Тёмный
No video :(

Ommy Dimpoz afunguka kisa cha kukosana na Diamond Platnumz 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 88 тыс.
50% 1

Kwenye interview aliyofanya kwenye kipindi cha XXL , Clouds FM (Nov 24) Ommy Dimpoz amezungumza kwa kina sababu za kukosana na Diamond Platnumz

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 217   
@lissaflight2202
@lissaflight2202 7 лет назад
Ommy big up umeongea maneno ya busara sanaa
@georgekapanda7425
@georgekapanda7425 7 лет назад
dah ommy ni bonge la genius yaan kazungumza uzuri God bless you brother @ommy_dimpoz
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 лет назад
George Kapanda genius😂😂😂sawa bhna
@ericksanga567
@ericksanga567 6 лет назад
George Kapanda pamoja
@ramsyjiddy472
@ramsyjiddy472 7 лет назад
Big up bro.....nimekuelew sana bro Ommy wateva ppo wl jurge wont prove u wrong!!!Message sent nd delivered...waelevu wataelew achana n hao wasiojielew...!!!
@nshimiyimanasaid2320
@nshimiyimanasaid2320 4 года назад
Ommy wewe nimukari , we all knows who is# diamond # wewe unaweza sana , just trust Allah. TANZANIA artists you’re in top 10 so don’t worry you’re good, do what you believe it good to you and your fans that all speaking about (waganga ) hhhhh it’s fun 🇷🇼🇹🇿 we love you guys
@sabrinaayoub7032
@sabrinaayoub7032 6 лет назад
BIG up sana #ommy dimpoz
@thomasmartinez786
@thomasmartinez786 2 года назад
Nalipata picha la konde boy .ommy god bless broo
@siseharunantaguzwa9667
@siseharunantaguzwa9667 7 лет назад
Sema umeongea vizuri haujapaniki big poool
@pascalbugwema8770
@pascalbugwema8770 7 лет назад
kwny ukweli ni kusema tu!!!hapa inavyoonekana upendo aliokua nao dimpoz kwa diamond haukulingana na upendo ule aliokua nao diamond kwa dimpoz.....but all n all ndo maisha yalivyo!! POLE SANA DIMPOZ.....!!!sas wasenge nyny team mond ole wenu muanze kutukana maana uy mond mim mwenyew nampenda kuliko mnavyompenda nynyi ila kwa ili MNISAMEHE
@juniormakoye2692
@juniormakoye2692 7 лет назад
safi XANA ommy kwa uvumilivu acha nae
@dreamerboy4956
@dreamerboy4956 7 лет назад
umeongea fresh #OmmyDimpoz
@benardjaloo5263
@benardjaloo5263 2 года назад
Ommy dimpoz da king
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 лет назад
Ommy well said brother uko vzr tena tukumbuke ya kwamba ndege wafananao ndy huruka pamoja. So ongeza juhudi tengeneza mziki mzuri haina aja ya mashindano team mziki mzuri big up
@danieln.laurence1485
@danieln.laurence1485 7 лет назад
Diamond he is a good artist.., in Africa yawezekana ikawa na duniani pia.., ila kama utakua mtu mzima naumemsikiliza Ommy vizuri utajua kuna baadhi vitabia vyake flani flani sio vizuri may be inaweza ikawa kutokana na mazingira yale ya utotoni aliyokulia maaana ni kweli ni "INTERNATIONAL ACT" lakini vile vitabia vya kule tandale ambako ndiko chimbuko lake aviache kwakweli atafika mbali zaid.., kwa sababu nw inatokea hiv na watanzania wenzake baadae anaweza akaja tuabisha huko nje..., kwa sababu Ommy sio msanii wa kwanza kuongea vitu hiv.
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Daniel N. Laurence abadilike yy binadam pia
@shushu8105
@shushu8105 2 года назад
Nampenda OMMY jaman Mungu akulinde popote ulipo kaka
@anthonyjoseph1675
@anthonyjoseph1675 7 лет назад
Sikutegemea kama Ommy unaakili kiasi hiki umeonyesha ukomavu wa akili sana big up kaka.Yani mtu akisikiliza hii interview na alichoongea D jana inaonyesha kabisa unaakili nying na ustaarabu uliotukuka ubarikiwe.
@iddyhaji1705
@iddyhaji1705 7 лет назад
Anthony Joseph see
@kelvinabdul3100
@kelvinabdul3100 6 лет назад
Huyo boya tu
@zawadiibrahim8135
@zawadiibrahim8135 6 лет назад
Anthony Joseph good
@charityjoseph6745
@charityjoseph6745 6 лет назад
respect ommy.....kwa style hyo hata ningelikuwa mm ningezingua....
