Тёмный

Padre Dkt Kamugisha''Palipo na neema pana msalaba/licha kuwa na macho lakini hatuoni 

Faustin Kamugisha
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@consultantbayport5285
@consultantbayport5285 2 года назад
Sioni shida sasa kuunga bundle na kupata mafunzo ya fr KAMUGISHA ananibariki mnooooooooooooo BARIKIWA SANA MTUMISHI
@mucoluckyjob-love3784
@mucoluckyjob-love3784 Год назад
Baba padre anakua na mifano mingi sana kbx yani sijaonaka mtu kama yeye
@JulianaCelestine-o1f
@JulianaCelestine-o1f Год назад
Yaani baba Mungu akutunze saaana ili uwalishe watu wa Mungu chakula cha kiroho. Karama yako akue mpaka uzeeke
@LuciaKabuche
@LuciaKabuche Месяц назад
Amina nimebarikiwa sana
@mkudembeteni7667
@mkudembeteni7667 3 года назад
Kiongozi wa Kiroho Mwenye karama ya kipekee Kabisa!!! Tuna barikiwa Sana kwa mafundisho yako.
@anglevicent4299
@anglevicent4299 2 года назад
asante baba kwa mafundisho Mungu akubariki kwa karama Yako baba
@bensonmwabulambo9663
@bensonmwabulambo9663 6 месяцев назад
Ahsante Sana father,mafundisho yako ni Neema kwangu. Ubarikiwe ili uzidi kutubariki
@conjestamarandu5241
@conjestamarandu5241 8 месяцев назад
Asantee Padre.
@georgegregory8414
@georgegregory8414 Месяц назад
Tunakuombea padri ili uendelee kutupa neno la mungu
@FlorenceWashiswa
@FlorenceWashiswa 11 месяцев назад
Amina amina amina
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 3 года назад
Mafundisho mazuri Sana,father huwa aji daresalaam natamani siku moja nionane nae nimshike mkono kwa kanzi nzurii
@ombenimgode3426
@ombenimgode3426 3 года назад
Amina father
@judithjulius5993
@judithjulius5993 2 года назад
Amina padri umenigusa
@kulwaedgar2683
@kulwaedgar2683 Год назад
Amina mafundisho mzuri sana Hongera sana Fr Kamugisha
@mucoluckyjob-love3784
@mucoluckyjob-love3784 Год назад
Nakubali baba ongela sana
@philiponjalika5769
@philiponjalika5769 2 года назад
Mungu akubariki sana Padre kamgisha nabarikiwa sana
@genovevakokumanya
@genovevakokumanya 6 месяцев назад
Mung azidi kukubariki katika utume wako baba
@samwelimacha795
@samwelimacha795 10 месяцев назад
Upo vzr sana Baba
@NinalwoVedastus
@NinalwoVedastus Год назад
Father ubarikiwe Sana kwa mahubili yenye weledi. Unatujenga Sana ktk lmani. Hongera Sana.
@gerald536
@gerald536 3 года назад
Nabarikiwa sana kwa mafundisho yako BARIKIWA sana Padre kwa kipaji chako
@khamismtoma4902
@khamismtoma4902 2 года назад
Nabarikiwa Sana nikiwa mza buhongwa
@julianamwikali1269
@julianamwikali1269 Год назад
Amina
@gerald536
@gerald536 3 года назад
Mtumishi MWENYEZI MUNGU Akubariki sana kwa mafundisho mazuri
@victoriahugho9853
@victoriahugho9853 Год назад
Amina baba
@shishikaniki4605
@shishikaniki4605 Год назад
Namkubali Sana huyu mtumishi wa mungu
@venerandakinabo8091
@venerandakinabo8091 Год назад
Amina Padre sitakatishwa tamaa kamwe
@evodirudo4813
@evodirudo4813 8 месяцев назад
Be blessed father 🙏
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 2 года назад
Mungu akutunze Father Kamugisha🙏🙏
@wolinet1
@wolinet1 11 месяцев назад
switch ON , kabisa yaani tunashindwa kuwasha
@johngibson3089
@johngibson3089 2 года назад
Asante fr
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 3 года назад
Padre Mungu akupe maisha marefu henye heri
@gerald536
@gerald536 3 года назад
AMINAAAA ,hatutakata tamaa ,ASANTE kwa kututia moyo Baba
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Год назад
Àsnt kw mafundisho sahihi
@elinakagya8702
@elinakagya8702 3 года назад
Shukuran baba
@leopordtryphone2803
@leopordtryphone2803 3 года назад
Fr. Kamugisha, Mungu akubariki sana. Mungu akutunze
@dominicblass4319
@dominicblass4319 Год назад
Tyk Baba, Mungu akutie nguvu katika huduma maana sisi tunaelimika.
@mwamkibemwamkibe5648
@mwamkibemwamkibe5648 3 года назад
Asante Sana, niliikosa hii siku lakini nskupata vizuri na ni kazi nzuri,barikiwa Sana Fr
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 3 года назад
Amina Baba,Mungu mwema akutunze
@ruttacyprian2721
@ruttacyprian2721 2 года назад
Amen Barikiwa sana Mtumishi Umekuwa msaada Sana kwa familia yangu
@gertrudeinnocent4174
@gertrudeinnocent4174 2 года назад
Father asante Sana kwa mahubiri mazuri umeniokoa kiroho kabisa Mungu akubariki Sana. Naitwa Getrude Innocent Tungaraza, naishi Nansio Ukerewe.
@AnnastaziaPaul-fv6nc
@AnnastaziaPaul-fv6nc 4 месяца назад
Nimepamic nansio
@Irene-qt5zq
@Irene-qt5zq 2 года назад
Aminaaaaaaa
@dominicblass4319
@dominicblass4319 3 месяца назад
Tyk baba, nakutakia utume mwema
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 3 года назад
🙏🙏🙏.
@talemwajohansen6692
@talemwajohansen6692 3 года назад
Mafundisho mazuri, penye miti hakuna wajenzi Benchi ziko tupu aisee, padri karibu hku kwetu kuna wajenzi maana wewe ni Mti imara
@liberathershao2150
@liberathershao2150 2 года назад
Amina
@godwimmkolomi8988
@godwimmkolomi8988 8 месяцев назад
Sikiliza adi mwisjo hii Clip ina mafundisho sana( usikate Tamaa)
@eradiusmutashobya7192
@eradiusmutashobya7192 2 года назад
Amina
@Aki10Frankly
@Aki10Frankly Год назад
Amen 🙏🙏🙏
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 года назад
Amen
Далее
Каха понты
00:40
Просмотров 478 тыс.