Тёмный

YALIOJIRI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA GIGYMONEY/AGAWA CHAKULA NA NGUO KWA WASIOJIWEZA 

ZamaradiTV
Подписаться 239 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Развлечения

Опубликовано:

 

17 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@agnessntiburella8816
@agnessntiburella8816 19 дней назад
Jamani nampenda sanaGigy yaani kachukua njia nzuri, huyu bint ni mzuri sana ana uzuri wa asili ata asipo jipamba ni mzuri
@blackeagle4441
@blackeagle4441 18 дней назад
Uyu dada s kwamba huwa ajielewi BIG NO n wa Tz tu tunashindwaga kumwelewa although hakuna aliyekamili kwenye hii Dunia sawah ana mabaya yake lkn pia mazuri yake Kwa upande wangu nayaona n makubwa mnooo kwangu mm namchukulia star na na wish kumwona mbali pia. #Gigy_money nakupenda God bless you baby girl ❤️🙌
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 19 дней назад
Mashaallah nami soon nitafanya jambo langu Asante gigy kwahiki ulicho fanya Allah akulope zaid
@adelamartin1320
@adelamartin1320 17 дней назад
Love you da gygy nakupenda mungu akupe kila utakacho ❤❤❤❤🎉
@Zainab_salat
@Zainab_salat 19 дней назад
Saleh leo amepata chakula kila mahali yy anapenda kula tu😂😂😂😂😂
@aishaarusha894
@aishaarusha894 17 дней назад
Kwakweli😂
@nancyg8664
@nancyg8664 14 дней назад
😂😂 ndomana ananenepa pua
@MagrethDaniel-mc6bm
@MagrethDaniel-mc6bm 19 дней назад
umefanya kitu kikubwa sana maishani mwako ❤ mungu akuzidishie ulipopunguza akupe zaid ❤🎉
@user-qq2oc4bt3i
@user-qq2oc4bt3i 16 дней назад
Mashallah Allah akulinde Na Hasadi za watu wabaya Na mashetani
@user-vb2co6cs9k
@user-vb2co6cs9k 19 дней назад
Mungu akuzidixhie❤
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 19 дней назад
🎉🎉❤mashaallah hongeraa sana
@DM.2200
@DM.2200 19 дней назад
U did it gigy big up 🎉🎉
@Hidaya-os1pg
@Hidaya-os1pg 18 дней назад
Mashallah ❤
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 19 дней назад
Gyg barikiwa sana sana hiyo ndiyo ibada njema
@omaribalozi5055
@omaribalozi5055 19 дней назад
Hongera ndio maana nakuelewa Gigy money Big Up Long life to you
@cyahmkanile8587
@cyahmkanile8587 17 дней назад
Gigy wangu❤
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 19 дней назад
Kuna mbwa yanajiona,hayajawahi kutoa hiki alichotoa Gigy.
@MwanaOmar-vx6op
@MwanaOmar-vx6op 11 дней назад
Nakupenda gig
@lucymtui8680
@lucymtui8680 19 дней назад
@MIMA..THE..BOSS-kv7tn9jp9f
@MIMA..THE..BOSS-kv7tn9jp9f 15 дней назад
Mashaallah🤗one🥳love❤2🫶madam🫡boss🥰uishi..miaka..mia🤲amin..yarab🎉
@lucybatista2631
@lucybatista2631 18 дней назад
Nimejikuta nalia tu kwakwel always unanipaga nguvu Gigy
@chany9950
@chany9950 18 дней назад
Mbona sauti hamna jmn
@julianavicent4845
@julianavicent4845 19 дней назад
Mungu akawe baraka kwako
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 18 дней назад
Umefanya jambo zuri ila tu hizo nguo ulizogawa angalia vichupi vyako usiwape watu
@user-uc6xe7ht4k
@user-uc6xe7ht4k 13 дней назад
😂😂
@DM.2200
@DM.2200 19 дней назад
Mbona kama hakuna sauti au ni kwangu tu 😢
@Kildokiza145
@Kildokiza145 17 дней назад
Ukimwangalia Saleh anameza mata mara kwa Mara
@khadjamhozya
@khadjamhozya 16 дней назад
Umeona😅😅😅😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 18 дней назад
Mln 50 unanunua pombe kufurahisha watu mwenyewe unaishi nyumba ya kupanga hiyo pesa si ya kununua Nyumba hiyo kisha mukiumwa njooni mutulilie huku mitandaoni wenye hali za chini tutawachangia
@user-mf6vv1mf6x
@user-mf6vv1mf6x 19 дней назад
Saleh anaqngqlia misosi😂
@ChameenahAhmad
@ChameenahAhmad 18 дней назад
Huyu dada mawenge tu kdg lkn anaonekana n mtu mwema sana🎉😂❤
@nancyg8664
@nancyg8664 14 дней назад
😂😂
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 19 дней назад
Umefanya jambo jema
Далее
The Hardest Challenge!
00:37
Просмотров 2,3 млн
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 7
28:22
Просмотров 8 тыс.
мы в телеге - hahalivars
0:52
Просмотров 3 млн
Впервые дал другу машину…
0:57