MR HON;JOHN MAGHUFULI is very right hiyo mambo yote amesema,ni ukweli.mimi sioni ubaya yake,he is protecting the money of tanzania,akiwacha pesa wabunge wenyu wachezee,si ni nyinyi mutaumia?wanachukua pesa halafu wanaweka kwa fixed deposit account zao,na nyinyi munateseka.MAGHUFULI IS NOT BAD; Tundu lissu nadhani kuna watu raia wanaomuchukia labda ndiyo walimufwatua mahindi kadha,and since yeye siyo rafiki ya rais wenyu,now kuna watanzania wanao amini ati ni maghufuli without proove yoyote.labda ni wenye wanaishi kwa compound moja na tundu lissu ndiyo walimshambulia eg jirani zake,. the most important thing is that tundu lissu is alive.aendelee na maisha basi.good luck Mr.tundu,get well.