Тёмный

PADRI KITIMA AWAJIBU WANAOSEMA WASICHANGANYE DINI NA SIASA 

JAMBO TV
Подписаться 938 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 108   
@bonifasmashingia
@bonifasmashingia 5 часов назад
Umeongea vizuri askofu wangu !!kama unamkubali askofu tukusanyike hapa
@antipasmkude3789
@antipasmkude3789 3 часа назад
Siyo askofu, Ni padre wetu, well token. Ameongea vizuri. Ndio viongozi wa Dini wanaohitajika Katika Tanzania. Sio mitume Na manabii wtafuta maokoto
@DaudMtafya-pg4fc
@DaudMtafya-pg4fc 3 часа назад
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 5 часов назад
Dr. Kitima hongera Sana, umesema ukweli wote, wewe ni mzalendo wa kweli, tungewapata wengine kama wewe nchi ingenyooka, Mungu akupe maisha marefu.
@simonshimba7759
@simonshimba7759 3 часа назад
Historia itakukumbuka katibu Mkuu TEC
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 часа назад
VIVA PADRE KITIMA....MANENO YA BUSARA NA HEKIMA SANA KWA TANZANIA YETU.
@ZiggysebahZiggysebah
@ZiggysebahZiggysebah 3 часа назад
Tz Tuna watu wenye bongo sana.Mungu Azidi kutuongoza
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 3 часа назад
Mungu akulinde popote uwapo
@ProjestusRwechungura
@ProjestusRwechungura 5 часов назад
Ubarikiwe Baba , Tungelikuwa na viongozi wa Dini wa namna hii pengine nchi ingelipata ahueni.
@stellamakasi5935
@stellamakasi5935 25 минут назад
Mwanasheria fr.kitima asante kwa kufundisha sheria za nchi yetu wanasheria wote elimisheni wananchi wote mupo vizuri Mungu awabariki
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 часа назад
Padre Kitima hakika wewe mtumishi wa Mungu. Lsiti dini zote wangejitoa vema kama uelezavyo, Tanganyika tungekuwa huru kweli kweli. Mungu akujaze akupe zawadi wewe unayostahili
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 4 часа назад
Sawa kabisa Padri Kitima ubarikiwe sana na Mungu
@JohnTemba-o8t
@JohnTemba-o8t 3 часа назад
NAWAOMBA WATANZANIA KWA UJUMLA WETU TUMLINDE PADRI KITIMA YUPO VIZURI VIZURI SANA SANA.BABA UBARIKIWE NA MUNGU MWENYENZI.
@josehmark
@josehmark 3 часа назад
Sawa mtumishi Mungu hajawatuma muhubirie watu kanisan tu Bali Kila Mahalia hongera baba😊
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 5 часов назад
Padri Kitima Mungu akupe Maisha marefu ili ulifae Taifa letu. Ninaamini CCM watakuchukia lakini ninaamini Mungu anakupenda kwa kusema UKWELI WOOTE!!!
@valerianrwebandiza754
@valerianrwebandiza754 5 часов назад
Safi Fr. Pigania demokrasia na uwazi ndani ya Kanisa pia
@EliusPeter-j7b
@EliusPeter-j7b 3 часа назад
UBARIKIWE FARTHER
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 5 часов назад
Mzee umesema kweli sana mungu akurinde sana na kukitunza kweli umenena uchawa umezidi sana mpaka mapolisi kuwa makada si mchezo ni uchawa umetawala.
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 4 часа назад
Kitima.na.ponda.ndio.viongozi.wa.dini.wengine.ni.makada..wa.ccm
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 3 часа назад
Afadhali wangekuwa Makada tungejua ni makada, lakini SASA ni CHAWA WA RAIS !!! SIZUI JAMANI, RAIS ALITUAMBIA WAZI KUWA ANAWEZA KUSTAHIMILI KUKOSOLEWA LAKINI CHAWA WAKE....!!!! RAIS WA NCHI UNAFUGA CHAWA?!!!! UTAJIBU NINI MBELE ZA MUNGU ILE YA KIYAMA?
