Тёмный

PATANISHO : LYDIAH - HUYU ALINIHANGAISHA MPAKA AKANIPELEKA KWA POLISI 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 422 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@nicolasalbummanyanga4772
@nicolasalbummanyanga4772 5 месяцев назад
You are the best Gidi and Ghost
@alicenyambura1130
@alicenyambura1130 3 года назад
Wuuuuuiiii, thats me a few years ago!! A man used me mpaka I felt like a slave, providing and doing everything else while he did nothing.... Run, mrembo ruuuuuuuuuun!!!!!!!!
@BabyAlexxia6734.
@BabyAlexxia6734. 3 года назад
Greetings all Listening from italy
@thinkingkenyan9002
@thinkingkenyan9002 3 года назад
Buongiorno. Ti auguro tutto il meglio. Italy is really beautiful. Be blessed.
@bettynyawira5566
@bettynyawira5566 3 года назад
Karibu!!
@grandmaempiresecret
@grandmaempiresecret 3 года назад
Mashaaalla hadi ulikua unapika masikimi 👌👌
@sarahblessings6130
@sarahblessings6130 3 года назад
My favorite channel❤
@violetadhiambo1153
@violetadhiambo1153 3 года назад
Namba saba Leo...Niipeeni likes plzzzz.Maisha ni ngumu sometimes walai
@rackemakunda4047
@rackemakunda4047 3 года назад
Tulisema hii mambo ya likes tukomeshe tuskize patanisho na tutoe maoni then kallas
@violetadhiambo1153
@violetadhiambo1153 3 года назад
@@rackemakunda4047 OK OK OK !!!!!......
@rackemakunda4047
@rackemakunda4047 3 года назад
@@violetadhiambo1153 I hope you got my point well!!
@kwahmah230
@kwahmah230 3 года назад
quick recovery ghost ukiwa patanisho inakuanga 🔥🔥
@dotytydo2342
@dotytydo2342 3 года назад
Ghost kwani nimgonjwa ama amekwama India
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Ndaani, # 3
@julianamalinda2357
@julianamalinda2357 3 года назад
I feel like this man hako na kaukweli kisi ,let's not be selfish here
@demo8109
@demo8109 3 года назад
Huyo sio mume🙌
@alfredandalya9346
@alfredandalya9346 3 года назад
THIS MAN IS REAL......
@annmwehe265
@annmwehe265 3 года назад
the idleness with my country people hawawezi niachilia nicomment nikiwa wa kwanza😁😁
@mosessiampei2553
@mosessiampei2553 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@noelamadadi5731
@noelamadadi5731 3 года назад
Life challenges, we should pray for each other, otherwise pia huyu jamaa ajitume ka mwanaume.
@alicekmusic3925
@alicekmusic3925 3 года назад
Wa mwisho nipewe likes Kuna baridi sana
@winnieachieng2764
@winnieachieng2764 3 года назад
Lakini in life if u get a good woman doing well in life, don't pull her down, if u can't keep up with her, let her go in peace.
@karsynanders8224
@karsynanders8224 3 года назад
pro tip : you can watch movies at Flixzone. Me and my gf have been using it for watching a lot of movies during the lockdown.
@kendrickroland7939
@kendrickroland7939 3 года назад
@Karsyn Anders yup, I have been watching on flixzone for since november myself :)
@bobbyturner2477
@bobbyturner2477 3 года назад
@Karsyn Anders yea, have been using Flixzone for months myself =)
@faithkwamboka7483
@faithkwamboka7483 3 года назад
Waaa🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@chullakoi1508
@chullakoi1508 3 года назад
No 1 leo
@stargal906
@stargal906 3 года назад
Eeeee wanaume jamaniiiii😭
@ibrahimwerejuma4816
@ibrahimwerejuma4816 3 года назад
Jamani wanaume wengine BAHATI uwa inawangukia ya kupata wake, I wish nikapata Mke kama huyu.
