Тёмный

PART21:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA ALIVYOZIPATA/KILA MWEZI NAUA WATU/NIMEMUOA MAMA YNGU/MSUKULE 

Davistar Media
Подписаться 242 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 345   
@michaelvonsider3412
@michaelvonsider3412 3 года назад
Nipen like zangu wa kwanza hapa
@badymsuya6093
@badymsuya6093 3 года назад
Leo ndio tarehe 30 Kama Mzee wa bakora alivyo ambiwa atoe kafara tar 30 kwahyo na Sisi Kwa umoja wetu tutoe tar 30 mchango Kwa Mr DM 👍👍
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 3 года назад
Wasio tekeleza hili waandaliwe bakora za kimkakati.
@badymsuya6093
@badymsuya6093 3 года назад
@@michaelbengesi9838 hahahha Yan na mti ule nishampgia kanitajia watajuta mti lazma uumane🤣🤣
@shoarimahege2755
@shoarimahege2755 3 года назад
hahaha nikwer
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 года назад
Hoja imepokelewa vizuri..
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 года назад
Hakika 🤣🤣🤣Lkn kwenye bakora wanaume inatakiwa mfanye juu chini muupate huu mtu 🤣🤣🤣wenge wana ......
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 3 года назад
Kwa Shetani hakuna ambacho MTU anaeza faidi,,,,, let's always pray for our families alot is happening out here,,,,,, before you start your day always embrace the culture of going down your knees and pray dearly 🙏🙏for the loved once
@irenek7280
@irenek7280 3 года назад
True all is vanity
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад
kabisa ni hasara tupu na kumaliza watu bila hatia
@stidejustin1156
@stidejustin1156 3 года назад
Hii story inakuwa nzuri sana Kama ukisubili viwe vipande ata vitatu 🤔🙌🙌
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 3 года назад
Yaani Kila mwanamke kwake ni mzuri san tena sana
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 года назад
hapo chacha
@salisali3738
@salisali3738 3 года назад
Majini yana mbinu tofauti wanakufanya usahau ili uue damu yako masikini mtt wa shangazi yako Mungu amuweke pema
@marychacha7084
@marychacha7084 3 года назад
Ni shetani tu...ndo alisababisha usahau yote ili mtu aingie dhumuni ulipe gharama kwake...kikawaida shetani hawezi kukupa raha kwa muda mrefu..
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 года назад
Yan kwa shetani bhana 😢😢😢ingawa unatoa sadaka lkn bado lzm wakupelekee shida aiseee 😤😤😤😤😭😭😭😭
@nasraahmed5199
@nasraahmed5199 3 года назад
STORY HAZINA SAUTII
@nasibubalonzizubusa3449
@nasibubalonzizubusa3449 3 года назад
Davista huyu jamaa mpe shati hata like ulilopewa na mti mkavu mana mwamba hayawahi kubadirisha shati
@nurusky
@nurusky 3 года назад
Ndugu msimuliaji,uskubali kutaja majina ya watu, jamaa ana kudanganya uyataje lakini wala majina ya wahusika hayana umuhimu kwetu,story ndio tunayoitaka.
