Тёмный

PART20:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA ALIVYOZIPATA/KILA MWEZI NAUA WATU/NIMEMUOA MAMA YNGU/MSUKULE 

Davistar Media
Подписаться 242 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 554   
@mwajumachao9151
@mwajumachao9151 3 года назад
Hapana msijifanye hamjaona davista akiomba sapoti ya chochote..mnavyofurahia akipost basi mjue nigarama so let support him🙏
@Teacher_01
@Teacher_01 3 года назад
It begins with you.. 🙄🙄🙄
@mwajumachao9151
@mwajumachao9151 3 года назад
@@Teacher_01 exactly..!! nasichelewi kutuma🙏
@aishaally8811
@aishaally8811 3 года назад
🙏🙏🤝🤝
@kabulagodfrey5343
@kabulagodfrey5343 3 года назад
Watu humu wamekalia kutaja tu wamekua wa ngapi kuangalia
@mwajumachao9151
@mwajumachao9151 3 года назад
@@kabulagodfrey5343 yani comments za hivyo hunichokesha mm🤣😏😏
@felistersoduor6438
@felistersoduor6438 Год назад
Davistar am a Kenyan living in the USA your stories have build me and shocked me kabisa we need to support you. I always follow and listen to everything
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 3 года назад
Hello guys lets support this gentleman please he is doing a good job, he is requesting together we can, me personally he is a blessing to me,,, sai ningekuwa kwa hizi churches za mafuta na maji though am a catholic damu
@jesusismyking5292
@jesusismyking5292 3 года назад
Basi catholic ndiyo maya muno,fikiriya haha majii munasema maji ya bar aka mulangoni kuingia dani ya kanisa
@mundhirsalum21
@mundhirsalum21 3 года назад
Naomba jibu . Mtangazaji amesema kafara kila mwisho wa mwezi lakin iyo ajali ni 5 / 9 / 2014 je ni vipi hapo ?
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 3 года назад
Mkalimani ukuje huku kuna mtu kachafua mazingira
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 года назад
@@mundhirsalum21 hili tukio alifanyapamoja na wengine ili aweze kupewa Ruhusa ya kubadilisha matumizi ya Pesa za Majini
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 года назад
Ndugu yangu,bado haupo salama kwa Catholic,mimi nilikuwa huko miaka mingi iliyopita na nilichoshwa na Mengi sana ukutaka nitakwambia.
@badymsuya6093
@badymsuya6093 3 года назад
Nikwel tume Elimika sana🙏🙏 let's support you👍👍👍
@christinagabriel6977
@christinagabriel6977 2 года назад
Nimefikiria sana juu ya tajiri maarufu mwanza, baadaye nikajibu mwenyewe kuwa ni mbunge flani sitomtaja jina
@christinagabriel6977
@christinagabriel6977 2 года назад
Mzee wa bokora za kimkakati uje unijibu
@stidejustin1156
@stidejustin1156 3 года назад
Nilitoka kidogo nikaenda ITV RU-vid channel nikaiona hiyo ajali bro tumuombeni mungu 🙏🙏😢
@cyantess8423
@cyantess8423 3 года назад
i like your questions mr everything they expand my understanding big up from KE
@irenek7280
@irenek7280 3 года назад
Am always a silent follower of your stories and this one is the best
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 года назад
Great work ❣️ Mr Everything
@xiwuyan457
@xiwuyan457 3 года назад
Tuna Support pesa ipo 🙏🙏 usicheleweshe tu zile parts
@joyeuseswaze3975
@joyeuseswaze3975 3 года назад
Asante sana brother tuma details zako za M-PESA
@fatmaharry9454
@fatmaharry9454 3 года назад
InshAllah mashabiki zako tuko paka kenya soteni mashabiki wa davistar tum support kwa kazi nzuri anayo ifanya
@deniladhambi9901
@deniladhambi9901 2 года назад
Hi Davistar. I am pastor David from Kenya. Nataka niwasaidie swali la shetani kukunywa damu na nyama ya watu. Wakati Adam alitenda dhambi. Shetani alilaaniwa ale mavumbi. Mungu alikua ametengeneza mwanadamu kwa vumbi. Sisi ni vumbi na hivyo chakula Cha shetani. Ndio sababu tunaishi kwa kutegemea roho. Mwili Ni dhaifu
@mamafaiza2651
@mamafaiza2651 3 года назад
Ok tumekuelewa mr every thing
@amanmbwiga5399
@amanmbwiga5399 3 года назад
Umeeleweka davistar piah umekuwa muwaz pamoja n kutumia mb kusikiliza story Zak tutakup hiy saport 🤝
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 3 года назад
Umetisha Sana Mr facts........endelea na KAZI nzuri
@dodoted5033
@dodoted5033 3 года назад
UFUNUO WA YOHANA 17vs 6 Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu. NOTE UKISOMA UFUNUO WA YOHANA chapter 17 YOTE UTAELEWA HUYO MWANAMKE ALOKUWA AKIOGA KWA DAMU. mbarikiwe sana Wana wa Mungu.
