazwa
@jacksonrocky2712
@jacksonrocky2712 10 месяцев назад
Shimo la Choo/maji taka lipo wapi ?
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 года назад
Nawashauri ibadilisheni ramani ongeaeni chumba Cha 3 bila.hivyo labda Kwa mln 15 mnaweza UZA labda vyumba 2 itakuwa shida
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 4 года назад
Boss unafanya kazi vizuli na usichoke hivi siku za usoni utaanza kupata matunda, most real state start slow, kuna time utajikuta una many houses, na biashara itakua powa, all the best.
@om6147
@om6147 4 года назад
Mbona aliyeweka jiko hakuweka sehemu ya freestanding cooker?hakulitendea haki jiko hapo kuna kazi ya kurekebisha jiko,
@utaani1
@utaani1 3 года назад
Kijumba kidogo sana kwa bei hiyo ni kubwa sana. Kijumba kidogo kama vijumba vya UK
@jessevlog6112
@jessevlog6112 10 месяцев назад
Wengine wanaotoka nyumba inaweza kuwa ndogo lakini imejengwa vizuri Jengeni za kwenu mpango bei zenu muone
@jessevlog6112
@jessevlog6112 10 месяцев назад
Nyumba iko vizuri sana wache ambao hawajui thamani ya Nyumba waropoke
@utaani1
@utaani1 10 месяцев назад
Boss hiyo nyumba ni ndogo kama vijumba vya England kila kitu hapo hapo. Mimi nyumba yangu ina vyumba 5 na kila chumba ina choo ndani yake. Na hamna choo cha kuchutama wala hamna kutumia ndoo na kopo kwa maji.
@AnossyMbonekela-sb6ol
@AnossyMbonekela-sb6ol 7 месяцев назад
Salasala ni mji gani Tz😅😅😅😅😅
@fadhilingogota3581
@fadhilingogota3581 4 года назад
Hallo imeshachukuliwa au bado
@samsungoman5626
@samsungoman5626 4 года назад
Milion 85 nishajenga nyumba zaidi ya vyumba viwili kweli nyumba nzuri lakini bei kubwa kwa vyumba viwili
@ayoubsuleiman3675
@ayoubsuleiman3675 4 года назад
Hahahaaaa hahahaaaa jmn watu ndo maana huwa tunakufa masikini kwakwel mipango nimingi mnooo yn
@halimamagingi7839
@halimamagingi7839 4 года назад
Ni ml 65 au 80 sijaelewa
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 2 года назад
Ndugu yangu tukutane kubichi ndo kila kitu chipa
@dennismarandu2950
@dennismarandu2950 4 года назад
Natafuta nyumba ya million 10 iwe Kali
@MrIssa-mb8vx
@MrIssa-mb8vx 4 года назад
Which colour is that painted on the perimeter wall
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 года назад
Nzuriii
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 года назад
Nyumba nzuri lakini vyoo vya chini vya kizamani
@sahromohamed4375
@sahromohamed4375 4 года назад
Very beautiful 👍
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
NZUR
@emmymotaungmotaung6365
@emmymotaungmotaung6365 3 года назад
nimeipenda sana hii nyumba je kuna maelewano ya bei kupungua?
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 2 года назад
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmm muhukize
@nuramoboy
@nuramoboy 3 года назад
kwa nini Zanzibar kijumba kibovu milioni MIA dar nyumba safi kabisa ni mil 65 tu ?
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 года назад
Vifaa vya ujenzi dar rahisi na zanzibar kila kitu ununue bei ghali , saruji bati zote zinatoka Bara
@Sppah697
@Sppah697 4 года назад
Two bed na haina dining kwa bei hiyo ni ngali sana sana.
@raashidibrahim851
@raashidibrahim851 4 года назад
Kizuri sana. Mm Niko Kenya. Naomba unisaidie kwahela ya Kenya huku ningapi hio pesa uliyo itajahapo? Maana nimevutiwa sana nahio nyumba. Pale tu. Ulipo usiya kuwa nyumba ninzuri kwa waliyo wanandoa
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 4 года назад
Rashid ni kama 3.9M Ksh, and area ni Nzuli in case kama hujui dar, very peaceful neighbourhood, ndo maana ni bei kwa 2 bedrooms
@raashidibrahim851
@raashidibrahim851 4 года назад
Mpaka sahii bado iko haija uzwa??
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 3 года назад
hiyo nyumba bado ipo? sokoni au imeshauzwa?
@tumaininalaila2865
@tumaininalaila2865 4 года назад
Vishimo vya choo tena
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 4 года назад
Kajumba katamu na maelewano yapo dear ?
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 года назад
Hii nyumba ni OG nauliza ukubwa wa kiwanja na interest ya kununua
@osoromageta5392
@osoromageta5392 4 года назад
Nyumba nzr ila uwanja sasa
@AnossyMbonekela-sb6ol
@AnossyMbonekela-sb6ol 7 месяцев назад
Matangazo hayajitoshelezi mfano nyumba ilipo mtaa, kata wilaya,mkoa na nchi gani. Ukubwa waeneo, eneo lililojenjwa kwa % vifaa vya ujenzi wa msingi, ukuta kuezeka, dari sakafu. Mfumo wa majitaka na maji salama BAADA YA MAELEZO HAYO UZA TZS100 M mm nitakukeshi
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 3 года назад
40 ipo
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 4 года назад
huyu jamaa ana maneno ya shombo sana aiseee duuuhh
@radhidimasambiro4620
@radhidimasambiro4620 4 года назад
Hitter ipo jokoni kwa juu nimeiona
@Sppah697
@Sppah697 4 года назад
Nyumba bado ipo?
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 года назад
Uliposema whaooo mimi nimekuelewa kama poda.
