Тёмный

PART 1: DR. MWAKA AIBUKA, HAJAKUBALI NDOA KUVUNJWA, AMVAA SHEIKH WA DSM "HAYA NI MATAPISHI, AIBU". 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 188 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 930   
@deejulesdonatha4107
@deejulesdonatha4107 Год назад
Baby lets go vacation ukiachwa achika mwanamke mpaka adai talaka ujue kavumilia mengi
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Год назад
Sio Kavumilia mwanamke akipataga mwanaume wakumdanganya anaanza kudai taraka kwa nguv sio kma anakua ananyanhaswa
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Год назад
Ushauri wangu kwako Mwaka. Kwakua Mke wako ameshasema kwamba kwambahakutaki na anataka talaka yake ni bora ukampa talaka yake kwa kheri na salama mukatengana kuliko kuja kulazimisha kutomuacha kisha aidha wewe ama mke wako mmoja wapo akaja kufanya jambo kisha akaja kulijutia maisha yake yoooote.
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 Год назад
Kaka hapo utambue Jambo 1.la msngi dr hakatai kuachana na mkewe ila hapo kuna Jambo nyuma ya pazia analihofia kua yawezekana wabaya Wake wakatumia nafasi hiyo ya ugomvi na mkewe kumuarest anachotaka ni vipengele vya sheria ya mungu kufuatwa
@universitylink
@universitylink Год назад
Doctor mwaka uko right kwa haya unayoyaongea tunakuomba uwende usuluhishe issue ya mkeo kifamilia na kwa kadhi vizuri sana Allah awalipe kheir wote nyie
@ahmedsalim4930
@ahmedsalim4930 Год назад
Well said brother ilikua haina haja kuiweka vedio kidunia ur in good thinking tomorrow may Allah protect you
@zuwenaadja2261
@zuwenaadja2261 Год назад
Unachokilalamikia nini Dr hapa😂 ukiachwa achika basi.
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Mali zake xitaend
@sifaisack7470
@sifaisack7470 Год назад
😅😅😅
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 Год назад
Tatizo lugha zako sio nzuri na ujuwaji mwingi siungi mkono yote ila jitambuwe kabla ilitokea matatizo wew na huyo sheikh wa mkoa sasa unawaingiza wengine kuwa wahuni. Kauli sio nzuri
@Hovyoo
@Hovyoo Год назад
Dr. Maisha Hayana Tafsiri Kaka.🤝🏾
@neemashuma5595
@neemashuma5595 Год назад
Ngazi ya familia ya nini muache Queen aendelee na maisha na wewe na baby let’s go vacation endeleeni
@habibahmed7678
@habibahmed7678 Год назад
Umeoona 😅😅
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Год назад
Bro Acha na social network endelea na maisha yako na biashara zako cha msingi lea watoto wako. Ushauri wa bure Dr mwaka piga kazi askari wangu.
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 Год назад
Akitaka janja janja ya kukwepa kulea.Talaka ishatoka,na unapangiwa matumizi ya watoyo
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 Год назад
Sio suala la social media. Yule Mwanamke amefanya katika social media ili kumuhaibisha Dokta Mwaka. Kuna watu wamekatwa masikio na wengine wamekatwa Uume, lakini hatuja wahinkuwasikia mambo yao ya kuachana. Yule Mwanamke anajua fika kwamba dokta mwaka social media guy and I don't agree with most of things anavyoongea kwenye vipindi vyake. Ila hili hapa hiyo ndio ilikuwa dawa yake yule Mwanamke
@amirishauur5795
@amirishauur5795 Год назад
apo kuna mali iningia pasu babuu uspoongea unaeza ukapishana
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Mwaka mzima hujamgusa mkeo 🙄 huduma huna lakini kumtumia police pia hapana ndoa hapo muache atapata mwengine 😄 mwanamke mzuri kama yule
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Год назад
Kama amuneshi mwelekeo
@buthainaayoub9107
@buthainaayoub9107 Год назад
Wewe hujui chochote hebu olewa ndo utajuwa anachoongelea mwaka, mnaishi na maboyfriend mnaacha kihuni huni basi unadhani pia ndoa zinaenda hivyo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
@@buthainaayoub9107 Pole sana usichokijua sawa na usiku wa kiza mimi naijua ndoa ndio maana nikajibu ndoa sio vita ndoa nimakupaliano ya watu 2 mmoja akichoka hakuna ndoa hapo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
@@buthainaayoub9107 hivi wewe mwanamme alie oa anawezaje ukishi na mwamke bila kumgusa wakati ndio kilicho waunganisha wakaingia kwenye ndoa tendo la ndoa
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Год назад
Hao mashehe anafunjwa ndoa yako kwasababu,hio ndoa alifunga ndo mashehe hao ,ww nenda kwenye mahakama wao atagawa Mali,kama ww muislamu kweli kama ujakaa nae mkeo Kwa cku 40 basi hio ndoa imefunjwa ww mwenyewe
@tmt2642
@tmt2642 Год назад
Jamaa kachanganyikiwa huyu..hajakubali kuachwa😂😂😂😂
@ameirothman805
@ameirothman805 Год назад
Umekosea sana kuwaita viongozi wahuni dah kaka ni ngumu sana viongozi kukuunga mkono pia ndoa inapo ingia dosari ni muhimu kutatua ttz ila kesi ishakua kubwa cha muhimu stay humble ila usisusie watt chengine zingatia sheria za dini Kuna wakt utaingia mattz bila ya kujua muachie mungu wasichn wpo wengi sana
@christophermsekena616
@christophermsekena616 Год назад
Mara paaaap shehe wa dar kumuoa mke wa Mwaka
@krintonnyembo4759
@krintonnyembo4759 Год назад
Kaka uliambiwa uombe radhi ukagoma,hata kama huna nywele Kaa,tulia wakunyoe vyema sasa.
