Ma shaa Allah sheikh Ramadhan ila kweli wenzetu ni Washindani sana wanasoma bibilia but at the same time wanabadilisha ,kweli Allah alisema wana macho but hawaoni wana masikio na hawatasikia ,wenzetu watake msaada wa mwenyezi Mungu ili waweze kufaumu maandiko .
Wanahitaji dawaah kwa mara nyingi mpka hidaya ya ( Allah s.w.t) iwashukie na kuisilimu wote, shukran sheikh ramadhan kazi yako iko Sawa yakufikisha ujumbe Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo lako na Akhera uwe nambari moja peponi inshallah
Ma asha ALLAH kwa kazi nzuri , ALLAH akulipe kheir kwa kila hatua unayoipiga , na MUNGU akubariki na ajalie wepesi kwa kila palipo na uzito na akulipe jannatu fridausi amiin
Lakini huyu Sheikh Ramadhani ni Mwalimu kweli kweli kwa sababu anasomesha somo hili la kuelewa mafundisho ya Allah ( Mwenyezi Mungu) kwa kutumia Biblia na Qur'an, somo ambalo watu wengi wamepotoshwa, hata wenye PhD... Kazi ya Daawa inaleta faida nyingi katika Jamii. Kila mmoja ana sehemu yake ya kuweza kufaidika, ikiwa ana imaan. Anayetoa Sadaqah ya mali yake anapata, faida yenye kuendelea bila kikomo akiwa hai na hata akiwa kaburini. Na mwenye kutoa ilimu yake kwa kufundisha Haki anapata faida isiyokoma kwa kuwa elimu ile inamfaidi mwanadamu aliyefundishwa na yule anayefundisha. Kwa hivyo, kazi hii tukiifanya watu wote wanaoelewa mafundisho ya Qur'an na Sunnah, Watu wengi wataelewa in sha Alkah na kheri itaenea. Allah atujaalie kuwekeza mali yetu katika A/c hii ya Sadaqatu Jaariyah na Katika kufundisha ilmu ya kumjua Allah ile iliyofundishwa na Mitume wote wa Allah. Tuacheni uzembe kama ule wa vijana Waislamu kukaa wanatafuna Miraa nk.
Mashaallah Shekhe Ramadhani mola atakufunguwa peponi unajuwa vyakuwasomesha wasiomjuwa mola wetu kwa kiyakini kabisa mola akuzidishie akupe uzima wa afya na untitled mrefu I idi kuwaelimisha wa pats kuzidi waislamu lipate kukuwa za idi dola la kiislamukiislamu tuingie peponi
ASalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Sheikh Ramazan ninge pendeleya katika kufundisha Dawa uwe unatumiya vitabo peke kwamana wa kristo wanapenda kugeuza maneno
Hongera sana zeivi unatambulisha watu wasabuscribu Ramadan kuria mungu akulinde na mahasid wabaya na tumeanza kuwa ona humu humu kwenye hii chanali. Ila mungu akuhifadhi nao Amin
Mashaallah mungu atazidi kuwasaidia kila namna kihali na mali muzidi kua mbele kumpekesha Allah kwa kilmatu tauhid اشهد ان لا اله الا الله واشهد ان محمد رسول اللّه ☝️
Allah akuhifadhi uzidi kuelimisha watu wajue uislamu Naomba wakati mwingine utembee wangige / kabete ili nao uwaelimishe wajue maana ya uislamu ishaa Allah
Aslam alykum kaka Mimi nilikuwa nakushaur tafuta mtu ambaye anaweza kukuwekea donate kwenye account yako ya RU-vid ili mtu akitaka ana donate sisi wengine tungependa kuweka chochote pia kama sadaka yetu Asante
Tafadhali wacha kueneza upotofu. Wewe ulikuwa unaenda mbele na Yesu. Ukaangalia nyuma kwa uislamu. Mke wa Loto alipoangali nyuma alikufa. Waana wa waesraeli walipoangalia nyuma ama kando walikufa. Wewe hauendi mbinguni bila Yesu. Haujui Mohamad ako wapi saa hii! Hauingii mbinguni na unazoea watu kuingia mbinguni.
Quran 4: 143, Wavering between them, [belonging] neither to these [i.e., the believers] nor to those [i.e., the disbelievers]. And whoever Allāh sends astray - never will you find for him a way. - Those people Allah has send them astray , does Allah says that they will never find their way to the right path, you being smarter than Allah, lol
Kafir ni mtu.asiamini mungu lakin waislamu wa Enzi izi wanawaita wakristu kafiri waislamu wa Enzi zile wacha ni Waite mababu zetu wa kiislamu walikuwa na upendo sana
RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATAKA KUENEZA UISLAMU EAST AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI >>>>> ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4PjuBpiFIqU.html
If I get an ignorant Muslim I take him/her in the same root. It entertains me when he convinces them through the Bible which they think they know. It's just a matter of finding someone ignorant. But it makes me feel pity for this Christians who don't know how to correctly interpret the Bible with exegesis.
