Тёмный
No video :(

PAPO HAPO "MWANAJESHI AOA NA KUVULIWA CHEO UKUMBINI" 

Cheni tv Online
Подписаться 261 тыс.
Просмотров 550 тыс.
50% 1

#SHEREHEYAKO

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@charssamwel1015
@charssamwel1015 5 лет назад
Tulio kuwa 2kisubir kuona mjeshi akivuliwa ma nyota kama mimi alaf kumbe sio hvyo gonga like.....
@suzymichael5532
@suzymichael5532 5 лет назад
Mungu akawatangulie katika ndoa nyenu jaman
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 5 лет назад
wallahy nmecheka bwana mjeshi hana mda makiss ya mbiombiyo km anamkiss nyuki vile💕
@tanzaniat7151
@tanzaniat7151 3 года назад
😂😂😂aisee
@lazarojr8923
@lazarojr8923 5 лет назад
Kuna nanga mmoja hapo huyo mweupe 😂😂
@amrimagambo7902
@amrimagambo7902 5 лет назад
anabebwa bebwa tu hahaha
@amrimagambo7902
@amrimagambo7902 5 лет назад
anabebwa bebwa tu hahaha
@goddamwakimi5889
@goddamwakimi5889 5 лет назад
Lazaro Joseph Linda ahahahah kumbe umemuona e3eh
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Hats ktk parade ya malaika mbele ya mungu nanga wapo!!!
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
Wale mabaharia wanosema geto wanamaziwa wakichukua mke wamtu haya sogeeni hapo shemeji wa makamanda hapo ukifumaniwa nibora ukutane na fujo za sauzi
@mathiasndekimo3983
@mathiasndekimo3983 5 лет назад
Kunanaga jeupe hapo mp hawapo kweli hahaaa hongeren
@mwajumamfaume9485
@mwajumamfaume9485 5 лет назад
Waaaapi wale watu nimecheka kama chizi kila la kheri best wangu mabizooo
@omaryh.mohamed4480
@omaryh.mohamed4480 5 лет назад
HALAFU KAJIFANYE UNA NYEGE MSHINDO UTONGOZE MWANAMKE ANAEOLEWA KWA SHOW YA MAPANGA LUKUKI KAMA HIVI, . .
@agnesskabalika9728
@agnesskabalika9728 5 лет назад
sijui kwa nini hawa watu huwa siwazoeagi mwenzenu tangu utoto nawagwaya mnoo😂😂😂
@rashidmatambo
@rashidmatambo 4 года назад
Hahahaha!! Pole sana hao jamaa ni watu wema sana!!
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@epifaniasawaki3315
@epifaniasawaki3315 5 лет назад
Wanajeshiiiii oye lkm nawaogopa japo nawapendaga
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 лет назад
Huyo mwanamke nabahati mbaya sana poleni.
@nurumwakabuta6130
@nurumwakabuta6130 5 лет назад
Huwezi ukatuambia Bwana Yesu asifiwe halafu unamwagiwa pombe labda kama hujaokoka lkn kama umeokoka ungemwagiwa soda!
@abellabv
@abellabv 5 лет назад
Muujiza wa kwanza wa Bwana Yesu: 1) ulifanyika wapi ? 2) ulikuwa ni nini ? Kwenye Biblia, soma Yohana 2:1-11; Zaburi 23:1-6 na kwa umakini mkuu, tafakari. Mungu Akubariki.
@hosianakibona9082
@hosianakibona9082 5 лет назад
Simply huyu dada kaolewa na Jeshi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zawadimwangoka4432
@zawadimwangoka4432 Год назад
Umeona we alivokua chap kwa keki
@alainwalterrwota1868
@alainwalterrwota1868 5 лет назад
Very good, guys be blessed
@mercyherbert8978
@mercyherbert8978 5 лет назад
nmependa wanavolishana keki aahhh
@jamesisaya5448
@jamesisaya5448 5 лет назад
hongera sana Dada
@katindasajohn6902
@katindasajohn6902 4 года назад
Umenipotezea Mb bhana.