@TimotheoSimtowe
@TimotheoSimtowe 4 часа назад
Padri apewe ulinzi kwa kweli
@saviomlelwa
@saviomlelwa 4 часа назад
Mungu akubariki Kwa kusimamia kweli
@prospervedasto4366
@prospervedasto4366 4 часа назад
Ahsante sana baba Kitima kwa darasa zuri lililoshiba
@raydanfrenk
@raydanfrenk 5 часов назад
Siasa ni maisha yetu ndy maana unachagua kiongz kwa kupitia siasa ila akishinda anaogoza kila mwananchi ijalidhi ni chama gani, ila mbulula aziwez kuelewa
@swahilitheafricantongue7041
@swahilitheafricantongue7041 3 часа назад
Father nakukubali sana
@AgustinoBoaz
@AgustinoBoaz 4 часа назад
Good father mungu azdi kuabisha waovu tusikubali kusujudia uovu
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 4 часа назад
Hakika baba padre umenyooka maana unavyowapiga nondo wameshindwa kutafutatafuta hata mtoto wakusingizie Mungu azid kukuinua
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Час назад
Yaani nchi hii watu wanazidi kuchanganyikiwa na fedha haramu za rushwa na uchawa kisa madaraka yasiyo halali na mwishowe matunda ni majanaga ya vifo na mengine yatakayokuja.
@aloujouasumwisye553
@aloujouasumwisye553 2 часа назад
Nawashangaa waoshangilia ujinga huo, padri Kitima nakuelewa sana maana uko unazungumza uwazi na ukweli ila watawala wanajiona miungu watu
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 4 часа назад
Safi san father
@hoseazakayo3779
@hoseazakayo3779 5 часов назад
Huko sahihi Askofu Tupe ufahamu watanzania ili tuelewe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 часа назад
Ni kweli kabiss usemayo Uchawa unezi hasa hii Awamu ya Sita
@PIUSSEBASTIAN
@PIUSSEBASTIAN 17 минут назад
Jamani jamani jamani tuwe na haya na tumuogope mungu mungu ndo mtoa riziki na humpandisha daraja mja wake anayemtaka tuache mungu aonyeshe pawa yake
@davieswillson9782
@davieswillson9782 3 часа назад
Ujawai kuniangusha padre
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 часа назад
Sema usiogope sema sisi Wakatoliki hatutaki mbamba dini yenye mafundisho ya uhakika
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 2 часа назад
😂😂😂 kweli kabisa.. hii ni TANZANIA FEKI KABISA...uchawa mwingi sana alafu ni wa ujinga kupitiliza
@simonshimba7759
@simonshimba7759 3 часа назад
Umezidi Sana uchawa inaboa mno
@LetlhogonoloMokotedi
@LetlhogonoloMokotedi 3 часа назад
Safi sana baba
@brysonmandari5694
@brysonmandari5694 3 часа назад
Umesema kweli Baba japo maccm yatakuchukia!
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 4 часа назад
Asante Dk Kitima (Padre)
@amosmerama3680
@amosmerama3680 2 часа назад
Maccm njoo mmsikie huyu msomi wa theology na sheria, Huyu haongwi gari
@PIUSSEBASTIAN
@PIUSSEBASTIAN 29 минут назад
Akiwa kiongozi muislamu utasikia mengi Kwa maaskofu mungu humpa amtakaye na hakuna wa kumzuia tmungu mpe afya kiongozi
@ChristerKoku
@ChristerKoku 4 часа назад
Hasante kutuelimisha baba Padri.watsnzania tu wagumu.
@AugustinoRugwije
@AugustinoRugwije 5 часов назад
Nakuelewa baba yangu
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 часа назад
Tumeweka viongozi wanaopenda kusifu na kusifiwa ndio maana!!?
@ChristerKoku
@ChristerKoku 4 часа назад
Hawakemei baba,zaidi ya kujigamba,kujivuna taifa letu linaangamia.
@godfreymjuni6752
@godfreymjuni6752 3 часа назад
Nchi yetu inakoelejea siyo pazuri
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 часа назад
Semeni waziwazi viongozi wa dini nyie ndio mna watu
@JosephIbrahimu
@JosephIbrahimu 5 часов назад
Nakupongeza askofu tumekua chawa kwamda mlefu kama mazombi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 4 часа назад
Tumekuelewa
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 часа назад
VIJANA WANAAMINI KTK MASHINE YA MCHINA POOL ETI KUMEJAA PESA NA SERIKALI HAIONI KAMA INAANDAA WAZEE WA BAADAE MASIKINI.