@baravuga622
@baravuga622 3 года назад
Mtumishi Davistaaa..Mbona sisikii Bakora za Kimkakati😃🤣😂"napenda unavomchombeza Boss wa zamani"..MUNGU YU NASI..
@baravuga622
@baravuga622 3 года назад
Davista..Ungekua na Ki"Note Book" ili kila anaposema Nitaeleza baadae Uwe una "Note"..Ni ushauri tu Mr Everything..🙏🙏
@marychacha7084
@marychacha7084 3 года назад
Unafiicha uso sawa...lakini inatoa namba ya simu...kumbuka wafiwa wengine bado Wana maumivu.labda wanaweza kukutafutia na kukudhuru...si tafuta njia sahihi ya kilezea hayo mauaji..iwe kifupi nasi keuleza kila gari majina yake.. hongera kwa kuacha hizo issue na hatua
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Yani unaweza mkamata ukamdokoa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 года назад
Kweli my dear ww umewaza mbali, Wanaweza kumuondoa kbs.
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 года назад
Usjaar davista tutachangia bila kusiita maana tunaelimiika na kuburudika pia Ila nasie tunakuoomba iwe bandika bsnduuwa maana mambo ni🔥🔥👍
@joshuatalu9596
@joshuatalu9596 3 года назад
Shukran sana DM
@thewomanofsteel3970
@thewomanofsteel3970 3 года назад
Asante leo umenifurahisha kuleta mfululizo
@KariukiRoysambu
@KariukiRoysambu 3 года назад
Safi sana Davista hivi kwangu binafsi nimekuelewa kabisa kwa ombi lako.....tuko pamoja sana ndugu kwa hilo
@rehemamalaki422
@rehemamalaki422 3 года назад
Tupo pomoja mtu makini tutatuma hta zaidi
@fridamwikuka5402
@fridamwikuka5402 3 года назад
Kweli tunajifunza sana.mm ndo kabisa nimejifunza mengi.mpaka nimemrudia muumba wangu ila kweli tunafaa tumsapoti anajitahidi sn.Hata ingekuwa ww hatulali.mpaka usiku tunachungulia tu umeweka nini na usipoweka tunalalamika umechelewa.jamani kuanzia mia tano na kuendelea Mungu atakubariki tu
@ليلىفاكي
@ليلىفاكي 3 года назад
Mm nitakusapot kwa elfu kumi lakini nifanyie nifanyie vile nilivokuomba nadhani unakumbuka 👍👍👍
@shaby988
@shaby988 3 года назад
Sjui unanielewa vizuri Tunakuelewa mzee wa bakora😂😂😂😂😂
@tayanabenard4392
@tayanabenard4392 3 года назад
Karibu Sanje kwetu Davister...Kilombero yetu.
