Тёмный

PATANISHO : WACHANA NA WATOTO WANGU SHUGHULIKIA WAKO 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 422 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 306   
@lynelee5846
@lynelee5846 3 года назад
High five to ladies who are struggling to depend on themselves bila makasiriko.. ya na struggle kivyangu na siringi👌🤸🤸
@annkinyua2024
@annkinyua2024 3 года назад
Erica is so upset because her bro is doing well than her, jealous is rear. Wah! Celebrate your family member.
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 года назад
Hiyo attitude ya Erica hawezi saidika and she thinks that it's a must asaidiwe sisi wengine tuko na rich people but we don't ask them anything
@carolinemugure2192
@carolinemugure2192 3 года назад
That's where many family hate comes from ...bcz ur brother or ur sis is rich you want them to carry all ur burden 😒😒😏
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 года назад
@@carolinemugure2192 yes kabisa
@tabithawanjirundegwa7861
@tabithawanjirundegwa7861 3 года назад
Hii ni nugu
@carolinemugure2192
@carolinemugure2192 3 года назад
@@tabithawanjirundegwa7861 na hii new year ati nugu🤣🤣but it true pple should live like white pple they ,care about their siblings except his or her family that chapter closed...
@LoneWolf-dw8un
@LoneWolf-dw8un 3 года назад
Ambia huyo mwanamke yeye si mtoto anymore, infact kama kuna mtu selfish ni yeye hapa. Anaexpect bro wake amsomeshee mtoto yeye akiwa amekalisha matako akikula pesa yake bila responsibility,hata hana heshima kwa bro wake mkbwa,atafute bwana amlee hapo pengine. What a spoilt woman this is for real 😳😳
@malaika4158
@malaika4158 3 года назад
I have a sick sister like her! itspure jelousy to the brother aende akiendaga mmavi type
@jacquilinekurgat9017
@jacquilinekurgat9017 3 года назад
@@malaika4158 me too, I have a selfish sister like this in fact it's so duplicate. I even think they went to same school. My sister's only child is taken care of by ex husband but my sister wants me to take care of her ati coz I am better. She lives larger than me can't keep a job.
@hanifahnatasha3900
@hanifahnatasha3900 3 года назад
Hawache wivu NA ajitegeme
@millykoech4915
@millykoech4915 3 года назад
Kwanza ski na watoto sita kwani baba zao wako wapi... sister from hell jealousy of high level hiyo dada ni mjinga sana
@wachiiwilly6565
@wachiiwilly6565 3 года назад
infact huyu dada ndiye anaonea dugu yake wivu
@shanmuimi1488
@shanmuimi1488 3 года назад
What firstborns go through 🤦, someone expects you to take care of her responsibilities,kwani ulizaa na kakako? Tafuta Baba ya mtoi umpee majukumu ya mtoto wenu
@mwendapoleee
@mwendapoleee 2 года назад
Vile alibeba mguu bro hakuwa!lol
@violachelimo6467
@violachelimo6467 3 года назад
You have a very good brother wewe, you should appreciate and give credit where it's deserves. Erica be humble afterall he's your bro not your husband.
@eunicenyawir229
@eunicenyawir229 3 года назад
Well put dia..Thank u
@mwendapoleee
@mwendapoleee 2 года назад
Wanakuwanga ivo babamtoto hana abari lakini bro ni lazma na pia ako na familia and they are the first ones to laugh at you if you go broke!
@happyperson3016
@happyperson3016 3 года назад
That’s where we go wrong as africans expecting our siblings who have made it to carry our burdens...she’s over 18 she should carry her own cross
@elgonahiganjo2062
@elgonahiganjo2062 3 года назад
I know right!
@mwendapoleee
@mwendapoleee 2 года назад
Looks like the mum is involved they alwaýs side with the less privileged not knowing they are making matters worse!my sister used to tell me when i didn't give her money , "mum will give me money" yet i was the one giving mum money and i thought is that something to boast about,getting financed by your mum because you are to proud to do odd jobs.
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 3 года назад
I have big bros and sister who r working in offices. Namm na run just M pesa shop and I av educated my son single handedly til Moi university na sasa anafanya kazi Malindi. Life is hard ni kupambana na hali yako. Smbody can chip in only wen necessary. Dada fanya tu bidii na mwanao asome.. tena wewe wajiweza.
