Тёмный

OSCAR OSCAR AFUNGUKA YANGA WANAKIPINDI KIGUMU SANA 

KITENGE TV
Подписаться 132 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

#kitengetv #osceroscer #yangasc

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@mkudeevarist9603
@mkudeevarist9603 3 года назад
Tunafuata sheria oscar
@hijabomaa1390
@hijabomaa1390 3 года назад
Ww fuata sheria lkn UTOPOLO wataipeleka timu uwanjani na kipigo July 3 kinawahusu
@qassimhussein269
@qassimhussein269 3 года назад
Hao hawana fadhila kaka hata unayo yaongea Yanapitilizia Matakoni hawajielewi
@Ba63828
@Ba63828 3 года назад
Mchambuzi mahili kabisa huoni kwamba TFF wanakakiwa kutupa sababu ya kuarisha match KABLA ya kuchezwa 3/7/2021?
@brezhnevthadey1969
@brezhnevthadey1969 3 года назад
Sisi yanga tumeamua hivyo kama tifuatifua walivyoamua vyao kutuminya miaka yao
@hidayahassan8014
@hidayahassan8014 3 года назад
Nakuelewa
@georgemgalega2388
@georgemgalega2388 3 года назад
ipo wazi kuwa ni lazima mfumo ubadilike, yaani Yanga wanaamini manji awe mmoja kati ya mfumio mpya maana aliomba mfumo mpya
@kosovoawadh1771
@kosovoawadh1771 3 года назад
Wanaogopa
@mikidadimuhando2315
@mikidadimuhando2315 3 года назад
Oscar Oscar umesema vema mwana,mwenye kuelewa kaelewa, wabishi waache na ubishi wao.
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 года назад
Point
@makamehamad2406
@makamehamad2406 3 года назад
Wee oscar katafute shughuli ufanye tuachie yanga yetu hata tukishushwa madaraja 100 kwani wewe inakuhusu na nini.
@rajabungomoi7940
@rajabungomoi7940 3 года назад
Yanga wanahitaji maombi hawajui mana ya michezo
@yustinomohamed8940
@yustinomohamed8940 3 года назад
Wdhamini wa ligi haswa tv wataathirika na maneno ya bumbuli
@emanuelkamaghe2647
@emanuelkamaghe2647 3 года назад
Uko sawa kabisa Kwan yanga hakili zao sijui wanawaza nn
@kosovoawadh1771
@kosovoawadh1771 3 года назад
Gsm waoga
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Wabongo kwa longolongo!!
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 года назад
Kilaza
@kosovoawadh1771
@kosovoawadh1771 3 года назад
Sisi tunabiga 3 bila utake usitake
@cuthbertzillale6136
@cuthbertzillale6136 3 года назад
Wewe ni shabiki wa Simba acha hizo
@williamwilifred6563
@williamwilifred6563 3 года назад
Jielewen wabongo unaposema serekali haipaswikujiusisha namichezo waziriwamichezoyupokwa abiyann da mbonahamjielew
@oscarhaonga4106
@oscarhaonga4106 3 года назад
ukweli mtupu oscar wa jina
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 3 года назад
Acha uongo babu
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 3 года назад
Utopolo hawajielewe kabisa waambie ukweli
@ramsonmpulule6264
@ramsonmpulule6264 Год назад
Muongo
@husseinawadh4009
@husseinawadh4009 3 года назад
Sasa kama serikali ndio mpango mzima mpaka mchezo ukabadilishwa na kuchezwa saa moja na yanga wakaondoka na simba wakatii na kuingiza timu uwanjani kwa nini tff wasiangalii kanuni zinasemaje watoe hukumu na badala yake tff wanaendelea kuwabembeleza yanga. Wewe oscar kama ni simba subiri ujionee yanga hawatii timu na mwakani jiandaeni kuizungumzia simba ikiwa inacheza ligi daraja la pili. Yanga wapo serious kwa hili
@kazembally6032
@kazembally6032 3 года назад
mm cjamcikia wazir wamichezo akitoa sababu za msingi zakubadilisha muda wa mechi Ile.osca ukimsikiliza manara kwenye Ile clip unajua tu kwamba kuna hujuma ilikuwa inafanywa il kuwaaribu yanga kiseikorojia tff ni Simba b
@suleimanalawy8512
@suleimanalawy8512 3 года назад
Endelea kuota
@saidhamis1124
@saidhamis1124 3 года назад
Ukweli mumeupata huo utopolo ??
@issakilasa6165
@issakilasa6165 3 года назад
Wewe Ni matako.
@mikidadiwadary1512
@mikidadiwadary1512 3 года назад
Sasa unatukana nyenye hajuwi soka mnajua vurugu tu
@bwatobwato5999
@bwatobwato5999 3 года назад
Wanadangaya simba ibweteke wamechelewa
@kosovoawadh1771
@kosovoawadh1771 3 года назад
Uongozi mbovu
@Khaleed5767
@Khaleed5767 3 года назад
MIMI HUWA NASEMA KILA SIKU .., UTOPOLO NA MASHABIKI WAO HAWANA AKILI ...NA DAIMA ABADAN HAWATAKUWA NA AKILI
@hamzalyawa7981
@hamzalyawa7981 3 года назад
Kaoxhe mtako😂😂😂
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
Mpira na serikali ni vitu tofauti na serikali haitakiwi iingilie mpira. Mpira siyo Mali ya serikali. Huo ni uongo na siyo professional.
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
@Mtanzania Halisi Ndiyo maana mpira wetu hauwezi liendelee hata siku Moja. Kwa watu kama nyinyi mnaona ni sawa Ila itabidi ifike mahali kanuni zisimamiwe.
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 3 года назад
Serikali ikisema msitumie uwanja wa Taifa mtachezea wapi???. Ukiwa maskini hautakiwi kuleta jeuri
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
@@onesmongenzi3471 Uwanja wa taifa huwa tunacheza bure? Yanga ilikuwa na Uwanja wake kabla ya timu yeyote Africa. Ulio na mageti na majukwaa.... Ni upuuzi wa watu kama hawa ndio unaorudisha mpira nyuma.
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 3 года назад
Issue iliyopo siku ya tarehe 8 waliomba mechi ipelekwe saa 1 jioni ni Serikali na ndio maana baadae Waziri Mkuu alitoa maelekezo bungeni. Hata kama Serikali haihusiki kwenye mpira ukigomea utakuwa unaonyeshana mabavu na Serikali. Pia, kumbuka Serikali inaweza kuamua kufuta mpira wa miguu nchini na asiwepo wakupinga. Sheria kweli zipo lakini ukizing'ng'ania sana utagombana na viongozi wa Serikali hata kama makosa niyao
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
@@onesmongenzi3471 Unarudi palepale. Serikali iondoke kwenye mpira. Hiyo siyo kazi yake kusimamia na kuratibu football. Ukishaanza kukubali hilo, unawajengea watoto wetu mazingira ya kushindwa. Kuna kanuni, na kama walivyotumia kanuni kufungia na kutoza faini wachezaji, viongozi na makocha basi watumie kanuni hizohizo kuipa Yanga ushindi. Wanamichezo wote tusimamie hilo.
@mustafakara1361
@mustafakara1361 3 года назад
You are not a professional at all. Ungekuwa west na hizo post unazozipost. Ungekuwa deported. Hata kama unakuwa huna la kupost unaandika nonsense ili mradi uandike. Be professional
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ #cat
00:38
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
Просмотров 471 тыс.
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ #cat
00:38