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 3 года назад
Sawa Davistar nalifanyiakazi, Mwenyezi Mungu akubariki sana 🙌 (doto mataluma😇😅)
@tommymsomalishaina
@tommymsomalishaina Год назад
Support utapata tu brother
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 года назад
Yes no vizuri sana kusapoti hawa vijana wenzetu wa kitanzania
@carrenchigulu5712
@carrenchigulu5712 3 года назад
Braza Davistar tuko pamoja na ninahakikisha subscribers wanaongezeka coz jamaa wa wakora amenibamba kinoma oyaah wanazengwe fanyeni hivyo love kama yote
@marychacha7084
@marychacha7084 3 года назад
Sawa...tutatuma tu..endelea kuchapa kazi....👍👍
@Hashkan22
@Hashkan22 3 года назад
Pesa ndogo sanaa hiyo kaka kwa tunayo jifunza ila kwa ushauri wangu uwe unakumbushia hata kila mwisho wa mwezi na uwe unatupa mrejesho wa hamasa ya watu je wanatoa au wanazingua.usikae na kitu moyonii sisi ni ndugu sasaa
@mamuuwesu7236
@mamuuwesu7236 3 года назад
Huy Kaka very smart. Yn kw hii kipande nimejiona km naangalia series yeny kuonyesha.mung akusameh kaka
@hurremjudith6043
@hurremjudith6043 3 года назад
Mko vizuri watoto wa davistar
@florachuwa301
@florachuwa301 3 года назад
Amina...amina amina. Tuko pamoja
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 года назад
Leo safi mapema
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
Hatimae davista thank you aya mkuje
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
tayar wngu 💃💃💃
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
@@ayshamahariq6665 kabisa maa
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Davista mim ningekuwa na hela ningekusaport sema sina 🙈🙈🙈🙈🙈
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
Davista shati la 3 jamaaa shati lile lile mzee wa bakora unatuangusha bhn😂😂😂😂😂😂😂 fny mchakato uvae ata shat lingine
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie. Uwiiiii. Namwambia mwenyewee
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 года назад
Sasa amefilisika 😁😁😁
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 года назад
yeye sio bishoo tena ni mtu wa mungu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
@@sapnaabdallah1084 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
@@ivaniavianarodrigo7201 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 3 года назад
Eh bwana wee nimeiona hiyo ajali aise mpk milad ayo kaipost eh mungu wee tulinde sis viumbe wako mungu yesu wangu dah
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 года назад
inshaAllah tutakusapoti mtu makini.., 👍👍👍🙏🙏🙏
@stellamtanku9509
@stellamtanku9509 3 года назад
Duuuuu nimeiona hiyo ajali kaka simama name mungu sana sana
@aishaally8811
@aishaally8811 3 года назад
Nitumie link yake my
@doreenchiragwile3424
@doreenchiragwile3424 3 года назад
Jmn naomba nielekeze na mm nioneee
@stellamtanku9509
@stellamtanku9509 3 года назад
Ingieni you tube andika ajali musoma utaona basi la j.4 na mwanza basi
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 года назад
Tuta sport dear
@wasaffiwasaffi4483
@wasaffiwasaffi4483 3 года назад
Uganda pamoja sana broo... Mtu makini uko poa
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 года назад
Maswali mengine Davister kawaulize mapasta; Sijui unanielewa vizuri
@xiwuyan457
@xiwuyan457 3 года назад
Safi Sana Davistar MUNGU akupe Maisha marefu hapa duniani AMINA
@justusstephen
@justusstephen Год назад
Izo damu kwenye kibuyu zikiwekwa hazigandii
@jamalmohamed8195
@jamalmohamed8195 3 года назад
Bila Shaka Kaka Tutafanya Hvo Big Up Broh Tupo Pamoja Kaka
