Тёмный
No video :(

Papa Francis atembelea chimbuko la Uislamu 

DW Kiswahili
Подписаться 177 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani yuko katika rasi ya Uarabuni ambako ni chimbuko la Uislamu katika ziara ya kuhimiza amani na kustahimiliana duniani.Tazama Kurunzi-04.02.2019

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 226   
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 3 года назад
Subhanallah yaani wanawake wa kiislam wawe ivyo nywele wazi wanacheza mbele ya wanaume tena msikitini ooh lord ptotect use tupo nyakati mbaya
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 года назад
Astagfirullah laadwim siyo msikiti huo zubeda hiyo ni kasili ya Rais
@yussuffadhil4522
@yussuffadhil4522 6 месяцев назад
uislam haujaanza hapoo wala sio chimbukoo uislam upo hata kabla ya nabii Adam
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic Месяц назад
Astghafirullah ladwim
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 6 дней назад
Uislam ulianzishwa na roman empire Mika 500 AC ndo mjue sasa
@davidokento6994
@davidokento6994 3 года назад
Allah aninusu Mimi na kizazi changu
@tamimumelly3581
@tamimumelly3581 3 года назад
Dah tuombeane wote ndugu
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 года назад
#Davudi kento, hujui uislamu ni mtoto wa katoriki? 🤣🤣🤣Angalia pope huingia kwa misikiti na viatu juu ni kwake 😁😁😁.
@roymosirigwa4514
@roymosirigwa4514 3 года назад
Read Book of Revelation and Daniel you will understand we are in the last day,Sunday law coming plus worshiping of the Beast.Jesus is around the corner we are in the last days keep your garments white.
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 года назад
Tayari wewe umeshamwabudu huyo Beast. kwa kuwa singizia wenzako uongo kwa sababu ya wivu na chuki.
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 года назад
@@abelsteven3189 wewe mwenyewe unajua Beast ni nani 😏😏
@monicabh1668
@monicabh1668 2 года назад
@@abelsteven3189 kama yeye ako Sunday worship anamwabudu
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 2 года назад
You are so stupid and poorly thinking. Acha kukaririshwa mambo
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Kiama_kime_fika_na_Ahadi_ya_Allah_kuilinda_Dini_yake_itatimia_Uislam_si_uarabu_wala_sio_dini_ya_Mtu_ni_Dini_Ya_Allah_hata_wakutane_ndani_ya_Allqaab_bado_Hawata_weza_kubadilisha_uislam_kama_walivyo_Zuia_hijja_Allah_atasimamisha_Tu_Dini_yake_kwa_Kalima_ya_LLAILAHA_ILA_LWAH_MUHHAMAD_RASULLU_LWAH
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Kwendraaaaa huko wew ndio mav kbs uijui dini wajua udini tu peleka nyumban kwenu
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Kimekufikia wwe na familia yako
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
@@mdzainb3722 kikitokea_ndio_utajua_ni_mimi_na_Familia_yangu_au_vipi_
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
@@habibakhalfan1065 🤣🤣🤣🤣🤣 we nawe namwandiko wako kama darsa la kwanza c
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
@@mdzainb3722 hahaahhahahhhhjh_umeelewa__lakin
@farajalimenyimana3261
@farajalimenyimana3261 3 года назад
Jamani mpango wa dini moja aka new world order ndio hiyo
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 2 года назад
Acha upumbavu nyie manabii wa uongo
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 3 года назад
Swala la amani waislamu hawalipend kabisa huyo mungu wao atakuwa bondia ingekuwa mabomu ya kujilipua mhanga ndio wangefurahi
@kingihassan3540
@kingihassan3540 3 года назад
Alafu ww kenge kuwa Na adabu mshenzi mkubwa ww
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@kingihassan3540 Na usije ukajidanganya kuwa utaiona pepo ndoto na udin wko huo😏
@kingihassan3540
@kingihassan3540 3 года назад
@@wamoroboy8963 Pepo utaiyona ww mtoto wa mwamposa
