Тёмный

HAPA LAZIMA UUMWE NA KICHWA😱🙄 MCHUNGAJI APOTOSHA MAANA YA UISLAMU VIBAYA MNO 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Год назад
nafurahi kuona watu wakiongelea mambo ya kitabu vya mw/Mungu. ila mzee mhh ni mbishi sana, huwa anarudiarudia yale yale.
@munawwarbashir2680
@munawwarbashir2680 Год назад
Wakristo doh 😢 poleni mwanammke sio mtu , Alhamdulillah najivunia kuwa Muislam
@MteleShadia-lc6gi
@MteleShadia-lc6gi Год назад
Mashallah mashallah mashallah ramadhan kuria bin kaguo,,unaeleweka sana,,snaa sana,,yaan nakuelew vzr snaa,,piaa nakuftria kila mahr ,,,yanii ayaa zimekaaa kuchwanii,,,,, Allah aendeleee kukujaza kher,,na akupe umri mrefu, piaaa akuepushe na dua mbaya zaa,,wanafki,, Allah akupe afya njema kwa kaz nzuri unayoifnya,,,,tukoo pmja snaa,, mataalm wetuu katika dini
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Allahumma Aamin 🤲
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Mwenye kutumia akili kikweli anajua km uislamu ndio dini ya haki. Allah awabarik masheikh wetu.
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад
Aamina
@zackynebar6365
@zackynebar6365 Год назад
Mashaallah ✅ Sheikh nakuvisha koja Alhamdhulilah
@zah1d124
@zah1d124 Год назад
Uyo mzee ana kichwa kiguu na haeleweki hajui ata uwo ukristo. Allah awasimamie walingania Dini mashekh wetu allah humma Amiin 🙏🏽
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Год назад
Hapana usijibu kwa mihemko, uyo mzee ana akili vizuri hataki kubabaishwa na maelezo ya mdomoni,
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 Год назад
​@@geofreyg.mtensa4559 So ametoa andiko ukristo ni dini?
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Aamin thuma Aamin 🤲
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Год назад
@@yusufmwangichannel6692 mada itakuwa ndefu, coz itabidi tuanzie na nn maana ya neno dinni na ni lugha gani, afafu tujevkwa swahili ...then tuingie ktk maandiko, ....
@Nur-al-islamchannel
@Nur-al-islamchannel Год назад
​@@geofreyg.mtensa4559anayesumbua watu na maneno ya mdomoni ni yeye
@everlynechepkoech5649
@everlynechepkoech5649 Год назад
Assalamalekum warahatullahi wabarakatu...masha Allah, good work 👏 🙌 be blessed
@JoyNims-w7q
@JoyNims-w7q Год назад
Ramadhan aanze madarasa online insha'allah ndio tukislim online tupate masomo pia.
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 Год назад
Masha Allah. Allah awazidishie mashekh wang
@farajiawadhi8558
@farajiawadhi8558 Год назад
Dah shekh una uvumilivu kuwasikiliza haaa! Mm nisngeweza maashallah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
MimiNingewapigaMakofiKamahawatakiKuelewa🤣
@maymgaya4192
@maymgaya4192 9 месяцев назад
Allah aķutunze Shekh Ramadan ❤
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Год назад
MaashaAllah shekhe wetu hivi ndivyo wakristo mapasta wanavyopotosha wafuasi wao kwa kupendua maandiko
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Год назад
Masha Allah Ustaz.Kazi ngumu muliyonayo ya kukabili wapotoshaji pastors
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Год назад
Haha haha huyu mzee ame kunywa ama vip anakusumbuw zaidi pole kwakazi ngumu
@weldonkuru2169
@weldonkuru2169 Год назад
We need more conversation with this pastor
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
You cannot have a conversation with a LYING Pastor! He has been asked 6 TIMES, towa anidiko "UKRISTO ni Dini"! Ame TOWA? Instead, ame sema UWONGOOOOO na POROJOOOO Nyingi ya SHAKAHOLA! Mzee Kafiri kweli!
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Год назад
​@@Sai.Mo69 .mm naona huyu azidi kupoteza watu sheikh ampa nafasi nyingi kudanga wakiristo waxidi kupotea
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
@@andallaathman3856 Ustad wetu ni Mtu mpole sana. Ndio una ona huyo Pasta Mnafik, ana take advantage ya Upole! Huyu Pastor ni a very experienced Conman! Ame somea UDANGANYAJI!
