Vijana wenzangu tutafute hela. Tusali sana. Tujipambanie sisi na familia zetu. Harmonize.kiba.diamond.mario sjui simba na yanga wasitufanye tukeshe mtandaoni tujikumbuke. Nakaribisha matusi pia
Dah! Asee eti Mwenuezi Mungu amefanikisha😭 kweli jamani? Hapana hii haikai sawa, tusipende kumshirikisha Mungu kwa mambo ya anasa tena hasa kamari ni mchezo wa laana kupitiliza si poa kumshirikisha Mungu.
Umejenga hoja vizuri lakini haujaonesha aliyecheza na kushindwa ananufaika vipi... angalau ungesema asilimia 10 ya pesa yake atapata...kwa mfano 1000 umeshindwa..unapata shs 100
Kwani hamna michongo mingine ya kuongeza production nchini na kutoa deal kwa mashabik zaid ya kamari yan kila sehemu bet kamari tu ela zenyewe ziko wapi mitaa ina njaa kufulu...??
Kamari ni haramu kwa sisi waislamu Allah akujalie uwache mziki na kila linalomchukiza Allah rudi kwa Allah Allah atujalie mwisho mwema na atujalie njanna
Upo na akili nyingine au ni hii tu 😢 dini zimeletwa ilamnavyozishobokea😂😂 ww kazana tu ukkdhani Kuna peponi😮 ndio maana hatuendelea Africa kwa akili km zihi😂😂😂