Тёмный

PART13:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA ALIVYOZIPATA/KILA MWEZI NAUA WATU/NIMEMUOA MAMA YNGU/MSUKULE 

Davistar Media
Подписаться 242 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 175   
@ledyamatar3527
@ledyamatar3527 3 года назад
Hii mikasa imetuweza yani unamka tu hivi unatafuta davister 🤣🤣🤣
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 года назад
😂😂😂😂
@bintybaker8402
@bintybaker8402 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 года назад
Buludani kama hizi zinapatikana kwa davistar tuuu mungu akubariki san
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 года назад
Davister ndo mwenyew
@meenalaza2839
@meenalaza2839 3 года назад
Naanza kuogopa wanaume matajiri wanasiri nyingi ktk utafutaji pesa dah!nianze kumchunguza my Mr💃💃💃💃
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
yani mm sitaki ata kuwa sikia hao matajiri
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 3 года назад
Si mnataka pesa jamani !?!
@meenalaza2839
@meenalaza2839 3 года назад
@@khadijaomari9344 umeonae wanamambo machafu sana
@meenalaza2839
@meenalaza2839 3 года назад
@@joventjohansenmushwaimi1988 Sawa lakini sio za kichawi jamani duh
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 года назад
Huna haja ya kumchunguza la msingi kama umeshaishi nae kwa muda na maisha ni mazuri basi we jiongeze na kila pesa atakayo kupa ifanyie maombi ( Itakase) kabla ya kuitumia ndio maana wanaotoa Sadaka Misikitini na Makanisani ni Matajiri na Masikini kila mmoja anajua kaitoa wapi pesa yake
@carolkazi4211
@carolkazi4211 2 года назад
Msiweke miziki kwenye story mnaua vibe vibaya mnooo, wacha tumsikie muongeaji live and pure please
@jojokweka1902
@jojokweka1902 3 года назад
Storry nzuri na inaelimisha
@reemamwangi9192
@reemamwangi9192 3 года назад
Nashangaa tu hapa😳😳
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
Alhamdulillah w kwanzaa😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@hillarykirui4257
@hillarykirui4257 3 года назад
I am improving in being punctual to watch from 🇰🇪
@parisnyange2986
@parisnyange2986 3 года назад
Davister weka nyingine basi unatuchelewesha saaana.simulizi nzuri sana.
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
Ila wewe nimechoka adi kujamba
@yaqoobsalim5808
@yaqoobsalim5808 3 года назад
Leo wa 1
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
Allah akusamehee my brother lkn haya uliyoyafanya sio eti sababu ya yale maneno ya yule dada kashifa zake bari ni tamaa zako mwenyewe sababu maneno ya mtu ww hayakufanyi ukafanya mauaji ya watu ambao hawana atia tubu kabra ya umati hayajakufikia ila yale maneno ya uyo shemeji umeyafanya kama kichaka
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 года назад
Tuobe mungu tusi choke tutege mehe yesu aongoze jiyazetu omba plz plz 🙏🙏
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 года назад
Sasa mume poteya Sasa oh my god 🙏
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Amen
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Hongeraa kwapesa zakafara nahisi ulipoamuakukiri hixo Mali xilipotea
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 года назад
Haise mungu atusaidie,
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 года назад
Nipo Asubuhi na Mapema👌👍👍
@damienndiku1064
@damienndiku1064 3 года назад
Asante kwa kuheshimu NDA bro,from🇺🇸
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Nichukuwe nije huko
@ireneassey753
@ireneassey753 3 года назад
Kuomb mungu nimuhim sana popot unapokua
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 года назад
Kweli
@alifadhili6056
@alifadhili6056 3 года назад
Safi davista 👍
@logicmind3500
@logicmind3500 3 года назад
Leo nmewahi snaaaaa 😂😂😂
@matukicmagere3331
@matukicmagere3331 3 года назад
Yes, leo weka hata tatu mkuu
@stidejustin1156
@stidejustin1156 3 года назад
Kilichonileta nimekisikia dav et oya umeangalia 😂😂😂
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Atupe namba ake tumchangie anunue vyombo
@benadethafrancis5223
@benadethafrancis5223 3 года назад
Watafuta utajiri wa kichawi kifupi wanakuwa wameajiliwa na shetani mshahara utajili. Wanafanya kazi zake yeye anawapa utajiri.
@zaharamakota7434
@zaharamakota7434 3 года назад
Msimuliaji ni noma😂😂😂 unasikiliza huchoki
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 года назад
Nipo🙏🇹🇿💪
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 года назад
😳😳😳 Jamani si kwa kuwahi huku.. Yaani watu wameingia faster..