@dotytydo2342
@dotytydo2342 3 года назад
Niko apa ata usiangaike tena
@aishaatashi8326
@aishaatashi8326 3 года назад
nyinyi hambebeki ukiona mwamke ana jituma mnachilia kilakitu
@ibrahimwerejuma4816
@ibrahimwerejuma4816 3 года назад
@@aishaatashi8326 Sema baadhi yao na si wote, mana yake mimi ni mwanaume ambae najituma kufanya kazi kwa nguvu zangu zote na uwa sichagui kazi muradi ni kazi halali uwa sichagui mimi
@aishaatashi8326
@aishaatashi8326 3 года назад
@@ibrahimwerejuma4816 aah mmi hata sitengemei hela ya mwanaume ana kupa na mashrt napambana na hali yangu
@davidmutua4998
@davidmutua4998 2 года назад
Had same problem mpaka now niko single
@happykaingukaingu2601
@happykaingukaingu2601 3 года назад
From Abudhabi nawaget vipoa
@sergionkunkhassim7922
@sergionkunkhassim7922 3 года назад
Niko ndaaaani
@aomealaome4933
@aomealaome4933 3 года назад
Am am vicitim too I thank God where iam now men's men's work
@habinezastraton2144
@habinezastraton2144 3 года назад
Kenya bwana
@dadahmary1082
@dadahmary1082 3 года назад
Muendelee na maisha.....ukisumbua mtoto wa wenyewe
@nancynanjala5550
@nancynanjala5550 3 года назад
Waaaa hapa akuna ndoa🤔🤔🤔
@evemariga3645
@evemariga3645 3 года назад
Quick recovery Ghost...nimemiss kicheko yako
@sylvianjeri6216
@sylvianjeri6216 3 года назад
Kwani nimugojwa?
@dotytydo2342
@dotytydo2342 3 года назад
@@sylvianjeri6216 nashanga pia mmi na google wanasema wamekwama India
@penny4310
@penny4310 3 года назад
Wanaume wengine, mko na tatizo, tafuteni ushauri kwa wazee, hamjui maana ya ndoa. Hiyo dharau ya kudharau mwanamke ilipitwa na wakati.
@halimashaban7637
@halimashaban7637 3 года назад
The man/boy is mouthy, huuyo hawezi ishi na mke
@ibugharib389
@ibugharib389 3 года назад
Haaaa kwann
@halimashaban7637
@halimashaban7637 3 года назад
@@ibugharib389 wewe humskii hana fullstop
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 года назад
Wanawake tunamazito mno jmn😭
@rackemakunda4047
@rackemakunda4047 3 года назад
Huyo naye Kweli ni mwanaume jike tu! Aaiii!!!
@biancaqui1810
@biancaqui1810 3 года назад
🤣🤣ukweli
@moreh462
@moreh462 3 года назад
Hadi unatafutiwa kazi hutaki. Shenzy
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 3 года назад
Wah bibi akikulisha siku moja hata miaka mia moja atasema tu nilikua nakulisha kila mtu apambane na hali yake
@lilianodinga7700
@lilianodinga7700 3 года назад
Mogaka mama yako ndio atakukubali bila pesa sisi wengine forget. Na uache hasira silly
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 3 года назад
🤣🤣🤣😳😳😳
@cleophasayiro10
@cleophasayiro10 3 года назад
Mwanaume huwa haliswi,mwanaume ni kujituma my friend,huyo mwanamke ako sawaa kabisa,wacha asonge mbele.
@GoEunbeol_049
@GoEunbeol_049 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 hapo Kwa silly .
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 года назад
ulikubali upishi we pika tuu
@faithmackena6387
@faithmackena6387 3 года назад
Men's men's men's but not all 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@sarahmmboga7098
@sarahmmboga7098 3 года назад
Now coz of 90k in his life tym he wants to puul the world dwn saa juu amelipa lilian hangekula sasa? Useless man. Thank u lilian.
@lastbornnyash
@lastbornnyash 3 года назад
Leo nikutegea tu Sina la kusema
@maryannmwauravlogs9970
@maryannmwauravlogs9970 3 года назад
966 ya sallam
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 3 года назад
🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@heavenlyjoylillian795
@heavenlyjoylillian795 3 года назад
This man is broke now ndio amekumbuka huyu mwanaume 🥴🥴ameona hakuna mwanamke anaeza mbembeleza kaa huyu, you only know what you have when you've lost it, kula uvivu daddy
@emilyaholi9009
@emilyaholi9009 3 года назад
Wachana na huyu nuggle..atakufilishisa zaidi.
@vansoham930
@vansoham930 2 года назад
Wanawake muache matusi
@teedullah5708
@teedullah5708 3 года назад
Gidi huyo WA kucheka yuko wapi leo
@nabwilelinet7027
@nabwilelinet7027 3 года назад
Gid Ghostalienda wapi hio kijeko namic yawah
@omwanakenny6587
@omwanakenny6587 3 года назад
one thing i like with kisii men,they dont know how to beg women
@kiiaknia7232
@kiiaknia7232 3 года назад
Mnakuanga sana na kiburi sana na hasira baya
@nyarokeyo
@nyarokeyo 3 года назад
🤸🤸🤸🤸🤸🤸 na vyenye kamoja kananii,,,,
@GoEunbeol_049
@GoEunbeol_049 3 года назад
And that's not something to celebrate about.