@lucygraham254
@lucygraham254 3 года назад
Happy new year big brothers...nawapendar buree 😍😍
@catherinewanjiru7136
@catherinewanjiru7136 3 года назад
Happy New year gidi na ghost silazima usaidiwe maisha nikujipanga unalazimisha iyo ni mishkil
@veramakau1931
@veramakau1931 3 года назад
Jealous, low self esteem and above all sense of entitlement, Wickliffe should step above the guilt trap that his sister seems use! Sister is selfish in a toxic way
@azizaskitchen
@azizaskitchen 2 года назад
I agree.I can relate aki
@mwendapoleee
@mwendapoleee 2 года назад
Karibu anakuwa mchawi hiomachungu ,entitlement too much!
@yvonnemirimu2151
@yvonnemirimu2151 3 года назад
Mtegemea cha nduguye hufa maskini. Usitegemee sponsor maisha ya sponsor huwa is life time. Inaweza katika anytime. Be wise Erica. Pambana kama wanawake wengine wale wanashughulikia watoto wao. Usiwekee grudge ndugu yako you are lucky kusaidiwa na brother yako. Nkt.
@remmyambani2193
@remmyambani2193 3 года назад
Erica has alot of bitterness in her life,her past is really haunting her
@MelanatedQueen254
@MelanatedQueen254 3 года назад
Why does she feel she's entitled to her brother's money/help?! SMDH!!
@angieblessed
@angieblessed 3 года назад
I wonder
@jakshamim6036
@jakshamim6036 3 года назад
Ericah be patient and thank God your bro amekusidia.uko na wivu sana na maisha ya bro yako.school fees ya chavakali high na shopping sio mchezo.omba ndugu yako msamaha mtoto afanye vizuri kwa mtihani.uko na utoto mingi sana
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 года назад
Waaaah the is power in tough mummy wacha kusema umekubali kukuwa rejected kemea hiyo spirit
@jaenixhadazawanda4174
@jaenixhadazawanda4174 3 года назад
Ericah uko na ndugu mzuri sana achana na makasiriko.....
@maggierattz8552
@maggierattz8552 3 года назад
Erica wants to control her brother. Ako na roho chafu na wivu
@noelshilaho7933
@noelshilaho7933 3 года назад
Wewe Erica umejilaani mwenyewe na maneno zako. Kuna matajiri wengi ambao hawajasoma. Wacha wivu and bitterness, respect your bro !
@mumbim6074
@mumbim6074 3 года назад
Hii mambo ya kusaidia Familie,they are never greatful. Kwani ni lazima.
@rosenanjekho8916
@rosenanjekho8916 3 года назад
It's true family Ni stress
@xjxjxnxn2673
@xjxjxnxn2673 3 года назад
Jameni?
@hanifahnatasha3900
@hanifahnatasha3900 3 года назад
Hakwende uko nkt
@ochiengatienolilian8921
@ochiengatienolilian8921 3 года назад
This woman sounds so pathetic 🤦🏻gosh some of us tuna strangle huku nje juu we are first-borns, we have no one to depend on except God, how can you depend on your elder brother and to make the matter worse he's married!!! Jamani mtu akioa a nafaa apewe nafasi na family yake 😔😔, unazaa watoto saba expecting? 🤷🤷Gosh
@sybilatieno8786
@sybilatieno8786 3 года назад
Uyu mwanamke ni wazimu saana
@beatricenjeri8502
@beatricenjeri8502 3 года назад
Ukweli asungulikie watoi wake
@mwendapoleee
@mwendapoleee 2 года назад
Alikua akibeba mguu akifikiria nini?
@Idafa
@Idafa Год назад
I just listened to this today and felt so sorry for the brother. That woman is a copycat of my big brother. These people are very ungrateful regardless of how much money you give to them. No matter how you help, it is not enough. They always talk down the amount of money you send to them thinking you have plenty but are selfish not to give more. She has even given birth to that many children and still thinks that it is her brother’s duty to take care of her children. That is just like my big brother with so many children with different women around and makes us feel guilty to see his kids are not getting the best education like our kids. I work hard and taking care of my kids and he wants me to take care of his kids and he is way older than me.. She is very ungrateful and he needs to just stay away. He can love her from far away and that's what I do now with my brother. It was too much. That brother is a very nice person.