@yohanaolembunjai9839
@yohanaolembunjai9839 3 года назад
From msumbiji
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 года назад
Welcome
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 года назад
Duh siamiini Leo mie 6
@johnstonemuyelele4353
@johnstonemuyelele4353 3 года назад
Niko ndani kutoka mogadishu.stori imeshika
@hurremjudith6043
@hurremjudith6043 3 года назад
Watu wa humu kiboko kwa kuwahi
@lisaamosi7297
@lisaamosi7297 2 года назад
Ety dada ana nanata😄
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 3 года назад
Davistar nae mchochezi Ana hela unanini eeee kama ulikuwepo
@beautyshine935
@beautyshine935 3 года назад
Nimewahi from 🇰🇪
@Methadonian_etal
@Methadonian_etal 2 года назад
Mbona sauti zapotea masta?
@djmtengwatz1099
@djmtengwatz1099 3 года назад
Twende kazi😊
@mohammedothuman1989
@mohammedothuman1989 3 года назад
Twende kazi
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 года назад
ingekua mtu mmoja una sabscibe mara nyingi ningekupa mara milioni leo.
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 года назад
👍 thanks
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 года назад
👍 thanks
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 года назад
Hatarii
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 3 года назад
Wah maisha haya jamani
@tommymsomalishaina
@tommymsomalishaina Год назад
Ulikuwa unatumia simu ya katoro ya Bwana Jambazi
@abduliddy4545
@abduliddy4545 3 года назад
Chapa kazi mkuu
@eliasgembe5800
@eliasgembe5800 3 года назад
Tuish humo hainagaaa geleeeeee
@yaqoobsalim5808
@yaqoobsalim5808 3 года назад
Saa 5:05 am mimi wa 1 leo jamani
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
Shukran
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
😘😘😘
@fundiali4535
@fundiali4535 3 года назад
Tudam kdg
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 3 года назад
Safi Sana
@anthonkephasglobalmedia7406
@anthonkephasglobalmedia7406 3 года назад
Togather
@hamisinyangehamisinyange1990
@hamisinyangehamisinyange1990 3 года назад
Uwongo mkubwa kila anaepiga story anasema hukozamani alikua mdogo miaka kumi na tatu water wanapiga stories halafu hii chaneli niyawalokole wanatafuta watu waokoke
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 года назад
@@hamisinyangehamisinyange1990 Tunga na wewe story yako ili watu Wasilimu km ni rahisi.
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 3 года назад
@@abbyadams8691 teh teh teh teh teh teh teh teh teh umemjibu vema sana
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 года назад
@@abbyadams8691 😂😂😂😂😂kunywa soda kwa mangi nitakuja nilipe 😂🤣😂😂🥰❤️
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 года назад
Sasa kumbe ushajua ukisikiliza story hizi za DM unakua mlokole sasa si uache kuangalia wapo kina Neiwamitego wameimba Hakuna Mungu, Afande Sele kamtukana Mungu, Diamond kasha imba Haleluya unaonaje ukawa unawafatilia hao watu utuache sisi na Walokole wetu waendelee kutufundishaa dunia ilivyo tumeipenda wenyewe, kwanza we mmoja tu ukipungua utasaidia kupunguza mawimbi ya wanao wahi kumi bora niwe nawahi ku comment mawimbi yatakua hayakinzani tena usituchafulie.
@denizamahongo8557
@denizamahongo8557 3 года назад
Story hii kweli aisee
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Davistar hii sehemu ya 13 ni nusu ya stori haina sauti ya msimuliaji ni sauti ya vinanda tu...!.... utamu umeodoka wote ..!