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 Год назад
🤣
@fadhilhelebula664
@fadhilhelebula664 Год назад
😂😂😂😂
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Год назад
😂😂😂😂 hilo neno
@betridajulias7676
@betridajulias7676 Год назад
Nyie wanaume Mungu tu awasaidie tena nyaza tu.Nyie upenda kunyanyasa wanawake nasi tumeumbwa tunamoyo pia ndokashachoka mwenzio.Ukiachwa achika,ulitaka umuache mke maana ndo imekuwa kawaida ila mwanaume kuachwa niaibu
@betridajulias7676
@betridajulias7676 Год назад
We siunzonga pesa sasa umeumbuka
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Penz kiberiti washa 🤣🤣ukiachwa achika by barnaba classic
@chumaulete7273
@chumaulete7273 Год назад
Kwa ninavyo kuona tutasikia suala la watoto umepelekwa tena mahakamani....
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
Usituchoshwe kama umeona ujatendewa haki mufti kasema ukate rufufaa kwendaaa
@muhan_de_coco3567
@muhan_de_coco3567 Год назад
mihemko!
@eppiemodest
@eppiemodest Год назад
Dr. Mwaka una busara sana. Unajua kujieleza. Very inteligent man.
@natumsifumbajo7578
@natumsifumbajo7578 Год назад
Ila anapaswa ampe talaka mwanamke mana mwanamke akisema basi ni basi istoshe uyo mama bado nikijana anawitaji kimwili, na na huduma nyengine yeye amemuacha mwaka mzima bila kumpa dudu wala maitaji wanawake awapo ivo wanaitaji kubembelezwa na kuskilizwa
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Год назад
mwanamke hakutaki toa taraka bhana
@FREENETNAME
@FREENETNAME Год назад
Huyu mume si mwema wallahi sikiza kicheko chake cha uwadui Subhan’Allah mungu amlinde Queenie na wanawe oenfine aliona mkewe hawezi kumuacha ndio kihere here munaendeleya mungu anaona kila kitu ndani ya nafsi na moyo wake anaweza hata kumuawa huyu mama na watoto wake kwa hasira na nyuso za uadui na unyanyasaji na udhalilishaji mungu amuongoze siratul mustaqeen ammiyn
@banajuliana758
@banajuliana758 Год назад
Uliacha kuwahudumia ukifikiri unawakomoa sasa jnalalamika nini? Koma msosi 👌
@mzeealiy8939
@mzeealiy8939 Год назад
Dk .mwaka UPO.SAHIHI.SANAAAA. Nahuyo.sisi Tunamfahamu. MNAFIKI. KABISA. ANATAMAAA.
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 Год назад
Queen anatakiwa Baba 🤣🤣🤣🤣
@bakhitakivenule9844
@bakhitakivenule9844 Год назад
Pole Dr. Tatizo Elimu
@amraniramadhani4148
@amraniramadhani4148 Год назад
Soma vizuri katiba ya bakwata, baraza la masheikh la mkoa lipo ktk katiba, hio ishu imeisha Isha uza TU dawa
@deuslucas2256
@deuslucas2256 Год назад
Unajiaabisha mwanamke hakutaki usi force
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Год назад
Real TALK Wahuni nenda nao KIHUNI
@ummimohammed-pn1oz
@ummimohammed-pn1oz Год назад
Talaka ni haki mwanamke akikukata ni haki yake muhimu akurejeshee mahari yako aendelee na maisha yake. Nimemuona kwa macho yangu mwanamke mwenzangu akilia anadai talaka yake mpe usimsumbue maisha mafupi usihadaike na pumzi sote tutakufa na vyote tutaviacha mwacha mwanamke aende salama.
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Год назад
Acha Story Kaka sema Ufundishwe Jinsi yakuishi na Mwanamke, Wew Endelea kuwaelekeza watu jins yakupata watoto.