@annasilayo1405
@annasilayo1405 3 года назад
Tumekwelewa tutakusapoti kwaiyo nawewe utusikize uweunatutumia mfululizo atakama kwa wiki mara 3 ziwemfululizo sio kama unavotuma
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 3 года назад
Kwa ushauri Wangu davistar ungeweka hizi simuliz na kwenye tv hili watu wengine wapate kyjifunza pia because ni watu wengi sana awaingii RU-vid bro wamana wababa wabibi wanafunzi vijana mtaan ni wengi sanaa alafu vijana mtaan ndiyo wengi wanaotakiwa kupata hizi elimu mtaan uko wanaopitia maisha magum mpk inawapelekea kufikia atua hizi mungu awalinde sana watoto wetu jaman na dugu zetu dah
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 года назад
Nimetazama ile ajali duh nimeamini mwenye zimungu auwi mtu ila shetani muuwaji mungu atulinde 🙏
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 года назад
Kila kiumbe kimeumbwa na Mungu, viumbe wakuu wako wa aina tatu 1- Malaika kaumbwa kwa nuru. 2- Binadamu kaumbwa kwa udongo 3-majini waloumbwa kwa Moto. Kati ya viumbe hivi Binadamu na majini Mwenyez Mungu amewapa Uhuru kuchagua upande wa kufuata Kati ya upande wa sheitan au upande wa Mungu lakin malaika yy hakupewa option hiyo kwa maana malaika hakupewa uwezo wa kumuasi Mwenyez Mungu. Sasa Sheitan ni nin? Sheitan sio kiumbe Bali ni sifa tu ambayo Binadamu na majini wakifata upande mbaya Basi uivae sifa ya usheitan...sifa hii ya usheitan ndiyo kaivaa ibilisi.. ibilisi asili yake ni jini alikataa kumsujudia Adam akalaaniwa na Mwenyez Mungu akashushwa dunian!!!
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 3 года назад
Dahhhh noma sanaaa
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 10 месяцев назад
Nimetoka kuangalia hiyo ajali baada ya kumsikia huyu msimuliaj haki moyo wangu nahisi kufa ganzi😢😢😢YESU tuhurumie sisi wanao
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 года назад
we shall support you Mr mambo yote
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 года назад
#pamojamtumakini pga kazi wadau tupo nyuma yako🤝🤝
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Mpo nyuma yake na kina nani
@fredyefd8116
@fredyefd8116 3 года назад
Fresh nishakutumia mtu wangu
@mchakytv3973
@mchakytv3973 3 года назад
Davii unatisha sana unaulizaga maswali kama upo kwenye kichwa changu mungu nimwema sana
@nasrasway7143
@nasrasway7143 3 года назад
Yaani davista maswali yako mpaka natamani unioe 😁😁 pls next time tuonyeshe mke wako na watoto kabla hatujaanza barua za maombi kwako unioe😁😁😁😁
@aimeelacongolaise5881
@aimeelacongolaise5881 3 года назад
Jamaa iko wazi sana, tafazali hifazi vitu 11
@lazarojohn8080
@lazarojohn8080 3 года назад
Safi sana davistar nikwa huwa wanakunywa kama maji au nichakula
@aishamwenda3531
@aishamwenda3531 3 года назад
Fimbo za kimkakati 😀😀😀 hyu baba alirogewa wanawake🤣🤣🤣
@doreenchiragwile3424
@doreenchiragwile3424 3 года назад
We nae davistar unamaelezo kibao husitukatishe story mweeeh😚😚😏
@suleimankibombwe7091
@suleimankibombwe7091 3 года назад
Mh
@swalecomedian1340
@swalecomedian1340 3 года назад
Duhhh jamannnnn wachaw mungu anawaona
