Wambie Mamangu uku wanajidanganya kusema Mungu ahangalii mavazi anahangalia roho😭😭😭 duuu ndio maneno ya waimbaji wakisasa kwani waimbaji wakisasa tukisimama kama uyu mama akika kuna jambo Mungu atalitenda kwetu 😭😭🙏😭😭
Dadawe sauti yako yaponya mioyo. Mamangu mzazi kafanyiwa opareshion 8 huwa namwona kama muujiza na hilo hunifanya niutafute uso wa Mungu sana. Naomba siku moja nikutane nawe uso kwa uso
AMEN AMEN, mwenyezi Mungu akubariki sana mom ,,,,,, umeni bariki sana na neno nime amini MWENYEZI MUNGU atafunguwa njia zangu nipate mahali paku jenga na promotion pia nitapata ,
Ubarikiwe sana UN.Nakupenda sana kwa ajili ya Utumishi wako.Dada wa ukweli.Unayevaa vizuri .Title Vitenge. Nakukumbuka tangu ulipo solo na Yombo ule wimbo YESU YESU Anaokoa...... BWANA AENDELEE KUKUTUNZA
Asantee sana Upendo Nkone niko katika kipindi kigumu nimetiwa moyo sanaaa na hii interview hakika nmemuona BWANA limejikuta nalia sanaa naamini MUNGU ananipitisha katika hili jaribu maana kuna mahali pema pameandaliwa kwa ajili yangu🙏
Nipo hapa New Jersey U.S.A najifariji na nyimbo zako.Katika huzuni na majaribu wengi tunachanganyikiwa maana wengi wa karibu wanatuacha lakini kumbe Mfalme mwenye uwezo yupo muda wote kufariji.Ubarikiwe sana
Nimepitia majaribu mengi,lakini through Nkone Mimi niliuona mkono wa Bwana,ninapigwa vita katika familia,kutengwa nao,lakini Mungu Ni Nani through Nkone am blessed,life still continuing
Upendo nkone nimerudia zaidi ya mara moja kuingalia hii interview ninavyoiangalia hii interview yako MOYO wangu unapitia wakati mgumu sana lakini kwa maombi yako nasikia Amani moyoni mwangu nasikia faraja naona mzigo umenituka,,,, MUNGU akubariki
Aiseee ata mimi nina wakati mgumu sana Bishala haziendi mtaji umekwisha mke wangu anaklibia kujifungua ata nyumban hela ya kula sina pamoja nakujitahid na kuhangaika sifanikiwi ila hapa nimepata moyo ....nguvu mpya ,yupo Mungu msemaji wa mwisho
Nimeyapitia mengi,duniani unakataliwa,unasemwa uongo,unasengenywa,unatusiwa,unachekwa,mamayo ndio huyo na analia,hujui pa kwenda,uliowasaudia wakishavuka daraja kiboko ndio hiyo,furahini