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@kingihassan3540 Tatizo lako unapenda sana udini ndio mana umejawa na dharau af kama ujuh hapa 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜 dini ya kwel ni Imani kanisa na msikiti n ushaid tu""""na pia hata nkifa kesho sijar na siofii chochote kile sab hakuna aijuwae kesho yake GOD ndiye mwenye kunipangia ukumu yangu ya mwisho sio wew mbanian😂😜
@dm-rv5mf
@dm-rv5mf 3 года назад
Acha masihara na Mwenyezi Mungu, Hakuna masihara kwa Mwenyezi Mungu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Tunachopenda amani duniani waislamu na wakristo wanaoana na kuzaliana kipi cha ajabu wote tunamuabudu mungu
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Ubarikiwe sanaas
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 года назад
Cha ajabu kilicho tutenganisha Qur'an na biblia
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 2 года назад
Exactly. Sasa vijitu havitaki amani
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 года назад
@@bazilkisibo5811 amani haiwezi kuletwa na makafiri ndio hao wanao chafua amani Wamarekani wamekwenda Libya Iraqi Afghanistan kwenda kugombanisha watu na kupeleka mamluki na kuleta machafuko wakauwa viongozi wakauwa watu jee kwako wewe hii ni amani? Mpaka Leo nchi hazija tulia kwa mauwaji ya Wamarekani
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 2 года назад
@@salehkhamis8653 wewe uelewa wako uko chini ndiyo maana unajitukuza mwenyewe. Acha kutamani mke wa jirani na Mali za watu kwanza
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Hizo ni Dalili za kurudi kwa Yesu mara ya pili,, NEW WORLD ORDER is Coming.
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 2 года назад
Haswaaa
@buherokozi1097
@buherokozi1097 3 года назад
Allah tunusuru na makafiri wa kiarabu
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Dini sio vita😂
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Huyu nae 😂
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@mdzainb3722 Anajikuta MUNGU wa kwke pekeyke😒
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
@@wamoroboy8963 Hivi hawa wenzetu historiailiwapita wapi maana haya mambo ata shule unafundishwa kuhusu Ukristu na Muislam naona vichwa vyao boksi 🤣🤣🤣🤣
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@mdzainb3722 Me wananiuzi sana kujiona wao ndio bora kuliko DINI ingine utafkil MUNGU ni wa kwao pekeyao😂
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic Месяц назад
Bismillah
@khalidijohn890
@khalidijohn890 2 года назад
Subhanna Llah wanawake wamekua kiburudsho
@manueljuniorjunior6035
@manueljuniorjunior6035 10 месяцев назад
Yesu anakupenda sana
@khalidijohn890
@khalidijohn890 3 года назад
Sub Hanna llah..wanawake wa kiislam hao ichi kama Saudia
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 3 года назад
Hawo ni watoto bado hawaja fika balekhee Kwa hy hakuna tatizo
@georgeurembo4553
@georgeurembo4553 6 месяцев назад
Vp kwan
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
Sisi tunajua warabu ndo wenye dini ya kislam nyie waTz mmeletewa tu afu mnataka kuwapangia si utahila huo hata Leo wakiwazuia msiende kuhij mack kwani mtawafanyeje?????
@dm-rv5mf
@dm-rv5mf 3 года назад
Ww ukristo unajua chimbuko lake ni wapi, uislam sio dini ya waarabu, mnamfata yesu, ebu nambie yesu aliteremkia nchi gani, au nitajie nabii ata mmoja alieshukia nchi yoyote ya kizungu,
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
@@dm-rv5mf ukristo chimbuko lake ni kristo ambaye ndo yesu na ndo njia yetu, kwahy sisi ni wake yesu kristo tena labda nikueleweshe kristo mana yake ni utakatifu
@kingihassan3540
@kingihassan3540 3 года назад
Mtume muhammad akuwah kusema yeye ni mtume wa waarabu wala uislamu sio dini ya warabu kasome kwanza Alafu ukristo sio dini kristo maana yake ni mpakwa mafuta
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
@@kingihassan3540 yani hata huelewi unaropoka tu basi twende na akili zako mpakwa mafuta au kitu kilichopakwa mafuta kwa lugha ya bible unajua maana yake nn?
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@dm-rv5mf kwani wew din umeanza kuijuwa mwaka gan ad ukatae kuwa uislam sio din ya waalabu eb tuambie??