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 5 лет назад
Eti ni kweli mjeda akioa mara baada ya sherehe akiwa faragha anakula mzigo akikojoa tu anapigiwa mizinga eti ni kweli wadau
@aishaabdallah199
@aishaabdallah199 5 лет назад
Sio kweli ,hata mm in make was mjeda mwaka 9huu sijawa kusikia
@husnangapu502
@husnangapu502 5 лет назад
Bi harusi ana was was sana sijui Kwnn
@theresaeward4933
@theresaeward4933 5 лет назад
naogopa kuzungumza nisije kukamatwa
@zenobiamollel5068
@zenobiamollel5068 5 лет назад
Theresa Eward 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@shankalimauno5786
@shankalimauno5786 5 лет назад
uyo bi arusi alivyosimama kama kalazimishwa kuolewa katoa macho utafikili anataka kukimbia
@miriamgasper8792
@miriamgasper8792 5 лет назад
Shankali Mauno yaani hajatulia kama vile mchepuko wake ulimtishia nakuja ukumbini kufanya fujo sijali chochote 🤣🤣🤣🤣🤣
@centralboytz4240
@centralboytz4240 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣
@jumabaaghi2nyola516
@jumabaaghi2nyola516 5 лет назад
Anataka kila anaeitikia amgeukie hana hata pozi akainamia chini kidogo sura kavuuu makubwa
@kubaw.3102
@kubaw.3102 4 года назад
😂😂😂😂
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 года назад
Ana was was atarii una macho kweli
@munuoisaack418
@munuoisaack418 5 лет назад
Gwanda LA jeshi harusini na saluti du
@beetrootfruit2098
@beetrootfruit2098 3 года назад
Mhh jamani mbona sio romantic..too serious jamani .
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 5 лет назад
Haka kadada kanaonekana macho juu sana hakajatulia vimacho kanapepesa sana
@husnaameen9309
@husnaameen9309 2 года назад
Siyo cheo Cha kweli Bali Cha ubachela ni utani wao tu
@victorjames3730
@victorjames3730 5 лет назад
Ila wanajeshi bhana
@charlesmassawe6321
@charlesmassawe6321 5 лет назад
Afande wazir 822 nitakukumbuka sana.
@africanatv1369
@africanatv1369 5 лет назад
Namkumbuka na mm asee dah yule jamaa siyo asee
@scholasticamabena7239
@scholasticamabena7239 5 лет назад
Charles Massawe 822 rwamkoma
@ematuku7013
@ematuku7013 4 года назад
Mungu hapendi mapanga mashalobalo wapi changamkeni mufe
@mariamsuleiman1638
@mariamsuleiman1638 5 лет назад
Yaani hata vigelegele munaombwa mupige haya kachepuke uone
@kyannickk2be
@kyannickk2be 5 лет назад
aahaa namuona kijana/ Luteni SN hapo
@barakaswai7358
@barakaswai7358 5 лет назад
Yan hapan jeshi her kuwa na kax nyingine hadi kupiga makofi ni amri haifai
@gracepaulo2355
@gracepaulo2355 4 года назад
Mmmmmmmh, kwl jeshii
@minjacsd1874
@minjacsd1874 5 лет назад
Hainaga ushemeji lakini sio kwa mke wa mjeda
@jimmytheboss52
@jimmytheboss52 5 лет назад
Hao ndo watamu kweli
@herikaniugu
@herikaniugu 5 лет назад
Wanaliwa vizuri tu
@TheLastSaint7
@TheLastSaint7 5 лет назад
Can anyone explain to me why they poured alcohol on him? American tradition is different
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 5 лет назад
@Drew Goddamn Brees.It's just send off jokes,excluded from SINGLE MEMBERSHIP,I Think the rest of officers are not yet married, pouring alcohol means they dont want see him again in their SINGLE membership.
@thobythegreat9962
@thobythegreat9962 5 лет назад
Because he violated military rules that why he get punishment
@richardlyimo7529
@richardlyimo7529 5 лет назад
Muda wao wakufurahi pia na ni umoja pia
@stephenjonas4866
@stephenjonas4866 Год назад
ni sheria,,umoja
@vince_vinson.2083
@vince_vinson.2083 4 года назад
Wewe ulio post hii clip acha uongo kisa unatafuta watu wengi waangalie ulicho weka.