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 года назад
Eeh mbona siku Ile alikataza Mussa chesa kutaja mapastor
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 года назад
Hiki kisa nichakusikitisha sana doh Mimi kuanzia leo matajiri wote nawaangalia Mara mbili mbili
@dripboy2026
@dripboy2026 3 года назад
Kama kaamua kuficha sura yake bas hata majina ya watu alio watendea vitu vibaya asiwataje sababu kama badi wapo hai watamjua tu
@navokisembo
@navokisembo 3 года назад
Duh kaka kweli uliua watu weengi mpaka roho yangu inaumia kwa kweli, Mungu tuu ndo kimbilio lako hakuna jingine, kweli shetani ni baba wa maaasi hana huruma. Tujifunzeni kwa huyu kaka kwa kweli. Shetani hana bure.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад
kabisa Mungu ni mwenye nguvu
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 2 года назад
Hayo makosa ambayo yalikuwa yanatokea ilikuwa ni mipango ya shetani ili utoe damu
@iddmwamori3869
@iddmwamori3869 3 года назад
Tusisahahu ku support kwa davista mata kitu chochote from+254 let's injoy the show...💪💪💪✌✌
@habibafeithal4014
@habibafeithal4014 3 года назад
Sitakuwa na hami tena ya kukaa kwa watu wenye uwezo wao,cyo kwa mimba hiyo😀😀😀
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 года назад
Mwangalukaa..! Bakora zinaendelea😃😃😃
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 года назад
Mwangaluka bhabha kaya molaa?😜😜😜
@nasibubalonzizubusa3449
@nasibubalonzizubusa3449 3 года назад
@@dorcaskidoti249 mola omisha ginehe
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 года назад
@@nasibubalonzizubusa3449 hiiiiiiiiiiiiiiii mweeee lhh
@abdulhalimhumud1917
@abdulhalimhumud1917 3 года назад
Davista Muulize jamaa anamsujudiaje uyo malkia ni km vile watu tunavyo msujudia Mungu wetu Au Yy anafanyeje jamaa alifanya shirkii kubwa Dah
@kingofx2161
@kingofx2161 3 года назад
Yaani nimesikiliza sana hii story lkn nimegundua maisha uliyokuwa unaishi yote, yalikuwa yameandikwa kwenye script na wewe ulikuwa unaigiza tu.
@maryshadrack23
@maryshadrack23 3 года назад
We rofa kwel
@kingofx2161
@kingofx2161 3 года назад
@@maryshadrack23 Rofa kivip
@maryshadrack23
@maryshadrack23 3 года назад
@@kingofx2161 mbna una mkatxha tamaa jamaa
@kingofx2161
@kingofx2161 3 года назад
@@maryshadrack23 labda ulikuwa hujanielewa, nilikuwa nazungumzia kuwa matukio aliyokuwa anaishi huyu jamaa, yalikuwa yamepangwa kishetani,
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 года назад
@@kingofx2161 kweli jomba
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 3 года назад
Shetani huyo huyo alimfanya aingie chumba cha siri. Zingine ni geresha.
@messimessi7255
@messimessi7255 3 года назад
Yah hiyo ndo ilikuwa plan ili aje aliwe
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Месяц назад
Kabisa
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 3 года назад
Pia Davistar nawe mtegemee Mungu akuongoze kazi gani inafaa wewe kuileta hapa akupe hekima za kutambua, na soma sana neno la Mungu.
@issamohamed8798
@issamohamed8798 3 года назад
Davistar namba ya kukuchangia naomba ikae hapo kwenye display kama hutojali
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 года назад
Aisee !!😭😭 Jamaa wa Bakora kauwa watu wengi kwa jamii yao Yasikitisha Sana
@maryshadrack23
@maryshadrack23 3 года назад
Kwel et
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
😥😥
@maryshadrack23
@maryshadrack23 3 года назад
@@FFL-X1D pw pw 2ko pamja
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
@@maryshadrack23 sana
@tatukizunga9107
@tatukizunga9107 3 года назад
Kama kawaida twende kazi mzee wa bakora Leo wa kwanza Mimi🤣🤣🤣🤣🤣
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Mmh
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 года назад
Nazidi kuamini pesa za miujiza ni ngumu sana kufuata masharti yake na hapo kwenye masharti Mungu muumba naye huwa anaonyesha uwepo wake👆
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaa
@tommymsomalishaina
@tommymsomalishaina Год назад
T.U.N.A.S.O.N.G.A
@hurremjudith6043
@hurremjudith6043 3 года назад
Davistar people mko vizuri
@flubtv
@flubtv 3 года назад
We love u Davistar, endelea with more stories
@afyandogo
@afyandogo 3 года назад
Wanawake wananguvu sana
@zahirrajabumgonza1174
@zahirrajabumgonza1174 3 года назад
Davistaa achana nae uyoo muuaji mkubwaaaaaa uyooo hana huruma anaua sana ndg zakeee hafaiii ata kidigooooooo lina lohoo mbayaaaaaaaaa mnooo alifai kusamehewaaa
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад
imagine kuua mtu bila hatia
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Месяц назад
Tamaa ni mbaya sana jamani unaweza ukawa mnyama wakat ww ni binadamu.