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 3 года назад
WAPI WAKIISII NDANI YA NYUMBA
@cyprinekemuntomose3157
@cyprinekemuntomose3157 3 года назад
🤣🤣🤣
@mohammedhadijellyboy8753
@mohammedhadijellyboy8753 3 года назад
Akwende huko kwani yeye ni ndio samaki wa kipekee
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 3 года назад
That's a lazy man..ana mabibi wengi nyumbani anapotezea huyu mwana dada wakati. Move on sister ulee wanao.
@robertmaingi4635
@robertmaingi4635 3 года назад
Ukifuza mtoto sweet lazma ujitaidi kila siku👉
@karanjajane4322
@karanjajane4322 3 года назад
Afadhali angekuja na oreo 😂😂😂😂
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 года назад
Hawa ndio wanaharibia wanaume wakisii sifa jameni😤😤😤 mwanaume ni gubegube
@rackemakunda4047
@rackemakunda4047 3 года назад
Wee mama fanya shuguli zako achana na huyo mwanaume hana akili timamu
@RoseRose-pr6zu
@RoseRose-pr6zu 3 года назад
Lydia wachana na huyu mwanaume ni mtu wakukurudisha nyuma
@sarahraymond7719
@sarahraymond7719 3 года назад
True
@bintiwakwetu1357
@bintiwakwetu1357 3 года назад
Ombasa hajakoma kiakili
@JeaneTerees
@JeaneTerees 3 года назад
Ulikua unampenda kwasababu alikua akikulisha stupid
@mathiassumba1725
@mathiassumba1725 3 года назад
Sasa zingine wanaume huji mess tu. Ni ujinga tu
@agnesladasha5641
@agnesladasha5641 3 года назад
Weeh 🙄🙄🙄
@shiruwairimu9270
@shiruwairimu9270 3 года назад
hiyo ni nyang.au ya mwanaume
@estherwamaitha7020
@estherwamaitha7020 3 года назад
Shughulika na life yako lydia am victim also
@ruthrima234
@ruthrima234 3 года назад
Ombasa nikama ex wangu with zero common sense
@GoEunbeol_049
@GoEunbeol_049 3 года назад
Wanaume kama hao huchosha ,they see no sense in everything. Wako na kiujinga fulani, with victim mentality.
@ednanyangarisamamakealex6571
@ednanyangarisamamakealex6571 3 года назад
Gaki omonto nabo okorosa pi 🤔🤔
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 года назад
Mwanaume ni kuchakarika 🤪🤪🤪mtu mwenye analala kwa kiti akisonga na remote ni balaa wacha akae tu
@gpp9667
@gpp9667 3 года назад
Wacha kuzoa kuiigia jikoni atiunapika utakaliwa
@timetoconquerthevein4644
@timetoconquerthevein4644 3 года назад
Huyu jamaa ni fala makanga stupid he have nothing to say about shenzi sana
@badifamwenyewe8301
@badifamwenyewe8301 3 года назад
Hajatoroka nikukata simu amekata jameni 😂😂
@biancaqui1810
@biancaqui1810 3 года назад
Wat marriage smtym n gumu🙊🙊🙊
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 года назад
😎😎😎
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 года назад
Mtu hataki kufanya kazi akwende🙄
@jairusomari1459
@jairusomari1459 3 года назад
Eeeeeeeeee.mrembo.endeleya.peke.yako.ata.mimi.ningetoka.singeweza.kuvumiliya.nilishe.mwanaume..ni.lipe.rent..iyo.apana.no.no.no.no
@DavidAnaswa
@DavidAnaswa 3 года назад
Ati kupika😂😂,siwezi,
@jairusomari1459
@jairusomari1459 3 года назад
Akuna.kusameyana.kwanza.wewe.ni.musharati.sana.çha.pili.wewe.ni.muvivu.sana..lidha.wacha.kusumbuwana.na.mume.wacha.kusukuma.punda.kwa.mulima..kuja.tuliye.watoto.
@stargal906
@stargal906 3 года назад
Eeeee wanaume jamaniiiii😭
@rackemakunda4047
@rackemakunda4047 3 года назад
Wee mama fanya shuguli zako achana na huyo mwanaume hana akili timamu
Далее
PATANISHO: Mtu anawezachunwa aingie kwa jirani?
21:46
PATANISHO : Jamaa achapwa na mpenzi wa mwanamke
16:01
Miekethano 4th - 6th October 2024
7:56
Просмотров 638
PATANISHO : MKE WANGU ALINIAMSHA NA MAKOFI
21:05
Просмотров 237 тыс.
PATANISHO : WACHANA NA WATOTO WANGU SHUGHULIKIA WAKO
21:22