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Safi davistar ‘ tutafanya mchakato tuwezeshane...! Ila nataka niweke vizuri kidogo hapo Kwa Jini au shetani kaumbwa na nani...!..kwanza ni lazma tuelewe kiumbe chochote unachokiona ulimwenguni na usichokiona kimeumbwa na MUNGU hakuna kiumbe kilichojiumba chenyewe ‘ Kwa hivyo hili la hao majini tusikwepeshe kwamba hawakuumbwa na MUNGU kutokana na matendo yao mabaya ‘ Na mifano Ipo kwetu binaadam ‘ tumeumbwa lkn tunatofautiana ‘ wapo binaadam wenye roho za ajabu unaweza kujiuliza hivi Huyu ni binaadam ama..?...hata hawa binaadam wenzetu wanaotupa hizi stori maana yake wamevuka mipaka Kwa matendo waliyokua wanayafanya ni ya kishetani japo wao ni binaadam’ shetani Sio kiumbe ‘ shetani ni sifa ‘ Yaani ni matendo mabaya ‘ machafu ambayo binaadam pia ukiwa nayo tunaweza tukakuvika sifa ya kishetani’ kiumbe hapo ni JINI Kwa hivyo jini tabia zao chafu Ndio nao wanakua na ushetani ndani yao..!..Na wao waliumbwa Kwa MOTO na sisi binaadam tumeumbwa Kwa udongo’......pia wanajamiiana’ wanazaliana ..na wakati mwingine wanajamiiana na binaadam’ Na wana KOO zao ‘ tawala zao na nguvu zao‘ ..!...hivyo wanajilinda koo zao kama wao hawana ushirika na MALAIKA..! Na hapo kwenye MALAIKA’ hawa MALAIKA ni viumbe vilivyoumbwa Kwa NURU ‘ Na toka vimeumbwa havikuwahi Kumuasi MUNGU toka walivyoumbwa mpk Dunia itaisha ‘ wao ni Kumsujudia MUNGU muda wote Wakati wote ‘ Hawana mapungufu Ndio maana hawana sifa ya KULA...KULALA...KUCHOKA....KUJAMIIANA.....!...Na tukumbuke sifa zote hizo binaadam na Majini tunazo ‘ ni malaika tu ambao hawamkengeuki MUNGU...!...Kwa hivyo hao Majini unaosema ndugu RWANDA MAGERE ‘ ambao Ndio ibilisi au shetani hawapo na Malaika ‘ hawajatupwa na malaika ‘ Kwa sababu Malaika hawakuwahi wala hawamuasi MUNGU ..!...na vitabu vya dini vinasema hivyo...! Wapo Watu hutumia huu Msemo MALAIKA nae akizeeka huwa shetani ‘ ni makosa Kwa sababu malaika hawazeeki wala hawamuasi MUNGU...!...nilitaka kuweka sawa hapo..’..!..Ahsante
@shabanmohamed7071
@shabanmohamed7071 2 года назад
Umeelezea vizuri sana
@iddypandu4285
@iddypandu4285 3 года назад
Hakuna hela ya bure....dah haya maisha mtihani kwl
@shastara241
@shastara241 3 года назад
Davista nakupenda bure I will support you naishi marekani weka area code Ya TZ am not from TZ so am not sure how to send it I have wave app if that works InshaAllah
@shastara241
@shastara241 3 года назад
I love your content great Job nimejifunza mengi MashaAllah
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 года назад
Jmn humu watu hawazimi data 🤣🤣🤣🤣wakimsubili mtu wa mikito 🤣🤣🤣
@bibibakari3491
@bibibakari3491 3 года назад
Link pls
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 года назад
Usijali davistar mpenzi tuombe uhai tu nitakutumia 😍😍😍mm teena
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
🤗🤗🤗
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Aisee ajali mbaya sana
@dr.muhammadsheriff7910
@dr.muhammadsheriff7910 3 года назад
Uko vizuri tu saana davistar braza hebu kunywa azam energy drink ingine juu yangu hapo...
@honchotz6877
@honchotz6877 3 года назад
Davistar maswali yako yanaturudisha vyuma Post nyengine
@sheikhabdallahiddi3350
@sheikhabdallahiddi3350 3 года назад
sheitwani ameumbwa na mungu . sheitwani ibilisi majini wanadamu KIla kiumbe wameumbwa na mwenyehezi mungu Allah
@ruthkwamboka9082
@ruthkwamboka9082 3 года назад
Let me comment has l understand saten was an angel once in heaven he was a good singer and he has some powers
@jenifaally3912
@jenifaally3912 3 года назад
Hata mie boss wangu alikuwaga kwenye hiyo ajali ila alipona
@ليلىفاكي
@ليلىفاكي 3 года назад
Usijali ulipo NA sisi tupo 👌👌👌👌👌👌👌
@benadethafrancis5223
@benadethafrancis5223 3 года назад
Yani ukiangalia hiyo ajali, utamchukia huyu kaka,daah. Kuna mkaka kahojiwa anasema hata uwezi elewa ajali imetokeaje. Chaaa! Mungu kumsamehe huyu, mwacheni Mungu aitwe Mungu.