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
Wa kwanzaa 🤣🤣💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
Leo mwisho wa mwezi jamani tujitahid kutowa mchango tumsapoti davista jaman jitihada zake tunaziona tumsaidie ad aneongea ujue hali siyo
@MishiPapalan
@MishiPapalan 3 года назад
Duu jamani inauma lakini
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 года назад
Daaah mchawi afe
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Yani mwanaume wewe Mungu akuonee tuu mana wake zawatu kwann utembee nao
@judiehance1736
@judiehance1736 3 года назад
Yaani katembea nao na kuwaua,💔💔💔
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
@@judiehance1736 hakika alikuwa mkatili hata chessa hakuwa mkatili hivi😨😨😨😨
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
Kabsa 🤔🇪🇭🇪🇭
@messimessi7255
@messimessi7255 3 года назад
Dah mtoto wa watu innocent, kasoma zake hana vurugu but kafara ikamhusu😭
@godwinraphael7044
@godwinraphael7044 3 года назад
USIKUBALI KUTAJA MAJINA ,WALA MAHALI EXACTLY ULIPOWAHI KUFANYA MATUKIO,KWA MTU ANAEKUFAHAMU ATAFAHAMU NI WEWE TU KWAKUA KWA MTU ANAEKUJUA ATAJUA SAUTI YAKO NA KUKUTAMBUA NI WEWE HATA KAMA UMEGEUZA MGONGO.
@nurusky
@nurusky 3 года назад
kabisaaa,mie nakubaliana na wewe Godwin mia kwa mia
@nurusky
@nurusky 3 года назад
kabisaaa,mie nakubaliana na wewe Godwin mia kwa mia
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 года назад
Inaumiza sana
@wailosvijevania1049
@wailosvijevania1049 3 года назад
Davister muwe mnataja majina feki... Hao watu wanaotajwa kutendewa ubaya wengine tunawafahamu huku mtaani hadi inakuwa sio poa
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 года назад
Pamoja dav mungu akulinde saana🙏💪
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 года назад
Apa ndo mjue waganga wanao sema wao wnaweza kukusaidia na ukapata mimba ..kumbe sio mimba ni majini..
@faridaahmed2671
@faridaahmed2671 3 года назад
La uyo baba nikatili 🥺alafu anaongea bila ya ya huruma
@bintkijangwa4305
@bintkijangwa4305 3 года назад
Hivi hao ndug zako wengine wenye watoto wao bado wapo hai maana kwa hii story nadhan watakuua aisee
@donathamwangobe7547
@donathamwangobe7547 3 года назад
Yaan
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 года назад
Watasamehe tuuu
@Teacher_01
@Teacher_01 3 года назад
WAPENDA BAKORA TUMEKUJA.. 🙈🙈🙈👌
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 года назад
Ndio mchango 😂😂😂😂 usisahau
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Kumbeee
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 года назад
Usije ukaomba Davistar akuchape bakora huyo ni mume wangu mtarajiwa etiii🙄🙄🙄
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
@@aiyamhassan1321 hatuezi sahau tena mm Niko na team kubwa
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
Zuu tena wewe utoe nyingi ju ya Alawi. Pesa ya mchango
@dominickimeu6219
@dominickimeu6219 3 года назад
mbona hakuna sauti?? you don't do final touches before upload?
@fasanitztiri5371
@fasanitztiri5371 3 года назад
Mr fact 😊😊
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 года назад
Alfajiri na Mapema 👌 Nipo
@eliasgembe5800
@eliasgembe5800 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 года назад
Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo Jana na
@mariamali2635
@mariamali2635 3 года назад
Hey mr Dm how can people from Kenya send you the 500 you said every month? Thanks for your hard work.
