Ninachoona hapa wamependeza sana,na huwa watu wanapokuwa na matukio kama haya kila mmoja ana hisia zake wapendwa,mwingine akifurahi sana anazungumza hata bila kutulia,tuwaombee wapo safi sana,maisha yao hayo wayaanze na Mungu.
Sema kusema we mweupe wengine weusi unakosea you're not Arabs wala mungu, labda ingekuwa albino ndio ungetakiwa kusema hivyo ila hapo wapi weupe tena hata make up hawajapaka wala mkorogo, usijisifu sana