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Vp kwani🤣
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Dini sio vta Mungu n mmoja
@dfinalpatrick8555
@dfinalpatrick8555 3 года назад
Hawa ndio walio tuletea dini.kwahio kaeni kwakutulia chamsingi mungu moja na kila dini inafunza matakwa na sheria za mungu kazi kwetu kufuata sheria za mungu na kumuabudu mungu au kuabudu dini zetu!!!!!
@georgeurembo4553
@georgeurembo4553 6 месяцев назад
Power of roman Catholic
@Kiswahili
@Kiswahili 6 месяцев назад
👍
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 8 месяцев назад
Hawa si waislam ni maskia wislam unamipaka hairusiwi kafuri kuingia msikitini ila kwa kusilim na mwanamke kumpa mkono papa au shenke au mtu yeyote ila maharim wake si kila mtu apewe mkono
@hassanjumachipua2836
@hassanjumachipua2836 5 лет назад
Sub haana Allah
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Nin wewe 😃
@bonifaceomallya9201
@bonifaceomallya9201 11 месяцев назад
Chimbuko la uislam na ukisto ni mrumi dini zote za mrumi hizo
@claudettezainabu2162
@claudettezainabu2162 3 года назад
Makafiri
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
Pole sana
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 8 дней назад
Wa wapi,wewe ndo mkafiri ,kwa unawazidi has waliompokea
@mwanaidisimoni79
@mwanaidisimoni79 4 месяца назад
Chimbuko la kisenge ilo wanawake vichwa wazi alafu unasema la kislamu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 года назад
Papa mwenyewe anaonekana ni mwislamu safi kabisa wala sina hofu nae
@husha6372
@husha6372 3 месяца назад
Chimbuko la UISLAMU sio Abu Dhabi ni Makkah Saudi Arabia wa he I kudanganya watu kwa habari na taarifa za urongo
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
NAni kakwambia
@Abraahfx30
@Abraahfx30 3 года назад
Hii so sawa
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
Kwa sababu gani
@twahamdoe5730
@twahamdoe5730 3 года назад
Mungu mmoja
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 5 лет назад
Unaposema chimbuko la uislam unakua bado hujawa mkweli maana uislam ni dini ya ulimwengu maana hapa patakua na dhana kwamba uislam ni uarabu sema ni chimbuko la mtume tunaweza kuwa sawa ila dini ni ulimwengu sio tamaduni ya kiarabu
@victorngereza5497
@victorngereza5497 5 лет назад
Sharif Abdul uelewa wako mdgo xna na yeye hajakosea ila hujamuelewa tafadhali tafakari mambo huko ndio uislam ulikoanzia baada ya mtu na kutangazwa kwa ulimwengu mzma haujaanzia tanzania xwa kijana
@hussenothman7482
@hussenothman7482 5 лет назад
ww hujui ata uislamu lipo anzia walizewenyewe kamahujui usiropoketu kaakimya
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Nnachojuamm uislam kwao arabuni na ukristo kwao ulaya so tutulie tu nass turafute dini yetu Africa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
@@victorngereza5497 anapngana na wenye dini Yao yy km nan Sasa 😏
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 3 года назад
@@gosbertmuta5421 dini Gan sas utapata watu wengn bhn🙄🙄
@salumsalum3942
@salumsalum3942 3 года назад
Dini hii inalindwa NA ALLAH walishindwa kipindi kile Cha mtume (S.A.W) ndo wataweza Leo? haiwezekani na haitawezekana.