@babyj8063
@babyj8063 4 года назад
jamn kwan huy jamaa kosa lake ni nni??? dizain km sielewi hapo
@majumbatv1116
@majumbatv1116 4 года назад
Baby J yani sio msela tena ndio kavuriwa cheo cha usela ndio kauli za jeshi
@abelmange5430
@abelmange5430 3 года назад
Yaan kuvuliwa cheo cha ubachela sio cheo cha kazi...hyo ndo maan
@davidwambura5915
@davidwambura5915 5 лет назад
Kweli ndoa ya kijeda hata kulishana keki ni kijeshi jeshi, Sasa wewe Dada chepuka uone.
@banosmaximillian7538
@banosmaximillian7538 5 лет назад
David Wambura hahahahh
@febbyambonisye2315
@febbyambonisye2315 5 лет назад
Hahahaha
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 5 лет назад
mwenzangu huyajui mapenz?? pngn mbele ya mke wake ata umwambie nini atakuwa mtiifu, ujesh wake mwisho jeshini
@tamaraemmah6553
@tamaraemmah6553 5 лет назад
Hahahaha amejitia Kwa tundu la.simba
@andrewmagwila6219
@andrewmagwila6219 5 лет назад
Kweli kaka umenena maana Sasa hivi wanawake wanatuvuruga htr hapo sasa aaijaribu atakula vitasa
@ayoayoo1222
@ayoayoo1222 5 лет назад
Harusi gani sasa hii utadhani ni mazishi ya kijeshi, watu wameboeka bi harusi kapigwa na mshangao yani bi harusi kama ambae iwajuta..
@rifathfransisco7821
@rifathfransisco7821 5 лет назад
Huyo bwana harus Mara ya mwisho nilimwona kirando kwenye harus ya mjeda mwingine naye alimzingua mwenzake
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 5 лет назад
Ukioa wanakuvua cheo cha ubachera
@glorymushi7397
@glorymushi7397 4 года назад
Dah sijatamani naweza kimbia si kwa mbio hizi
@anthonyclement149
@anthonyclement149 5 лет назад
Dr cheni
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 5 лет назад
sasa huyo mwanamke kama hajipendi ajaribu kuchepuka 😀😀😀😀😀
@kubojantan691
@kubojantan691 2 года назад
Nimeielewa hii
@onesmolkalinga5519
@onesmolkalinga5519 4 года назад
Kama nimemwona MC makene
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 5 лет назад
Hata kitandani ni kijeshi tu hahaaaa
@aishaabdallah199
@aishaabdallah199 5 лет назад
Hapana jamani tupo now vizur tens wajua kubembeleza
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 5 лет назад
Hizi arusi nyege zinaisha😀😁😁
@veronicalubuwa2937
@veronicalubuwa2937 3 года назад
😆😆😆😆
@lushilemmanuel4588
@lushilemmanuel4588 5 лет назад
Bi arusi anaonekana roho mbayaa
@honekisebwa226
@honekisebwa226 5 лет назад
Nakubar
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 лет назад
Huyu bibi harusi anaonekana ana ROHO mbaya sana.
