Тёмный

PARTY 1: TAZAMA kufuru ya NDARO aingia amevalia KANZU na Kufanya BALAA... 

Rick Media
Подписаться 860 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RU-vid channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Развлечения

Опубликовано:

 

7 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 122   
@Annetchaile
@Annetchaile Месяц назад
Ndaro kashinda ❤❤❤ dogo Leonardo mushindi wa piri msiwe munatumia ushabiki
@mchagashop1342
@mchagashop1342 Месяц назад
Waislamu wanaonaga kanzu ni vazi la kwenda mbinguni
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY Месяц назад
Vazi pendwa la bwana Mtume Muhammad S.A.W, Na ndio vazi la Peponi. Hata MAPADRE na MAKADINALI huwa wanavaa KANZU. PAPA pia huvaa KANZU. KANZU ni vazi la USTAARABU na UTUKUFU. NI NEMBO YA WATU WEMA
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Месяц назад
Hata Yesu amelivaa na linaitwa vazi takatifu soma bibilia halafu ndio useme waislam hata kwenye bibilia limeitwa vazi takatifu Yesu alipongia msikitini alivaa kaanzu hakuvaa suti na hajawahi kuingia kanisani
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Месяц назад
Hahahaa Hawajui wayahudi walivaa kama jeans tu wakati huo
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci Месяц назад
Bas la kwenda kwenu sumbawanga
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Месяц назад
Kanzu sio imani ni vazi tu la utamaduni wa kiarabu, ila uislamu ndo dini. Nadhani uelewa ni mdogo tu KUHUSU nguo na moyo wako
@user-ex7gf3uo4n
@user-ex7gf3uo4n Месяц назад
Ndarooooooooo💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@PascharyMdeshi-io5lx
@PascharyMdeshi-io5lx Месяц назад
Nyerere aliwahi kusema tanzania shida ni udini sasa mtu kuvaa kanzu imekua mjadala
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Месяц назад
Kwan nyrere ndio nani
@JumaaHussein-ut6fc
@JumaaHussein-ut6fc Месяц назад
Wengi hawajui maana ya kanzu
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 Месяц назад
Kanzu sio uislam, kwahiyo wapuuzi ni wengi waliokalilishwa.
@arenthegreat4417
@arenthegreat4417 Месяц назад
Jamaa anajua bhna
@IsackThomas-df6ed
@IsackThomas-df6ed 29 дней назад
Ndaro ni anstopabble tz hh😂😂 unjua brooh
@StanuelMsafir
@StanuelMsafir Месяц назад
😂😂😂jamaa anajua bhnaaaaaaaaa😂
@user-ye7dy4xk5h
@user-ye7dy4xk5h Месяц назад
Hapo ndo unauona ukubwa wa ndaro tz 🇹🇿. Ndaro alipo maliza mi nilitoka nje nikaenda kulala
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Ndaro kaoigwa vibaya na Leonardo😂😂😂
@ilomogold1715
@ilomogold1715 Месяц назад
Aya
@28_nassir28
@28_nassir28 Месяц назад
Ukaenda kulala nje au sio😂😂
@AndersonRughaimanzi-om4di
@AndersonRughaimanzi-om4di Месяц назад
Fundi manyumba anajua sana😂
@user-pq8xh2oo6x
@user-pq8xh2oo6x Месяц назад
Waha mpo wap uyu mpuzi ana mponda kijana wetu ubwa uyo mlegeni ata busha waze wangu
@abuusalim2898
@abuusalim2898 Месяц назад
😂😂ndaro anajua
@musaamos2431
@musaamos2431 Месяц назад
😂😂😂😂nimecheka sana
@Hkiller8481
@Hkiller8481 Месяц назад
Ndaroo🎉
@JescaSteven
@JescaSteven Месяц назад
❤❤❤❤❤❤
@Eradenis
@Eradenis 22 дня назад
Kuchekesha tu kuoga aaaah...
@happylimo5766
@happylimo5766 Месяц назад
Umejaribu lakin yule leonardo ni levo nyingine
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Du! Aliyepewa kupamnana na huyu Ndaro kakosewa kabisa labada Eliud
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Месяц назад
Eeh😅😅😅 asma sio comedian sas hv
@MrusiMweusi
@MrusiMweusi Месяц назад
Bonasi😅😅😅😅
@musaamos2431
@musaamos2431 Месяц назад
Nakimwaga
@RuhuneKabose
@RuhuneKabose Месяц назад
Daro weye ninoma sana uleanajitapakasana lehonardo
@nyawamwero587
@nyawamwero587 Месяц назад
Ujinga wenu ni kuona kanzu ni vazi la kiislam
@user-rz8zv5xq1c
@user-rz8zv5xq1c Месяц назад
Mbn ASMA ajakuwepo😂😂😂😂
@adhcrew9046
@adhcrew9046 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉L