S 34:14, Then, when We decreed (Solomon's) death, nothing showed them his death except a little worm of the earth, which kept (slowly) gnawing away at his staff: so when he fell down, the Jinns saw plainly that if they had known the unseen, they would not have tarried in the humiliating Penalty (of their Task). How do you know who to interpret the Quran correctly and yet you can not comprehend how one can die holding a stick, let alone a king and no one knows of his death until the worms ate his staff then he fell down, oh Allah is all knowing
Watu wote wawe makini... Biblia inasema siku hizo roho wa uongo atainuka , kote shetani ameingia . Lakini tambua mbinguni hatuingii juu ya dini na wala hakuna dini mbinguni, ni falsafa ya mwanadamu. Utahubiri dini hadi kuzimu maana mwisho wake ni humu duniani. Biblia na quran haziendani hata ki historia , Yesu alikuja kabla ya Muhammad na nyi mnasema ati biblia ilibadilishwa Tambua waongo hawataingia paradiso na msipomkiri Yesu ndio njia na uzima basi imani yenu ni bure . Aliye na ubishi anitafute
@@muksinsaidi4892 hatuna dini aje ,,usiukumu usije ukaukumiwa Sasa juu wewe unajuwa sana juu ya wakristo ebu tuambie tuskie ,,na kwa habari yako sisi tunalinda Imani Wala sio dini kwa sababu mbinguni akuna dini sisi wote ni Wana wa Mungu na ikifika siku ya hukumu akuna eti juu ulikuwa muislam Sasa unaweza kusamehewa ukaingia mbinguni ,,ni mtu uangalie matendo yako na juwa kwamba Yesu alikuwa wa kwanza ndio Muhammad akaja nyuma Sasa musiwe wepesi wa kuhukumu watu wengine kwa kujiona kwamba mko wakamilifu sana ,,,,Mimi na Yesu hadi mwisho na Kila goti litabikwa na ulimi ukirii kuwa yeye ndie Bwana hallelujah 🙏
@@muksinsaidi4892 dini ni mikusanyiko ya watu walio ungana Ki imani Wayahudi, wagiriki na wengine.... lakini fahamu dini haipeleki mtu uzimani maana ni mapokeo na mafunzo ya wanadamu Kinachopeleka mtu uzimani ni kuamini injili ya yesu kristo na imani iliyo safi Sasa dini itajwe kwa biblia isitajwe bado haipeleki mtu mbinguni
RAMADHAN BIN KURIA UKIPATA WAKRISTO MAUMA UTAWADANGANYA SANA...KWANZA HIYO YUDA 1:4 UNAWACHA AISOME NUSU ALAFU UNAMKATA.....UJANJA WA WALIMU WOTE WAISLAMU YUDA 1:4 Maana watu wasiomcha Mungu wamepata kujiingiza kwa siri miongoni mwetu, watu ambao, kwa faida ya maisha yao mabaya, wanaupotosha ujumbe wa neema ya Mungu wetu NA KUMKANA YESU KRISTO ALIYE PEKEE YAKE KIONGOZI NA BWANA WETU. Lakini, Maandiko Matakatifu yalikwisha bashiri tangu zamani hukumu inayowangojea watu hao. SI WAISLAMU NDO HUMKANA YESU SIO BWANA? KAFIRI NI WEWE ....Maandiko Matakatifu yalikwisha bashiri tangu zamani hukumu inayowangojea watu hao.
Yesu kwenye biblia yenu anasema hakutumwa ila kwa wa Israel 🇮🇱 , ww na point zako tuambie yesu alikua mkristo, alikua mungu, au na ww ni wa Israel 🇮🇱 unaemfata
@@newbwejuu4302 NI MFUNZO YA KIISLAMU YESU ALITUMWA KWA ISRAELI. YOHANA 3;16 IKO WAZI ALITUMWA ULIMWENGUNI. UKRISTO SIO DINI KAMA UISLAMU...NI TABIA....KWA HIVYO SWALI LAKO NI KAMA KUULIZA KAMA YESU KRISTO ALIKUWA NA UKRISTO!! YESU HAKUWA MUNGU BALI MWANA WA MUNGU ...AU WW NI WA UARABUNI UNAYE MFWATA MUHAMMAD MWAARABU??
RAMADHAN BIN KURIA - KWA TAARIFA YAKO ISA NI COPY CAT WA MUHAMMAD....ISA SIO YESU KRISTO ALIYE HAI....TOFAUTI NI KAMA USIKU NA MCHANA.... ENDELEA KUWADANGANYA WAKRISTO WASIO JUA NENO LA MUNGU... CHUMA CHAKO KIMO MOTONI SIKU YA KIAMA!!
@@StraightPathDawah HAPO SAWA KAKA.....LAKINI FUNZA UKWELI...SIO KUBADILISHA AMA KU-EDIT BIBLE VERSES KUDANFANYA WASIO LIJUA NENO.........USIWE WAKALA WA SHAITANI. SHUKRAN!!
RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATA KUENEZA UISLAMU EAST AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI >>>>> ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4PjuBpiFIqU.html