Тёмный
No video :(

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA 14/3/2019: Maulid Kitenge na siri ya mafanikio yake 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 54 тыс.
50% 1

Ni Mtangazaji wa mkongwe wa michezo ambaye kwa sasa anakitumikia Kituo cha Radio cha EFM, Maulid Kitenge, akiwa kwenye kipindi cha Nyundo ya Baruan Muhuza cha leo Machi 14, 209 ameweka wazi dhamira yake ya kuhitaji kugombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya yaliyopo mkoani Dar es Salaam.
Mbali na hilo, Kitenge amesimulia historia yake ikiwa ni pamoja na kuweka wazi kilichompa mafanikio kwenye maisha pamoja na kazi anayoifanya.
Kwenye kipindi hiki, Kitenge amefunguka mengi, ikiwemo lile sakata la aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye kushikiwa bastola hadharani, suala yeye kutakiwa na Yanga ambapo ameweka wazi sababu za kukataa ofa hiyo, maisha yake binfasi na kwanini hupenda kusafiri kkwa kutumia daraja la biashara kwenye ndege pamoja na Nguli huyo wa utangazaji amezungumzia pia suala la watoto wake kuwa wana michezo, tasnia ya habari hawa uandishi wa habari za michezo akiweka wazi majina ya watangazaji anaowakubali, maendeleo ya michezo nchini na mengine mengi.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@michaelmponeja2102
@michaelmponeja2102 5 лет назад
Napendezwa sana na sauti zenu maulid na baruan,mko safi sana kuliko under dog
@emmanuelmashauri8949
@emmanuelmashauri8949 5 лет назад
#Chumviiii_mau_kitenge best sports journalist in Tz of all timeee
@gifthenry4209
@gifthenry4209 5 лет назад
Ahsante kwa kutuletea huyu mwamba namkubalia Kitege. Thanks Azam
@ezeckieljohn1666
@ezeckieljohn1666 5 лет назад
Mimi ni simba damu lkn kitenge Mimi nakukubali utendaji wako wa kazi manjonjo unayoyaweka kwenye sports
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 5 лет назад
Baruan, Uko vizr sana, kwenye nyundo yako
@thadeimwende9366
@thadeimwende9366 5 лет назад
Nakumbuka tu ulivyoonesha ujasiri kwenye tukio la Nape, nilikukubali sana
@peterelias1595
@peterelias1595 5 лет назад
Tuletee ibrahim masud maestro
@henrickovicent2933
@henrickovicent2933 5 лет назад
Hata mmi napenda mambo ya habari. Ila ndio hivyo hakuna wa kunishika mkono. Asante
@martinmwakila6992
@martinmwakila6992 5 лет назад
Maurid kitenge wewe ni mtu mwenye maharifa sana kuwahi tokea ina napenda unavyo nyumbulisha habari zako za magazeti
@wolfugangtesha5724
@wolfugangtesha5724 5 лет назад
Nzuri sana
@mansourlikamba6289
@mansourlikamba6289 5 лет назад
Ahsante
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 3 года назад
Kitenge bwana...yuko fasta sana kuzungumza....nahisi kama ni undercover....ila mwamba yuko poa sana Na anauwezo
@jafarikule7300
@jafarikule7300 5 лет назад
Good napenda sanaa kua mtangazaji nisaidieni jamani
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 5 лет назад
Usaidiweje?
@allyomary9318
@allyomary9318 4 года назад
Sasa ni wasafi tv na wasafi fm ndani ya sport Arena na Sport court
@Kibitiyetu1
@Kibitiyetu1 5 лет назад
NYUNDOOOO
@ibrahimmhongole415
@ibrahimmhongole415 5 лет назад
Nimefurahi Sana kupata kitu nilichokuwa nakitarajia hakika nyie mmeweza
@citystyle6338
@citystyle6338 5 лет назад
Waukweli kitenge
@joselynesango6546
@joselynesango6546 5 лет назад
Napenda sauti ya kitenge uja America nitafute
@dodomamwenge2301
@dodomamwenge2301 5 лет назад
Mgogoro wa Manji na Mengi..mafahari wakigombana zinazohumia ni nyasi..!
@steveneryoba1234
@steveneryoba1234 5 лет назад
Mko vzr
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 5 лет назад
Kikawaida unapokuwa kwenye mahojiano kama haya unapo tumia neno la kigeni basi anaye kuhoji anaweka sawa kwa kiswahili ni hivi. Hapa nashangaa, Maulid ameelezea wa kiswahili na tumeelewa, lakini buruhan anawela engliah "exposure" nini hii?