@mohammedothuman1989
@mohammedothuman1989 3 года назад
Duh alfajiri leo
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
Wa mwisho leo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
pole yako wngu 🤣🤣😂😂😂 mie w kwanzaa🤣🤣
@florencerose859
@florencerose859 3 года назад
Ndio nimefika niko locked
@benomwazembe4765
@benomwazembe4765 3 года назад
Hatari
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Milion mbili hixo za Kenya laki moja aisee yani watu wanatafuta pesa kihalali wengine wanatafuta kwaushirikinaa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Sasa kwann ulikuwa ukitoa kafara mbili pikipiki watu wawali 😰😰😰😰sinikila mwezi yani siulikuwa unawaonea tuu zambi hixoo
@rahaisack55
@rahaisack55 3 года назад
Leo mapumziko bby tuekee hata nne tuinjoy
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 3 года назад
Utamuuliza Damu alipokuwa anaichukua na kuiweke kwenye kibuyu alikuwa anaipelikaje kuzimu.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Ushauri wangu kwa kamanda mambosasa amkamate huyu kijana asaidie mfn km hapo morogoro duh
@siamoye4549
@siamoye4549 3 года назад
Hapana jaman MUNGU ndo anayetoa hukumu hakuwa yeye Wala akil zake na vip waliobak ambao wanafanya hivyo ni kumuomba MUNGU aponye nchi yetu
@meckylucy215
@meckylucy215 3 года назад
Leo Namimi Nimewahi
@nuruchaula5145
@nuruchaula5145 3 года назад
Mzee wa umbo lakibantu
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 года назад
Kaka leo mapema
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Yani kweli ulikuwa narohoo mbayaa watu nane kila mwezi jamani 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
sana 🤔
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Hatari Kweli
@mohammedothuman1989
@mohammedothuman1989 3 года назад
Yaani Mata unajiamini unaleta mzigo mda wowote unajua huyu jamaa ana mautam balaa
@bintybaker8402
@bintybaker8402 3 года назад
Muulize,jee wanakunywa mpaka damu za wenye ukimwi (AIDS)?
@hamidibrahim5369
@hamidibrahim5369 3 года назад
😀🤣😀
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 года назад
Jaman imekuwaje tena
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
umeona eee wngu ❤❤
@xiwuyan457
@xiwuyan457 3 года назад
🙏🙏🙏
@onekisstv8412
@onekisstv8412 4 месяца назад
Kishenzi yani
@damienndiku1064
@damienndiku1064 3 года назад
Nimemanisha mda 👌
@eliasgembe5800
@eliasgembe5800 3 года назад
Davista sijui unanielewa?
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 года назад
Mbona nasikia melody tu hakuna saut
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
Hiyo show room ipo kaka ad wa leo
@berthamghanga1093
@berthamghanga1093 3 года назад
Unanitisha nitakuwa siendi kwetu Singida.
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Duuuh alfajil watu aanakoroma tu amken mambo tayari 🤔
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 года назад
Tumeamka
@Teacher_01
@Teacher_01 3 года назад
🤦🤦
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
mm ndiyo nmefka pamoja
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
@@fatmaalrshdii7615 wazma wote❤❤❤
@credo7837
@credo7837 3 года назад
@@fatmaalrshdii7615 karibun
@ryhislamminamuonamsengetu9111
@ryhislamminamuonamsengetu9111 3 года назад
Nic watu makini
@josephkimweli2212
@josephkimweli2212 3 года назад
Muulize Kwani damu wanafanyia nini huko kuzimu?
@edwardshirima3284
@edwardshirima3284 3 года назад
waii kwanza story yenyewe yakurudia rudia apige story ya kweke ndo tunayo itaka jamn izo nyingine manarudia tyuu mara za morogor
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 года назад
Mmmh yani huyu wala asimsingizie yule dd eti ndio kamsabisha kutafuta utajili ila sisi binadam wabaya sana mwenyezi mungu kantuambia kabisa sheytwan niadui yetu wadhahili kabisa bado vinadam wamekua naukaribu na majini yakisheytwan kuteketezabinadam wenzao kwa manufaa yao kwann usimtoe huyo mama ako au dd zako umekaa kuteketeza waja wa allah wamekukosa nn
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
Mimi wengi tu wamenichukiza hapa Duniani lakini ujinga Wa kuharibu maisha yangu kwa sababu Yao ilo wazo halipo. Kweli nimewachukia na hamna dua mbaya sijawaombea, lakini kufikia lipofikia huyu kaka,, mungu atunusuru. Inawezekana ashuura ndio sababu ya yeye kupotea🤔😁 yuko wapi ashuraa🤔🤔
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
kweli ni tamaa zake tu
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 года назад
@@khadijaomari9344 ndio
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 года назад
@@Laila-lz4ij ashura yule sio binadam nijini yule kama siojini nimchawi mkubwa
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
@@kalssambaboo9932 Labda amsingizie yeye😅😁😂
@mwajumamwishehe2743
@mwajumamwishehe2743 3 года назад
Mbona mimi nimesikia sauti mwazo tu kuazia hapo kati mpaka mwisho sijasikia sauti🤔🤔
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 года назад
Tumia earphone