@user-ex7gf3uo4n
@user-ex7gf3uo4n Месяц назад
Ndaro ..😂😂💯💯💯💯
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k Месяц назад
Hv nani kashnda yaan kawa wa kwanza🤷‍♀️
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Месяц назад
Upuuzi tu mkome kuvaa mavazi ya kanzu kwenye ujinga wenu
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 Месяц назад
Kanzu ni vazi la baba ako?
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c Месяц назад
Uyu nae vp kanz c vaz tu kam yaliv suruali.ilo n vaz la warabu​@@rickierunyota3613
@GamechangerTz
@GamechangerTz Месяц назад
Sijui Mnajikutaga Ma Last Born Wa Hii nchi nyi kila kitu ni kulia lia tu 🚮🚮🚮🚮🚮🚮
@byabatotv3283
@byabatotv3283 Месяц назад
Peleka ujinga huko kwahyo unawaamulia watu cha kuvaa??
@wildlife5730
@wildlife5730 Месяц назад
Toa ujinga wako kazu ni vazi kama mavazi mengine kasome kurn vzr
@RuhuneKabose
@RuhuneKabose Месяц назад
Daro ilevanzi waeslamu bain Ka Niya Maanasana
@Johnkajamuro
@Johnkajamuro Месяц назад
ndaro nakukubali ila leo kakupiga saaanaaaa
@mussaismail1285
@mussaismail1285 Месяц назад
Hamn kitu
@salimmohamed3603
@salimmohamed3603 Месяц назад
Tafuteni contents za kuchekesha zipo nyingi sana Sio oohhh warabu makalio, ovyo
@Cambarada
@Cambarada Месяц назад
Masheikh ubwabwa, yan mkisikia tu neno mwarabu mnachanyikiwa kabisa sasa hapo kosa liko wapi au ndio amepata dhambi tayari
@eddyology7304
@eddyology7304 Месяц назад
Katafute wewe hizo content 😂
@sponsor7882
@sponsor7882 Месяц назад
kwann ndaro anapendwa na maraya
@user-ee9xn2yg4o
@user-ee9xn2yg4o Месяц назад
Kanzu ni gauni tu ndio tafsiri ya neno kanzu someni kamusi mjue kiswahil
@AdhamAlliy-mg5py
@AdhamAlliy-mg5py Месяц назад
Kamvalishe mama ako
@user-ee9xn2yg4o
@user-ee9xn2yg4o Месяц назад
Anayo kibao anavaaga
@AnordMgendwa-tj2yl
@AnordMgendwa-tj2yl Месяц назад
kanzu ni vazi kama mavazi mengine boya wewe
@user-iy7xy1np7c
@user-iy7xy1np7c Месяц назад
Kanzu nj vazi la kiisilamu, makafiri wengi mnapenda kulivaa hadi mnachefua mana hamna heshima nalo
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Месяц назад
Kanzu sio vazi la kiislamu acha ulimbukeni wewe, waarabu wanavaa kanzu wanafanya uchafu alafu wewe mtu mweusi dini yenyewe tumeletewa na waarabu tunajifanya unaijua sana😅, Mimi mwenyewe kanzu navaaga tu kama pambo na Wala sio muislamu
@user-cn6er2iy1l
@user-cn6er2iy1l Месяц назад
​@@Oldskulgemini9991umemjibu vzur Sana
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Месяц назад
Alie kwambia dini imeletwa na. Waarabu ni nani ? Nyamaza kama hujui​@@Oldskulgemini9991
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Месяц назад
Wewe chizi
@user-iy7xy1np7c
@user-iy7xy1np7c Месяц назад
@@Oldskulgemini9991 Huna unalolijua nyamaza kimya mwanaharamu.
@KelvinKivamba-kl1ry
@KelvinKivamba-kl1ry Месяц назад
Leonardo anajua mbaaali ashindanishwe na eliud sio huyu mzee wa dubai its toz kunguni from ilula
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 Месяц назад
Hii sio hata comady ni habari za uwongo tu. Mwanzo mwisho dubai tu
@NgarasaaJunior
@NgarasaaJunior Месяц назад
Watu wanamaindi. Kanzu wakati mnaongoza kufanya usenge na makanzu yenuuu😊
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 Месяц назад
Hawa watu wako na wameshikwa akili zao na shetani kias wanafikiria kumkufuru Mungu tuuu katika contents zao lakini Mungu Atawadhalilisha
@eaglenotorious2527
@eaglenotorious2527 Месяц назад
Ehh maisha yko magumu sana bila shaka
@user-pq8xh2oo6x
@user-pq8xh2oo6x Месяц назад
Kafili mwenyewe ubwa ww tako la mama ako
Далее
NDARO NA LEONARDO WALIVO KIWASHA CHEKA TU
9:21
Просмотров 287 тыс.
VITUKO VYA KONKARA DODOMA UTACHEKA (PART 1)
10:47
Просмотров 10 тыс.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Концовка😂 @super.brodyagi
0:20
Просмотров 1,6 млн
ЖВАЧКИ!!!
0:47
Просмотров 3,1 млн