Тёмный

P-Funk abariki duka la mwanae Paula, alitembelea pamoja na mkewe na watoto wake 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 89 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 123   
@edithhassan4196
@edithhassan4196 2 года назад
Maamuzi mazuri sana P funky hongera sana. Kwa kuufungua moyo wako kutoa baraka. Tuzidi kumwombea asonge mbele. 🙏🏾🙏🏾
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Mashallah, hongera sana Baba Paula kwa Baraka zako.
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 2 года назад
Ooh safi sana p funky nimefurahi sana kuona umemkumbatia binti yako ,hongera sana kaka huo ndiooyo wa U BABA!!! God bless you
@alleyjuniourtz
@alleyjuniourtz 2 года назад
Kumbe na wewe unapenda udaku mama🤣🤣
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 2 года назад
U BABA LEVEL AU U HBABA
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@alleyjuniourtz 🤣🤣
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
@@alleyjuniourtz hahaha
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 года назад
Kisipo washa hunyezwa🥰🥰🥰🥰🥰Hongera nyinyi kwenu
@newking6497
@newking6497 2 года назад
P Funk naona anajaza dunia. Na anafyatua visu balaa🔥🔥🔥
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 2 года назад
🤓🤓🤓
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 2 года назад
Watu wenye hekima tumefarajika sana wallahi, Mungu awajalie na upendo xx from 🇬🇧
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 года назад
Maashaallah Allah bariq Sahihi broh sky damu mzito kuliko maji baadh ya wanaume wanakosea sana kutelekeza watoto wao hili naliona kwa mtoto wangu anavyoteseka kwa kukosa sapotiy kutoka kwa baba ake lakn ALLAH Kareem ipo siku na yeye atakua na Aman ya moyo
@kanghanhankang1440
@kanghanhankang1440 2 года назад
Nimeona raha raha sana niseme nini eti ansat baba na mwana alfu watoto wanafanana na baba na paula🥰🥰🥰
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 2 года назад
Raha naona mimi 🥰🥰
@halimaoman8726
@halimaoman8726 2 года назад
Ongera sana p ni kweli tunachukia ukiona mwanao anakoelekea sio lazima mzazi achukie lkni amna jinsi mtto ni mtto tu lazima mzazi itafikia ufunguwe moyo wako nimefutahi sana kma p umeufunguwa moyo wako kwa mwanao paula
@dottohamis4427
@dottohamis4427 2 года назад
Safi sana baba kwa kukunjua moyo wako kwa mtoto wako🔥
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 года назад
Yani huyu baba anaishi maisha Safi sana hanaga shida na mtu
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 2 года назад
Ni vizuri Sana Paula mtoto tuu na hivo vitu alikua kifanya ni stage unamsumbua atakua Sawa ty
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 2 года назад
Woooow na mm nipate baba yngu jmn
@jamesshao538
@jamesshao538 2 года назад
Utampata usejali,all the way from South Africa
@ilungasalle
@ilungasalle 2 года назад
Kama baba ninafurahi sana alichokifanya majani, kumuweka karibu binti yako ni moja ya fursa za kuweza kumrekebisha anapoteleza kwa sababu bond create space to shriving to doing good ili usimuaibishe yule uliye na bond naye so kama paula atateleza na majani akamvutia uzi itakuwa ni haraka na rahisi kujirekebisha ili asimkwaze daddy and that is love. BIG UP Majani
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 года назад
huwo ndio udume sio wanaume mkigombana adi watoto so sad
@jwisetv4833
@jwisetv4833 2 года назад
Sema nini P funk.....Harmo kakusaidia kumupa mtoto wako mtaji...Ila ndo maisha man ucjali tuko p1
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 2 года назад
Harmonize huyo yaan hapo ndio ujue p funk lazma ale pesa ya harmonize mara mbili kwa Paula na kajala ila that's Good ndio maisha good life hongera baba! Kea kupata mtoto mwenye faida