@lornahkadenge7240
@lornahkadenge7240 3 года назад
Ati aliteswa na mama wakambo!!!!! mama wa mambo is my mum😭😭😭, Mungu nifundishe kunyamaza 🙏🙏🙏🙏
@tiktokheroes4256
@tiktokheroes4256 3 года назад
What ni mi mamako woi nyamaza tu
@trendyladies2508
@trendyladies2508 3 года назад
Wah... 🤐
@1980tx
@1980tx 3 года назад
This is sad .You can't force someone to pay fee for your kids .They can only do it by choice. Mbona asitafute babake mtoto wake alipe fee.This woman is a very bitter woman and she is directing her bitterness to the wrong person .Where is the father to this kid alipe fee ??????
@JacklineNdungu-rp5hr
@JacklineNdungu-rp5hr 4 месяца назад
Thank God Erica you are not my sister coz tungeenda nalo sipendi ujinga mimi.kitu ingine huyu jamaa alimpa huyu Erica samaki badala ya kumuonyesha kutega samaki.mimi am the 1st born yes huwa nawasaindia but sitabeba mzigo wako mimi qwanza hawa masecond born kulalia masikio but mimi nayo huruma sina block na unasahaurika
@StanleyChanzu
@StanleyChanzu 3 года назад
I never understand why some relatives always feel entitled
@lynelee5846
@lynelee5846 3 года назад
Thus nonesense mtu akizaa abebe tu mizigo yake sio kuamsha makasiriko mimi wangu nalea na sina matarajio ya kusaidiwa
@MutindaKamene
@MutindaKamene 11 дней назад
Yees mrembo anaogea true 😢
@rhodahbranice3379
@rhodahbranice3379 3 года назад
If the guy is selfish y is he giving her kid education...sometimes it's good to be truthful n thankful as ladies.
@janenyambura966
@janenyambura966 3 года назад
Erica, getting help from your brother is a privilege .not a must...your lucky you even get 100 bob from him
@anitabell4203
@anitabell4203 Год назад
I hope they are doing well now. Patanisho for such episodes we need updates. We hope they reconciled. Because it’s not just for entertainment
@harrietnjeru4310
@harrietnjeru4310 3 года назад
Entitlement disorder...coupled by self pity pandemic plus pride and ego is what that woman is suffering from...I wish I had such a brother
@stonecold4630
@stonecold4630 3 года назад
In fact that lady akipata chance anaeza rushia ndugu yake rat n rat kwa chakula
@elgonahiganjo2062
@elgonahiganjo2062 3 года назад
Very evil sister ooh!
@lynnatteagan7328
@lynnatteagan7328 3 года назад
Sijawai ona sister kama huyu ,wyclife ur a good brother bt this sister is too much on you, acha apambana na hali yake kama uko na uwezo Saidia mtoi direct from school ,mungu atakubariki zaidi
@rachaelwambui9696
@rachaelwambui9696 3 года назад
Happy new year from this side
@queenlynne746
@queenlynne746 3 года назад
According to me this Erica has no respect and more selfish than she claims.again the favour of paying school fees is voluntary not by force.
@elgonahiganjo2062
@elgonahiganjo2062 3 года назад
Say it again.
@memijessy666
@memijessy666 3 года назад
Yes sge feels entitled to get the help from his brother coz she didn't get the education but she is working... his brother on the other hand loves her sister and cares so much for her but she is taking advantage. The problem with people not educated they think if you earn 100k they should be given 50k immediately you earn then the other 50k in your pocket should be kept for them wakiitisha unatuma 5k 6k 7k. 2k Ukikosa wanaanza madharau... Wicky should just igno her and help the child when we can and want not by force coz huyo mtoto si wake.. then help the mom... When the boy grows up he will acknowledged wickys help
@periswarish7022
@periswarish7022 3 года назад
Happy happy new year Gidi$ Gost na mashabiki wote ( wasikilizaji
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 3 года назад
Uyu mwanamke mjinga sana mshenzi ulizaa mtoto wako umepata bahat umesaidiwa ata mwezi moja nashukuru mungu wako mbona umlazimishe kakaako na uo ni wivu mbaya na nimchawi uyu msichana sana badala uombe mungu kakaako apate akusaidie hata kidogo ww waleta ujinga ati umaskini sasa si uko na mikono yako kusaidiwa ni kutaka kwake fanya bidii usomeshe ata uyu kijana ana familia usitake kumtegemea
@oscarobuyu2688
@oscarobuyu2688 3 года назад
That wicky is agood guy The sister is bitter
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 3 года назад
Woow welcome back online Gidi na Ghost happy new year too you all
@georgymahi149
@georgymahi149 3 года назад
Wasichana walikosana na mabwana husumbua big brothers wao sana.
