Тёмный

part 02; KIJANA ANE LALA KWENYE JENEZA AELEZA MAZITO,AWATAJA FREEMASON 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s Месяц назад
Kwa hiyooooo umo ktk ilo jeneza..kulala ni kila siku...huu ni mtihan kwel..... Yarrab atusitir na mitihan ya duniya ... atupe mwisho mwema.....haya ndio yale yale maisha ya kisheitwan tusidanganyanye ...
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 2 месяца назад
Huyu nae achukuliwe hatua kama yule dada wa nyoka ni maudhui ya upotoshaji wa jamii
@DelphinKamathe
@DelphinKamathe 11 дней назад
Sasa n'a Sisi huku kwetu Congo tuta jifunjaje
@mejamiela7436
@mejamiela7436 2 месяца назад
Hv serikali inawaona hawa watu kweli
@JihaadIsmail
@JihaadIsmail 2 месяца назад
Huyu jamaa alikuwa ana watoto mapacha alimtoa kafara mke wake wa kwanza
@AnnaPaul-n6r
@AnnaPaul-n6r Месяц назад
Mbengo achani kutengeneza stori za ajabu pia huwo niunafki huyuu jama alishasema alikuwa na mke na watoto sasa leo hana mtt 😂😂😂😂
@AllyLucas-x8i
@AllyLucas-x8i 2 месяца назад
Duhuu aixeee atar xn maixha yana mambo mengi
@jamesgasper6764
@jamesgasper6764 Месяц назад
Kwani ilo ni jeneza? Hilo sio jeneza ila ilo ni sanduku tu.
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 2 месяца назад
Hamna kitu apo upuuzi tu
@LateefaL-e1u
@LateefaL-e1u 2 месяца назад
Huyu niuongo mwanzo Alikuw na muke a kamutowa kafara huyo huyo akabaki nawa toto ma pacha sasa hapo inaonekana hayomapacha ameshawatowa kafara duuuuuh dunia inamambo kweli
@JihaadIsmail
@JihaadIsmail 2 месяца назад
Nadhani na wale watoto pia kawatoa kafara huyu ni shetani ataingia motoni
@hafidhali3020
@hafidhali3020 2 месяца назад
Hakika washirikina ni watu wa motoni,watakaa humo milele,hiyo ni Aya ya kur_an tukufu na wewe unajinasib na uislam kazi kwako
@hafidhali3020
@hafidhali3020 2 месяца назад
Anagonga mara8 sio 6
Далее
would you eat this? #shorts
00:13
Просмотров 1,7 млн