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 года назад
Safi sana nimependa hii mzazi ni mzazi tu ata iweje pia carymastor ametoka shavu😂
@emmanueljosephati3192
@emmanueljosephati3192 2 года назад
Paula siku akijua dunia ataona P. funky ni baba bora sisi Wanaume tunakili sana hapo P.funky anategeza bodi na hao wadogo zake na Paula ili atasiku ikitoeka katka uso wa dunia awaache wakielewana
@missykalele5520
@missykalele5520 2 года назад
Usiseme wanaume mnaakili sana sema Makamu ana akili sana.mana wengine msingekimbia mimba na kuja taa watoto,mateso yasingekuwepo kwa watoto sababu ya kuwatelekeza toa neno mna akili mana hata wanamama wana akili
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 2 года назад
Jamani hadi raha 🔥😍😍❤️
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 года назад
❤️dam mzito kuliko maji
@الرعدالصغير-ت1ش
@الرعدالصغير-ت1ش 2 года назад
Safi..Majani😍😍😍😍
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 2 года назад
Wow hadi raha ❤️🔥👏
@سعدههوام
@سعدههوام 2 года назад
Maanshaallah vizuri sanaaaa
@emmanuelchacha1216
@emmanuelchacha1216 2 года назад
Huu ndio ubaba👏👏👏💪💯✔
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Hongera Paula hakunakitu kuzuri kama kuakaribu na familia yako.
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 2 года назад
Linavyopaishwa sasa kama duka kweli😂😂😂😂
@monicakessy49
@monicakessy49 2 года назад
Acha wivu utaendelea kuwa maskini kama ulivyo Bariki kazi ya mtu na wewe ubarikiwe
@francismwacha253
@francismwacha253 2 года назад
nataka nimuoe paula, sns nisaidieni kumfikishia hizi salamu nampenda kupindukia
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Una hela
@magzakky2781
@magzakky2781 2 года назад
@@saumusalimuhassan2499 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Thegossipermediatz
@Thegossipermediatz 2 года назад
Acha kuota embu amka kweny hiyo ndoto🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ramadhanilianje4048
@ramadhanilianje4048 2 года назад
Huko mtaani kwenu akina mwantumu wameisha?
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 2 года назад
Nenda Dukani kwake
@asiaa6573
@asiaa6573 2 года назад
Mzazi hauwi
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 года назад
yn mmm mwenyewe leo mufali sana machoz paula fanya kila weeknd nenda kwa baba akoo
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 года назад
Damu ya kizungu
@aishabrondi236
@aishabrondi236 2 года назад
Inapendeza sana mzazi nikama mungu husame kila kitu
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 2 года назад
Mungu yupi unaemuongelea??
@sabanajr6455
@sabanajr6455 2 года назад
@@yussufritzy7684 tatizo unakalili dini
@aishabrondi236
@aishabrondi236 2 года назад
@@yussufritzy7684 wewe huna akili Sawa ndio mzazi nikama mungu maana mwenyezimungu twamukosea kila Siku ila bado nimwenye kusame hata mzazi unaweza ukamkosea kiasikwamba akautolea maneno machafu ila bado nimwenye huruma nakukusame kabla hujaomba msama,wewe vipi kama unaakili matope nenda ukazipunguze chooni
@Awatee
@Awatee 2 года назад
@@aishabrondi236 Sio kweli tena binti wa kiislamu wasema mzazi kama Mungu mzazi hawezi kua kama Mungu hafanani na chochote Mungu kwenye dunia yak mzazi atabaki nafasi yak tuu
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 2 года назад
@@Awatee Daaahh,,, ahsante sana kwa kunisaidia....asante,,, yaonesha mwenzetu hajui anachokiongea... na ndio maana nikamuuliza Ni Mungu yupi anaemaanisha,, maana km ni Mungu au Miungu yao ya vichochoroni,, ni sw na aseme tu iyo kauli.. baba ni km Mungu,, ila km ni Allah alietukuka,, basi atengue iyo kauli... Allah si wakufananishwa na chochote wala yyte yule...