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 года назад
Daaah so sad.Ni majini hayo hayo ndo yalimpumbaza jamaa akaacha mlango wazi na yakamshawishi binti aende kuchukua funguo. Yote ni kutafuta sababu ya kupata damu ya ndugu yake.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Nakubali kweli kabisa maana sio kitu lahisi
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
Kweli kabisa😔
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
@@Laila-lz4ij 😿
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 года назад
Hapo kuna uwezekano Makubwa!!👍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaa
@mohammedothuman1989
@mohammedothuman1989 3 года назад
Duh kila cku nachelewa
@michaelvonsider3412
@michaelvonsider3412 3 года назад
No viewers yet 😁🤸 wakwanza n mim
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Umeshba
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Hongera kuua wasio nahatia
@baravuga622
@baravuga622 3 года назад
Wewe ndio Boss?"Ndimi"😄😃🤣😂😁
@xiwuyan457
@xiwuyan457 3 года назад
Mzee umemwaga DAMU za watu wengi sana...Naona Bado JUDGEMENT yako iko bado ACTIVE kwa BWANA YESU
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 года назад
Wallah hadi muili unaingia oga naukitazama hizo ajali namfikilia huyu kaka namussa chessa hata kama wametubu
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 3 года назад
I believe Mungu atawasamehee,,,,so sad 😭😭 kumuua binti aliyekuwaa anataka kujiendelezaa,,,,,nmeumia sanaaa
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
Haya yote anasingizia kama shem ndio sababu. Nahisi yeye alikuwa kwenye network ya mapepo ndio toka mwanzo.
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 3 года назад
@@Laila-lz4ij Tamaa ya pesa ogopa aiseee,,,we should be strong in prayers to our fellow countrymen,,,,
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 года назад
@@Laila-lz4ij ndio akaongeza napepo ngono
@veronicasteven2243
@veronicasteven2243 3 года назад
Sim yang mbovu au mbn hamn saut
@habibafeithal4014
@habibafeithal4014 3 года назад
Awe anaandika namba yake hapo ktk story ya mchango
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 года назад
Haise shetani hana msamaha,
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 3 года назад
Hoyee wa kwanza Leo, kenya
@suzansimon5296
@suzansimon5296 3 года назад
Duh amakwel mungu wetu n mwenye huruma tunamkosea mengi Sana na bado anatusamee lakin hiyo miungu yao wakiikosea kuwasamee nikazi Sana hakika jina la bwana lihidimiwe🙏
@salmakiyabosiriyamachoziha8756
@salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 года назад
Amen MUNGU wewe ni wa huruma san .. shatan kwel hana hurum watu wasionahatia unamaliza siku zota pesa za sheran hazin maana Mungu tupe pesa halali kwa ajili ya Utukufu wako.
@josephkimweli2212
@josephkimweli2212 3 года назад
No 40
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 года назад
2014 👍👍
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 3 года назад
Mimi ni mmoja wapo ambae nanufaika na Kazi hii hapa. Tusisahau wote kwenda na lile wazo letu lililopendekezwa la kutuma TigoPesa. Niwaombee wa Mungu tuzidi kusoma maandiko ya Biblia hekima zipo humo za kuelewa kuwa mali, pesa, starehe si kitu kama huna Mungu, Raha na Starehe ya kweli ipo kwa Yesu Kristo nae pia anatuombea kwa baba
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 3 года назад
@@somoeawadh7774 😳😳🤔 we unafaa bakora, vitu gani hivi umeandika ?
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
@@michaelbengesi9838 I meen tutatoa in shaa Allah
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 3 года назад
@@somoeawadh7774 sio kwa jina la Yesu ?