@yussraloveyussralove2941
@yussraloveyussralove2941 7 лет назад
wanamwita pp pozi kwapoziiii bg up broo
@alvyiwill9992
@alvyiwill9992 7 лет назад
Perfect umesema ukweli bro
@simontembo4505
@simontembo4505 7 лет назад
ase ommy upo very right bro
@abdallasalim6595
@abdallasalim6595 7 лет назад
uko vzri omy nimekuelewa
@zuenahamad7764
@zuenahamad7764 7 лет назад
mungu akulinde omy
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 2 года назад
kama umemsikiliza vizuri ommy dimpoz miaka mitano iliyopita na umemsikiliza harmonize 2021 utagundua kuwa diamond platnumz ana umwinyi mwingi sana amini kwamba
@richardmwita8104
@richardmwita8104 7 лет назад
kila atakaye mstili mwesilam mwenzake mwenyezi mungu nae atamsitili kesho kiama,acha nimstili mwenzangu!aisee dee umenifunza sanaa.
@myfriends289
@myfriends289 6 лет назад
Congratulations ommy D.
@gulflady4597
@gulflady4597 7 лет назад
Mimi namchukiya diamond sababu ya kutukana wenzake Na kujiona yeye mungu limbukeni yule atajuta kama kanumba nyiye mtizameni tu anaruka mwisho ataanguka ommy uko poa wewe mustaarabu Sana usijifananishe Na yule domo kama bakuli
@lhftfgfrh6018
@lhftfgfrh6018 7 лет назад
Gulf Lady itakuja siku yk atalia Dai mungu atampiga fimbo kubwa
@vianeyminja575
@vianeyminja575 7 лет назад
ww pia siku yako inakuja, imeandikwa usihukumu hata ww una madhambi tele
@vianeyminja575
@vianeyminja575 7 лет назад
ww pia siku yako inakuja, imeandikwa usihukumu hata ww una madhambi tele
@lhftfgfrh6018
@lhftfgfrh6018 7 лет назад
Vianey Minja inakuja siku yk inakuja
@mariambb4683
@mariambb4683 7 лет назад
kweli umesema huyo d anawesema vby wezange anajiona sana atakuja kujuta huyo d sikupenda alichosema d mung anamuona
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 7 лет назад
Ila ffor show mm ni shabik wa mod ila kauli aliyotumia kama msanii anaetizamwa na wengi sio nzur ommydimpoz kaongea vizur sana ugomvi sio mzur muhimu pigen kazi kuutangaza mzik kila mtu ana taste yake kwenye mzik so waachane na hizo mambo
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Julius URONU uchawi,siyo mzuri
@omsfjb1035
@omsfjb1035 Год назад
Pole bana omidimpo kaaa Kwa alikipa
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 7 лет назад
Dimpoz nimekuelewa saaana.
@Tee-King
@Tee-King 7 лет назад
wabong mnatakiwa ku fight na mzik we2 lakn sio kuzinguana all of u #ommy&diamond ivo mnashusha mziki we2.
