@@gosbertmuta5421 mind your life and leave mine. If you don't, i'm sure something heavier than the American Rapper Rick Ross will soon fall on you....you are too tiny for me to embark you on a shopping bag and go by chewing my cane
Yaani mimi nitaenda jamaa keshanipa ramani niwapate warembo niwachape bakora za kimkakati tu utajiri mimi sina mpango nao,wa kwanza nakutaka wewe hadijah nahakikisha nakuchapa haswaa
Hasa wee kila mtu mkeo hawara mke mmmh huyo muhindi na jamaa wakahama wameyataka wenyewe kwanza kitendo chakumuona mtu yupo ndani kwako hujiulizi kapitia wapi huyu bado humuogopi tuuh nabado unaendelea kumfatilia
Ila kumjua mke wako ni rahis, umesema anafanya kazi bank mara alifungua saloon kubwa na eneo umetaja, inabidi uwe mwangalifu vile unaexpose watu ambao hawahusiki
Mr bakora za mikakati ulikuwa na nguvu za ajabu sana. Unatoka huko kwenye bakora nanyumbani kama kawaida bakora zinaendelea kwa wake zako duuuh hatari. Ni kweli ulipowaonya watu wasiwageuze watu kinyume na maumbile. Ni kweli kabisa ni sodoma na gomora. Watu waache huo mchezo maana wanaona ni fashion kumbe shetani anawatumikisha.
Alikuwa amepedwa dawa na mzee chibalonza na ndomana ulikuwa akikutembezea hizo bakora za kimkakati ni lazima uzimie au ufe kwahivyo zilikuwa ni nguv za giza
Ila RAIA bana mtu kashakuja kwako usku mbele ya mkeo ukafanyiwa unyakuzi kama ule bado akili haizunguki unaende police hujiulizii jmn uyu mtu siyo wakaida apo unatakiwa umuachie mungu tu