@H2025-y8g
@H2025-y8g Год назад
✊🏼🤣😁😁😁
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Год назад
Haaaahaaaa haswaaa toa dozi
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Год назад
Mwanamke mrembo Sana aisee
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Год назад
Kamuowe monalisa. Janaume gani lina wanawake 3 ila bado wazini na wazaa hadi watoto.
@samiahmlimanzila6406
@samiahmlimanzila6406 Год назад
Dr ushauri wangu kwa maelezo ya mkeo ki dini unamakosa iletu. Mwaka mzima hupo nae wakati matalaa sio haki kikubwa toa taraka maisha yaendelee kingine ki misingi ya kidini bado unamkosea Mungu kusema mashekhe kua ni wahuni
@ramadhanfara2302
@ramadhanfara2302 Год назад
Mwaka mzima hautumi hela ya matumizi ya watoto
@aishamrisho6860
@aishamrisho6860 Год назад
😆😆😆😆
@malolatshahala
@malolatshahala Год назад
Aww. My mwaka anaona mbali japo pia penzi bado lina tawala nafsi yake 90%. Kuvunjika kwa ndo ni maamuzi kati ya mke kuolewa na mume maana hao 2 ndio wana ndowa.kwanza mke alipo wapokea wajumbe kutaka suluhu akakataa,alipokwenda kudai talaka ina maana hataki ndoa tena maana si kwamba amekurupuka,hayo ndio maamuzi yake kutoka moyoni. Familia zote 2 pia na vyombo vyote vyo sheria havina maamuzi zaidi ya hayo yy kama yy kutoka moyoni mwake. Anaweza akageuza maamuzi kwa kuwaokopa wazazi ao yeyote anae mweshim ,mkarudisha ndoa yenu lakin maisha yako yatakuwa hatarini. Kwanza: hatokubali tena kuzaa na wewe,pili:akikuondoa duniani kwa njia yeyote,atakuwa amefanikiwa katika yale mapungufu yako yanayomkera na kudai sasa balaa limeondoka na sasa ntaijoy. Nb.achana nae.
@rehmamoshi4693
@rehmamoshi4693 Год назад
😄😄😄pole sana labda unaogopa kugawa mali sasa kama mwanamke hakutaki shekhe afanyaje
@hannanommy302
@hannanommy302 Год назад
Rehma umenena huyu anaugomvi na Shekh Alhad apuuziwe mke hamtaki hamtaki ,yeye anaugomvi na Shekhe, Naona Aibu mimi wallah wake wa mwaka wamevumilia mnooo huyu baba ananogwa anajua kutesa hajui kuacha,
@vincej9275
@vincej9275 Год назад
@@hannanommy302 kweli kabisa
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Год назад
Ndio anataka kuchukua kila kitu mwanamke asibaki na kitu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Kabisa na hasa hyo nyumba aliomuandikia ndio inayomuumiza kichwa uyu mali ndio inayomtolea mate kusema hapa
@johnjulius6986
@johnjulius6986 Год назад
Kakate shauri lako.Mahakamani, utapata taratibu nzuri... Maana kidini zoezi zima lime kaa BIAS kukuthurutisha upande wa Mali.....! Thas is not fair.... kwasababu, kama migogoro imekaa ndani ya mwaka mmoja pasipo raia kutambua, ndani ya siku moja linatangazwa nchini....., hapo hekima ya Mungu haipo bali hekima ya kibinadamu
@vincej9275
@vincej9275 Год назад
Ndoa sio kwa lazima , kama mkee amechoka na wewe, mwache aendelee na maisha yake. We can try to save our marriage but it's wrong to force one party to stay if they no longer want to.
@btylove1870
@btylove1870 Год назад
Kunywa soda nitalipa. Nimesema hivyo hivyo kwani maneno yote ya nini?? Mtu kaomba talaka yake mpee!