@Alikidu
@Alikidu 7 лет назад
Diamond mm simkubali majisifu tu
@chapishainc789
@chapishainc789 7 лет назад
Mara ya kwanza kusikiza interview nzima nkaimaliza. Bro nimependa unavojishusha na jinc ulivoongea kwa kujiamn. Binafsi mond atambue aliemuweka pale anaweza mteremsha sekunde. So ni muhimu kuangalia kakosea wapi
@elizambinga7177
@elizambinga7177 7 лет назад
mmmmmh
@jsuaggy6382
@jsuaggy6382 7 лет назад
chapisha inc ...umehelewa kabisa upande wote
@braisonmadoya7134
@braisonmadoya7134 7 лет назад
daaah! mm mwenyewe tim mondi ila ningependa kusikia kazi yao kiba,dee na dmpoz.hvo,nawaombea wapatane kimoja
@josephchristian1927
@josephchristian1927 6 лет назад
Ommy mimi na kukubali sana.wala usisemi huna Tim.mimi na kubali muziki wako tangu mwanzo,hadi sasa
@shukranidjuma5145
@shukranidjuma5145 7 лет назад
watanzania tatizo amko waelewa mkishajiweka mtu ni mbaya nimbaya tuu aceni utoto tizameni naupande wapili
@charityjoseph6745
@charityjoseph6745 6 лет назад
mond mzinguaji kumbe.......ommy hupo perfect
@eliezelikilyenyi8191
@eliezelikilyenyi8191 6 лет назад
Sema kama unajua unajua tu Ommy sahivi una fanya vzr sana YANJE
@bettylichotimkuna5762
@bettylichotimkuna5762 7 лет назад
nilikuwa naingoja kwa hamu hili jibu la ommy na diamond. kwaivo diamond ana wivu, a naona akiwa pamoja nawenzake ata shindwa, yuataka yeye awe juu kuliko wote , sasa twangoja sababu ya ali Kiba na diamond bifu
@sayosmartboy272
@sayosmartboy272 7 лет назад
kumbukuni wotee wanyumbni jamani kwanini maugomvi yasiyo na maaana duuhhh mungu anawaonaa
@viherymgusii5143
@viherymgusii5143 7 лет назад
Yaaaaaah that is how we live brazaah vzr ulivosema ukwl cz truth will set u free
@victoriangonyan11
@victoriangonyan11 7 лет назад
mungu anasamehe nanyi msameheane
@rmags8654
@rmags8654 4 года назад
@Ommy Dimpos ...sio lazima uwe rafiki ya mtu!! Don’t force yourself on anyone!! And you don’t have to be enemies either!!
@user-fm9gr6jb6e
@user-fm9gr6jb6e 7 лет назад
Although I like Diamond but damn amefanya usenge hapa. Kumbania mwenzake hivyo na kumtukana on social media, that's really stupid. Na anajifanya humble mbele ya macho yetu. Hamna kitu hapo
@hamadimsika6267
@hamadimsika6267 7 лет назад
Ayusaf Dafu diamond ni mnafiki wakutupwa
@blackgold5605
@blackgold5605 7 лет назад
Hamadi Msika yea mnafiki sanaaaaaa i hate him now in really jamm watazania wamawivu mungu ndo ugawa ridhiki utapata tuu ommy mungu atakusimamia inshallah
@zenahnyale3551
@zenahnyale3551 6 лет назад
Ayusaf Dafu let me tell you something if mondi angekuwa na kiburi hichi alipokuwa ndio yuwatoka angekuwa bado yuko Tandale
@wazirimjema9030
@wazirimjema9030 6 лет назад
Xhow ommy kmbaaaaa
@bisophicatesalim132
@bisophicatesalim132 6 лет назад
Big up ommy
@francksinepa8632
@francksinepa8632 2 года назад
jamani tobowa nakubali🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@abdulrahmanmohd4064
@abdulrahmanmohd4064 5 лет назад
#ABDUL_FISRT_PILOT2019# ommy dimpoz kaza kaka jitahidi sana achana na mambo ya kijinga ili ufanikiwe katika maisha yako kaka ume ongea point sana #ABDUL_FISRT_PILOT2019#
@Tee-King
@Tee-King 7 лет назад
wabong mnatakiwa ku fight na mzik we2 lakn sio kuzinguana all of u #ommy&diamond ivo mnashusha mziki we2 bong atuta endelea.
@khloealfan7924
@khloealfan7924 6 лет назад
Kikubwa fanya maisha yako baba...kupumuliwa nako pia ajira...achana nae atakuja kupiga chini yule atafulia kisawasawa....
@eglesiaselombe694
@eglesiaselombe694 7 лет назад
wewe ni staarabu fanya kazi zako achaa na watu.wanao pendasifa
@huserehema8618
@huserehema8618 5 лет назад
7bu. we. ni. mkali.san. kwa. kuimba ungemshinda. achanane. tu
@mwenebyaese9704
@mwenebyaese9704 4 года назад
Eglesias Elombe atakidogo
@fatinamtenukila5005
@fatinamtenukila5005 7 лет назад
umependeza sana
@abdul-kadirkhamis7082
@abdul-kadirkhamis7082 7 лет назад
kama wote mukiwa munatafuta maisha basi yasuluhisheni siku na hata mambo yaende mbele
@siloamchurch3811
@siloamchurch3811 7 лет назад
Siku zote ukapata kitu ambacho hukutegemea kuwanacho lazima ulewe na kujiona ni wewe pekeako, siyo lazima ila kuna umuhimu wa D kutosahau asili yake (alikotokea) asijigambe MUNGU ndiyo mtoaji.
