Rais Magufuli wa Tanzania na Rais Museveni wa Uganda leo wamekutana na wanahabari nchini Uganda, na kujibu maswali kuelekea uzinduzi rasmi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Tanga, Tanzania.
You probably dont give a damn but does anyone know of a trick to get back into an Instagram account?? I was stupid forgot the login password. I would love any help you can give me
Mungu! Mungu! Mungu! Wewe utabaki kuwa Mungu wengi tunaamini Tanzania hutaicha ukiwal maana unaipenda. Kama injili ilivyoendlea hata baada ya kufa Yesu, wengi tunaamini uzalendo utaendelea hata baada ya kufa kwa JPM. Mungu mikono yako isiiache Tanzania
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
Yess wonderfull, our new present you have to do this like the way ,, r ,i p, john pombe magufuli speech , you have to do it and fight for coruption, please you are our leader, that is gift for us from god mama samia
Napenda kushauri lifuatalo kwa wenye picha kuwa kujua iingereza ndio uwezo wa akili kichwani na utendaji.Hii ni fikra bado ya kikoloni.Kuamini kuwa Lugha ya wageni ndio bora zaidi huu ni udhaifu na kujidharau sisi wenyewe.Hii ni kasoro kubwa.Sote twafahamu kiingereza kwa sehemu kwa sababu sio lugha ya kuzaliwa (Mother tongue) na wala sio lugha ya Taifa kama kwa Kenya na Uganda.Hatuwezi kujilinganisha na wenye lugha hiyo( Kiingereza).Kama ilivyokwetu ambavyo mtu atokaye Japan au Uingereza kwenyewe hawezi kufahamu kikamilifu kiswahili chenye maneno mapya yanayozaliwa kilasiku. Marangapi tunapokea maraisi toka China,Japan N.K wanatumia wakalimani. Kiingereza alichonacho Mkuu wa nchi yetu ni fasaha na kinatosha na kinaeleweka kwa yeye ambaye kwa asili simwongeaji ila mtendaji.Na kimempa PhD ya UHAKIKA KWA FANI YAKE YA SCIENCE. Wengi wetu tunao mdhalilisha Rais wetu ni kwasababu ya kukosa upendo naye na kupungukiwa uzalendo aidha ni kwaajili ya mlengo wetu wa kisiasa N.k .Najua wengi wenu humu ni vijana, msiwe hivyo watoto wapendwa badilikeni.Unapomdharau baba yako(Rais wako) unajirau mwenyewe na akikwama ni anguko letu sote.Mataifa yanatucheka na yanatudharau na yanapunguza imani nasi,kwani ni nani leo hii atamuamini mtu anaya mchukia ndugu yake mwenyewe?kwani asiyependa wakwao hataweza kupenda na kutenda mema kwa wengine.Tupendane watanzania.Tuwaheshimu viongozi wa vyama vyote kwani niwatanzania wenzetu.Vijana naomba mlifanyie kazi hili tafadhali. Mungu awabariki sana watanzania wote.
Catherine Chifebe vizuri Sana ndugu tuelimishe wengi wetu hatujui Nini tunatenda, Nimarais wangapi wametokea nchi nyingine kuja Tanzania na hawajui kuongea kingekeza!? na tukawapoke, kwanini hatukuwabeza kuwa hajui kuongea kingekeza!? Mimi nipo QATAR Lugha yahuku Ni kiarabu,
Fearless Leader yaani tutakukumbuka daima milele bado moyo unauma. Naona hapa ulikua na kaka yako, naona heshima na upendo kati yenu niliipenda sana combination. EA
Ikikjjkkikiijjkkiiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiikiikiikkjjjjjjjjjjjjkkikiijjjjjj(ikkjjjjjjjjjjji>jjjjjjiiiijjj>iijjjioijiiiiiiiiiiiiiiiiiii>jj>imokjjjjjjjiiiiiii>iiioiiiiiiiiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii>iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii>iiiiiiiiiiiiiiii>iiiiiiiiiii>i>iiiiiiiii>iiiiiiiiiiiiiiii>iiiii>iiii>iii>>iiiiiiiiiiii ijiikijjjjjjjjjjjjjjjjjiiiii>>iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikiiiiiiiioiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikiiiikiki>ikiiiiiioiiiii>iiiiiiki>i>iiiiikiiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiijikiiiiiiiiiiiiiiiiiiijkiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiioiiiiioiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioiiiiiikiiiiiiiiiiikkkiiiiiiikij>iikiiijikikiiiiiiiiiiiiiiiikiikkkj>ii>kiiijiiiiiiiiiiiiiiiiii>iiiiiiiiiiiikiiiiiiiiiiikiiikiiijkikkikiiiiiiiikiijjikkiiiiiiiiiikjiiiikikijiiiiikiiiiiikkiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikikiijkikkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiijiijkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiijkiijjiiiikiikijikkiiiiiijikkiiiiiiiiikikkii>iiijkiiij>iiiiiiiiiiijj=jii>i=iiii>iiiii(iiiiiii>ijjiiikijkiiiiiiiikjkijkiikkiiiiiiijiiijiijkijiiikii>iiii>jijjk>iii>i>ikiii>>jij>i>ikiji>iiii>iiiikijiiiiiikiii=jjjkiikiiiiiikijikiiiiiiiiiiiiikikiikiiiiiiiikjijkkikiiiijjiiiiiiikiikiikiiiiikkjiiiii=>>jjijkii>jj(=jiiijikjijjj==>kjjjjkjjkjjikk>(jkjj=iiiikijjjjjiki>jjjkjjjkjk=jj(>jjj=kijjjj=jjji==ji>jjkii>kj>jj>i=iikjjiikkij=j==jjjjjjjkki==k>j=juu j7ii=i=kkjjjj>kiikk=jjkjj>j>=i=j=iiijjj>iij=>ijjjjjii>kjiiijj=j>jjji=i> i in mi i>iijjkii>>(jjjj