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Год назад
Dr. Mwache mwanamke aende na maisha yake kama umemkera
@thadeikafaranga7744
@thadeikafaranga7744 Год назад
❤❤😂😂😂😂😂 mganga hajigangi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@andromedagalaxy8627
@andromedagalaxy8627 Год назад
😆😆😂😂😀😀😃😃 nimecheka sana
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗 kabisa ndo Dr bingwa huyo wa matatizo sugu, lkn kanaswa kwenye kona😎
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Год назад
Nimeipenda kweli mganga hajigangi aise
@wardafusi6012
@wardafusi6012 Год назад
Kwaiyo mashehe ni wahuni duu kwakweli mwaka ww ni mwaka kweli mwenyez mungu akusamehe Sana, usingetaka yafike Apo ungetoa talaka chapu chapu
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Год назад
Kwanza adabu huna yani leo masheikh unawaita wahuni, subhanallah
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Год назад
Wahuni tu hao bakwata
@othumaniabdallah6848
@othumaniabdallah6848 Год назад
Ndugu yangu sheikh alhad mussa amekurupuka Allah akupe subra
@muhan_de_coco3567
@muhan_de_coco3567 Год назад
kwa nilivomsikiliza nimemuelewa vzuri sana
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Год назад
Akili nyingi point nyingi!mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!Mwaka yupo sahihi
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
😁
@mohameddjair1739
@mohameddjair1739 Год назад
Good point
@faizaldaud7628
@faizaldaud7628 Год назад
Huyu jamaa anaboa
@minaniormar5841
@minaniormar5841 Год назад
Mwamba UKO vizuri Kwa hoja
@aminaseif9577
@aminaseif9577 Год назад
Mwanaume kupe huyu.... Ndoa imekushinda.. Sasa nini keleleeeeee bhana, hebu usituchoshe😄
@limoghasia321
@limoghasia321 Год назад
Wanajisahu hawa wakipendwa
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Год назад
Huyu ni mnafiki tu
@kaizachief4912
@kaizachief4912 Год назад
Poleh Dr mwaka, fain ama Al husr yusra
@salimiddy7769
@salimiddy7769 Год назад
Pole sana doctor Mwaka kwa madhila yalio kukuta
@beatriceswai2608
@beatriceswai2608 Год назад
Umeachwa kubali kuachika
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Год назад
@@beatriceswai2608 Huwa wanaona raha kituumiza sasa kubali matokeo
@peterkabeke362
@peterkabeke362 Год назад
Mwanamke akikuchoka Dr ni mbaya kupita Simba mwenye njaa, utakufa we mng'ang'anitu, shauri yako,
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Год назад
Kwan huyu Mwaka kwann hataki kutoa talaka? Tuanzie hapo kwanza, maana kupelekwa bakwata ni kuwa kagoma kutoa talaka na bado anaonesha hataki kutoa talaka! Sasa kwann usimpe mwenzio talaka awe huru? Haupo nae zaid ya mwaka mzima, hakutaki nawe humtaki kwann usimpe talaka? Unaonekana kama tahira flan hv, manaume ya hv ni masenge sana, linakung'ang'ania na wkt hampo pamoja. Shame on u Mwaka
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Год назад
Siri anaijua yy Dr Mwaka Kama alikuwa anatembelea nyota ya qeen akisha muacha Kila kitu kinamfuata muhusika.
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 Год назад
Tena yeye anajiona Yuko sawa wakati alishampeleka mwenzie polisi. Usingeenda polisi kaka wanawake tukichoka tumechoka usiombe yakukute sasa vumilia
@bakarijuma5104
@bakarijuma5104 Год назад
Pole,nachodhani Mimi Kuna baadhi ya taratibu ulizisahau ama hukuzijua juu ya muongozo wa dini yako katika kumpata mwanandoa wako,ulioa kimedia media,mliishi kimedia media,mpaka maisha ya ulalaji chumbani kwako na wake zako uliyaweka kwenye media,hivyo usistaajabu kuona ndoa inavunjika kimedia media,huwenda ni matokeo ya kile namba ulivyopanda mbegu na ndicho unachikivuna
@gaudencemihungo4348
@gaudencemihungo4348 Год назад
Kama unataka kuongea na muft kwa nini usiende kuonana naye ofisini kwake, hapa uongei na muft, unaongea na umma kwa lengo la kuleta vurugu. Kama mke ulimshawishi wewe mpaka mkafunga ndoa, unashindwaje kumshawishi mkeo arudi kwako? Nadhani umeshindwa kukaa na mkeo. Kwa sasa huna ndoa na Queen, mlianza sirini mnamaliza hadharani, tena mitandaoni. Acha vurugu, tunajua una bifu na Shekhe wa mkoa. Jitahidi kuuza dawa zako achana na Shekhe wa mkoa. Queen ameenda,
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Год назад
Huyu ndoa imemshinda
@mercynadia3140
@mercynadia3140 Год назад
Hii msg ikufikie Mwakastress kubali matokeo sio mume mzuri
@zigzag4487
@zigzag4487 Год назад
Huyu sheikh wa mkoa aliekua anamuita magu ni Mungu au yupi
@husseinally5550
@husseinally5550 Год назад
Ushabiki
@gd1926
@gd1926 Год назад
Kweli wewe kiazi kweli kweli kwaiyo hata huoni kuwa huyo sheikh kakosea
@nervenb2831
@nervenb2831 Год назад
Hakuna. Cakurudiana. Muace atapata. Rizkiyake. Weye. Sulimuaca mkaenda ulaya. Kula upepu ataposho hamkumupa uyo. Alikuwa. Mke. Akirudi. Atakuwa. Amezalilisha. Masheikh🙏
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 Год назад
Yupo sahii kabisaa.Chombo pekee chenye uwezo wa kutoa talaka ni Mahakama tu.Sheria ndio inavyosema.Maamuzi ya Bakwata haina mamlaka ya kuvunja ndoa.