@noelankiramweni3896
@noelankiramweni3896 5 лет назад
Hahahhaa why
@loishiyemollel8071
@loishiyemollel8071 5 лет назад
Mama kaza buti
@zhuraab7223
@zhuraab7223 4 года назад
🤣🤣nimecheka
@zakayomoshi1270
@zakayomoshi1270 5 лет назад
Kamke ka mwanajexhi kazuri sana mabaharia kaeni mbali
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 лет назад
Nasiku ya kumwagana tuone sherehe kama hv
@rashidmohamedi1495
@rashidmohamedi1495 5 лет назад
Majungu hayooo
@mosesnassary6749
@mosesnassary6749 4 года назад
Mwanangu Mtambo
@scoviarenatus2466
@scoviarenatus2466 5 лет назад
Makubwa san
@victorjames3730
@victorjames3730 3 года назад
Hawa jamaa
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 5 лет назад
Hahaha hawataki kumwacha hivi hivi mpka apigwe maji mgongoni
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 5 лет назад
Wamenikumbusha harusi ya dada yangu naye pia mme wake aliagwa kwa staili hiyo
@mashamwaki6384
@mashamwaki6384 5 лет назад
Bi harus hajatulia kabisaa yaonyesha mbea wa mtaani huyu hahahaaaa
@ramakiluwa2859
@ramakiluwa2859 4 года назад
Mkuu Wazilii
@beautychannel7092
@beautychannel7092 5 лет назад
Kuna haja ya kufanya haya yote ukumbini
@hemedhabibu5276
@hemedhabibu5276 5 лет назад
😂😂 Aliyeoa Mtu Mkubwa
@beautychannel7092
@beautychannel7092 5 лет назад
@@hemedhabibu5276 😂
@damianlugendo9161
@damianlugendo9161 5 лет назад
Taratibu za jeshi huzifahamu weturia bro kunandoazakijesh
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 лет назад
Vee Money's channel ,umeshazoea viduku na visingeri ukumbini. Hizi ni taratibu za kijeshi, huwezi kuelewa, Mama.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Wanajeshi wanaoa na kuolewa hivi
@gogolamavi
@gogolamavi 5 лет назад
Eti biarusi yani kama kaki nyago kweri hana macho
@frolamrema3683
@frolamrema3683 5 лет назад
Kapendwa na ukinyago wake kwan unamuoa wewe? Au wivu
@christinamichaeel9713
@christinamichaeel9713 5 лет назад
Umba na wewe tumuona
@malickmakatta6089
@malickmakatta6089 5 лет назад
Haya wewe mdoli umeolewa?
@ruthjmkombozi5990
@ruthjmkombozi5990 4 года назад
Hana macho yako yamemuona nani??
@salmaomary2100
@salmaomary2100 5 лет назад
Bi harusiii muoga huyooo
@aliyahya7885
@aliyahya7885 5 лет назад
Mm sion km ni bora kuleta ujeshi hapo sio mahal pake twendeni tukakomboeni ndege yetu
@christianmlay3437
@christianmlay3437 5 лет назад
Lipa
@aliyahya7885
@aliyahya7885 5 лет назад
Nafkr kila mtanzania atoe shiling elfu 5 tunalipa den ilo
@joelilyimo984
@joelilyimo984 5 лет назад
Ndotatixo latiz minipo uk sijaona vitu kama ivyo ongereni sana
@maremidundo6997
@maremidundo6997 4 года назад
ulitakatukusubili uone ndipotufanye nyambafu
@saidseleman6004
@saidseleman6004 5 лет назад
Afande mzuriiiiii mambo
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Hahahahaha cheo cha uwenyekiti wa makapela Pia wanaenda kumbadirisha nguo kazi ya jeshi linaishia hapo harusi inaendelea kivingine
@kozibabakhanyisi6786
@kozibabakhanyisi6786 4 года назад
what is this?
@michaelmuchomerson2658
@michaelmuchomerson2658 5 лет назад
Mnachafua koti la kicheshi mbele ya raia, na umma. Mngebadilisha mavazi bhana kwanza
@pendobaraka2962
@pendobaraka2962 5 лет назад
Wanabadirishaga baada ya kumwagiwa pombe
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 лет назад
Kwani huwa hayachafuki??
@godgiver100
@godgiver100 5 лет назад
hayo ndiyo mavazi ya sherehe kwa wanajeshi....yanaitwa ceremonial cardets
@africanatv1369
@africanatv1369 5 лет назад
Namuona afande wazir hapo alinipiga depo rwamkoma mara
@charlesmassawe6321
@charlesmassawe6321 5 лет назад
Hyo jamaa ni nyoko....ana roho mbaya kinoma.
@bantuisolele2543
@bantuisolele2543 5 лет назад
Mwaka gani
@veileronesmo9219
@veileronesmo9219 5 лет назад
Wa rwamkoma
@tdkindolle9324
@tdkindolle9324 5 лет назад
Waziri 822 kj 2013/14
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 5 лет назад
Acheni u CV members
@ashurathomas482
@ashurathomas482 5 лет назад
Natafuta mme askari jamani
@epifaniasawaki3315
@epifaniasawaki3315 5 лет назад
Hahaha
@epifaniasawaki3315
@epifaniasawaki3315 5 лет назад
Itakuwa la anga
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Sio Askari wote wanafanyiwa hivi nadhani ni wakubwa sijui au wote jmn mnijuze?
