Тёмный

PAPAA MISIFA : DIAMOND AMENILIPA MILIONI 15 / HAWANIKUMBIKI / SHOW FEROOZ WATU 6 TU 

Gangana Info Channel
Подписаться 371 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 4 года назад
Asante sana brother wengi wetu ukana hasili mm Mwenye mcongomani wa hasili na Tupo wengi sana .
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 года назад
Papaa misifa bilionea Misifa MILIONEA father naomba usimamie tu Wewe ndiyo misifa milionea
@richardfrank9950
@richardfrank9950 2 года назад
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 4 года назад
Papaa Misifa kweli ulikua na Misifa ila ulikua unalengo lakusaidia Vijana kiukweli Upande wako ulifanya vyema ila uliowafanyia hawakubali kuumia kwa ajili yako hili nifunzo kwa Maisha yakawaida ya Wanaadamu niwachache wanaoweza kukumbuka Fadhira.
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 4 года назад
Mh paa paa misifa aka bilionere🤣😱😱
@victorboneventure586
@victorboneventure586 4 года назад
Diamond ana shukrani kweli amekupa mil 15, bado akakulipia Kodi ya nyumba mil 3 kwa maelezo yako.... nafikiri hayo anafanya Kama shukrani siyo kuwa analipa Deni lake la kimkataba...Ni vizuri ushukuru kwa Hilo.
@sweetbertkatindayo2950
@sweetbertkatindayo2950 4 года назад
Bilionea anadaiwa m 3
@peterp.a3271
@peterp.a3271 4 года назад
Interview nzuri ila fanya tafiti kabla ya kuleta habari!! Nineshangaa sana kuona interview ni ya 2020!! Qboy na mwarabu hawakutoka walifukuzwa isitoshe tofauti zao walishamaliza na qboy yupo wasafi tena
@cmantz8837
@cmantz8837 4 года назад
dah! Papa milionea kanikumbusha map g
@henrykishiwa6755
@henrykishiwa6755 4 года назад
Hapo aliyetuangusha ni mtangazaji, hajajipanga kuuliza maswali
@trumptz4536
@trumptz4536 4 года назад
WCB 4rever
@francisnyeriga
@francisnyeriga 4 года назад
Kweli ww misifa tena sio kidogo
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 4 года назад
Mbeya mbeya mbeya kweli watu 6 jaman aiseee dah nimecheka
@Tutindaga
@Tutindaga 4 года назад
mbeya noma waliingia watu 6!
@bobwhite9252
@bobwhite9252 4 года назад
Kuambiwa ni mkongo na lugha ikabadirika
@mathiasmayemba1325
@mathiasmayemba1325 4 года назад
Nikajua nimeona Mimi tu
@gwakisaeddie4856
@gwakisaeddie4856 4 года назад
Daaah nimeshangaa aisee
@mashambwana9849
@mashambwana9849 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 4 года назад
😂😂😂
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 года назад
Unapoongea uwe unamwangalie mtu anayekusemesha, yaani macho kwa macho.
@josephmkodo2350
@josephmkodo2350 4 года назад
Mtangazaji yuko na Kigugumizi nahisi au Sijui anaanza kazi
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 4 года назад
Presenter unazingua sana, jipange kuuliza maswali, unajiumauma, unasoma maswali hadi tunakuona! Si ucrop basi
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 4 года назад
Maswali hayana mvuto mzee uwe unaumiza ndonga
@jamalihamadi5609
@jamalihamadi5609 4 года назад
Kweli wewe misifa kuambiwa mkongo nalugha ikavadikika dhuu achasifa sasa kama ulipewa milion 15 naulitaka mwenyewe unataka mlejesho upi ww kolo
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 года назад
Dah! Amefanana na zito kweli wakongongo wanafanana
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 4 года назад
Sana brother ona Tupo wengi sana hadi serakalini kweye 100% 75 % kigoma. ....fipa ...na Tanganyika. Yote ni asili ya congo WABÉMBÉ...ndio baba zangu WABWARI ,WAMASAZE ,WAVIRA,WAREGA na pia mwanza 35% ni Sisi tabora special urambo 80 % ni wenye asili ya congo tanzania wenyewe ni wachache ukija ngara ni wa Burundi Ukiwa Bokoba ni wanyarwanda na wanganda wa hasili ukija kusini wamakonde ni watu wamsumbiji Ukiwa mbewa pia wa nakinasaba. Na majirani kama ufahamu wazanaki hasili Yao ni Burundi kina Nyerere Tatizo historia yafichwa sana hata Raisi Mangufuli wahaa pia wana kinasaba na Burundi na Wanyarwanda ni wamoja hata kilugha wana higiliana mno wa kulaumiwa ni mzungu halipo igawa Africa mwaka Feb 26/1885 ujeremani kama mngelijuwa story ya kigoma na jina kigoma na kipi kimewayi kutokea wakati ya mjeremani kigoma igelikuwa inch huru wala kuwa upande wa congo Historia hiwekwi bayana. .na tunajuwana kwa majina sote kama kabwe ,tambwe,nyembo, etc majina yetu yana kujuza asili zetu na koo zetu .na Burundi ukisikia wapo wasahili ni kabila hizo kutoka congo 🇨🇩 na wana familia Tanzania na congo pia .nyerere aliwayi kusema tusichuguzani makabila halikuwa na mana kubwa la sivyo6 tanzania ingesamba Kitambo .na kila manyema ni Mcongomani ya hasili .