@loicemugure3234
@loicemugure3234 3 года назад
Erica wahenga walinena Mtegemea cha nduguye Hufa maskini !pambana na Hali Yako too much makasiriko
@hanifahnatasha3900
@hanifahnatasha3900 3 года назад
Ushasema
@jamjam8734
@jamjam8734 2 года назад
Huyu sister ni kisran n Hana shukran
@eunicenbog26
@eunicenbog26 3 года назад
Happy new year gidi na ghost ,niaje unganishow ,kuliendaje
@gracemunanie2502
@gracemunanie2502 3 года назад
Wa kwanza leo 😍
@vrnqogembo
@vrnqogembo 3 года назад
A lot of entitlement going on here! The best thing anyone should do in their lives is to be independent ! No one owes the other anything !
@mamjiee3935
@mamjiee3935 3 года назад
Ericka first hauwezi kuwa bitter and you can’t tell others how to help you. Actually you’re the selfish one. Wewe pambana na kubali usaidiwe. Life is too short to be bitter.
@dotytydo2342
@dotytydo2342 3 года назад
Hawa wote wako na hasira huyu kijana ako na hasira ya kuwachwa na msichana ako na wivu juu huyu alifanikiwa kwahivyo huyu kijana ni better afunge masikio na hasahidie pale ataweza juu ata mama wa kambo myb ni yeye anamsahidia
@lornahkadenge7240
@lornahkadenge7240 3 года назад
Ubarikiwe
@essiewajojis7918
@essiewajojis7918 3 года назад
Uyo mwanamke ako na wivu na ndugu yake anatafuta vile mtoto wake anasoma ata kama ndugu yako amabarikiwa if he was not meant to be ur destiny helper he can not so acha kumulaumu ni wangapi tumesima lakini tunafanya maid uarabuni tusomeshe watoto den kama mnaongeanga na mamako anakutupa coz wako in good terms wid ur bro anafanya mkosane style up
@sherylingeoffrey9266
@sherylingeoffrey9266 3 года назад
I feel for wycliff....am going through something related to their issue ukipata pesa kidogo the rest of the family wanakukondolea mambo and if u don't help matusi ...to a point one of my bro alisema he will never recognise me as his sister but I don't care ....i can't struggle in gulf to feed grown up men's....wycliff help where u can when u were going up no one knows what u went through but coz u r now at the top they want to enjoy your success oooh God
@valerieokoiti9010
@valerieokoiti9010 3 года назад
Erica is the lady and wycliffe is the brother please
@loyceoduki1180
@loyceoduki1180 3 года назад
happy New yr Gidi na Gost
@veronicahkwamboka4849
@veronicahkwamboka4849 3 года назад
Dadaa respect your brother. Ata buying pencil shukuru.
@beckybeto3781
@beckybeto3781 3 года назад
Erick kam hukuwe bro yng daaah
@rtyuughjjji6138
@rtyuughjjji6138 3 года назад
Hiyo ya huyo sister waja ashukuru mungu mm mabro zangu sisemi kitu hapo wanakuanga na madharau Sana sababu walisoma ndio maana Hawana shughuli na masisster
@Ruthbosibori-uu7eq
@Ruthbosibori-uu7eq 3 года назад
Present tu
@quinncordelia4902
@quinncordelia4902 3 года назад
Eeeish iwe mama walitengana wycliff akapata kusoma kabarikiwa kwake c eti asaidie 100% huyu dada kutosoma Kwake kunafanya awe na wivu kama ya jirani mbaya!! Too bad my instinct tells me wycliff is a gentleman,he has his own family to look after,dadake Awache wivu na kutia bidii asomeshe mtoto wake asije kuwa kama yeye..wycliff akitaka kusaidia willingly ni sawa..chuki na wivu kwa mandugu nj mbaya sana....wakeup my sister na kujenga maisha yako na watoto wako...
@Haustine3507
@Haustine3507 3 года назад
Ubaya wewe Gidi unaingilia Ghost kila asubuhi...mambo ya Harambe Stars wachana nayo ju haikuhuzu..treat your 'juniors' with due respect they deserve.
