Pia mimi nimekua Maasai supa olengi love u so much guys My favorite community want to get married there if u are ready to marry am from Kenya love u so much
Your songs are really a blessing brother. I emulate you a lot. They really hit the message of God. well articulated. May the Almighty continue uplifting you. Hallelujah!. Your top Kenyan fan
Wow! Sauti ya kimasai spreading Gospel! So blessing. Na hizo rungu na fimbo za kimasai haziwekwi chini atakama watu wako kwa kwaya? You've blessed me people of God.
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_Do09hEmPw0.html *Karibuni wapendwa, finally the song is out unaweza kuusikili, na kudownload, usihau ku Subscribe hii channel*.
Una kazi kweli yaani aimbe nyimbo kama hizo na bado asiokoke,yes wapo ambao wanaimba na hawajaokoka ila utawajua kwa matendo yao fungua macho na masikio ndugu,mtawatambua tu ambao wanaimba tu ila wokovu haupo ndani yao.