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Malkia kakupepelushia😹
@zaynabhadoso4783
@zaynabhadoso4783 3 года назад
47 minutes nimekuwa 17
@jamesmbogela4710
@jamesmbogela4710 3 года назад
Dm muulize kwann hua wanahtaj dam ya binadam na co ya kiumbe wengne kama mbwaa y damu ya binadam na wao inawasaidia kufny nn iyo damu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Shetan ndomana hata wanakula binadm
@aishaally8811
@aishaally8811 3 года назад
Mi nahsi hivi Hivyo viumbe vingine vimehalaxhwa na mungu kuchingwa kwahyo wakichukuwa damu yao watakuwa hawamuunzi mungu xhetan anafanya kumuunzi mungu kuptia watu wake
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 года назад
🙄🙄🙄
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 года назад
Sauti hakuna🤔😒
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 года назад
Leo tumeraukia
@ryhislamminamuonamsengetu9111
@ryhislamminamuonamsengetu9111 3 года назад
🤔
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 года назад
Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo Jana na leo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
umeshndahe wngu 😘😘
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 года назад
@@ayshamahariq6665 nashukuru mwenyenzi mungu Mimi mzima WA afya njema kipenzi changu
@thewomanofsteel3970
@thewomanofsteel3970 3 года назад
Tuliona zabron alivokuwa akifika kwenye misosi alikuwa akisifia sana ,mpaka akaitwa bwana misosi😂😂,,Sasa huyu akifika kwa wadada anasifia mpaka bac,,Sasa cjui tukuiteje😂😂,,pamoja na hayo yote lakin hii story akihadisia mpaka Mimi natetemeka kwa woga,,
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
Tutamwita bwana warembo
@thewomanofsteel3970
@thewomanofsteel3970 3 года назад
@@aiyamhassan1321 😂😂😂 kwakwel
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
@@thewomanofsteel3970 😂😂😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 года назад
Tumuite Mr Lover Lover Man🤓🤓🤓
@yohanaolembunjai9839
@yohanaolembunjai9839 3 года назад
Sauti haipo
@franceen_jr9931
@franceen_jr9931 3 года назад
Tuma basi hata 2 mbili ndio stor mzuri lakini unavotuma clip moja moja hivo na sisi watu wazima tuna kazi itatusaidia hata kusave mda unapotuma 2 na zaidi ila ivi unatuchosha brother
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Huyu jamaa sio msukuma kadanganya Ni muhaya pure atake astake
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 года назад
Gosbert unauhakika? Mwenyewe kasema msukuma hauamini?😂 huyu ni msukuma wa chato🏃🏃
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
@@egospeltz9486 kaa hvohvo muhaya huyu na lafuudhi yake mpk kwao napajua Ni mdogo wangu nimeamua nimuumbue tu mm ndo kakayake msaudhi 😹😹😹😹😹
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 года назад
@@gosbertmuta5421 😂😂🔥
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Год назад
Huyu ni msukuma ila kakulia zaidi Mara. Nimesoma nae shule Moja namjua sana
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
yani utoe nafsi za wenzako ww ufuraiye maisha kuna watu wana Zambi duniani ila mungu ndio muamuzi wa yote
@iddypandu4285
@iddypandu4285 3 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@costavalenci7699
@costavalenci7699 3 года назад
Yaaani we Dav kiukweli umetuteka au na wewe ulienda kwa Mungu bonge ?
@thebeautifulone7982
@thebeautifulone7982 2 года назад
Just a question,do business people in Tanzania accept that amount of money in cash?In other countries they will tell you to do an RTGS
@carolkazi4211
@carolkazi4211 2 года назад
Not everyone want to pay tax 😂
@thebeautifulone7982
@thebeautifulone7982 2 года назад
@@carolkazi4211 😁got it
@allanothuman2941
@allanothuman2941 3 года назад
Mbon km sauti inasumbuaaa
@axad6672
@axad6672 3 года назад
Nimechelewa kishenzi 🤔🙆‍♀️🙆‍♀️
@dunduumaster6735
@dunduumaster6735 3 года назад
Kila story mwarabu au asili ya mwarabu lăzima ausike ndo nazidi kuelewa kwa nn hawana utu
@Teacher_01
@Teacher_01 3 года назад
😳😳😳
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 года назад
Hapan ... Usiiish hvy
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
@@Teacher_01 shoga umefika❤️
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
Asilimia kubwa ya majini ni wararbu (Muslims and non Muslims) Wala usishangae. Huyu kijana hapa Katembea na warabu kwa njia za ushirikina na yeye pia si mwarabu au mwislam.point yangu hapa Mwarabu au sio mwarabu wote ni viumbe Wa mungu na hamna kiumbe aliekamilika si jini wala binadamu si mwarabu, muislam. Christian,, au wengine. Hapa nikufundihsana basi na kila mmoja na dini yake na Iman yake
@bwagamoyoonlinetv6013
@bwagamoyoonlinetv6013 3 года назад
Mbona maongezi yamekatika gafla.
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 6 млн
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 21 тыс.
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Просмотров 9 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45