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Год назад
Kwass waislam hatutambui kitu kinaitwa mahakama labda km mumefunga ndoa ya kiserikali. Huyu mwamba kasitisha huduma mwaka mzima kampeleka mkewe polis ili atoke nyumbani na watt huyu Jamaa ni zaidi ya mnyama
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 Год назад
Acha uzwazwa,Bakwata ina mamlaka ya kuvunja ndoa kupitia Kadhi,Ndoa zenu za kikristo ndio zinavunjwa na mahakama
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
Usilete udini apakichaa wewe
@ailenyanthony1550
@ailenyanthony1550 Год назад
Mhmhm, Nani aliyekudanganya? Hata hiyo Sheria unayoijua wewe haiwezi kutoa talaka kwa ndoa zote mpaka wapitie masuluhishi sehemu mlipofungia ndoa
@mnyamamkalitv6575
@mnyamamkalitv6575 Год назад
Wew iyo serikali nikwanyie makafir
@bupeisaya9063
@bupeisaya9063 Год назад
Ongea yooote lkn kumbuka,,tulikuheshimu ila umejivunjia heshima pia ungekata rufaa iko wazi usingekuja hapa kujitetea,,,.mwanamke mwaka mzima hakuna huduma ??????? Mungu akujaalie queen upatege ridhiki Kwa ajiri ya wanao
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 Год назад
Mwalim wa ndoa za wengine ame fail kwenye ndoa yake . .
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Hahahaha,,,,
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@dngmusic5675
@dngmusic5675 Год назад
Umepewa mwezi mmoja wa kukata Rufaa hivo ungefanya hivo
@mohammedmakarani2802
@mohammedmakarani2802 Год назад
Uko sahihi doctor ila ulijisahau sana shekh wangu vitu vyako ulivianika sana mambo mengine siri ila mambo ya kifamilia yanahitaji siri sana uliyaanika sana hazarani hukujua kua kuna hasadi ila ushauri wangu mwache aendee hapo hakuna tena mapenzi shekh
@dicksoncosmas1368
@dicksoncosmas1368 Год назад
Mimi nakuelewa sana dokt #yatapita
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Год назад
Tia talaka unaongea sana kama mwanamke
@saifbrashdy6095
@saifbrashdy6095 Год назад
Dr Mwaka was is Right Masala Ya talaka ni Mahkama ni kazi ya Kadhi
@hannanommy302
@hannanommy302 Год назад
Usimwite Shekh wetu Muhuni ,ndoa huna bwana, hakuna wahuni muhuni ni wewe, Mimi ningekuwa Shekh wa Mkoa Namuoa Gueen harakaaaaa 🤸‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@rabinzsinoya1434
@rabinzsinoya1434 Год назад
Pole mwaka utaisoma number, 🤣🤣🤣🤣🤣
@azizimkwawa7711
@azizimkwawa7711 Год назад
Shekh Muhuni dah to be honest kaka umetutukana waislam wote kwa kifupi umekosea sana na umejikweza sana nakushauri jishushe kaka mbele za Mungu na atakusamehe
@idrisargevar4557
@idrisargevar4557 Год назад
Sheikh muhuniii mimi nimesemaa😎
@coin9007
@coin9007 Год назад
@@idrisargevar4557 Mkiachwa achikeni 😂😂😂
@idrisargevar4557
@idrisargevar4557 Год назад
@@coin9007 hivi mtu kama dr mwaka akabembeleze demu? Demu mwenyewe yule😂😂😂 Mafiiiiii
@amarually5457
@amarually5457 Год назад
Pole sana nduguyangu dk mwaka hatamimi nilikutana na shekhe uchwara morogoro alinifanyia hivyo baadae yule mwanamke alikuja kwangu tuludiane nakusema alishawishiwa na shekhe huyo ili baadae aolewe na yeye
@sashambonde7258
@sashambonde7258 Год назад
naludia Tena mwaka acha kelele Wala so we will be Qeen anaolewa mwezi ujao na mchumba ndio mm akutaki amesema mbele ya Shee wetu wa mkoa tuwachie nafasi na sisi tumuudumie Qeen wewe umeshindwa Tena ukiendelea ntakushitak kwasasa Qeen ni mke mtalajiwa acha fujo kumtunza ulishindwa acha tukuoneshe maisha ya mke anavo tunzwa mwaka ukiachwa achika
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
we unaitwa sasha unataka kuowa kaka ako🤣
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Год назад
🤣🤣🤣
@Muadhin1
@Muadhin1 Год назад
100% uko right. Ndoa haivunjwi na Shkh Wala baraza Bali ni Qadhi. Hapo Bakwata wameingia Cha kike
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Год назад
Mimi ninavyojua mngewaita woote msikilinze shida zao Kila mmoja aongee yake Kwa makubaliano ndo mseme hadharani sijui Kwa wenzetu sisi Hadi liongelee Kwa umoja wakubaluane ndo itanganzwe haisikilinzwi upande mmoja hapana
@adildewji
@adildewji Год назад
MashaAllah. Absolutely spot on.