@naimamoshi9702
@naimamoshi9702 2 года назад
Mashallah baba
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 2 года назад
🤩 wow that good ❤️
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 года назад
Nice, i like that
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Saafi sana Mungu ni mwema🙏
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 года назад
Happy family 🙏🏾
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 года назад
Masha Allah 😍
@munirashughuli618
@munirashughuli618 2 года назад
Masha Allah
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 2 года назад
That's good 👏
@surusuru1994
@surusuru1994 2 года назад
Mashaallah
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 2 года назад
Hadi raha
@vickykapama8386
@vickykapama8386 2 года назад
❤️❤️❤️❤️❤️
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 года назад
Alhamdullilah
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 года назад
Paula unadeka kwa baba
@godlovemasamakibatandu2092
@godlovemasamakibatandu2092 2 года назад
Bariki mtoto kwa kudanga vizuri
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@hidayamakuka7876
@hidayamakuka7876 2 года назад
Unaumia mjinga wewe 😂
@massudbiz9828
@massudbiz9828 2 года назад
Family first
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 года назад
P fank ni Doctar dre
@evaeve8388
@evaeve8388 2 года назад
Wow,Nice
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 года назад
Safi family ndo kila kitu
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 года назад
Alie nacho atazidi kuongezewa Paula anakitu sasa . Angekuwa hana kitu
@LadouceurTony
@LadouceurTony 2 года назад
🥰🥰🥰🥰🥰✌️
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 года назад
Ma sha Allah
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 года назад
Majani anazaa watoto wa kike tu
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 2 года назад
Hilo ndo duka linalo fanya mnampa shavu Paula? Inawezekana hamjui duka likoje aidha mnapenda sifa hewa! Hizo nguo hazifki hata pisi 20 mnaita duka! Si ni nguo za kutumia tu tena mwanamke wa kijijini? Mke wangu tu, Ana nguo Pisi 300 za kuvaa yeye tu, Mkiziona je? Si mtamtangaza mpaka dunia ijue? Afu mi nilijua ni bonge la duka afu la kishua!
@evankya1955
@evankya1955 2 года назад
Blood is thicker than water
@najuf8021
@najuf8021 2 года назад
💕
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 года назад
Nafrahi sana jamani
@namnyakiabell3818
@namnyakiabell3818 2 года назад
🥰🥰🥰🥰
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 года назад
Ataachaje kumpenda wakati sio tegemezi kwa sasa?
@omanmct135
@omanmct135 2 года назад
Naic
@moremibituro2060
@moremibituro2060 2 года назад
P funk anampenda sana binti yake sema tu malezi ya kajala kwa mwanae yalimvuruga sana
@lulually5209
@lulually5209 2 года назад
Baba yupo vzr lkn mama hamna kitu ww mama ameshakuwa mtu mzima lkn bado anashindana mavazi na mtoto wake Mara kitovu nje Mara flana kaifunga fundo Yani usela mavi flani ajaribu kujirekebisha mambo mengine amuachie mtt wake yy keshakuwa mtu mzima vitu vyengine anafanya havipendezi mbele ya jamii
@Blue-vk5ce
@Blue-vk5ce 2 года назад
@@lulually5209 😂😂😂😂👏👏👏
@kilapilo.kilapilo5292
@kilapilo.kilapilo5292 2 года назад
Umesema vyema rafiki mpendwa, Lulu Ally. {Kikubwa ni kuzidi kumuombea ili huyo Kajala na mwanae, waachane na maisha hayo ya drama zilizo nyingi sana & kuamua kuishi maisha ya kuwa kioo zaidi kwa jamii inayowasoma. Tuzidi kuwaombea ili Mungu aweze kuwasaidia kuwa mfano bola kwa jamii wanayoishi.