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Год назад
@@Sai.Mo69 huyu amtaka sheikh Salim ama apatane na Yusuf ama ex pastor Ibrahim
@yussufnjoroge5215
@yussufnjoroge5215 Год назад
May Allah protect you give you good health as you continue with this noble job.
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 Год назад
which protection now wakati anapotosha watu nakuna neno DINI MOJA kwa hio haya neno lililotumika ni UMMMA acheni uwongo
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 Год назад
​@@jacksonkilonzo1439 Wewe mwenye hupotoshi watu mbona utoi maandiko yako kazi yako ni kulalamika bila kujielewa
@Nur-al-islamchannel
@Nur-al-islamchannel Год назад
​@@jacksonkilonzo1439wanaume si mdomo
@mohamedmithowe3923
@mohamedmithowe3923 Год назад
Mashallah barakaallah may almighty bless you
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Год назад
Shukran sheikh ramadhan kwa mafundisho mazuri kabisa wataelewa tu
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Год назад
Shehe ramadhani hongera kwa kazi nzuri ila hii dawaa mtaani ukikutana na hawa wachungaji bora uwachane nao maana hupoteza mda na huwa hawakubali kushidwa
@Jingajinga64
@Jingajinga64 Год назад
Huyo mzee anakwepa maswali akibanwa😅 lnaeleweka...
@twaine40
@twaine40 Год назад
Walimu Muna kazi kweli kweli kuamsha vichwa vilivyokufa sub'haana Allah, Mwenyeezi Mungu awape subra na awazidishie ilmu
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
😂😅 ukweli kbs 😅😅😅
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Год назад
Ameen
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Allahumma Aamin 🤲
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Mashalla Allah ❤❤❤
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Год назад
MashaAllah,Allah akupe subra
@mubariekabrahams2650
@mubariekabrahams2650 8 месяцев назад
Shukran sheikh Ramadhani tunataka part 4 and 5 na pastor huyu 😂😂
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Год назад
Hapo sawa.
@MteleShadia-lc6gi
@MteleShadia-lc6gi Год назад
Shekh wetuu ramadhan kuria bin kaguoo,,tunasbr part three,,,mana tunakuelewaa vzr snaa
@hassadube225
@hassadube225 Год назад
Alhamdulilah
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Год назад
Watching from Boston USA
@jamada-by3rq
@jamada-by3rq 25 дней назад
Asalaam Alaikum Juma ❤
@fattahshabani6262
@fattahshabani6262 Год назад
Mashallah
@weldonkuru2169
@weldonkuru2169 Год назад
Huyo pastor ako juu
@MohammedMohammed-gp9xq
@MohammedMohammed-gp9xq 4 месяца назад
ALLAH BARIIK
@SalehM200
@SalehM200 Год назад
This pastor Barak is a very comedian, but maashaAllah he knows bible and little Islam
@twaine40
@twaine40 Год назад
Mwalimu huyu mzee ndio wale wakupoteza mda ili wengine wasiulize maswali watu kama hawa wapotezeeni
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Год назад
Mm binafsi sheikh Ramadhan hapa amechemsha kabisa jumuachia pastor aubiri urongo na harekebishi sasa wao waona Yuko sawa
@twaine40
@twaine40 Год назад
@@andallaathman3856 kweli yaani mtu yuakupotezea mda huo wote Kuusikiliza upuuzi maskioni mwako nakupoteza wengine. Hawa hua washaajipanga kuja kuharibu muhadhara coz mwawahiribia biashara zao
@IssaAbubakar-u3l
@IssaAbubakar-u3l Год назад
Allah atawaezesha
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Год назад
Watching this from green and spice island Zanzibar, huyu mzee ana sauti mzuri ila hata kuongea kwa utaratibu
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
Mashalla mashalla ♥️🙏🙏
@nasramusaro
@nasramusaro Год назад
Hahahahaaa 😆😄😄😄😄 hii comedy kiboko
@saudahassan3804
@saudahassan3804 Год назад
Subhanallah Huyu Mzeeanamatatizo mengi
@Adm9464
@Adm9464 Год назад
This is how pastors are messing up their worshippers. Nothing from the scriptures. Just talk
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Год назад
Sheikh Ramadhani Uyu Pasta Analeta Ujanja Ujanja Kuaribu mandiko na watu Niwengi kilamoja Akona Hojayake but Sheikh Ramdhani Allahy Akupatie ngvu mana twafaidika Sn
@Creatives254
@Creatives254 Год назад
Part 3 nangoja so far uismu nangoja tafsiri zaidi from pastor hapa ndio daawa unahepa😂😂
@ibruzah001
@ibruzah001 3 месяца назад
wuueeeh...😂😂😂 Mzee anaongea kama kasuku
@MOHDNASSOR-zv5cx
@MOHDNASSOR-zv5cx Год назад
HEKO SANA MWALIMU RAMADHAN
@zohramariga6678
@zohramariga6678 Год назад
Asalam alalekum hapaukonakazikubwa,sana
@abdulkadirsayyid0198
@abdulkadirsayyid0198 3 месяца назад
❤️❤️❤️
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 5 месяцев назад
Huyo Pastor alivuruga ili kuficha ukweli. (Achana naye huyo) Anatetea sadaka
@wajermajiibceeb
@wajermajiibceeb Год назад
Huyu mchungaji Anafaa kuwa katika viojo mahakamani au achukuwe Nafasi ya mzee ojwang
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 Год назад
Huyo mzee anaumiza kichwa
@elizamukiti9855
@elizamukiti9855 2 месяца назад
Lakini huyu mzee bana😂😂😂😂😂
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Год назад
Shehe Ramadhan leo umepatikana na Pasta mkorofi,Maana anaongea nyumba mbele mbele nyuma.Ila anayajua maandiko sema anayatafsir atakavyo.