@brendanaliaka6885
@brendanaliaka6885 3 года назад
True Heshima ni muhimu
@hellenjeffrey2135
@hellenjeffrey2135 3 года назад
It's a privilege to be aasisted not a MUST! Wiki mwache Acha apambane na hali yake
@mwendapoleee
@mwendapoleee 3 года назад
Aiiih hi makasiiriko ya niini?! Aki relatives kama hau chomoi pesa watu wanakasirika karibu kukibishwa.Parents also play a Role here, entitlement of other siblings when everything is fine not a word but when the going gets tough una tafutwa kama firefighter aaaii yawa.How many ppl didn't go far in school but are millionaires,kuna watu wanabemba machungu mpaka ,zhey don't wish anybody good for what?Nobody owes you anything ,Mungu alitupatia mikono nakili with blessings kama hutumi yako baassss!
@nyarsakwa1492
@nyarsakwa1492 3 года назад
Mama yao anafaa kuwakaisha,in this case mama yao anawatenganisha
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 3 года назад
Ua right mama is the prob. Or maybe the gal was born out of wedlock that's y she claimed hakusoma and was raised elsewea. Fanya bidii dada..tumepitia hio life ma tumetoboa.
@Violetndiolo254
@Violetndiolo254 3 года назад
Erica ni wale wakuingilia family ya ndugu zake. She should appreciate what her brother has given
@jakiealoo6394
@jakiealoo6394 3 года назад
Ericka is more selfish.....she doesn't appreciate at all......wacha apambane na hali yake
@zalwango73
@zalwango73 3 года назад
Erica is a very bitter soul, ooh God, who hurt her?
@oscarobuyu2688
@oscarobuyu2688 3 года назад
I don't like the feeling of entitlement that some of our siblings have ,I'm afirstborn and l know what I'm talking about
@karanjahannah2812
@karanjahannah2812 3 года назад
Waaah familia ziko na mambo aki
@josphatochoi4144
@josphatochoi4144 3 года назад
Huyo mama akwende uku
@MrSeptan
@MrSeptan 3 года назад
Underlying issues coupled with being proud and non is ready to humble and ask forgiveness.
@nabwilelinet7027
@nabwilelinet7027 3 года назад
Happy new yr Gid na Ghost
@shylove5304
@shylove5304 Год назад
Wacha kuchukia brother yako bure 😢😢😢😢hujui yakesho
@catherinealiviza96
@catherinealiviza96 3 года назад
Huyu mama ako na kiburi madharau roho ngumu anaongea mingi,aky mm siwezi deal na mtu kama huyo hata bro yke amejaribu wooooooii
@chainbre275
@chainbre275 3 года назад
Erica aki uko n'a bro mzuri kweli
@lynelee5846
@lynelee5846 3 года назад
This lady is so rude alivyoinua miguu apambane na hali yake atoe makasiriko hapa et siezi shiriki na matajiri jinga hii et kanawalaani shenzi kabisa 🤣🤣🤣🤣 am a single lady nina watoto three nawashughulikia bila kulaumu mtu
@rispernyakaz1037
@rispernyakaz1037 3 года назад
Wahh🙆🙆🙆 happy new year lkn
@naomikarwitha2241
@naomikarwitha2241 3 года назад
She is pathetic! Entiltment kama pesa ya brother ni yake
@susanchebet3298
@susanchebet3298 3 года назад
Erica chapa kazi usomeshe mtoto wako, Ata mm apa ndugu zangu wanauwezo lakini naoshea waarabu choo nikisomesha wanangu na Sina wivu nao, jikaze mummy Mungu yupo
@kimberlytv7895
@kimberlytv7895 3 года назад
People are ungrateful, the bad thing in this world ukifunza mtu kumnunulia shirt siku utaacha ujue atakuchukia kabisa hatarudisha shukrani kwa hizo time umekua ukinunua shirt,wicked world,kwani ni lazima usaidiwe hai,kumbuka uko bro yako ako na majukumu yake
@norahmwenyewe.2799
@norahmwenyewe.2799 3 года назад
Respect is very important sit down an settle the matter fullstop.