@godfreymjuni6752
@godfreymjuni6752 3 часа назад
Safi sana
@PIUSSEBASTIAN
@PIUSSEBASTIAN 22 минуты назад
Mungu simama na mja wako uliyempa dalaja Kwa uwezo wako we mungu muondoshee fitna na husda za bindamu mpe afya na umlinde Kwa nguvu zako lilinde taifa letu na wenye uchu na madaraka maana mhhh
@DamasNakei-bb7le
@DamasNakei-bb7le 5 часов назад
Kamari, bonanza na pool tables zinaharibu sana vijana wakati huu. Naomba serikali ikomeshe mambo haya. Na kanisa litangaze kuwa ni dhambi!!!
@peacemwesiga
@peacemwesiga 3 часа назад
❤❤❤❤❤❤❤
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer 5 часов назад
Hapo umeamua.. Uko sawa.
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 4 часа назад
kawaida yake
@mwinyimwakahatibu1755
@mwinyimwakahatibu1755 2 часа назад
Pope John Paul II today apologized to black Africa for the involvement of white Christians in the slave trade. The Pope's remarks came in an address to Cameroon intellectuals on their tasks in society and on the importance of integrating the Christian message with African culture. John Paul said the task of Christians involved ''healing and compassion'' because ''the man who is in need, on the side of the road, is their brother, their neighbor.'' He continued, ''In the course of history, men belonging to Christian nations did not always do this, and we ask pardon from our African brothers who suffered so much because of the trade in blacks.'' ADVERTISEMENT
@jomba6514
@jomba6514 3 часа назад
Amen
@hamzamajenja4891
@hamzamajenja4891 3 часа назад
Saf sana ubarikiwe,unaongea Ukweli
@melch3097
@melch3097 4 часа назад
Askofu umeongea vizuri lkn naomba muongeze ukali
@RevocatusKitambi
@RevocatusKitambi 4 часа назад
Fundisheni waumini nchi nzima maana wezi wa kura wamo makanisani
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 4 часа назад
Hiii nchi hata kwenye nyumba za ibada mhhh sijui tunakwenda wapi
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 4 часа назад
Swali sio kanisani .skiliza anacho ongea Nini
@KelvinSimango
@KelvinSimango 3 часа назад
Hakuna dini ya kujificha swala ya maendeleo ya katiba kama inakikwa huwezi kunyamaza inagali watu wa chini hawajui katiba yao mbaya. Hiyo​@@STEVENKAJUMBA
@saidymbila57
@saidymbila57 4 часа назад
Ndy maana hata rais mwenyewe kesha washtukia hana mpango na nyie hasa wewe chawa
@kibwetere1418
@kibwetere1418 5 часов назад
Citizen insteady of people
@salummohamed2689
@salummohamed2689 5 часов назад
Unajufurhisha, tuliandika waraka lakini...............,.......
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 5 часов назад
Salum, Ndo nyinyi mnatumika na kuhongwa magari na Raisi na Makonda. Kısa dini. Shehe kupewa Landrover na Samia kupitia Malinda ni bongo ya kidini kusudi ahutubie misikitini kama chawa . Huu udini mnsouingiza hatutawaliwi kiislamu. Hatupo Saudi Arabia. Tupo Tanganyika. Hatueneshei kifslme hapa.
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 4 часа назад
Wengi ni manyumbu eti waraka ukisikia uchawa ndo huo kwahiyo unaunga mkono upumbavu unaoendelea 12:22
@YunisRichard
@YunisRichard 4 часа назад
Ni vema kabisa
@saidymbila57
@saidymbila57 4 часа назад
Chawa wa Romani na msenge wa mbowe hata usemi nini urais Samia ndy raisi Samia onyeoooo
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 часа назад
HUJALELEWA....DUNIA ITAKUADABISHA!
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 2 часа назад
Kosa lake ni lipi?Au kueleza ukweli.TAFAKARI CHUKUA HATUA,badilika.
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Час назад
Acha kuwafananisha watumishi wa Mungu na wanasiasa acha kabisa viongozi wa kisiasa ndiyo waliyotufikisha hapa wanafanya ufisadi wanajilimbikizia mali wakiwaacha wananchi kwenye umaskini wa kutupwa
@saidymbila57
@saidymbila57 4 часа назад
Chawa wa chedema na mbowe kitima acha upubafu
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 3 часа назад
Umesikia wapi we chawa wa CCM kuwa CHADEMA kuna uchawa ili wapate nini.
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 2 часа назад
Badilika Kosa lake ni lipi kwako?