@hussenihussenirashidi8420
@hussenihussenirashidi8420 3 года назад
Watapotea wawo binadam ila dini itabaki kama ilivo achwa
@Atmospherec3
@Atmospherec3 3 года назад
Ivi mnaujua uislamu nyie zaidi ya mwarabu mwenyew au mnaongelea chuki tuu kwa dini mlioridhishwa na wazazi wenu
@salumsalum3942
@salumsalum3942 3 года назад
Dini hii sio ya mwaarabu Soma na fuatilia ujue ALLAH akuongoze
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 года назад
Wanapitisha sheria ya SUNDAY LAW, na wakuu wa dini ya uislmu walikumbaliana na pope na sign ikawekwa, nyinyi kwa sababu hakuna lingine mnajua, kazi yenu ni kusema uislamu ni dini ya haki, mtapindiliwa mchana jua likiwaka😂😂.mwenye ataenda msikiti Friday mtatolewa na viboko kama wakati wa corona. Pope akisema dunia yooote inainama.Rev 13 &17
@jpmanotaofficial639
@jpmanotaofficial639 2 года назад
Waanzilishi wa dini hawanashida shida ni kwa ninyiwapokeaji mnashikilia kama urithi, uko uharabuni waislamu na wakristo wanashirikiana lakini ninyi mloletewa dini kwa bakora huruma sn
@froridaanthony3278
@froridaanthony3278 3 года назад
balaa gan iliii
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 10 месяцев назад
Sinyinyi mnae endekeza unazi wa kidini na wakati wenye dini zao na ndo ziliko zaliwa wao wako ki social sana ila ninyi mnajifanya vidume wa wislamu kweli ovyo kabisa hao mabinti kwa taarifa yenu ndo mabinti safi wa kiislamu kuliko wanao jinyesha kwa nje lakini wayatendayo silini hakika ni jehanam tupu nanimsiba mkubwa kwenu ,hongera abu dhabi hakika ninyi ni wa islamu safi
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Uisilamu sio uarabu ayo ni matembezi tu
@Atmospherec3
@Atmospherec3 3 года назад
Nan kakudanganya uislamu ni uarabu kwa kila kitu kuanzia tamaduni za kiarabu, mavazi ya kiarabu, lugha ya kiarabu, mpaka manukato na mwislamu atajiona kakamilika na uislamu akionekana kama mwarabu.
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
Nani kakwambia
@silviag.mpanda4902
@silviag.mpanda4902 3 года назад
Amen
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃 naona waislm mapovu acheni ujinga eti uislam aliekujanae adm adam kinyozi au
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 2 года назад
Etiii
@salumajuma9583
@salumajuma9583 3 года назад
Uwislamu upo mbali na makutano haya kama ni lamu wana uhusisha basi umewakataa uwislamu nidini ya ALLAH na siyamtu uwislam haumuhitaji mtu mtu ndio anahitaji uwislam kwa anaetaka uwislam haukumbatii mtu kwa kabila wala mavazi uwislam hautikisiki ulicho kataza basi umeataza ulichoruhusu basi umeruhu
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Ulijuwaje kama din ya Allah na ni kitabu gan kinasema kuwa uislamu n dini ya haki
@sundaymsuya1433
@sundaymsuya1433 2 года назад
Dini ni yawaarabu ukatae ufanye uwezalo huo ndio ukweni wa Africa tulikuwa na zakwetu tumeletewa zawa2 tunakumbatia utazani ni utamadini we2
@joshuamwanaharakari9849
@joshuamwanaharakari9849 2 года назад
Kwisha habari
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 года назад
Kumekuchaa
@ShedrackChengula
@ShedrackChengula Год назад
nikweli wametembelea ila matembezi hayo ni nini lengo haswa lengo ni kuuzalilisha uislamu na ndyo mana wamewapanga watu wasio na hofu ya allah kwa tamaa zao ili wafanikishe kuwaweka wanawake vichwa wazi na kumpa mkono mwanamke
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 года назад
Huyu mbwa uyu ndo anatuletea ule mwisho wa dunia . Me nilijuaga2 kwamba hii dini ya roman ni ya mpinga kristo nilifikiriaga sana. Kwa nn kuna makatazo juu ya waabudio sanamu alafu wao wamejichongea masanamu makanisani wanayaabudu. Af hata gongo ni powa2 kunywa ilimradi2 padri aibariki.
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 2 года назад
Wewe ndiye mbwa na kuanzia Leo umelaaniwa na utakuwa mgonjwa Hadi utakapotubu hiyo dhambi yako
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 2 года назад
Nimeshakuambia wewe umelaaniwa tayari. Kwa sababu hata lugha Yako yaonesha ni WA baba Yako shetani. Sasa katika mazungumzo yote wewe mkristo fake na Jao waislam Bado mnashambulia kitu kimoja huku mkiwa na tofauti Sasa hii yaonesha nyie makundi mawili yenye mitazamo tofauti juu ya adui yenu nyie ndio wapinga Kristo kabisa. Falme ikifitinika yenyewe imekwisha anguka. Sasa jitafakari wewe mkristo fake na huyo muislam ubwabwa mnakwenda sawa. Ninyi ndio wapinga kristo
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 8 дней назад
Katubu ,hao ndo walikuandikia biblia,naomba tusi lako
@allyabdallahally9637
@allyabdallahally9637 2 года назад
Nawashangaa sana kutembelea sehemu mnaona ni kitu cha ajabu akili finyu sana
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 2 года назад
Huna ujualo
@muksinsaidi4892
@muksinsaidi4892 2 года назад
Ww kausha.. akili huna
@khamismassoud9034
@khamismassoud9034 3 года назад
We mtangazaji unafirwa kweli ety uislamu ni chimbuko LA waarabu
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Kwa mtazamo wake yeye cjui wew mwenzetu uislamu n chimbuko la nani waind au ?