@maureenchole4117
@maureenchole4117 7 лет назад
mkia anza kuchukia hivyo diamond platnumz I swear to God mzikii Tanzania watu watauchoka tutahamia NIGERIA
@hijjasaid3501
@hijjasaid3501 3 года назад
Diamond Ana roho mbaya
@latifahissa1114
@latifahissa1114 7 лет назад
yaani kila unae msikiliza anaongea point mweeh!!!yamalizeni ndugu zetu jamani tunawapendaa 😨😨😨
@jokha.m.badaralesry4829
@jokha.m.badaralesry4829 7 лет назад
ommy fanyeni muyamalize sio vizur
@ismailngowi8172
@ismailngowi8172 7 лет назад
mmmh kiki iyo
@raphaelngugi1418
@raphaelngugi1418 7 лет назад
emy umeongea Kaka salute
@aishamisang8266
@aishamisang8266 7 лет назад
hahahaa..asa kumbe uliminde kisa hujapelekwa marekan asa ulitaka kutoka kupitia yy kwan yy ndo mungu mtoa rizki
@amanichanga3448
@amanichanga3448 7 лет назад
Yote kuhusu kununua viewers ni uongo, kwa sababu viewers ndio zinaowalipa wenye account za youtube, na youtube wapo makini sana,, ukigoogle utakuta jinsi ya kufanya video yako kuwa katika nafasi za kuja kuonekana ikiwa njia sahihi ya ku upload video kwa kutumia Titles, Descriptions nzuri na tags nzuri,,,Na yote kwa yote ni subscribers,, mfano Ali kiba ana subscribers elfu 79, diamond ana subscribers laki 4 na nusu hivi, sasa unataka wawe na viewers sawa kivipi,, na mimi ni shahidi wa subscribers za hawa wasanii zinapokuwa zikiongezeka kwa kila wanapoupload vitu vipya, kwa mwez Diamond anaweza ku upload zaid ya video 20 ikiwemo na behind the scenes na matukio mengine, wakati huo huo upande mwingine wanawastan wa ku upload video moja kila baada ya ya mwez,, kingine pia kundi la WCB wana wasanii wa kubwa wa 3 na wote wana fanbase kubwa, kivipi wawe sawa
@chapishainc789
@chapishainc789 7 лет назад
Zamani walikua wanasema fikiri kabla ya kuongea/kutenda ila sasa hivi ni google kabla ya kufikiri kisha ongea. Link moja wapo ni hii Buy RU-vid Views - Real, Targeted & Organic | Devumi
@amanichanga3448
@amanichanga3448 7 лет назад
chapisha inc ukitaka kuona inafanya kazi au laah ijaribu uone, ww baada ya ku Google tu ukaprove directly sio? Hao wenywewe waliyoweka hyo video umeona wana views ngapi,, kweli kizazi kinapotea kwa kukosa maarifa,, hv unafikir kuna msanii hapendi viewers, na unafikir youtube wanashida na pesa za kuuza views, na kila video utayogoogle angalia comments uone wateja wanavyolalamika kama inafanya kazi au laah, nakwambia kama views zingekuwa zinanunuliwa basi wasanii wa Bongo wote wangenunua, na kama wakina Diamond wangekuwa wananunua bas wasinge hangaika kupost na ku promote video zao,, ukitaka ku comment vizuri weka chuki pembeni harafu utajua tu,, kwanza views za Afrika hata hakuna views, Diamond kupata 1Mil views kwa siku eti ananunua, hujaona wanaingiza kwa saa, ni mipango tu bro
@gervasmoses2464
@gervasmoses2464 7 лет назад
+AMANI CHANG'A @ waambie kweli kaka wanaropoka tuu
@amanichanga3448
@amanichanga3448 7 лет назад
gervas Moses ndugu yangu sisi wa Tanzania sijui tukoje, yani watu wanachuki za nje nje,, Fid aliimba akasema "Hawataki almasi na kiba wawili, wanataka wamshushe mmoja ili mmoja awe dili" - sumu,,, Haya mengine ni matatizo ya vijana, kila mmoja kati ya wote wanamakosa, ni mambo ya vijana, wakiwa watu wazima watakutana tu na kuelewana, ila swala la kutafuta Visa vya kumshusha mmoja mmoja awe dili tutapotea tz kwenye ramani, na tuwe makini kwakuwa majirani zetu ni watu wanaotuangalia kwa jicho la tamaa na wanasubiri tufeli
@karimhemed9261
@karimhemed9261 7 лет назад
AMANI CHANG'A Umeongea Kaka
@bashrush4821
@bashrush4821 7 лет назад
Mie naona haeleweki anacho ongea story nyiingi point yake haielewwki kweli D anaongea kiume huyu simuelewi anacho ongea alivyo kufanyia sawa tu maana alishajua unaunafki furani rafiki yako waleo ndio adui wako wa kesho hawezi kukuamini kwa asilimia zote binadamu sikuhizi hamuaminiki !!! Bdozen ndio anajitaidi kumnyoosha maelezo acha woga ongea kiume D akilipua moja tu insta yote mnapoteana .