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 2 часа назад
kwambali naona kuna watu wanqkuqngalia na kukukujadili ivyo kuwa makini askofu🏃
@mbarakahaji4302
@mbarakahaji4302 5 часов назад
VuwA joho uingie mitaani
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 часа назад
Na wewe vua hiyo Nguo yako Tuku Pidid,
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 4 часа назад
Baba ako akivuwa vazi lake la msikitini akaibgia mtaani inatosha au huyo kubwa jinga kichwani zero
@nyembobea7285
@nyembobea7285 3 часа назад
Umesahau padre kwamba kuna dini zimeruhusu ushoga je unazijua acha uchawa uchawa ni kitu cha kawaida padre kazuiwa kuoa au kuzalisha watoto kinyume na sheria ya kanisa
@BachuSamwel
@BachuSamwel 3 часа назад
Nkweli Ila chadema nao wamefeli
@mwinyimwakahatibu1755
@mwinyimwakahatibu1755 2 часа назад
Kama mnatoa elimu ya maarifa je mnawafundisha waumini kuwa kanisa lilitoa ruhusa waafrica wakamatwe na kufanya watumwa?
@saidymbila57
@saidymbila57 4 часа назад
Unaleta uchochezi tu wewe udini unakusumbua
@josephudoba5563
@josephudoba5563 3 часа назад
Nyie nduguzetu hamna ukweli mawazoyenu yamejaa udini Aya mtu akiongea ukweli mnawaza dini wakati dini yenyewe inakataza unafiki uchawa ni unafiki mtu alifanya vibaya aambiwe sio apongezwe Tanzania ni Moja sote Kwa pamoja katika kuliongoza taifa tumkemee tulio mchagua alifanya kazi ambayo hakutumwa
@brysonmandari5694
@brysonmandari5694 3 часа назад
Yote anayosema yamo kwenye Biblia,mithal 18:18
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Час назад
Huyu ni mpumbavu. Haelewi kitu
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Час назад
Jibu hoja. Usilete udini.
@paulinethadeus7912
@paulinethadeus7912 59 минут назад
Mpumbavu huyo ndiye chawa hasa hajui jus linapotokea
@saidymbila57
@saidymbila57 4 часа назад
Bandari inafanta kazi ulisema eee jinga kweli hili shongaa
@LAZAROSEBASTIAN-j8p
@LAZAROSEBASTIAN-j8p 2 часа назад
Toa hoja acha matusi akili yako ndogo sana kama siivo we ni chawa
@alexkatabi2951
@alexkatabi2951 2 часа назад
Usihangaike na chawa mwache atamwagiwa maji ya moto atoke alikojificha,mwache abwabwaje atachoka,udini unawasumbua,wanaopewa somo ni waumuni wakatoliki wewe unawashwa na Nini?
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Час назад
Matusi hata siku moja hayajawahi kuleta mapinduzi ya kifikra kiuchumi teknolojia ya viwanda ili vijana wanamaliza vyeo wapate ajira okey
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 5 часов назад
Acha porojo Kanisa ni. Chanzo cha Matatizo TEC SI SEHÈMU YA ÙTAŴALA WA NCHI NÌ WASĤAURI TUU
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 часа назад
KITIMA acha chuki kwa serekali ya mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASAN,Au anzisha chama chako cha SIASA!!acha kuwachanganya waumini wako,hawajui kama wewe ni mtumishi wa kanisa au chawa wa akina LISSU!!
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 часа назад
Na wewe achana na waumini was father Kitima Tena fuata mambo Yako kabisa. Watu wanauawa kikatili lazima aseme
@JacobMavika
@JacobMavika 4 часа назад
Ww ndo uache uchawa kwa serikali ya mama ako muache mtumishi awafundishe neno waumini wake
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 4 часа назад
Katolik haijawah kunuruzwa na sekali kama bakwata ukiwa kada kama pengo unawekwa pemben
@amosmerama3680
@amosmerama3680 2 часа назад
Huyo ni msomi wa theology na Sheria kwa level kubwa saana ya PhD, huyo ni mwakilishi wa TEC na sio bakwata ya ccm, peleka uchawa wako mbali wewe mbogamboga wa ccm, muache father azungumze na waumini wake
@LAZAROSEBASTIAN-j8p
@LAZAROSEBASTIAN-j8p 2 часа назад
Chawa wewe
Далее
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23
DEMONS ARE ATTACKING BRAWL STARS!!!
09:08
Просмотров 7 млн
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23