@paulkiama1264
@paulkiama1264 3 года назад
Ujasoma ni miguu tu juu
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 3 года назад
Happy New Year Gidi na Ghost, huyo mwanadada apambane na hali yake tena mutegemea nduguye hufa maskini Erica jifunze kujitegemea
@prettybabygalmichelson6557
@prettybabygalmichelson6557 3 года назад
Uuuuiii kwan Leo kulikua na patanisho
@betybety8295
@betybety8295 3 года назад
Hehehe huyu mwanamke ni mjinga sana
@princesspriscaofficial4823
@princesspriscaofficial4823 3 года назад
Erica Dat why hakukaa na bwana Mdomo mdomo Mtu husikiza kwanza then anarusha mdomo mkiongea nyinyi wote Nani ataeleweka surely
@ruthhamisi3844
@ruthhamisi3844 3 года назад
Kwani uyo mwana mke alizalia bro yake
@mumbisandtmann8931
@mumbisandtmann8931 3 года назад
Kusaudia mtu ni self will not a must, people take advantage of others
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 3 года назад
Mimi naishi kwetu na 3 kids but sitegemei watu wangu najikaza na u maid saa hii watoto ni wakubwa siwezi laumu bro kukosa kukomesha mtoto na ni wake
@moreh462
@moreh462 3 года назад
Kwani akisoma apate job mzuri ulikua wapi. Huyu mwanamke anafaa viboko. She is so angry because the brother is doing well😡
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 года назад
HUYO DEM ANA HASIRA ZA USIENZIIIII
@danielgw5140
@danielgw5140 3 года назад
The intricacies of marriage
@njerimax222
@njerimax222 3 года назад
Hawaendani
@mamanyamiraKemmy2027
@mamanyamiraKemmy2027 3 года назад
Last borns tafadhali grow up
@jairusomari1459
@jairusomari1459 3 года назад
Wewe.mwana.dada.watu.wanangangana.sana.na.maisha..wewe.wacha.kulaumu.bro.wako.bure
@mercywanjikunjoki9444
@mercywanjikunjoki9444 3 года назад
Attitude baya
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 3 года назад
Sasa wew msichana ushukuru jamani umepata kaka mzur wakukubembeleza kukuomba msamaha na kukupelekea mtoto shule ww msichana unaroho ya kichawi sana kwani kazi unayo fanya upate pesa ww ndio mbaya uyu kijana mzur sana na mungu atamuongezea utajir hasa
@noelamadadi5731
@noelamadadi5731 3 года назад
Happy new year Gidy na Ghost,lakini acha ningangane na hii umboch,sisemi ki2
@maagiy8267
@maagiy8267 3 года назад
Erika request for help pliz from our broda
@priscillahwafula6500
@priscillahwafula6500 3 года назад
Asante ya mafrika ni madenge, huyu msichana Ana tabia baya na mama ndiyo chanzo, waachane na huyo boy naye afanye kwake
@estherkibui2371
@estherkibui2371 3 года назад
Erica stop jelouse jua sio lazima usaidiwe nikutaka kwake😏so come down and so respect😋
@bjay1684
@bjay1684 3 года назад
Eric don't let ur sister selfishness hold you back. She's trying to manipulate you and take her responsibility of raising her kids. Don't let anyone no matter family take ur happiness.
@lemamathenge9252
@lemamathenge9252 3 года назад
"Ati mtoto alipata sponsor kwa ofisi" which office??? your brother is the sponsor ... deal with it!!!! Wycliff God shall reward you.. do not expect any thanks from that selfish sister!!
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 года назад
ukipewa glass ya maji shukuru uwezi pewa kila kitu kila wakati tujifunze kushukuru bahati ya mtu wacha kurushia mawe wivu baya
@margaretnephat7826
@margaretnephat7826 3 года назад
Let her pay school fees for her children she will never respect you at all
@nabwilelinet7027
@nabwilelinet7027 3 года назад
Wewe Dada pambana na hali yako mtoto n wako wacha hasira
@malaika4158
@malaika4158 3 года назад
Kweli kabisa
@quinncordelia4902
@quinncordelia4902 3 года назад
Happy new year Gidi na Ghost from Quinn De Quinn
@ashamakokha4022
@ashamakokha4022 3 года назад
Hapa kuna mambo Gidi the bro analipa fees na eti ataki wajuwe, and then na sister how can somebody analipia mtoto wako fees na hakuchukuwa jukumu la kufuatilia, hapa ni kundialala🤔🤔🤔🤔🤔, this is family issue lack of communication is the reason, l think so
Далее
PATANISHO : MARTHA - NIKO NA MIAKA 44 NA MUME WANGU 32
16:36
Don't bother ganking Ammar - ESL Dota 2
00:23
Просмотров 164 тыс.
Miekethano 18th to 20th Oct 2024
7:56
Просмотров 502
PATANISHO : MBONA UNAJISKIA SAUSAGE HIVI JAMES
18:05
Просмотров 60 тыс.