@muuhclassic1342
@muuhclassic1342 6 лет назад
Bashrush pimbimb wewe
@shukranidjuma5145
@shukranidjuma5145 7 лет назад
nimesikiliza maelezo tatizo amna mapenzi wasaniii wabongo
@jumamrisho3966
@jumamrisho3966 7 лет назад
tuwe wakwel jaman kununua views kweny mtandao n kitu ambacho hakiwezekan let's come together Kama wana igeria maneno ya nini for this hatuto fika Ommy fanyen yaishee
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 7 лет назад
mambo vipi Tanzania? karibuni mtembelee channel yangu.....Asanteni sana...
@emanuelgrevazi3483
@emanuelgrevazi3483 Год назад
Omy manyemo upo sahihi
@hijjasaid3501
@hijjasaid3501 3 года назад
Dimpoz usibane maneno uyo diamond n nyoka
@chaduman9552
@chaduman9552 7 лет назад
Hana mpango d kaishiwa muache aige nyimbo zakike
@francksinepa8632
@francksinepa8632 2 года назад
jamani mungu akubiriki ukweli ni kwelitu
@maureenchole4117
@maureenchole4117 7 лет назад
ommy wewe mnyewe ulisema ulianza kuua na wema hata kama bado yuko na diamond kumanisha mlikwichikwichi
@jumannerajabu6324
@jumannerajabu6324 2 года назад
umezidi shobo brother Kwan bra yy mziki hautoki
@maureenchole4117
@maureenchole4117 7 лет назад
kila mwaka ugomvi Tanzania pls alikiba na ommy tunawachoka sasa tafadhali badilikeni
@kingclimaxii7672
@kingclimaxii7672 7 лет назад
Acheni izi beef mbona wana hip hop hawapo hivo .......mnaboa sana kupishana kila siku.sisi tunategemea kuona mkipatana na kufanyakazi nzito
@nintabouvigilantone6006
@nintabouvigilantone6006 4 года назад
Ndio halisi ya Mafanikio Hayo kaka Ommy
@makatym6151
@makatym6151 2 года назад
Dah!....mond hayumo!
@mwabuponde3152
@mwabuponde3152 7 лет назад
We dimpoz Fanya yako hivi inafikiri uwo wimbo wa kajiandae utavuma kama nainai we mwana na Ali kiba mnatafuta kiki tyu amna lolote uwo wimbo nguvu ya soda fanya kitu kingine uwonekane bro wimbo wako auingi Mara mia at a kwa baraka da prince na Ali kiba
@robertnickson2730
@robertnickson2730 7 лет назад
dimpozi maneno kitu simple achana naooooooooo
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 лет назад
muelewane jaman maneno ya nini nyie ndugu
@manasemwakagali9358
@manasemwakagali9358 7 лет назад
kama mtu hataki kukushika mkono. ommy komaa acha kulialia, yeye anajua kwanini anakutenga. komaaa mzee
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 года назад
Mmeamini Sadala anawivu na roho zakwanini kwawengine anajigambana tusaidiane msikilizeni Ommy hapo
@anastaziafelixmzuri9389
@anastaziafelixmzuri9389 7 лет назад
wewe si ndio umeanza sasa km ungekuwa mkweli kwann ukufunguka tokea mwanzo?basi mnafiki mwenzio kaishasema pole
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 лет назад
mmmmmmm jaman jaman eeeeee haya
@manjalejuniorlg7024
@manjalejuniorlg7024 6 лет назад
DIAMOND AKIONA MTU ANATAKA KUMPITA KTK MUZIKI ANAMLETEA FITINA
@mamapekupekupilipilimuwash9016
upendo jamani
@khamishafsi6468
@khamishafsi6468 7 лет назад
Sasa mbona munatuchanganya diamond anasema hana tatizo wewe unasema unatatizo kwaiyo tatizo in nini
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 2 года назад
Diamondi inzi wa kijani kagombana na wengi
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 Год назад
Naomba nisaidieni kuelewa kupumulia inamaanisha nini
@bensonfrank9578
@bensonfrank9578 7 лет назад
ukimaliza kuangalia video usisahau Ku Dislike!!