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Hatushangai Uislamu ulianzishwa na Mapadri wa kikatoriki akina Waraka na Bahira, Sasa waungana ili kumpinga KRISTO.
@jpmanotaofficial639
@jpmanotaofficial639 2 года назад
Mmm upumbavu ni mzigo
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
Unafundishwa na wapagani wako,waliopotea ,acha wivu,kanisa ni moja tu,mengine hewa,njoo ukatoliki
@mwantumukawambwa8701
@mwantumukawambwa8701 3 года назад
Mbn wana wake wanaacha vichwa waz mbn MNA tuchangany nyinyi wakat din zimetokea kwao BC lukusa kuacha kichwa waz
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk 8 месяцев назад
Anajenga jengo lao la dini moja😂😂 mkatoriki na mwislamu
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
Dini zote,kila kiongozi wa dhehebu lazima aende kwa papa
@shebyabdallah5854
@shebyabdallah5854 3 года назад
Upuuz
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 года назад
Kiongozi wa dunia nzima dini zote na serikali. Unabii ni ukweli kabisa mnyama wa ufunuo 17.
@jpmanotaofficial639
@jpmanotaofficial639 2 года назад
Kwa Familia yako
@egetinginyemachoka2726
@egetinginyemachoka2726 3 года назад
Makafiri nyinyi wajinga sana?
@ibrahimiddi3134
@ibrahimiddi3134 3 года назад
Uctangaz vitu ucvovijuw ww aliekwambia uislam umeanz apo nn ?
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Год назад
uislam na ukatoliki ni dini moja ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-N36btHXRRb8.html
@sheikhfadhilaljahdhamy6751
@sheikhfadhilaljahdhamy6751 3 года назад
Uisilamu ulianza kuanzia kuumba nabi Adam A.S. na mtume Muhammad s.a.w. ni mtume aliyokamilisha risala ya uisilamu
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Acha uongo, Uislamu ulianzishwa na Mapadri wa kanisa Katoriki, akina Waraka na Bahira
@sheikhfadhilaljahdhamy6751
@sheikhfadhilaljahdhamy6751 2 года назад
@@frankmpembu2505 Nani akakuambia hivyo? Hawa ni mafariki wetu kuanzia kitambo karni za Mtume Muhammad s.a.w. lakini sio waliyoanzisha
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 года назад
#sheikh, kama uislamu ni dini ya kwanza Moha aliambiwa awe wa kwanza kwa wenye kusilimu, je hao wengine walisilimishwa na nani na mtume alisilimishwa na nani?? TENA, Qor'an inatambua kuwa wakristo na wayahundi ndio wa kwanza, je wewe na Qor'an nani muongo??
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
@@sheikhfadhilaljahdhamy6751 Usilolijua nisawa na usiku wa kiza
@sheikhfadhilaljahdhamy6751
@sheikhfadhilaljahdhamy6751 2 года назад
@@frankmpembu2505 Sisi ni binadamu hatuwezi kujuwa kila kitu lakini la muhimu nimpe wenzako wakati wakujieleza
@kabundajr9290
@kabundajr9290 3 года назад
Hakuna Islam hapo wanafikh walikuepo tangu na tangu
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
Warabu ndo wamekuletea ww Hiyo dini afu ulivyo tahila unawapangia cha kufanya mbona hawakuja Tanzania kufanya huo upatanisho tumieni akili kenge nyie acheni mihemko
@officialdeking
@officialdeking 3 года назад
Uisilam aujazaliwa uarabini bali ni dini iliyokuj n Nabii Adam
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
Acha utahila wewe adam hakua nabii tena hakuja na dini yoyote ? Na alisali msiki UPI? Na huo unabii aliufanyia wapi
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@francisjoseph1074 😂bora umemjibu
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Adam yupi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
@@wamoroboy8963 unajua waislam akili zao ndogo sana hata awaelewi maana ya nabii Adam huo unabii aliufanya yeye na mke wake au?