@jofreympwapwa6122
@jofreympwapwa6122 5 лет назад
Tangu lile tukio nina mashaka sana kuwa jamaa inawezekana ni kati ya wazalendo wa inchi ila sio mbaya
@allykigatta3239
@allykigatta3239 5 лет назад
Mtanhazaji mzuri ila anaonekana km mbinafsi binafsi hivi...
@jryoungsolderp4397
@jryoungsolderp4397 4 года назад
Ok
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 5 лет назад
Kwenye habari za michezo uko vzuri lakini hard nyuzi usiende una Chembe ya unafiki
@blackpanther4825
@blackpanther4825 5 лет назад
We nyang'au umemuandama
@kingkasuku9703
@kingkasuku9703 5 лет назад
Tunaomba umwalike na zembela
@riphatmuhene9615
@riphatmuhene9615 5 лет назад
Mlete Masoud Masoud nae apige interview
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 5 лет назад
Tafuta kashaojiwa
@riphatmuhene9615
@riphatmuhene9615 5 лет назад
@@heartnsanya1182 asante lakini sikusudii masoud kipanya nakusudia masoud masoud ni legend sana huyu kwe media
@iddmcholwa7888
@iddmcholwa7888 5 лет назад
Watu wa kigoma wamekutana mjini
@staranold2332
@staranold2332 5 лет назад
Tuleteeni zembwela
@kidually3299
@kidually3299 5 лет назад
We need mwana fa
@salymkingungo5229
@salymkingungo5229 3 года назад
Baruan tafadhali tuleteeni Mzee Masoud Masoud wa TBC
@mashsmash6962
@mashsmash6962 5 лет назад
tangu itv nakufatiliaga
@rashidyrashidy3923
@rashidyrashidy3923 5 лет назад
Naona Baruan yupo na askar kanzu😷😷😷😷😷😷
@mussabashiru8241
@mussabashiru8241 5 лет назад
Kwa apa mjini ukigombea ccm najua utashinda ila hautodum kwani magufuli atamaliza muda wake uko kunako endelea ciyon ccm ikitamba mjin apa
@khamisabdulla9517
@khamisabdulla9517 2 месяца назад
MAJURA😂
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 5 лет назад
jezy na 9...mau wa kitengeeee criiiiiiiiiiiiii
@mboyojr540
@mboyojr540 5 лет назад
Huyu mwamba askar kanzu kweli hakuna mtu anaweza mzuia afisa usalama tena ana mtutu?cyo rahis ukiangalia ile clip unaona kabisa yule jamaa alikua anamuogopa kitenge yani n kama vile ni mkubwa wake
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 5 лет назад
Changamoto kubwa ni unafiki wako wewe maurid kitenge. Tunakujua vzuri ni mtangazaji mwenye kushabikia kwa mitazamo ya mlengo flani. Tunakumbuka ulipokimbia pale st peters
@saheedaliali8676
@saheedaliali8676 5 лет назад
vip kitenge ivi hauwezi kuongea kinywa kitupu lazima na mikono i shake shake sio
@alexsule4680
@alexsule4680 5 лет назад
Kila mtu ana stayl yake ambayo mungu amempangia usiingilie kazi ya mungu
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 5 лет назад
Huyo MTU SI NDIO YUSUPH MANJI
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 лет назад
🙄🙄🙄🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@elitumainmathayo804
@elitumainmathayo804 5 лет назад
Mangi cna
@saheedaliali8676
@saheedaliali8676 5 лет назад
hicho kipindi ni story za mtaani tu hatujifunzi kitu hapo
@josephsaliro2021
@josephsaliro2021 5 лет назад
Mwamba huyo
@ernestmwakalinga8637
@ernestmwakalinga8637 5 лет назад
Safi sana kipindi kipo vizuri.
@blackpanther4825
@blackpanther4825 5 лет назад
@Saheed Ali shule yako ndogo. Kuna aina tofauti za vipindi. Kipindi hiki ni informative, yaani unajua mambo ya watu maarufu/ wenye ushawishi kwenye jamii ambayo pengine hayajapata kujulikana au kusikika sana
Далее
NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: AFANDE SELE
54:31
Просмотров 42 тыс.
Never Troll Shelly🫡 | Brawl Stars
00:10
Просмотров 1,4 млн
Valentino Mashaka - 2005 | Striker / Tanzania
4:35
Просмотров 17 тыс.
Japheth zabron aelezea Machungu anayo yapitua
13:12
Просмотров 1,5 тыс.
Mkasi - SO4E06 with Maulid Kitenge
28:17
Просмотров 56 тыс.
Never Troll Shelly🫡 | Brawl Stars
00:10
Просмотров 1,4 млн