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
@@michaelbengesi9838 Apana natoa kwa ajili ya Allah 🙏
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 3 года назад
@@somoeawadh7774 Siku ukitamani kumjua Yesu nitafute ✍️
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
mzee wa totozi mtu wa bakora 😀😀😀
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 года назад
Wapili leo like zenu nipeni 😁😁
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Hongera❤❤❤❤❤😘😘😘😘😘
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Umechelew ukaona uombe like 🤣🤣
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
Hongera 💞💞
@mohammedothuman1989
@mohammedothuman1989 3 года назад
Nimechelewa mm
@kimchi-91
@kimchi-91 3 года назад
kuishi kwa ndugu tajiri ni mbaya sana maana ,unaweza ukajifanya unafanya usafi kumfurahisha huyo ndugu yako ili akuone wa maana kumbe unajisogeza kwenye kafara.
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 года назад
Namba1
@axad6672
@axad6672 3 года назад
Huo upumbavu nakerwa kukill innocent lady na fake pregnancy. Mungu tu ndiye a napeana utajiri wa milele
@happinessphanuel816
@happinessphanuel816 2 года назад
Kitabu mwanza kinapatikana wapi jaman
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 года назад
Sasa sisi wakenya na mpesa tutamtumia vipi
@tatukizunga9107
@tatukizunga9107 3 года назад
Sijui unanielewa bloo🤣🤣
@happyfihavango4151
@happyfihavango4151 3 года назад
Wanakukoaesha ili wapate kitoweo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaa
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 года назад
Mungu wa rehma sana aise matukio yote haya na mungu anatusamehe aise MUNGU WETU SOTE 🙏🙏
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 года назад
we acha tu!!!
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 года назад
Mungu ni mwenye huruma ukirudi kwake na anasemehe na kutokumbuka dhambi zetu 🙏🙏
@Teacher_01
@Teacher_01 3 года назад
❤️❤️❤️❤️
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 года назад
@@Teacher_01 wawooh miss you
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 3 года назад
Story kali tunaenda pamoja davi
@sharifahamisi6580
@sharifahamisi6580 2 года назад
tuma number uku na ui pin ili tutume chochote kiti dav
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
Hamadi Kassim nakujua wewe utasema hauna m-pesa ole wako tena tuma mpka yangu 😂 huu mwezi sawa mpwani mwenzangu 😘
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
😂😂😂😂
@teresiamwenga4143
@teresiamwenga4143 2 года назад
What happened to ashura? When did she stop disturbing and attacking
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 года назад
mara nyıngı shetan hawez kukuacha hiv hiv yaan kama upo makin kitemdo cha kusema mtoto wa shangaz nikae naye jua ni mpango wa shetan huyo ndıo atakaye kıjaribu au n mpango tu wakutaka kutoa kafara ndugu n sababu mpango tu wa shetan huoo shetan hawez kukupa utajır wa furaha dunıa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaaa
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 3 года назад
Mzee Wa Bokora kila mwanamke mzuri hongera kwa maono
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 года назад
Ukiwa na pesa utafuatwa na Pisi kali tu! Hiyo ndiyo tabia ya pesa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Et maono😹
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 3 года назад
@@abbyadams8691 daa wasio na pesa Waanze kutafuta
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 года назад
@@angelageofrey9756 pisi Kali zinachezewa jamani maana hazijuhi kutafuta hela!!!!
@priscillahkimani2098
@priscillahkimani2098 2 года назад
Haki nimelia juu ya huyu binti
@mariahjoseph384
@mariahjoseph384 3 года назад
Davister, Ebu Mulize hao watu alikuwa anauwa walikuwa wanaenda wapi ???
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 года назад
Tutajie majina kaka
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 года назад
BAKORA MZEE WA BAKORA 😁👀
@aishaally8811
@aishaally8811 3 года назад
Inabidi ndungu zetu matanjiri tuwachungunze vzr kama alivyo kuwa anafanya hayyate dr John John pombe magufuli serekali iingilie kati kama huyu jamaa mali nyingi ndungu hawajiulinzi anazipatapatanje na wakati yenye ni mwalimu mkop ndo anunue vitu vyote hivyo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaa
@mercykim7004
@mercykim7004 3 года назад
Mtu makini tuko pamoja... Nilikua nauliza support yangu itakufikia aje ? Niko kenya naweza tumia M-PESA?
