Yesu ndiyo kiboko ya masheta,majini na takataka zote. Yesu ana nguvu, pokeeni hizi shuhuda mumkiri Yesu Wenyewe mmesikia maombi ashura alisema anataka kufa. Hakuna ushirika Kati ya ukristo na majini. Ndiyo maana hutakaa usikie mashetani yanamwambia mtu uwe mkristo. Yesu ni bwana. Musa chessa kwa jina la Yesu misukule iliyomfata usiku kumdhuru iliondoka. Msipoamini biblia, hizi shuhuda ziwaaminishe.
Thumbs up kama umezaliwa kwenye nyumba ya kichristo alafu ukawakuta wazazi wako ni wacha Mungu alafu stori kama hizi Za kuishi na majini unaziskilia kwa watu wengine tu . Tuna funikwa na damu ya Yesu 🙏🏿🙏🏿
Kaka huwa napenda sanaaaaa kazi zako naomba msaidie shebby Alawi afanye kama unavyofanya wewe maana shebby huwa anauliza maswali baada ya kupata simulizi matokeo yake story huwa haina radhi kabisaaaa
Hawa watu wanacho nishangaza. Wanakumbuka mpaka jambo dogo. Miaka 20 iliyopota. Mpaka muda mmmh. Nina mashaka. Na kila kwenye utata anaada mazingira ya kutetea hoja. Nina mashaka
Baba alikiukaa masharti hata angeachana naye mana ulikuwa tayari wewe unapona shetani alitawalaa kweli ashura alikuwa anakuhitaji wewe changa changa😂😂😂😂😂