@jamilasalim7165
@jamilasalim7165 2 года назад
Ndio kheri
@fietshadya7360
@fietshadya7360 2 года назад
❤❤❤❤🔥🔥
@herisophisticated9275
@herisophisticated9275 2 года назад
MAN P
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Saw
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
@nucratyally3104
@nucratyally3104 2 года назад
Saf paula
@djunction4127
@djunction4127 2 года назад
Shule amemeliza lakn au
@chidymedia7051
@chidymedia7051 2 года назад
ZUCHU NA DIAMOND WACHAPANA MA BUSU NA KUSHIKANA MBELE YA MASHABIKI MBEYA👇🏽👇🏽👇🏽 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-K0mmX_clwto.html #SHARE NA WENGINE 🙏🏽
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 года назад
Je baba wa kambo Anasema je? Hahahaaaaa
@franktangeki9342
@franktangeki9342 2 года назад
nadhani sasa hivi Harmonize mavi yanagonga chupi yanarudi akiwa na wasiwasi kuwa mama paula pia anaweza akarudi kwa p-funk huwezi jua mfuko wa pfunk sasa hivi umekaaje ! unajua nyama ulishaonja utamu wake huwezi kuiacha kula mpaka kufa
@tonnymasizi3331
@tonnymasizi3331 2 года назад
Ok ok ok ok ok
@julietkileo2018
@julietkileo2018 2 года назад
Baba ni baba to
@alibinali_
@alibinali_ 2 года назад
Huyo jamaa sio mzima I can't do that
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 2 года назад
mimi.the same
@happymgonja8406
@happymgonja8406 2 года назад
Ukwel ni kwamba ukimchukia mwanao kwa sababu yoyote ile,unakuwa umejichukia mwenyewe..
@magzakky2781
@magzakky2781 2 года назад
u can't because wewe si mzazi mzazi yeyote can get mad to their kids sababu ya makosa Fulani ila unasamehe Kwa mapenzi iliyo nayo Kwa mtoto wako nakuombea siku ukijaliwa utakumbuka haya maneno
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 года назад
Pesa inaongea🤣🤣baba anasapoti na hajui mwanae alipata wapi pesa za kufungua duka ukiwa na pesa hata mzazi kumbe anakuwa mpole hana namna
@KhadijaKhadija-ld6qk
@KhadijaKhadija-ld6qk 2 года назад
Ni mtoto wake mkojo wake elewa hivo
@johnnytravo
@johnnytravo 2 года назад
Mwanamke anastahili heshima ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iYjijfV-YRw.html
@bongonews6542
@bongonews6542 2 года назад
Mtaj katoa wap kaz kudanga
@beatricekassim6190
@beatricekassim6190 2 года назад
kapewa na baba wa kambo😂
@naija6679
@naija6679 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1vLhImUkvD4.html DAWA YA KUNG'ARISHA NGOZI YA USO WAKO HUZUIA USO KUZEEKA MAPEMA.,*# ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1vLhImUkvD4.html
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Rrtc4BO-RTA.html mdada wa kazi kafumaniwa wakifanya mapenzi na mlinzi jikoni duh dunia imevaa chupi yakheri
@subirajohn728
@subirajohn728 2 года назад
❤️❤️❤️❤️
@naija6679
@naija6679 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1vLhImUkvD4.html DAWA YA KUNG'ARISHA NGOZI YA USO WAKO HUZUIA USO KUZEEKA MAPEMA.,*# ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1vLhImUkvD4.html
@giftjohn5550
@giftjohn5550 2 года назад
Mbona Kuna mtu kama jini huku eti kazi kudanga kadange na wewe ugungue duka huwezi ombea watoto wawenzio baraka na wewe uje itolewe baraka kwa wakwako kazi kuombea tu Mabaya jamani pole kwa Hilo likauli lako la ovyoo umechukia akiwa karibu na baba yake au pepo wewe
Далее
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3,2 млн
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,1 млн
Mkasi - SO5E03 With P Funk
29:34
Просмотров 151 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
🧯Это Москва детка 🤣
0:46
Просмотров 12 млн
ИСПЫТАЛ НА СЕБЕ (@fedevives7 - TikTok)
0:14
Americans Got Talent [Giraffe Girl]
0:28
Просмотров 18 млн