@allykivuruga8244
@allykivuruga8244 5 лет назад
Ashura thomas
@hafidhothman4588
@hafidhothman4588 5 лет назад
Nipo mimi hapa 0717348112
@sheckyjunior7546
@sheckyjunior7546 5 лет назад
Kumamae
@cleophaceruta4961
@cleophaceruta4961 5 лет назад
Kwa mara ya mwisho niliona video ya Idd Amini ktk harusi ya ndoa yake akiwa amevalia magwanda ya jeshi, kumbe jeshini ni kawaida!!!!!?
@johnsonyosiah4854
@johnsonyosiah4854 5 лет назад
Dah kari sana nzuri
@teemuuh7224
@teemuuh7224 5 лет назад
😍
@lucynoel8028
@lucynoel8028 5 лет назад
Sina la kusema
@astan.lomacks9692
@astan.lomacks9692 5 лет назад
Sasa harusi gani hiyo ya kishenzi kishenzi?
@vincentobuyu8175
@vincentobuyu8175 5 лет назад
Na bado hujafanya yako
@justinbieber8668
@justinbieber8668 5 лет назад
Mbona amna ata laha
@emmanuelbongo9382
@emmanuelbongo9382 5 лет назад
Ukiwa shoga utaonaje raha
@justinbieber8668
@justinbieber8668 5 лет назад
Emmanuel Bongo shoga baba ako mbwa wewe
@mabagathedon2034
@mabagathedon2034 5 лет назад
BBo
@emmanuelbongo9382
@emmanuelbongo9382 5 лет назад
@@justinbieber8668 aasa unaolewa ww mpka uone raha.mishoga bn kero tu
@okothosongo
@okothosongo 5 лет назад
Naogopa kuongea naweza kamatwa
@veileronesmo9219
@veileronesmo9219 5 лет назад
Kuna mananga kibao
@williamwilliamjosephkabogo3417
Hiyi tz nifulaha tupuuuu😂😂😂
@hajiothman2629
@hajiothman2629 5 лет назад
William William Joseph's Yazoo
@hajiothman2629
@hajiothman2629 5 лет назад
Mamb
@williamwilliamjosephkabogo3417
@@hajiothman2629 poa vipi
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 5 лет назад
Ni mara ya kwanza kuona hii kitu,swali langu je sheria za JWTZ zinaruhusu hii kitu kufanyika ukiwa na sara za jeshi ? Mnojua hili naomba jibu kiufasaha
@sirajimohamedi6622
@sirajimohamedi6622 5 лет назад
hayo mavaz ndo sare za harusi, kila tukio lina sera zao mfano kuna sare za parade nk
@mjdstudios6567
@mjdstudios6567 5 лет назад
Ndio
@noellajoseph295
@noellajoseph295 5 лет назад
Thabit Mohamed hzo ndo harus za kijesh sasa wanaruhusu
@amarsimba9216
@amarsimba9216 5 лет назад
Never sio jeshi la Tanzania Tu dunia nzima ni elegal kuvaaa. Sare za kazi
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 4 года назад
Ndio
@mwanahamisahmada5151
@mwanahamisahmada5151 5 лет назад
Kuwachosha ao wenzenu tuuu biharusi hajapendeza mh tafrani
@lrenegeorge7698
@lrenegeorge7698 5 лет назад
Uwivu nikidonda we ndo umependeza nyoko ww
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
@@lrenegeorge7698 😁😁😁😁😁
@rithangowi901
@rithangowi901 5 лет назад
Acha wivu kapendeza ulitaka upendeze wewe at a kam hajapendez ndokashaolewa unaloooo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 лет назад
Ngoja wanajeshi wakufate na virungu vyao,misimo sikusaidii
@christinamichaeel9713
@christinamichaeel9713 5 лет назад
Nikupendeza wewe inatosha
@credo7837
@credo7837 5 лет назад
Mbn kama kanaogop
@mechanicaldesignbrain
@mechanicaldesignbrain 5 лет назад
nasikia makelele kama ya drones vile😒
@lupatuzakaria4431
@lupatuzakaria4431 4 года назад
Mumependeza sana jamani mungu awatangulie katika ndoa yenu jamani🤗🤗
@barwaaqoaweys4169
@barwaaqoaweys4169 5 лет назад
.