@suleimanabdallah2455
@suleimanabdallah2455 7 лет назад
Benson Frank hujui waongea ninii
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 лет назад
chokonoanenii tujue yote..siku zote ukwel huweka watu huru..ipo siku maujinga yenu yatakwisha
@abdulyhamisi9070
@abdulyhamisi9070 7 лет назад
oya kweli mi ni shabiki damu wa wcb ila cha msingi mpange yajayo hacheni bifu diamond uyu ommy wako boy msahau yalio pitaa
@UlimeA
@UlimeA 7 лет назад
Kilazaaaaaaaaa huyooooo
@jokha.m.badaralesry4829
@jokha.m.badaralesry4829 7 лет назад
kwamtu anae mjua daimond awezi kumtukan daimond nimtuanaepend Amani Sem kunawatu wanawagombanisha awawatu
@alvyiwill9992
@alvyiwill9992 7 лет назад
menda ukajifunze kuandika first halafu ukaje ku comment
@jokha.m.badaralesry4829
@jokha.m.badaralesry4829 7 лет назад
adam speech A. S usipend kujibu utumbo Kwa mtuusie mjua
@minakanyana3984
@minakanyana3984 2 года назад
Roho ya kwanini
@fatumababy1756
@fatumababy1756 5 лет назад
Tanzania kuna wanamuziki wengi sana na kazi zao ni mzuri2, tatizo la walio wengi hawasapoti kazi ya mtu hata kama ni mzuri kwa kua2 mapenzi yake yapo kwa msanii fulani, watanzania tuacheni hayo mambo
@mariambb4683
@mariambb4683 7 лет назад
huyo d anajisikia sana unavyo wasema wezake utafikili yy mung yani najiona dunia yake mwisho wake mubaya mung anamuona huyo d
@salehemkala7775
@salehemkala7775 7 лет назад
mariham wewe muelewa mond anapenda kuwashusha wenzake
@mariambb4683
@mariambb4683 7 лет назад
Salehe Mkala umeona kweli kabisa huyo d anapenda majivuno tu na kejeli kwa wezake hata kama umefanikiwa usimuseme mwezako wa chin muombe mung na sikujigambaa najiona umeyaweza yote ujuwe mung anaona kesho kwako kesho ya mwenzio majivuno siyo manzuri hata kama tajili vp usimuseme mwenzio vby
@mrsnam6897
@mrsnam6897 7 лет назад
+mariam bb ucmuwazie mond uovu ulishawahi kumckia mond akiwapakazia wenzake na kma tayari nipostie nione niache kuburuzwa ikiachana na majibu aliowapa vijana hao
@mariambb4683
@mariambb4683 7 лет назад
Mr Snam cjasema kupakazia nimesema anakeje kauli alizoongea mond siyo nzur yeye kama msani mkubwa anatizwamwa na weng hukupaswa kusema vile naona ujamusikia vzr yani kajiona dunia kaiweka mikononi mwake nakuona wezake visisimizi yy tembo anawakajanga siyo vzr mung anaona majivuno yake
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
mariam bb abadilike hii dunia tunapita
@fatumasaid9985
@fatumasaid9985 6 лет назад
Diamond Your end is coming,where is Mr Nice nice mwenye alikua anatetemesha kimziki sahii anafuga kuku Kenya so hata ww utakuja kupumzikia huku uwe mama ntilie
@miburothierry7381
@miburothierry7381 7 лет назад
tanzania akuna waimbaji,ni wafuma shuka ote,siwakubali kabisa
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 6 лет назад
we bwege sana na hujielewi huwezi kufanya interview bila kumtaja diamond ? kazi kusafilia nyota za wengine tu na hoa xlouds ndo zao
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 7 лет назад
huwezi kununua, views, ukilipa video yako inafanyiwa promo, ndio maana unapata viewas wengi, na wapo watu wapo kwa kazi hiyo kwenye mitandano, bila promo huwezi kuwa maarafu,
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 2 года назад
Salama na mbwa jinga Fela ni mashoga
@lundaboytz4912
@lundaboytz4912 Год назад
Mwambino doh Asalala
Далее
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 5 млн
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
Просмотров 552 тыс.
ALIKIBA AKIZUNGUMZA KUHUSU BIFU LAO NA  DIAMOND.
4:59
Просмотров 102 тыс.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 5 млн