@ngoni7944
@ngoni7944 Год назад
Hizi ndoa za kiislamu ni lazima wabadilishe sheria hii ya ukandamizaji kwa wanawake, mwanamme anaweza kumpa talaka mwanamke kwa maneno tuu ila mwanamke lazima aende bakwata au serikalini. Wanawake wa kiislamu amkeni mkatae huu unyanyasaji dhidi yenu. Wanaume wamejipendelea kwa kuwaoa wanawake wengi na kulala na nyie kwa zamu pia talaka mpaka atoe kadhi?
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
@Ngoni good point lakin ukiona watu wameganda kwenye special waislam ujue wanafata sheria ya Allah. Na ukimona muislam anaacha sheria ya Allah ujue ameamua sasa atuwezi vunja sheria ya Allah .
@issabaruni7616
@issabaruni7616 Год назад
mnafiki uyo shekhe ndio maana anamacho manne na mimi nakuambia mwaka shika iyo uyo shekhe anamtaka mkeo mjinga sana uyo shekhe
@jabahmagai9030
@jabahmagai9030 Год назад
Hapa mwaka imekula kwake.
@adalishaibu4433
@adalishaibu4433 Год назад
Wewe dokta mwaka mshenzi kwenda zako usiuaribu uislam wetu
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Год назад
Huna tatizo kuvunjika kwa Ndoa kwa sababu unajua Utaenda kuoa Mwanamke mwingine Umchezee tena. Watu kama nyie ndio mkikatwa neti zenu mnalalamika kumbe ni history na tabia chafu za kucheza na maisha ya wanawake
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Год назад
Mmmm vp yamekukuta
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Год назад
Kabisa wanatuona hatuna akili unavumilia weee mwenzio anaendelea kula Raha, Mwanamke akishasema Baasi Mzee utahis unaota ila ndo uhalisia si wanadhan mapenzi ni Pesa waoe Bank sasa kunguru wasio fugika
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
@@eliaskahory7116 😆😆😆😆😆
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
Kwan kutoa taraka kuna kaz kwanza maan ukiona mtu anaitaj taraka ujue amekuchoka
@adammwamba9177
@adammwamba9177 Год назад
Kunywa maji sheikh wangu....mke kisha kutoka,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@henrymushi8340
@henrymushi8340 Год назад
Huyu jamaa anajifanya kufundisha Mambo ya ndoa,kumbe anamnyanyasa mke asee ni hatari,usimwamini mtu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Ndomana watu tunaambia tuache kuangalia watu kwenye TV wakitufundisha ndoa wakati wao awajaolewa
@hasani565
@hasani565 Год назад
Anadhalilisha u DK...
@canoksancomprehensivelearn7182
Mume na mke ndio wanahusika na suluhu na kiukweli sio vizuri kufanya haraka kwenye talaka ila ingetakiwa wawaite wakae pamoja family ikishindikana kabisa yote talaka itoke au ajivue ndani ya ndoa mke kwa kumrudishia mahar yake, maana sisi ni binaadam na ndoa siku hizi watu huhujumiana katika ndoa kuharibiana kama wana vinyongo na mtu akapata nafasi ya kuharibu ndoa ya mwingine. Kisheria mwanaume ana haki zaidi katika sulhu yeye na mke wake n mazungumzo yangesimamiwa ikishindikana ndipo itoke, ila umashuhuri nao na macho ya watu. husda na uchawi n.k huchangia mengi watu wakachukiana bila sababu. tusishabikie maana ndoa sio kitu chepesi maana kuna wapambe wengi na mahasidi kila pande. sio vyemakushabikia ugomvi maana hujui tatizo liko wapi nje au ndani au kutokana na remote za kichawi
@zuwenaadja2261
@zuwenaadja2261 Год назад
Alivyokua anatamba marekani na mke mwingine hakujua anamgogoro akatengeneze kwanza na mwanamke wake kwa familia mbona mda wakutamba aliupata? Ndoa ina mwaka akiwa kwenye vurugu kwanini mme yeye asingelipushi kifamilia zaidi anadai kupushi sasa hivi by the way mke kakataa kushuruhishwa hata wangeenda popote kama ameshaamua kuachana unadhani kuna mtu angemstopisha pale maana mke ndie alie amua sio ngazi yoyote ilioamua akiachwa akubari kuachika maana popote atakapoenda kudai matoke yatatoea tu kupewa taraka yake maana ndie hataki kuishia nae sasa na mapenzi hayarazimishi…
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 Год назад
Fact
@amarually5457
@amarually5457 Год назад