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Год назад
😂😂😂wee weee mumee, si mume mtume😅😅😅
@nasserjabri7449
@nasserjabri7449 Год назад
Anaona jua lakini ansema sio jua ni mwezi
@sheemaryam
@sheemaryam Год назад
Sauti hamna
@aminayunis7545
@aminayunis7545 7 месяцев назад
Huyu mzee hana akili😂😂
@PascalMwita-bv8kr
@PascalMwita-bv8kr 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila uyu pastor huku tanzania angekua kabila gani maake ni mbishi afu ajui
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Год назад
Uyo pastor ata haeleweki sijui huko kanisani anafundisha nini. Allah awaongoze tu 😢
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
USHAKA HOLA tupuu from this lying mZee! Very experienced LIAR!
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Год назад
That pastor is kisunzi 😅😅😅
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Ramadhani una moyo, kama ni mm siwezi kuzungumza na huyo pasta.
@benin9773
@benin9773 Год назад
Tunangoja kwa hamu part 3
@nasramusaro
@nasramusaro Год назад
Yaani nimecheka peke yangu kwa sauti kubwa
@Zeitun-m2j
@Zeitun-m2j Год назад
Huyu mzee Ako na kelele😅 kwni amemeza memory card
@MohammedMohammed-gp9xq
@MohammedMohammed-gp9xq 4 месяца назад
Huyu pastor anaongea Sana hana elimu
@latifaradjabu3949
@latifaradjabu3949 Год назад
😂😂paster ubalikiwe sana
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Год назад
Mnatishia watu wasio elimu ,ndacha mbonahuwa anawashugulikia mnaenda mitaani kulubuni watu
@zeharaz4116
@zeharaz4116 Год назад
Akili yake imefanya kutu huyu mzee hafamiki porojo jingi naona kama kaonjo kidogo
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Год назад
Sheikh Ramadan kazi unayo hapo kwa pastor 😂😂😂
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Год назад
Leo umepatikana hustadhi Ramadhani at dini inaitwa issayaaa 😂😂😂😂
@dulividuli5237
@dulividuli5237 10 месяцев назад
Et Isasilim😂😂
@Yesunimwokozi1
@Yesunimwokozi1 Год назад
Sheikh anawasumbua watu ambao hawajui kabisa UISLAMU..na wanaojua kidogo sana UKRISTO.... EBU SIKU FANYA ONLINE DEBATE NDIO UTATUPATA TUNOJUA.. NA SIO KUWARUBUNI hao wasio na elimu
@dulividuli5237
@dulividuli5237 10 месяцев назад
Hayupo kurubuni watu yupo kufundisha watu na ndo maana huwa hamuelewi nyinyi coz mmekalia kubishana na sio kujifunza.
@Yesunimwokozi1
@Yesunimwokozi1 10 месяцев назад
@@dulividuli5237 nyie mlikoririshwa madrasa kwa mboko
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Ai, huyu Pastor mzee ni a very experienced KAFIR, ambaye anjua kupoteza Watu kwa ku twist Maandiko! Huyu mzee ni Mu Sabato, na ni very dangerous kwa sababu ana weza ku anzisha CULT kama ya SHAKAHOLA! USTAD, kuwa very serious na huyu MZEE, na mu ambiye WAZI ya kwamba ana sema UWONGO mwingi! Na mbona huyu Mzee haku ambiwa ya kwamba YESU SIO mtume wa WaFrika!