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 года назад
@@lutulalihim1585 umejitahidi sana kuelezea lakini kwa bahati mbaya sana mimi sio mtu wa kugoogle ila ni msomi mzuri sana wa vitabu na historia ya kweli, ukitoa uongo ulioandikwa kwenye vitabu na ukweli kihalisia unapaswa kutambua Tanzania ni kubwa katika nchi za bara la Afrika, East Africa ni ya kwa ukubwa na afrika nzima ina nchi zisizopungua 54 na Tanzania ipo ndani ya 5 bora za nchi kubwa barani Afrika na pia ndio nchi pekee yenye Lugha rasmi kwa taifa zima na hata nchi za jirani ikiwemo hiyo Congo baadhi wanajua kiswahili lakini sisi hatujui kifaransa ambacho mmekigeuza mnakiita kilingala, unapaswa utambue Tanzania imeingiliana na nchi zisizopongua nane na zote hizo wanasikia kiswahili kiasi, Tanzania ipo ndani ya tatu bora katika nche 54 zenye lugha nyingi za ndani ya nchi tuna lugha zaidi ya 144, hiyo historia yako mtafute mvivu wa kusoma ndio umueleze hivyo, kwa ufupi Kenya wana wakuria wajaluo wamasai, na tanzania pia wapo wakuria wajaluo na wamasai, nakupa matatu×3 malawi wana wamakonde, wayao na wamwera Tanzania pia tunao, so ukisema nyerere ametokea burundi sikushangai sana maana hizo ni propaganda za kisiasa akiliza kuambiwa changanya na zako, hata Oscar Kambona aliambiwa aliambiwa si mtanzania mtu aliezaliwa nakukulia Tanzania na darasa lake la kwanza kabisa alianzia chini ya mti so sikushangai. Nb sikuongelea ubaguzi wa makabila ila nimeongelea fact.
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 4 года назад
@@davidcurtis8556 umesahau Kenya pia kuna wamakonde
@gracesakila4395
@gracesakila4395 4 года назад
Fala wewe
@abdulmtitu7478
@abdulmtitu7478 4 года назад
Ni ujinga wako,,,unaacha familia yako unaenda kisaidia mliojuana ukubwan,,hayo ndio mavuno yko sasa
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 4 года назад
Kwakifupi kafulia sindio !!?
@victorboneventure586
@victorboneventure586 4 года назад
Naona Kama anaongea kinafiki...pengine anajizibia mwanya wa kukumbukwa Tena na Diamond
@MrSoftBrains
@MrSoftBrains 4 года назад
Sasa huyu nae ni mtangazaji
@gresitimoth4142
@gresitimoth4142 3 года назад
E
@anjunurdin2392
@anjunurdin2392 4 года назад
Unaongea ukweli kabisa hayo makundi ni uadui sio kheri kikulacho kinguoni mwako
@kaimukaimu8762
@kaimukaimu8762 4 года назад
Kukwama huko kk
@benjaminmike9778
@benjaminmike9778 4 года назад
Ukiona mtu anaongea kwa kujiinamia ujue mnafki uyu... Yan mtu akupe mwaliko kigoma af unataka muelewane hahahhahhahahahh loh, kisa kumtoa tu ndo unataka ukae akuletee tu mxxxiixiixiiiiiiiiuuuuuuu
@bobwhite9252
@bobwhite9252 4 года назад
Kuambiwa ni mkongo na lugha ikabadirika
@mo_hustler9099
@mo_hustler9099 4 года назад
😂😂😂
Далее
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 164 тыс.
C Programming Tutorial for Beginners
3:46:13
Просмотров 13 млн
40 QISO oo saamayn leh & 15 kamida culimadeenna waaweyn
3:57:33