@bonifaceomallya9201
@bonifaceomallya9201 3 года назад
@@francisjoseph1074 😆😆😆😂😂😂ni shidaa aiseeee ety nabii adam sijui adam alikuwa nabii wa hawa
@samonline648
@samonline648 3 года назад
Hakuna uislam apo
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
Sisi tunawajua hao ndo wenye dini ya kislam nyie simarimbuken tu,yani wamewautea dini na ustarabu wa kuabudu afu mnataka muwapangie hata Leo wakigoma msiende makha mtawafanyeje
@Gokjunior7
@Gokjunior7 3 года назад
@@francisjoseph1074 we enda jikojolee haja uoshi mkojoo unaongea nini mkristo...
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
@@Gokjunior7 kwaakili zako umeona ni big dil kukojoa ukaosha? Sasa Mimi ninaekojoa na kuacha na wewe unaekojoa na kufuta namichanga nani msafi ?mkristo ndo mstarabu wa kwanza duniani
@Gokjunior7
@Gokjunior7 3 года назад
@@francisjoseph1074 jua dini yako kwanza ndio ujue kama mko kwa njia ya kweli ama mnapotea upotevu..mnasema yesu ni Mungu ilhali yesu ni mtume tu kama wengine..aje mtu anaabudu binadamu kama yeye..Karibu kwa dini ya ukweli ndio usipotee ndugu yangu.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
@@Gokjunior7 yesu ni mungu mkuu na mwokozi na ni njia ya kweli na uzima na sio mtu kama unavyofikili 1} yesu alichagua mitume je ni mtu gani awezae kuchagua mitume 2} yesu alikuepo tangu misingi ya dunia kuepo 3} Yesu husamee zambi je ni mtu gani awezae kusamee zambi za watu? 4} Yesu ni neno LA mungu na neno hilo lilifanyika mwili ili kufikisha ujumbe na Mungu hashindwi chochote 5} na baada ya mwili kufa au kuuwishwa neno likaenda kuwahubirilia injiri kuzimu watu waliokufa katika dhambi kisha baada ya kazi kuisha neno likauvaa tena mwili na kurudi duniani kisha kurudi mbingu katika utukufu wake na makazi yake
@muksinsaidi4892
@muksinsaidi4892 2 года назад
Uislam aujazaliwa apo mbwa nyie
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
😅😅
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 месяца назад
Wapi
@nyembo788
@nyembo788 2 года назад
huyo kafili anafanya nn huko
@khamismassoud9034
@khamismassoud9034 3 года назад
Wote hao niwanafiki na ww mtangazaji ni mnafiki kama huyo papa
@danielpaul84
@danielpaul84 3 года назад
Ww ndomnafki
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Udini wko peleka nyumbani kwenu
@emmadora7848
@emmadora7848 3 года назад
Wewe zubaa hapo na umasikini wako ,waache wenzio waishi vile wanataka hujawaumba wewe
@stevetimber7857
@stevetimber7857 5 лет назад
uislsmu haujazaliwa w
@victorngereza5497
@victorngereza5497 5 лет назад
Steve Timber huko ndiko ulikozaliwa uislam haujaanzia tanzania sisi tuliletewa kma uletewavyo daftari au kitabu na mwanao
@stevetimber7857
@stevetimber7857 5 лет назад
tupe aya insyosema uislam umezaliwa huko
@victorngereza5497
@victorngereza5497 5 лет назад
Steve Timber huna unachojua endelea kubaki na elimu ya kumezeshwa tafuta asili ya uislamu wako ni wapi mtu alianzia kufnya kazi ya mungu hapo ndipo uliko aanzia uislam
@stevetimber7857
@stevetimber7857 5 лет назад
ww unaejua toa ushahid
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
@@victorngereza5497 😂😂😂😂🤔
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 3 года назад
Subilini fitna
@zuberikwambiana3574
@zuberikwambiana3574 3 года назад
Usitangaze vitu kwa namna ambayo hujui,hivi unadhani kwamba uislamu umezaliwa!!! UISLAMU ni.dini ambayo ALLAH mwenyewe ametuletea waja wake ili tuishi katika mafunzo ya dini hiyo. eti wasema UISLAMU ULIPOZALIWA weeee kama mambo huyajui ungeuliza kwa kina ndipo utangaze kwa usahihi wake.