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 4 года назад
Zinaingia gari ngapi
@aishambise6529
@aishambise6529 3 года назад
Naomba nitafutie nyumba kama hii lakini iwe room 3 sehem za Arusha itakuwa karibu kwangu ju Niko mbali nje y tz
@brianmwaikambo1766
@brianmwaikambo1766 3 года назад
Hello
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 4 года назад
*Hiyo parking ni magari matatu pekee sio magari matano eeeh jameni!* 😂😂😂
@jameswonderzlight3817
@jameswonderzlight3817 3 года назад
how do we get your contacts
@misozibuchumi9957
@misozibuchumi9957 4 года назад
Hbr ndugu.Mimi naomba contacts za fundi aliyeijenga. Nimependa umaridadi wa jengo.
@simonlusasi5752
@simonlusasi5752 4 года назад
0693-781801
@misozibuchumi9957
@misozibuchumi9957 4 года назад
@@simonlusasi5752 Asante ndugu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Год назад
kama Uongozi wa Museveni 😆
@okinyifrancis531
@okinyifrancis531 3 года назад
nobody would want to buy a house without fittings, closets hazipo bro.
@Sppah697
@Sppah697 4 года назад
Mini nikinunuwa choo cha nje nakivunjilia mbali.
@motomotoKe
@motomotoKe 4 года назад
choo cha nje ni stand ya water tank babaz...
@sahromohamed4375
@sahromohamed4375 4 года назад
Babangu Choo cha chini mbona?
@sahromohamed4375
@sahromohamed4375 4 года назад
Ni wapi hapo
@fatumav3109
@fatumav3109 3 года назад
Namba ya sim tunaitaji
@teychriss3248
@teychriss3248 4 года назад
Kwenye parking hapo ya ndani umetulisha matango pori
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 3 года назад
sasa mbona vyoo vya nnje mwavifanya vyakusutama ? 😏
@emmymotaungmotaung6365
@emmymotaungmotaung6365 3 года назад
but no ndogo sana ndani kwa 65Mil please at leastkwa 30Mil
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 4 года назад
Watanzania mmekosa maarifa.wachaneni na LUGHA YAKIZUNGU. HAMJUI ADVITISIMENT.
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 3 года назад
We mwenye umengea lugha gani
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 4 года назад
Vyumba viwil havinitosh
@sijalijohn9042
@sijalijohn9042 4 года назад
My offer 48 milioni
@massawegoodluck6886
@massawegoodluck6886 4 года назад
Inaukubwa gani ilo eneo
@listonjiwe3467
@listonjiwe3467 7 месяцев назад
Huyu jamaa hajielewi unatangaza biashara mtandaoni watu wanaamgalia biashala yako halafu unawaambia watu matomaso jinga sana
@frankd1156
@frankd1156 4 года назад
maelewano yapo?
@saikalyasi2707
@saikalyasi2707 3 года назад
Duuuuh dalali unatuchamba 😂😂
@Sppah697
@Sppah697 4 года назад
Hicho choo cha nje kimekaa Natali pabaya! Kinrchukuwa nafasi your ya nyuma.
@makiwariana
@makiwariana 4 года назад
Nigapi ku ma dollar?
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 года назад
Makiwa riana hujambo
@shadowhatory154
@shadowhatory154 4 года назад
Hiyo ni Kama Dollar 29,000/
@MaaneML
@MaaneML 4 года назад
Vyumba 2 mil 85???!!!! Hata uweke na bei ya kiwanja ambacho nakiona ni high density!!!!. Maji ni ya Dawasa au kisima? Vyumba 3 ingekuwa afadhali. Katika tangazo lako weka na size ya kiwanda? Kama kima tittle deed n.k
@mohamedalaraimi6813
@mohamedalaraimi6813 4 года назад
Toilet ina madirisha makubwa ivyo
@godfreyosalechuwa1734
@godfreyosalechuwa1734 4 года назад
Kwa dollar ningapi?
@lucky9285
@lucky9285 3 года назад
Just goggle Bro
@amanimgomi3546
@amanimgomi3546 4 года назад
Weka contact
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 года назад
Ipo mbona 0718936416
@kaitesivanniah3093
@kaitesivanniah3093 3 года назад
Kanyumba kazuri ila choo cha kuchuchumaa sio sawa🤨
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 2 года назад
Siutachenji tu
@eunicefulgence3164
@eunicefulgence3164 4 года назад
Mbona hakuna no yako ya simu
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 года назад
BADO VITANDA TU NDIO HAMNA AISEE
@sahromohamed4375
@sahromohamed4375 4 года назад
Twambye bey in $
@FredoBoy
@FredoBoy 3 года назад
Kwani choo hizo zingali? Duuuh... kitambo sana Ima wanaweka bei kali sana. Common washroom not public toil 🤣
@mohamedwarsame3073
@mohamedwarsame3073 4 года назад
My offer 45m
@africanatheist7946
@africanatheist7946 4 года назад
Cheap, hii ingekua Kenya ingekua Milioni 6
Далее
TSHS MIL 60, NYUMBA INAUZWA KITUNDA MAGOLE
9:22
Просмотров 29 тыс.
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 4,4 млн
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 21 млн
TSHS MIL 100 NYUMBA INAUZWA ,BOKO BASIHAYA
8:57
Просмотров 7 тыс.
NYUMBA YA MILIONI 600 INAYOUZWA PALM VILLAGE MIKOCHENI
11:17
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 120, MBWENI MPIJI
7:15
Просмотров 39 тыс.
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 180, MBWENI MPIJI
6:55
Просмотров 152 тыс.
TSHS MIL 90, NYUMBA INAUZWA GOBA MATOSA
9:57
Просмотров 23 тыс.