@enonmwanza5736
@enonmwanza5736 5 лет назад
Hii ndoa ya kibabe sana
@asnathmwaipopo6877
@asnathmwaipopo6877 5 лет назад
Mmh!! Nawaogopa uwongo zambi harusi haina hata raha jaman
@lewismpangala927
@lewismpangala927 5 лет назад
Kufa
@teacherjayjay5393
@teacherjayjay5393 5 лет назад
Asnat
@asnathmwaipopo6877
@asnathmwaipopo6877 5 лет назад
Teacher Jay Jay niambie kaka yangu
@paskaliaelias9538
@paskaliaelias9538 5 лет назад
Mbna bibi harusi anawasiwasi sana, ndo kupenda hukooo
@felicianmapunda2328
@felicianmapunda2328 5 лет назад
upuuzi
@mercedesphiri1609
@mercedesphiri1609 5 лет назад
Hivi kwanini wanawa mwagiaga pombe?ina maana gani?
@halimasahani5562
@halimasahani5562 5 лет назад
Wanajeshi asili yao ulev kumi kwa mmoja ndoawatumii
@zamdageuka9153
@zamdageuka9153 5 лет назад
Ishara ya kumuaga kwenye ukapera
@zamdageuka9153
@zamdageuka9153 5 лет назад
Sio maana yake
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 лет назад
@@halimasahani5562 kweli kabisa wengingi wao tungi sana.nilikaa sehemu moja karibu na kambi aibu,yaani wanakunywa alafu za mkopo ikifika mwingo wa mwezi ndo wanalipa.wachache sana wasiyokunywa
@gaspaerngavenga9586
@gaspaerngavenga9586 4 года назад
Dog sire
@kassimukassimummeta8219
@kassimukassimummeta8219 5 лет назад
kwan uruhusiwi kuoa ukiwa askar
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 года назад
Kassimu Kassimummeta Ndio
@mabrukimawazo8140
@mabrukimawazo8140 5 лет назад
kuoa nijambo jema
@allybonge1622
@allybonge1622 4 года назад
Hatar
@delphinasenge3321
@delphinasenge3321 5 лет назад
Nikweli ama comedy
@scholasticamabena7239
@scholasticamabena7239 5 лет назад
Delphina Senge hii ni kwel
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 5 лет назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-JLAnGakBcz0.html cheki na Hawa jamaa
@meckditto8730
@meckditto8730 5 лет назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-sV5-2Wa4sRc.html vyakula bora vya kuongeza nguvu za kiume
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 лет назад
Comedyan
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 лет назад
Prisca Siame , wewe umeona comedy, duuuh
@salmaomary2100
@salmaomary2100 5 лет назад
Bi harusiii muoga huyooo
@yonakipe4917
@yonakipe4917 4 года назад
ata wewe ungeogopa
@munuoisaack418
@munuoisaack418 5 лет назад
Gwanda LA jeshi harusini na saluti du
@edwinanthony4895
@edwinanthony4895 5 лет назад
kuna vyeo ukishafikia jesini ukitaka kuoa laza haya yafanyike mzeehii sio bongo duniani kote hata kuzikwa so usishangae
@munuoisaack418
@munuoisaack418 5 лет назад
@@edwinanthony4895 hahahaaaaaaaaaaaaaaa hapo pamoja sana mkuuuuuu
Далее
Reforged | Update 0.30.0 Trailer | Standoff 2
02:05
Просмотров 121 тыс.
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 142 тыс.
MSANGE JKT
3:51
Просмотров 38 тыс.
Nyimbo za Jeshini - Full | Chenja za Jeshi
16:38
Просмотров 725 тыс.
Reforged | Update 0.30.0 Trailer | Standoff 2
02:05
Просмотров 121 тыс.