Nduguyangu wewe umeongea walichotakiwa kuongea wahusika lakini wahusika ndio wanachochea talaka baada ya kusuluhisha wao wanashabikia sasa sijui inaleta imanigani kwetu mtu anaetakiwa kupatanisha anafarakanisha hakuna mkamilifu mtu anakosea mpenimaelekezoiliajue alipokosea nini maana ya usuluhisho
@canoksancomprehensivelearn7182
@@zuwenaadja2261 ila unajua kitu kimoja kama ushawahi kukaa katika ndoa au ukasuluhisha migogoro ya ndoa kuna maneno mengine yanayosemwa na.mmoja wapo au wote ya kusikia kutoka kwa mtu fulani anamuambia mke wako.kafanya kadha wa kadha au mume wako kasema.kadha wa kadha na kumbe mtu akachukulia kw kuwa.wana ugomvi na wakautoa wapo wachonganishi wazuri na wakati wa sulhu wakiitwa wanakimbia, pili kuna maneno ya dhana kabisa mtu anaweza akamdhania mwenzie kupitia vitu fulani au kuona akadhania tu, na tatu kuna maneno ya kutengeneza.mtu akoleze chumvi aonekane yupo sawa na pia katika pande zote hasira huwa juu kila.mmoja anataka mwenzie ajishushe na kuna kahuruma pengine na mapenzi yapo nimeshuhudia ndoa mtu katoa talaka.mpaka tatu na anampemda mkewakena mke bado anampenda mume lakin kuna tishia nyau tu. mnaweza kukuta mambo yanabadilika kwa wengine, mambo ya kuingia sana na kuwasemea wana ndoa yashaumbua baadhi ya wazazi. kuna watu eamepeana talaka tatu kitu ambacho hawaruhusiwi tena kuish pamoja mpaka ipite ndoa mke aolewe na mtu mwingine kisha aachike mtu anafanya hadaa na kumwambia rafiki yake aoe kisha amuache siku mbili waweze kuoana tena na hii haramu. sio kila wanaotaka kutalikiana wanachukiana wakati mwingine wanaopendana hugombana na siku mbili washakuwa pamoja, wangapiwanatiana magumi lakin wanapendana sana. kuna jamaa walishabikia ugomvi wa ndoa ya dada yao na shemej yao wakawa wanamuna shemej yao kama taka na wakakuta siku chache mbele wenzao wanarudiana na kuitana wapenzi na wao wanaonekana washenzi, mapenzi ni kama lenzi, hu zoom moyo wa mwenzi, wakigombana wapenzi, hata wakipigana konzi, usijejitia tanzi kwa kuingilia penzi, wakipatana wapenzi, watakuita mshenzi,
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Год назад
Ni rahisi kuongea huwezi kujua maisha ya hyu dada
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Год назад
Kuna mambo ya kukushauri dk. Mwanak 1. Jambo la Kwanza fitna huzimwa kwa uchamungu japo kupigania heshima yako Ni sehemu katika jihadi 2. Ndoa inaweza ikavunjwa na qaadhi au hata sheikh ikiwa hamna qadhi ndio maana katika sheria Kuna anaitwa muhakkam kiujumla Ni mjuzi wa mambo ya kisheria 3. Jambo la tatu shida sio sheikh wa mkoa shida Ni mkeo cs popote mtakapoenda
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Год назад
Ww wake zako uliwatangaza kwa press sasa ili watu wajue mzee hauko tena pale lazima ifanywe press , tena ingetakiwa ilipiwe iwe promoted , mashekh huyu mtu anawaibisha sana
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Si ndo hapo na wakirejeana chumbani ataita yy Mwaka ataita press km kawaida yake, tena nn???
@eddyeddy1337
@eddyeddy1337 Год назад
Upo right ndowa haijaachika uhuni tu umefanyika.
@Boyhoodking
@Boyhoodking Год назад
Mwezi March nafunga ndoa na queen. Mtoto mashaallah. Acha sisi tumuhudumie wewe si umeshindwa bwan kaa kwa kutulia. Mwanamke hakutaki Sasa unalizmisha mzee!? Mwaka mzima hujamgusa una haki gani kuwa mume? Fakeni taipu😂
@asmamwadini3127
@asmamwadini3127 Год назад
Hahahaa
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Год назад
Haaaahaaaa ukiona cha nini wenzio wasema nitakipata lini ,shamba limekushinda kulima waache wenzio waliiime ,Achia ngazi
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Год назад
Watu oyoooo hutakiwa bhana km dollar dollar zako muache mrembo wa watu
@fredgonga
@fredgonga Год назад
Komaa Usikubali kabisaa🤣🤣🤣 mbona huwa hawatangazi ndoa zingine zikivunjika!!
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Kwasababu mke wake alianzia kwenye media😂😂😂
@samirelhiad1243
@samirelhiad1243 Год назад
Dr. Umeongea vizuri sema unacheka kama unataka kulia hivi dah!!! Kweli mapenzi yana nguvu Allah ainusuru ndoa yenu inshaallah!!!