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Год назад
HUYU Pastor hehe, friendly debate. inafaa kama hawa sio Ndacha hehe
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Год назад
Shekh wng una subra sn,mm muda huu nimesha mpa makof 😂😂😂😂
@alilim1958
@alilim1958 5 месяцев назад
Pastor anajuwa ukweli lkini ameshikililia kamba😂
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Год назад
Mbona wampa nafasi kubwa kudanganya wafuasi na ww unanyamazia hivyo kisha na ndio Isha potea ati hapo misikiti hakuna kitu hicho
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Год назад
Ramadhan hao wengine comedians achana nao. Wanatupotezea MB zetu bure
@fatumaali7470
@fatumaali7470 Год назад
M.a 😂😂
@alilim1958
@alilim1958 5 месяцев назад
Mm nina swali kwa mchungaji ambalo ninajiiuliza.Kwa hivyo mkusanyiko wa watu kwa ajili ya mwenyezi mungu ndio kanisa na wala sio ile sinagog aliyeingia nabi issa.inafafanuliwa kwamba sinagog sio kanisa ila kanisa ni mkusanyiko wa watu kwa kuskiza maneno ya mungu, alfu iweje wamsingizie nabii issa a.s kuwa aliingia kanisani ila alingia sinagog.hilo ni thibitisho tosha kuwa hawafuati hata huyo wanomwita yesu kwa kuuingia sinagog
@benin9773
@benin9773 Год назад
He is a good actor 😂 Sh.Ramadhaan umepatana na wakristo wa maajabu siku hizi
@isaa_ogutu
@isaa_ogutu 7 месяцев назад
Huyu mzee ache porojo mingi...kama mwana mke si binadamu mbona wakifa na kuzikwa wanaoza kama hao wenye wanajiita binadamu?
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Год назад
😂😂😂aki imebamba sherk ukona shughuli pevu hongera xna
@smadon5638
@smadon5638 5 месяцев назад
Huyu pasta ni chizi😂
@JoyNims-w7q
@JoyNims-w7q Год назад
🥺 ati ss sio nini????Nani atanifunza uislam juu mm huwa nakasirika nikiona nikipotoshwa ivi???
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi Год назад
Watalewa tu wakiristo
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 7 месяцев назад
huyu mzee,ananichekesha, ako honest but mjanja
@Creatives254
@Creatives254 Год назад
After all kuna kitu nimenotice ustadh hapa muislamu na Jehova witness same whataap group😂😂😂hampendangi ufafanuzi mnaforce points especially ikiwa open...nyote mpo Sawa ila muislamu lazma aforce issue just like Jehova witness
@Adm9464
@Adm9464 Год назад
This is how Christianity condemns and demeans women. Ati you are nothing.
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 7 месяцев назад
HEHEHE,HII KITALE SHOW ILIWEZA. I HOPE ULICHUKUA NUMBER YA HUYU MZEE. HEHEHE
@jumamsembe1213
@jumamsembe1213 Год назад
Huyu mzee ndio anawachanganya hawa wenzke😂
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Год назад
Mzee kalewaaa?
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Ni Mu ShakaHola! Wa ONGO wa SDA!
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Год назад
Kweli kaonja mvinyo
@jamesloocimakyambe4562
@jamesloocimakyambe4562 Год назад
Tatizo la wa Islam tunafanyaka ubishi iweni munahacha mtu aheleze apana maswali ya mkato sisi sote wasomi
@nasramusaro
@nasramusaro Год назад
Mzee mgonjwa Allah ampe afya ya akili
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 Год назад
Uwongo mtupu akuna kitu kama WATU WOTE walikua dini moja neno ambalo limetumika ni UMMMA na umma sio dini kabisa muliongeza . Toeni haya kwa vitabu vingine vya manabii vidhibitishe hayio kunyeshe mvua ya makunguru
@dulividuli5237
@dulividuli5237 10 месяцев назад
Unaitwa Umma wa kiislamu
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Год назад
Huyu mzee nipasta ama ni mlevi
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Год назад
Huyu mzee ni waste of time. Heri angewacha watu waulize maswali waelimike.
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Год назад
Mashaallah
Далее
WAKRISTO WAMEANZA KUELEWA KUWA UISLAMU NI DINI YA HAKI
31:29
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Просмотров 18 млн
WAKRISTO WAZIDI KUSILIMU BAADA YA KUGUNDUA UKWELI
1:01:22
PASTOR PHILIP AJIITA MUNGU
1:13:19
Просмотров 5 тыс.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Просмотров 18 млн