Maguful baba etu jaman...maswali yote unayajibu ww kishujaa...M7 anakutegea. Rais wang umeenda na nguvu akili na ujasiri wako, haki kumpata tena Rais kama ww cjui 💔
@@ezekielmburu3418 why should we communicate with them when they dont know our language if they want to communicate with us also they must learn swahili
Other African presidents especiallyneedvto listen to this program on how Hon Magufuli managed Tanzania to borrow a leave on how they can turn around the evils that have made their countries a laughing stock. Rest in peace my dear lovely president. You were visionary and brave beyond measure.
Hongera baba japo umetangulia lakin twakukumbuka kwa kukitumia kiswahil ipasavyo leo tarehe 11/4/2021 wapo uko uganda atuelewi wanaongea nin tunataka uzalendo wa africa wap tumefungwa???
Magufuli acha unafiki unapigana na rushwa wapi ww ikiwa MTU anaetuhumiwa kwa rushwa na ushahidi wa wazi upo lakini bado umempandisha cheo ?!! Acha kudanganya RAIA.
Mr Museven, Uganda is not peaceful. You have oppressed and suppressed the people. Please learn from Magufulu and retire from presidency. Give Uganda freedom to choose new president but I have admired your honesty in this interview.
Dictetas, wao ni polisi mahakama, limeko limetumia ubabe kubambikizia kesi wanaomkosoa kwa kisingizio cha ufisadi! Na museven amejimilikisha uganda kama kampuni yake, diktetas ndio kansa ya Africa, wewe kama ni muadilfu unakwepa vp kukaguliwa! Wakati ni takwa la kikatiba???!!! Ulioapa kuilinda.
Suis convaincu de la bonne foi du defunt JP J Magufuli à travailler pour le bien être et le développement. Où sont nos dirigents pour suivre ces exemples?
The late Magufuli was a hands on president. A real people's person. He felt their pulse. Suhulu fuata nyayo! Magufuli 20 yes in government was like hundred years. He learnt and then executed but correcting the evils that he realised fail governments.
WOTE WEZI MAJAMBAZI WAHALIFU WAUWAJI WAHUNI MWENYEZI MUNGU ATAWAONESHA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 MOTO UNAWASUBIRI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 MOTONI NYUMBA ZAO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂 IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN. MOTO UNAWASUBIRI MOTONI NYUMBA ZAO 🔥🔥🔥🔥🔥
Kuna watu wajinga waakili unadharau President wako sababu anajibu kiswahili kwani akijibu English Ni wananchi wangapi wataelewa wadogo sana na wengi hawataelewa kuongea kingereza c kitu yakuleta maendeleo kuweni na upana Wa akili jamani
Nimejifunza kitu toka kwa magufuli na museven, magufuli yupo kifua mbele kama kapigwa ngumi ya mgongo, very confiedent kusema nimefanya hiki, nimefanya hiki, nimefanya hiki, ila museven nikama anatatembelea kivuli cha magufuli. ukipata nafasi yyte hebu timiza wajibu wako ili uwe kifua mbele kama magufuli.
Dah,nilikuwa naitafuta hii komenti aisee,asante sana - ni aibu kubwa kweli.Mzungu anakuja kwako alafu anakuongelesha kwa lugha yao - kwanini lakini sisi waafrika hatufikirii? Hawa waandishi wa habari wazungu wote wanatakiwa wajifunze lugha ya nchi ambayo watakuwa wanafanya kazi hapa Afrika. We nenda kwao halafu waulize maswali kwa lugha yako uone kasheshe. Afrika tunatakiwa tuachana na hizi akili za enzi ya ukoloni khaaa!!!!!
duh, UN the official languages used are seven. English, Arabic, French, Spanish, Chinese, Russian but also other presidents use their languages at the UN plus the security council. At the AU kiarabu, Swahili, English, kifaransa, ndo lugha zenye kutumika.