@mathiascharles471
@mathiascharles471 3 года назад
Aisee mzee wa bakora kabla hata hujaitaja hiyo ajari ya kagera ya ma padri na ma sister tayari nimesha ifaham bila shaka niile iliyo tokea bukoba na hiyo ajari gari la masister na ma padri lililigonga bas la sabuni express
@kingwamaratz6062
@kingwamaratz6062 3 года назад
Aisee hyo ajali iltokea nyumban kabisa
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 года назад
Leo Mambo safi sana..
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
Asante sana
@piusmtwale7690
@piusmtwale7690 3 года назад
Hiyo ajari naikumbuka na gari moja wapo niliiona imepakiwa sitai barabara ya buzuruga dah ilikuwa chakali Mungu atusaidie
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 года назад
Duuuh!!! Nimeona hiyo ajali, kwa kweli lilikua tokea la kusikitisha na la kutamausha mno !
@aishaally8811
@aishaally8811 3 года назад
Naomba link yake basi
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 года назад
@@aishaally8811 Just type kwa RU-vid; ajali ya Sabasaba musoma utaipata
@aishaally8811
@aishaally8811 3 года назад
@@lenniefei6710 zinakunja video kibao
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 года назад
@@aishaally8811 jaribu tuu utaipata
@sarahmwangamila4441
@sarahmwangamila4441 3 года назад
Tuko pamoja mr everythings
@sallo27.70
@sallo27.70 3 года назад
Sawa Dav.
@sabeenasabeena4863
@sabeenasabeena4863 3 года назад
Usijali tutakuunga mkono
@aishaally8811
@aishaally8811 3 года назад
Naombeni link ya ajali nimuone mr bakoraa ikiwa kazini
@aishamwenda3531
@aishamwenda3531 3 года назад
Toba ww mliua watu wengi sn Mungu akusamehee
@mkukistore2816
@mkukistore2816 3 года назад
Daah pole sana davista mm sikua najua kama unapata hasara muda mwingine, daah naomba niisev namba yako nitajua jinsi yakukusaport boss 👏
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 года назад
Ahsante sana
@mkukistore2816
@mkukistore2816 3 года назад
@@DavistarMataMediaDM muda wowote kuanzia sasa nitakutumia kiasi kidogo cha pesa kukusapport kijana mwenzangu💪
@lawilawi6800
@lawilawi6800 3 года назад
Yaan ninavyomuonea huruma huyu Kaka Kama atakua anateseka Sana moyon
@heritier5119
@heritier5119 3 года назад
Raha ya utajiri ni kula na ndugu, pole yao wenye utajiri wa masharti wa mateso. Sisi tunafurahia maisha mazuri na mali halali
@momyusuf7731
@momyusuf7731 3 года назад
Inshaallah biidhinillah utaallah
@kingwamaratz6062
@kingwamaratz6062 3 года назад
Saaaf leo tuimalze hii stor jmn
@eliasgembe5800
@eliasgembe5800 3 года назад
Watu wako speed sanaaa
@mariahjoseph384
@mariahjoseph384 3 года назад
Davister nimependa maswali yako hata mimi nimependa kujua majibu kweli.ukipata mwenye anaweza jibu hayo maswali na kuelezea vizuri ningesikia raha
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 3 года назад
Usijali ndg yangu Dotto Matalumaaa tutafanya jamboooo
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 года назад
Usijali tupo pamoja davistar
@jeremiahrop2703
@jeremiahrop2703 3 года назад
Nitumie hio link brother ya ajali
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
azimioletu.blogspot.com/2014/09/ajali-ya-mabasi-mawili-j4-express-na.html?m=1
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 7 месяцев назад
Ni kweli tumeelimika sana
Далее
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 3 млн
Китайка и Пчелке Холодно😂😆
00:21
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 21 тыс.
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Просмотров 9 тыс.
WALIMU WA MADRASA WOTE
20:45
Просмотров 13