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Год назад
Toka hapa bwana umekaa mwaka mzima hutoi matumiz na ukamshitaki mkeo eti amekutapeli nyumba ukamtumia police, tulia dawa ikuingie
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 Год назад
Afu nyie c mnabifu lenu..ngoja tuwaache
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Год назад
Umeambiwa kwenye hilo baraza kadhi nae yumo kaka usipanic tuliza kichwa wanaokushauri kufanya hili wanakupotosha muungwana akivuliwa nguo huchutama
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 Год назад
Mlaumu aliyekuwa mke wako yeye ndio alitangaza kwenye social media Usitupigee kilele bwana Mwaka mmoja umeshindwa kuweka Sawa migogoro ya ndoa yake Mpaka limekuja social media wewe uko wapi? Iyo aibu yako ibebe tu kubari kushuka Muungwana akivuliwa nguo uchutama
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Год назад
Daaaah nashangaa saaana, ndoa inashinikizwa kuachanishwa hasa na viongozi wa kiislam, badala ya kuunganisha ndoa ya Dr, acheni umate umate kwenye ndoa za watu.
@soudbako5925
@soudbako5925 Год назад
Mwaka kapigwa na kitu kizito kumbe bado anampenda
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Staki mwenzie basiiiii 🤣🤣🤣mwambie Queen basiiiii 😄😄😄
@safiahassan6121
@safiahassan6121 Год назад
Hii ndo ile mtu hakutaki na bado hataki kukuona ukiwa kwa mtu mwingine kwasabab anajua yeye ndo mwenye makosa
@hassanmohamedi9966
@hassanmohamedi9966 Год назад
Yote ni yote Dr Kubali yaishe, Viongozi wetu wa BAKWATA naomba muwe maki I ktk kufanya maamuzi hasa yahusiyo ogogoro baina ya mnaotuongoza hasa ya ndoa,mara nyingi mueni wapatanishi ili kujijengea imani na heshima kwetu sisi mnaotuongoza Kwa kweli mnatusimamia vizuri .Endeleeni kusimamia HAKI
@lailazahor5462
@lailazahor5462 Год назад
Doctar mwaka weee acha maisha yaendeleee ukikataliwa acha kiroho safi usibwabwaje sanna mwanamke akikupenda kanapenda kweli na akikukataa anakataa kweli
@rajabmadebo5570
@rajabmadebo5570 Год назад
Kadhi kaoa kungwi lakini bado ndoa yayumba 🤣🤣🤣
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 Год назад
Hahahahaha hata me nimejiuliza hii inakuaje hawa watu walipishana inakuaje Tena anahusika hp
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Год назад
Kama Mke HAKUTAKI, NA KUKIRI HIVO, haina haja ya kua...isha maneno/mgogoro na wakuu wa dini. Wao wasingejua kama mmoja wenu htaki
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Год назад
Nazani kama ulioa kwakufuata shelia yadini basi angalia dini inasemaje kuhusu ndoa nasheliazake utajua muongozo ukoje hiki unachofanya unatokakwenye misingiyadini muogopemungu natendahakipale inapopaswa
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Год назад
Mm naona unapiga kelele tu huna jipya mwache mtalaka wako aka anze maisha mapya riziki imekwisha acha mtalaka wako anatafuta maisha yake
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Год назад
Lkn inavyoonekana mkeo queen hakutaki tena. So ni sawa tu kupewa mkeo talaka.
@donjb3178
@donjb3178 Год назад
Talaka hazitolewi kuolela na kwanza hairuhusiwi kwa Mungu
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Год назад
@@donjb3178 mapenzi yakifika mwisho huwa hakuna mjadala ndg, ukilazimisha sn huwa kuna matukio makubwa yanakuja. So ni vyema kuachana Tu.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Queen hakutaki kubali yaishe.
@agnesjoanfelex4872
@agnesjoanfelex4872 Год назад
🤣🤣🤣🤣wakashauriane na manara jamaa hatak kukubali Kama kaachwa ukiachwa achika
@kaharikinyere9681
@kaharikinyere9681 Год назад
Ukiachwa kubali TU mzee
@mangaikwelamatengo8556
@mangaikwelamatengo8556 Год назад
Acha mahubiri .Unalienable nini fala wewe
@kaharikinyere9681
@kaharikinyere9681 Год назад
@@mangaikwelamatengo8556 kumbe we boya wa mwaka kaolewe wewe sasa
@mickyiron308
@mickyiron308 Год назад
Matapishi gani wakt he's telling the truth sema yeye alikosea kufikiri ukimwagia mwanamke madola ndo utamtuliza kumbe ndo unamzuzua!!Wanasubiri umwache watu wamnyakue aanze kuwapa Ile midola yako ulikuwa unamwagia 😹😅
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 893 тыс.
Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1
28:10
Просмотров 76 тыс.