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 года назад
kwani huyo Allah unamjua ?
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 5 лет назад
We don't have leader of islam
@bakarimwakabebe9649
@bakarimwakabebe9649 3 года назад
That's it no leadership except Allah
@adammwamba9177
@adammwamba9177 3 года назад
Uislam haujazaliwa huko...na hapo alipotembelea ni ikuli tu ya rais sio ktk nyumba za Allah...pia uislam hauusiki hapo kwakuwa wanawake wanacheza vichwa wazi..kuhusu kuvaa kanzu sio kwamba ndio uislam bali ni vazi la heshima hasa kwa waarabu
@salumukimanzchana987
@salumukimanzchana987 3 года назад
Umeongea point muhimu sana
@muksinsaidi4892
@muksinsaidi4892 2 года назад
Kama anaweza aende maka, kubwa la makafiri
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Uislam enyewe ndiyo Hu mwanaume anampa mkono mwanamke ambae anauwezowa kumuowa na Hawa wasichana kichwa wazi wanatikisha minywere na Hao wanaume kupega Mingoma hapo Kuna Mushikila WA dini yote naona. Ni haram vinatendeka subuhanallah
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Waanzilish wa dini yenu hao ww umeletewa tu utulie hvohvo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
@@gosbertmuta5421 Dini ya kiislam ni ya kila mtu siyo ya waarabu sematu mitume imetoka uwarabuni na mtumewetu Muhammad swalalahu alahi was Alam mgekua kawaletea waarabu tu Sawa ila uislam WA Dunianzima kwahiyo wakikosea waarabu kuwakumbusha muhimu wakijitia kibri wataona a na molawetumlezi
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 3 года назад
Ukatwe mikono usipeane na watu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
@@jfineisaac6219 ujanielewa najua au siomuislam. Kama ujui uliza kwanza
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 3 года назад
Kuna tatizo gani wakipeana mikono
@akbarmpemba6990
@akbarmpemba6990 3 года назад
Amna usilamu hapo
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
Warabu ndo wenye dini yao kwahiyo we umeletewa tu lasivyo mpaka sasa ungekua unaabudu vitu visivyo eleweka kwhyo we mtu mweusi hutakiwi kuchonga mdomo
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Wew mwenyewe huna utofaut na wabaniani😃
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 года назад
@@wamoroboy8963 tulien dawa iwaingie
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
@@wamoroboy8963 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 года назад
Dah hii Dunia kweli imekwisha kafiri kama huyu anakaribishwa katka ardhi tukufu kwenye kitovu cha Uislam.. falme za kiarabu mbona hamko serious.. Uislam unakataza ..wakristo tunatakiwa kuwatenga katka masuala ya dini.. ispokuwa masuala ya kibiashara tu ndio tushirikiane nao
@andrewsam364
@andrewsam364 2 года назад
Huyu jamaa anachekesha.kunafamilia baba mkristo mama mwisilam watoto hivyohivyo. Nawao wajitenge nawazaz.Mungu nimmojatu.hizi din nimpango wa binadam mwamini Mungu aliekuumba acha kuamin din utapotea
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 года назад
Usinilazimishe kwamba niache kuamini dini Kila mtu amesoma na anacho kipenda na kila mtu ameamua kuchagua njia sahihi na ungejua natokea wapi Wala usinge ongea huo upuuzi wako Mzanzibar kuutambua ukristo ni kazi kubwa sana huku utakuta familia nzimah waislam ukoo pia mababu wa mababu waislam hakuna mchanganyiko huku tunajijua wenyewe
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
Akili ndogo hiyo ndiyo Dini ya kweli kafiri Muhammad kuwaletea Dini ya shetani
Далее
Pope Francis in Israel - The First Day
7:11
Просмотров 1,4 млн
Pope Francis in Israel - The 2nd day of the visit
6:42
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
POPE FRANCIS ARRIVES IN KENYA
4:47
Просмотров 745 тыс.