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Tuma tuma
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
@@somoeawadh7774 😹mbn haijatimia
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
@@gosbertmuta5421 kweli sweery wacha nikutumie tena
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 года назад
Number hii 0743053804
@mercykim7004
@mercykim7004 3 года назад
@@somoeawadh7774 nimetuma zikaingia kwa mtu wakenya nikieka code ya Tz haziendi.
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Daah umeua sana ndugu yanguu bor ulivyookoka
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
Sana 😥😥
@credo7837
@credo7837 3 года назад
@@FFL-X1D 😥😥😥
@mohammedothuman1989
@mohammedothuman1989 3 года назад
Huyu kiumbe pamoja na kua anauwa watu ila mtombaji mzuri
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zulfajohnkilongozi4943
@zulfajohnkilongozi4943 3 года назад
Wapi 22
@eliasmasanja6690
@eliasmasanja6690 3 года назад
😀😀😀Utafikiri sifa kugharamia msiba,but tunajifunza pia
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Ushawah kufiwa alafu mtu akaja km ndg au rafk akawa anajitoa kwa Hali na Mali kifedha weeeeeeeeeeeeee acha tu unamuona km mkomboz kumbe ushetani tu
@eliasmasanja6690
@eliasmasanja6690 3 года назад
@@gosbertmuta5421 😄😄😄😄😄 Mungu tuepeshe na hii hatari wangap wanafanya hivyo?
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Lkn shetani jamn khaaaa hayo mashart kwio, nisngeweza mm
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 года назад
Hivi Kuna faida gani ya huu utajiri unapoteza ndugu marafiki na watu wasio na hatia bado pesa anayo kupata ukifanya maendeleo niyake pia mm naona shetani Kakutia hasara sana
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Sanaa
@adamsadiki6967
@adamsadiki6967 3 года назад
ila uje umfanyie jamaa. mpango abadilishe hy draft
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 года назад
huy malkia anaujanja tu anakusahaulısha ıl utoe ndugue na utamaliza wote akılı hıyo ya kujıjua amekuvumba !
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaa
@Oneofhiskind123
@Oneofhiskind123 3 года назад
Afu kweli maana hata yule mama yake eti kufa kisa jamaa kupenda maana aliaguka ghafla itakuwa ni huyo huyo tu tamaa mbaya duh
@messimessi7255
@messimessi7255 3 года назад
@@Oneofhiskind123 😆Yan Malkia na wenzak wanapanga bonge la gemu, kwamba jamaa ampige bakora shemej yake Wakampandikiza huyo shemej roho ya kwenda kupeleka umbea kwa Mama ake mhusika ili imuume apate mshtuko wamchue vizur🤣🤣
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 месяцев назад
​@@messimessi7255hatariii
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 года назад
😂😂😂😂😂😂eti me sipendi mtu kuingia hum kwenye chumba changu cha sala naongea namungu nwangu kumbe sheytwan jini mmmmh
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 года назад
Ni mungu wake kikweli. Sie viumbe hatusujudu ila mbele ya mungu wetu. Na yeye pale na hayo mapepo yaliokuwa mwilini mwake lazima wamsujudie mungu wao, "malkiya"
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 года назад
@@Laila-lz4ij nihatar kwakweli
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Hatari
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
@@ikabako2454 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Yani kumbe uliwafanyia kitendo kibaya wewe nishetani kikweli
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 года назад
Kingine nikilichojifunza ni kwamba Stelingi wa hili Picha alikuwa akiongozwa na Jini ili auwe watu wengi hovyohovyo ili Damu ampelekee "Boss Jini"
@annamadraga2364
@annamadraga2364 3 года назад
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 3 года назад
Hii vipi naisubiria
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Просмотров 9 тыс.
Cosmas Matthias Kanyerere part 2
2:52:58
Просмотров 10 тыс.